JIRANI YANGU epsod 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 26

  • @user-qe3rx2ok7z
    @user-qe3rx2ok7z 6 місяців тому +1

    Hii move naipenda sana hainiishi hamu

  • @philipontyulantyula4315
    @philipontyulantyula4315 4 місяці тому +1

    Yaan nimejikuta naipenda sana hii movie nimeipenda sana director na mtunzi kaitendea vizuri .,..tunaomba filam kama hizi zenye kufunza

  • @alimahmud1228
    @alimahmud1228 Рік тому +1

    Wewe mzee Yusuf Wacha kumchezea Allah kumbuka kesho tutarudi Inshallah Wacha kusahau hii Dunia tuna pitaa tu kama walipita manabii hatapia mfano uko ambao ni mfano hai wa friauni Wacha kumtdhihaki Allah huu ni wasia wangu na sio tafadhali sawa Rudi Kwa Allah na uwache huo ujinga na sema ujinga sababu wewe sio mtoto Kwa hio Wacha kabisa huo ushenzi unao fanya na kama uta endelea basi pia sawa ukweli unakosea sana uislam

  • @vffvff6317
    @vffvff6317 7 місяців тому +1

    Manshallah ❤❤❤

  • @marthajohn9120
    @marthajohn9120 2 роки тому +2

    Inaoneka movie nzuri sana na mafundisho ya mazuri

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 Рік тому +1

    Masha Allah movie nzuri nimependa mpaka mavazi mungu awazidishie nyote mlio igiza

  • @shaphaina9941
    @shaphaina9941 Рік тому +1

    Mashallah hongereni washiriki nimejifunza

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Рік тому +1

    Mashaalah napenda mwanaume wakunielekeza ktk dini

  • @biabumwarua2444
    @biabumwarua2444 2 роки тому +2

    Ahsante kutuekea movie za kisilamu

  • @julianamaganga4803
    @julianamaganga4803 2 роки тому +2

    Kwenye ndoa tungekuwa tunaishi hivi mambo yangekuwa🔥🔥🔥🔥🔥

  • @onesmobitangachamsengelwa250
    @onesmobitangachamsengelwa250 Рік тому +1

    Jamani tuwe waumilivu kwenye ndoa zetu ili tuvune mazuri kesho

  • @mwanakombojuma9029
    @mwanakombojuma9029 Рік тому +1

    🥰🥰🥰

  • @hajiaden8891
    @hajiaden8891 Рік тому +1

    So attractive I'm Somali nimependa films yenu ,

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 Рік тому +1

    Kwa yoyote atakae swali akiwa karibu na kioo akikishe amekifunika sio vzr

  • @zamannamusa1794
    @zamannamusa1794 2 роки тому +1

    Zuri sana penda

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому +2

    Mashallah ❤️
    Ila kwenye swala tunakosea wengi

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 Рік тому +3

    YYAANI MZEE YUSUFU MAMBO UNAYO ONGEAA NA KISHA UMELUDI MJINI MTIHANI TENA MSIBA MKUBWA MUNGU AKUSAMEHE UJUI ULITENDALO

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Рік тому +1

    Kutawadha hakuna shida unaweza pokea hata salam jwenye swala ndo haiswihi

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Рік тому +2

    Mbona coment ndogo mvi nzuri yenye mafunzo watu tunapenda magorofa na mapenzi

  • @Stanbul.Y
    @Stanbul.Y 2 роки тому +4

    MashaAllah nzuri mno
    Huo msikiti uko wapi na unaitwaje?

    • @mquraishfilm
      @mquraishfilm  2 роки тому +3

      Upo magomen msikiti wa kichangani

    • @amiribuja9317
      @amiribuja9317 Рік тому +1

      @@mquraishfilmnaona la kazi imependwa kak