Afisa Mkuu Dkt. Evanson Kamuri atuhumiwa kwa ufisadi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024
  • Afisa Mkuu mtendaji wa hospitali kuu ya Kenyatta Daktari Evanson Njoroge Kamuri anachunguzwa kwa tuhuma za ufisadi huku tume ya EACC ikizuia akaunti zake za benki. Tume hiyo inachunguza madai ya ufisadi ya mamilioni ya pesa yanayomhusisha Daktari Kamuri akituhumiwa kwa ukiukaji wa utoaji zabuni wa miongoni mwa miradi mingine kile cha usambazaji wa hewa ya oksijeni ya gharama ya shilingi milioni 634

КОМЕНТАРІ • 5

  • @bellaki4392
    @bellaki4392 4 місяці тому

    That's My dermatologist 🥺🥺🥺... horrible!!!

  • @sylvesterchinando8761
    @sylvesterchinando8761 4 місяці тому +1

    Hata Zakayo pia afanyiwe uchunguzi na EACC kuhusu ufisadi, maana yeye ndiye Rais wa wafisadi humu Kenya.

    • @ahmedfeleb4877
      @ahmedfeleb4877 4 місяці тому +1

      si ameendea pesa USA..hzo pesa ni zke

    • @EmmanuelMwenda-cn6ps
      @EmmanuelMwenda-cn6ps 4 місяці тому

      Kibaki apata pesa kupitia kushika mikora na akainua uchumi. Lakini zakayo ni kuedea mamilioni dollars za deni