KWA NINI NILIACHA UCHUNGAJI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 125

  • @munamuna4621
    @munamuna4621 2 роки тому +1

    Allahu akbaru.

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 5 років тому

    Asalam Aleikum........Alhamdulillahi sheikh nimekutafuta siku nyingi sana kwa sababu jina nilikuwa sikujui baada miaka mingi sana kukusikiza wewe na Sheikh Shaban Muhoro.Allah akuhifadhini

  • @bipopoidris3600
    @bipopoidris3600 9 років тому +1

    Mashaaallah Tabaarakallah... ex.mchungaji kwa kz yk zri

  • @pierretarimo7249
    @pierretarimo7249 10 років тому +4

    YESU ANASEMA'Njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo name nitawapumzisha,jitieni nira yangu na mzigo wangu ni mwepesi

    • @rskiabdala4868
      @rskiabdala4868 6 років тому

      Pierre Tarimo na ww nd miongoni mwa ao wenye mizigo

  • @bausifarouk1798
    @bausifarouk1798 4 роки тому +1

    Thank you ex pastor 👊 tell them the truth

  • @abdallahnassoro3851
    @abdallahnassoro3851 6 років тому

    safi sana ulivyoamua kuwa muislam mwenyeezimungu akuongoze

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 3 роки тому

    wallah uislam raha

  • @gracecypiliani3520
    @gracecypiliani3520 7 років тому +1

    We hujawahi kuwa mtumishi wa Yesu wala hajawahi kukupenda angekupenda Yesu wala usingemwacha wa asingekuacha

  • @anicetnahayo2483
    @anicetnahayo2483 6 років тому +1

    Allah akulinde ktk uhai wako.

  • @zulfaalnabhanzulfaalnabhan8653
    @zulfaalnabhanzulfaalnabhan8653 9 років тому

    mashaa ALLAH tabarakaLLAH ALLAH awahifadhi

  • @ishaq9925
    @ishaq9925 5 років тому +1

    daa mungu acheni aitwe mungu mana kama arivyo mrea firauni musa ndio mapaddri w anavyo warea wachungaji arafu wanakuja kuwafezei takbiir

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 6 років тому

    MASHAALLAH

  • @camircumeir6271
    @camircumeir6271 9 років тому +2

    Allahu Akbar

  • @yusufundizeye1325
    @yusufundizeye1325 Рік тому

    Allah akuhifadhi na akuzidishie kheri

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 5 років тому

    Myshau yesu sio isa . halafu mungu wa Quran si sawa na mungu wa bibilia

  • @ahmedudug3084
    @ahmedudug3084 9 років тому +2

    we need more videos jazakallah kheir

  • @talouchi1
    @talouchi1 12 років тому +6

    if you want I have a playlist exclusively on the pastor and priest converted to islam in my chain.

  • @salehmkwata5049
    @salehmkwata5049 9 років тому +3

    Mashaa Allah

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 5 років тому +1

    Ufunuo 21 :7 yesu anasema yeye ashindae atayarithi haya ya bibilia nami nitakuwa mungu wake naye atakuwa mwanangu

    • @shabamuhidin634
      @shabamuhidin634 3 роки тому

      hilo andiko halija taja bibilia wala kurithi 😂😂😂ebu rudi tena chuoni

  • @mariamabdulrahman1978
    @mariamabdulrahman1978 8 років тому +10

    Islam ndiyo Dini ya haki mbishe msibishe ukweli ndio huo

  • @hosnaemam6831
    @hosnaemam6831 7 років тому

    Yaaan kueni wabishi lakun isa atakuja kumikana siku yakiama allah namuomba amiongoze ila jirudij kwaallah alie kua mmoja hana hata mshilika paul kamidanganya sana ila yesu mwenyewe hata hakufa kwadhambi zenu jidanganyingi tuu inawezekana baba yako mzazi aibe harafu adhab upate wewe achen kupotea rudin kwaallah alie kuwa mkubwa mfalme wawafalme sasa jidanganyin tuu allah atamiingize jahannama

