We ni mtumishi wa Mungu kweli kabisa Mungu akutie nguvu nimesikia watumishi wengi sana na kuwafuatilia lkn wewe mzee wangu Mungu akubariki vijana watabadilika kupitia wewe mtumishi wake Mungu akuweke mzee wangu tuombee vijana wako tunakupenda sana safari ya mbinguni iwe yetu sote kama unavyo tamani siku ungependa uhubili wokovu watu waokolewe Mungu mbariki mtumishi janja namkabizi kwenye mikono yako asante Mungu kwa kutupa mtumishi wako
Mie napenda kuongelea hawa watangazaji hawajui kiswahili ni aibu iliyoje kuona mtu anajiita mtangazaji mtanzania na hajui kiswahili hivyo ushauri wangu kwanza kabisa wakajifunze kiswahili kabla ya kukabidhiwa kipaza sauti ahsante
Asante mchungaji uko sawa

Ameeeen !
Mambo mengine tutazidisdwa,,,, 🙏🙏🙏Amen 🇸🇦
Hananja nakukubali sana nando mana mm Sina dini ila namwamini mungu TU naso dini dini ya aino yyte siyamini
❤❤ Thanks Dady..
Full message. .
May GOD give you what YOU deserve 🙏🙏🙏
Amen AMeeeen
Amen🇰🇪
Mie napenda kuongelea hawa watangazaji hawajui kiswahili ni aibu iliyoje kuona mtu anajiita mtangazaji mtanzania na hajui kiswahili hivyo ushauri wangu kwanza kabisa wakajifunze kiswahili kabla ya kukabidhiwa kipaza sauti ahsante
Nipo kenya .na mimi ni muislamu .lkn huyu baba ni mtumishi kweli
Amina sana baba mchungaj
😅😅😅eti kwenye fedha mungu so mlokole ni mjeshiii😂😂😂hananja shikamo nakufuatilia sana
Nimekuelewa Sana. Kila Bata uzeeni, siyo uzeeni unakuwa ombaomba
SAWAAA KAKA !
Amen mchungaji
Mzee saluti sana
Interview nzuri but soundtrack inazengua...
ASANTE WAKATI MWINGINE TUTALIFANYIA KAZI
Namkubali
Huo music unaathiri usikivu. Mi binafsi sihuhitaji.
Hivi waandishi unaposema "heshima yako" ndo salam gan?
Mchungaji 💯✍️
Camera ya tecno
Ameen 🙏
Kimziki kinazinguaaa kimziki cha nini kwenye interview
Tumekupata kaka !
Vizuri mchungaji
Uko vizury jaamaa
ASANTE SANA !
Mnawivu walokore zumarid ni nuru ,kwan yako yapoje mbona walokore mataperi
Et zumarid ndio mwakuona kama taperi,mm nasema kashukiwa na lolo njema, mangapi tunayaona machafu, reo mkuki kwangurue, turipo fikia wanadamu tosha wanawake saiv wanauza uchi azaran, jee nyie watumishi lipi jema kuchafuana ktk madan, mlokore namba moja, mjue2 hukuna binadam anae jua zambi yako wala kujua nafsiyako , jitasimin wewe upo sawa, zumarid soi saizietu huyo yupo juu, kerere zamasiki ndio hizi nawewe unda kanisa unae sema zumarid afai,
🥵
Dogo huo mziki ndo ulipo feli hapo ucnge weka kabisa dogo
Jamani angalieni lokeshen za kumueka hananja uyo ni mtu wa heshima.
yeye ndo alaitaka hiyo location
Mwanahabari hajui matumizi ya L na R ajabu sana
Busara tupu 🙏🏿🙏🏿
Kabisaaaaaa