"WATU WAMEKIMBILIA POLISI HAKUNA MAJIBU - LAZIMA TUKUULIZE RAIS - WATU WANATEKWA" -MANYOTA ALIPUKA..
Вставка
- Опубліковано 8 лис 2024
- "WATU WAMEKIMBILIA POLISI HAKUNA MAJIBU - LAZIMA TUKUULIZE RAIS - WATU WANATEKWA" -MANYOTA ALIPUKA..
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm
Hongera sana Kwa mjadala huu nimefrahia sana kusikiliza
HOJA NI WATU KUTEKWA KUTESWA NA KUUWAWA HIYO NDIO AGENDA UKO SAWA
Intelejensia ya mama nikutafuta umbea kwenye mikutano ya chadema na siyo wauwaji wa watanzania hapa mama kapanic tumuombee pengine ni Roho za waliopotezwa zinaanza kuwagharimu , Mungu azilaze mahala pema peponi Roho mahalim Self , Ben sanane, Magufuri ,na wengineo waliopotea na kuuwawa na damu zao ziendelehe kuwagharimu wausika Amen
Mataifa ya Ulaya na Marekani wanakuwa na sauti kwasababu wao ni wazungu sisi waafrika hamna jipya ni wakoloni tu wanajifanya wanakemea matatizo yetu wakati wao wanafanya mambo ya hovyo hovyo sisi hatuwakemei wameendelea kutengeneza migogoro duniani ili waendelee kuiba rasmali zetu
Balozi ni nchi ndani ya nchi. Balozi ni nchi.