  • @peterchuchu5395
    @peterchuchu5395 7 років тому +22

    Mtu kama hatoamin leo bac ajijue tu kwamba nimtu wamoton mm nimekua mwislaam

    • @rskiabdala4868
      @rskiabdala4868 6 років тому +1

      PETER CHUCHU hongera xna karbu ktk dini ya haki na ya ukweli

    • @hadijashafiimohamed4749
      @hadijashafiimohamed4749 6 років тому +1

      PETER CHUCHU takibiiiiri

    • @ajunior8796
      @ajunior8796 5 років тому +1

      Mashaa Allah

    • @francinensavyimana5601
      @francinensavyimana5601 5 років тому

      Yes mwenyezimungu amuongoza amutakaye na amupoteza amutakaye watuwake wakuleta habari wamefikisha kilakitu kwa iyo Mungu akiona unahakili yakikafiri anakuaciya uko uko moto usikosiwatu ukiwa mutu unahakili ya kiisilamu anakuongoza masha Allah sote tumefata ukweli

    • @salmachao7645
      @salmachao7645 4 роки тому

      Allahu Akbar

  • @lewismwanzia4221
    @lewismwanzia4221 8 років тому

    kunradhi na shukuru sii nadhukuru!!

  • @abdouabdallah7384
    @abdouabdallah7384 7 років тому

    Muhammad saind al bilhu

  • @qweenqween3561
    @qweenqween3561 9 років тому +1

    masha allah mola hakupe himani hiyohiyo na akusamehe yoto hulio yatenda inshaallah

  • @sempreunidos931
    @sempreunidos931 9 років тому +8

    wapi kwenye biblia yesu alisema yeye ni mungu?makafiri nyiye

    • @komboabdura3000
      @komboabdura3000 4 роки тому +1

      Hakuna aya hiyo mpaka ulimwengu utakapoisha hamtaipata

  • @pierretarimo7249
    @pierretarimo7249 10 років тому +1

    Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda Ulimwengu hata akamtoa mwanae pekee ili kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele.NJOO KWA YESU KUNA UZIMA

    • @shortcut3816
      @shortcut3816 8 років тому +1

      Pierre Tarimo: Hayo ni mafunzo ya kanisa wala yesu hajayasema hayo. Yesu kasema "Na uzima wa milele ndio huu WAKUJUE WEWE MUNGU WA PEKEE NA YESU ULIEMTUMA .kwa hiyo kuna Mungu tena wa pekee yaani mmoja tu na Yesu aliyetumwa yaani mtume. na wakati wake ulikwishia baada ya kuja mtume Mohammad S.A.W kama alivyotabiri Yesu kuwa ana mentioned ya kuwàmbia lakini atakuja roho wa kweli na ndio utaona Quran inamzungumzia Yesu na mitume wote kabla ya Yesu. wakiristo msijipe matumaini na kuegemea nguzo iliooza mtajikuta motoni na yakawa majitoo ya. ilele na sio uzima wa milele

    • @motingijh2101
      @motingijh2101 5 років тому

      Mara mungu kamtuma mwanae Mara mwanae Naye ni mungu, mungu ni wangapi?

    • @nasraseif9816
      @nasraseif9816 5 років тому

      Sasa mbona mnakufa

    • @najmamakame9881
      @najmamakame9881 5 років тому

      Kasome bibilia wewe mjue yesu ni nani

  • @pierretarimo7249
    @pierretarimo7249 10 років тому +3

    Yesu alipaza sauti yake akasema"AONAYE KIU NA AJE KWANGU ANYWE MAJI YALIYO HAI NA CHEMICHEMI ZA MAJI YA UZIMA ZITATOKA KWAKE'

  • @rahmahahmed2644
    @rahmahahmed2644 9 років тому +2

    ALLAHU AKBAR

    • @abeidomary6135
      @abeidomary6135 7 років тому

      wakristo hawaami mtaamini tu ipo siku

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 5 років тому

    Wislam ni dini ya haki, ila haina ukweli ndani yake Quran 3 aya 7 inasema kuna aya mhakam nyepes kufahamika na kuna aya mtashabia zinababaisha

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 8 років тому +1

    + Binti hayati manyota,je upo??

  • @patrickvictory2079
    @patrickvictory2079 4 роки тому

    Miazara inamanagan kwasababu mnasema mabaya ya wakrsto tu nakuna din nyingi au awo wengine wako sawa walio potea ni wakrsto tu

    • @bockaselemani563
      @bockaselemani563 4 роки тому

      Patrick hao ndo walengwa wanawazuilia watu wasimjue mungu mmoja

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 5 років тому

    Mstafa, matayo 4:2 inasema yesu akafunga siku arobain mchana na usiku, je hii dio ramadhan? Mhamad nabii wa uongo anafunga siku salasin usiku anakula futali na daku akaiita ramadhani. Mhamadi ni muongo na mungu wake ni muongo

    • @bockaselemani563
      @bockaselemani563 4 роки тому

      Waongo ni wachungaji wenu mbwa wenye choyo

    • @aishaaisha1495
      @aishaaisha1495 4 роки тому

      Utajulia wp soma upate kumtambua mtume Muhammad sallaulah alay wasaalm uyo mtume kwel hajawai kuongopa usimvulie kuwa ni muongo

  • @biashabiashawallahuislamra2020
    @biashabiashawallahuislamra2020 7 років тому

    nyinyi maafiri mnachosha sana waislamu but iko sku mtakuja elewa tu kwamba uislam ndio dini ya hakhi mbele ya allah subuhana wa taala.

  • @musamalugu1595
    @musamalugu1595 6 років тому +1

    Ukweli mtupu kuwa ukristo ni ukafili

  • @hagaichanda2469
    @hagaichanda2469 9 років тому +2

    Yesu ndo wanzo na mwisho mwingine fek

  • @coolcool7330
    @coolcool7330 6 років тому

    Uislamu ndy dini ya khaki

  • @munamohamedi5354
    @munamohamedi5354 10 років тому +1

    ukitaka kujua dini ya kweli,,,,angalia video hii hapa.....!!!!

    • @mgmaneno803
      @mgmaneno803 5 років тому

      Muna Mohamedi ngoja nitazame

  • @gracecypiliani3520
    @gracecypiliani3520 7 років тому

    Nyie ndo roho ya mpinga kristo tulio skia kuwa yaja ulimwenguni

  • @isaacobiero296
    @isaacobiero296 9 років тому +2

    YESU KRISTO NDIYE NABII WA MWISHO NA NURU YA ULIMWENGU MZIMA

    • @azizhamed6320
      @azizhamed6320 9 років тому +2

      Ni Muhammad basindio rehma ya walimwengu wote Soma vitabu vya mwenyezi mungu utaelewa ndugu yesu hakuja kwa walimwengu wote bali kwa banisrael na yeye mwenyewe amethibitisha hivo sasa nyie mkataeni Muhammad SAW siku ya hesabu yesu hatawatambua kamwe

    • @azizhamed6320
      @azizhamed6320 9 років тому +1

      +joe wainaina ndugu katika adam nyie wakristo ndio itikadi zenu hizo kubali au usikubali mtume Muhammad SAW ndie hatamu wa manabii wote Na Issa bin Mariam hakutumwa ila kwa mataifa 12 tu ya wanakondoo waliopotea wa nyumba ya banisrael wewe haumo humo ndugu zangu wakristo muwe na akili ya kuifahamu dini ya gaki mbele ya mwebyezi mungu ni uislam na anayetaka dini isiyo hii ya haki mbele ya mwenyezi mungu haikubaliki na akhera ni mwenye hasara kubwa.

    • @tiamo726
      @tiamo726 8 років тому +1

      +Aziz Hamed lets all love one another when it comes to it christians and muslim worship the same God who Abraham use to worship christians are from isaac the promised child muslims from ishmail Abraham first child stop hating eachother it breaks God's heart if you read your bible well you will see when ismael was with his mum when they left God blessed him and told him he will have many followers and Isaac was blessed abundantly so what the fight for

    • @shortcut3816
      @shortcut3816 8 років тому

      isaac obiero Toa Hoja si matamanio yako

    • @shortcut3816
      @shortcut3816 8 років тому

      tia mo Ibrahim was never a jew or Christian, how can be the same? Abraham or Ibrahim was pure submitting his will to the will of Allah (God) and that means by ISLAM. beside Islam all ISMs whether judaisim or christianism is a man made way of life (religion) , and in the day of judgement will be looser because almighty Allah does not recognise other way of life except ISLAM (submission your will to the will of Allah (God)

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 5 років тому

    Lewis aya gani yesu alifunga ramazani

  • @sammykashama833
    @sammykashama833 10 років тому +2

    Aliacha uchungaji aliopewa na nani?, pili alikuwa anachunga nini, na wapi?na kwa sasa yeye ni nani?

  • @gladysjosephmacharia3250
    @gladysjosephmacharia3250 5 років тому

    uliacha uchungaji kwa sababu roho yako mbaya haiandamani na ukristo ndio maana unatoka kwa usima unaenda motono

    • @nasraseif9816
      @nasraseif9816 5 років тому

      Badilika ndugu dini ni moja tu.
      Njoo kwenye neema ya Allah

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 5 років тому

    Quran 19 aya 71 inasema hakuna wala ninyi waislam Ila niwenye kuifikia hiyo jehanam

  • @pierretarimo7249
    @pierretarimo7249 10 років тому +2

    Mtashindana lakini hamtashinda.YESU NI JIWE KUU LA PEMBENI NA WAKRISTO HAMWAWEZI HATA MTUMIE MBINU ZA KUTAFUTA WACHUNGAJI FEKI

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 8 років тому +3

      Abshira diis,wewe ni mnafki mkubwa moto unakusubiri,ulisilimu lakini hauna imani ya uislam HATARI kubwa MUNGU akuongoze kabla mauti hayaja kukuta,yesu alikua seremala watu wote wanajua vizuri kuhusu ilo mnafki eti imani yako bado iko palepale,kwenye uislam akuna kulazimisha mtu sio kama ukafiri wanakununua,eti una mfananisha Mungu na seremala,hufuuuuuu

  • @elinisafimshana9429
    @elinisafimshana9429 10 років тому +2

    NDUGU PASTOR, ULIKUWA PASTOR WA WAPI NA KWA KIPINDI CHA MWAKA GANI ---- MPAKA LINI?

  • @dggdf258
    @dggdf258 7 років тому +1

    ndugu.zangu.wakisto.wenzangu.hatuna.Baja.yakuedelea.kubishana.sana.maana.bwana.amesema.jihadhalini.na.chachu.ya.mafalisayo.na.masadukayo.

  • @jamaliismaili7299
    @jamaliismaili7299 10 років тому +1

    Haki ikigundurika batiri hukaa kando.

  • @pennystang6065
    @pennystang6065 7 років тому

    Mtu wa primary anaongea kama anakichaa . U
    Ushirikina tu !

    • @pennystang6065
      @pennystang6065 7 років тому

      Your understanding is very low. Devil agent!

  • @claudinebatamuriza7804
    @claudinebatamuriza7804 10 років тому +2

    Wewe umesema umekuwa post ok nivizuri fanya tu iyo njiya umependa mwisho utarudi Yesu akusamehe

    • @rskiabdala4868
      @rskiabdala4868 6 років тому

      Claudine batamuriza atarudi wp wkt kashautambua ukweli ni upi

    • @francinensavyimana5601
      @francinensavyimana5601 5 років тому

      Nyinyiwakirisu jutiya mbele,acakukata ukweli nakupotezawatu makanisani yesu ni muisilamu nyinyi munaona yesu atakatala nduguyake muhamadi afate ico kitabo cabiashara ya wazungu? Wenyewe munashindamunaimba kama nifamilia ziliyocaguliwa namunamujuwa baba wa Imani ibrahim namunamujuwa mwanawe wakwanza sa amekawa kuza kujeni kwamutetezi wenu MUTUME WAKI ISLAM

    • @francinensavyimana5601
      @francinensavyimana5601 5 років тому

      Hakuna mukristo anaweza kuelewa coroan .

    • @nasraseif9816
      @nasraseif9816 5 років тому

      Ata mathematics usipo itaka kuijua hutaijua wala kuelewa

  • @casimujambia3677
    @casimujambia3677 9 років тому +1

    alikua pastor mamluki

  • @salehlofy4251
    @salehlofy4251 8 років тому

    kwa elimu inavotolewa mtu kama hajakubali uislam saiv basi hakubali tena ataingia akili akfa

  • @zuhurahaji3605
    @zuhurahaji3605 7 років тому +1

    hamna hoja makafiri wakubwa nyie uislam ndio dini ya haki

  • @kusomavitabu4653
    @kusomavitabu4653 7 років тому

    Hoja hapa, Uchungaji alipewa na nani? Mimi ninachojua Uchungaji ni wito ambao Mungu anampa mtu nao ni maalumu, sasa kama Mungu mwenyewe ndio aliyekupa Uchungaji iweje uje uuache uchungaji? my mean he was not called by God but he desired to be so may be he wanted to look for money, and unfortunately he did not gate it, Huyu hakuwa Mchungaji aliyeitwa na Mungu bali aliitwa kwa tamaa zake. +255717528272.

    • @rskiabdala4868
      @rskiabdala4868 6 років тому

      Kusoma Vitabu asiuache kwnn na hauna ukweli ndani yke ni uongo mtupu

  • @alhajimuhamedy6281
    @alhajimuhamedy6281 10 років тому +1

    Hamna lolote nyie mayahudi

  • @MyShau
    @MyShau 12 років тому

    quruan 3/53>55 yesu hakufa, mie siku zote nawafaham nyie wakiristo kazi ni uongo tu, 3/55 anasema allahèwe isa mie nitakutumizia muda wako wa kuishi (hawatakuua hao maadui) na nitakuleta kwangu na nitakutakasa na wale waliokufuru (hawataweza kukudhuru) na nitawaweka wale waliokufuru juu ya waliokufuru mpaka siku ya kiama kisha kisha marejeo yao yatakuwa kwangu, nikuhukumuni ktk yale muliokuwa mukifanya. YOHN 10.17>18 yesu hakuuliwa MARK 14.21 +1KORIN 1.23 EBRANIA 5.7>8 YOHAN 12.36>40

    • @alikahoo9806
      @alikahoo9806 8 років тому +1

      MyShau

    • @asmaabdallah4055
      @asmaabdallah4055 5 років тому

      Yeso kasema watu wangu wamekuwa kondo wa tungaji wao wanawspoteza itakuwaje watungaji wanataka kwa mungu tuwaamini nyinyi ama yeso hamna akili

  • @zaburingeze7576
    @zaburingeze7576 9 років тому

    kah! mchungaji ana sura mbaya kama wewe???

    • @wardoonacademy
      @wardoonacademy 9 років тому

      +zaburi ngeze ,uzuri halisi ni katika moyo, yeye ni kweli mzuri angalia uso wake, unaweza ona mwanga? msichana maskini wewe umapotea.

    • @Truth771
      @Truth771 9 років тому +3

      Huo ndio ukiristo ni chuki kwani sura yako umejipa wewe? ukiristo unawafundisha kumkufuru aliokuumba kakuumba na kupa sura uliokuwanayo bila maombi unapoona mbaya basi unamtoa makosa aliokuumba wewe na yeye, kama unaouwezo zuia kifo kikikujia wakiristo Paulo kakupotezeni anakupelekeni motoni na dini yake ya ukiristo aliouanzisha na yesu haujui ukiristo.

    • @shortcut3816
      @shortcut3816 8 років тому

      zaburi ngeze wewe hujajiumba wala hukutoa kitu kwa mwenyezi Mungu alivyokuumba, unavyosema ni kumshutumu mwenyezi Mungu alimuumba, unaweza kuwa mzuri wa umbile ukaenda motoni kwa mazambi na ukafiri na anaweza ugly akawa mtu wa peponi, mtume Mohammad S.A.W katika hadith إن الله لا ينظر إلى سواريكم لا أجساميكم لاكن ينظر إلى قلوبكم و أعمالكم yaani Mwenyezi Mungu hatazami sura zenu wala miili yenu bali hutazama myoyo (nia zenu) zenu na vitendo vyenu dada yote matusi yanamrejea mwenyewe anayoyatoa ni kama ku.wambia ndugu yake mwana haram akafikiria kamtukana kumbe anamkashfu mama yake kuwa ni mzinifu mind your language

    • @rskiabdala4868
      @rskiabdala4868 6 років тому

      Ww unaejua kuumba mbona hujaumb wko mwenye sura nzur?

  • @natashamash591
    @natashamash591 9 років тому

    i am sure this man has never been a pastor. whoever posted this is only spreading religious malice and hatred with evil motive of course. shindwe kabisa

    • @shortcut3816
      @shortcut3816 8 років тому +1

      Natasha Mash provide your proof

  • @pennystang6065
    @pennystang6065 7 років тому

    Devil agent!

  • @rujainasalumu7966
    @rujainasalumu7966 2 роки тому +1

    Masha Allah

  • @bipopoidris3600
    @bipopoidris3600 9 років тому +1

    Mashaaallah Tabaarakallah... ex.mchungaji kwa kz yk zri

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 Рік тому

    Masha Allah