i remember nilikujua na huu wimbo wa nigange,,na kutoka hiyo siku nimekuwa your biggest fan,,I listen to your songs each and every passing moment,,and now comes this utanishangaza',God bless this lady for me,,I love her songs endlessly... #Munguatanishangaza# Siku moja..naisubiri kwa mno..lots of love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
5-05-2022..... Amenishangaza huyu Mungu baada ya muda mrefu wa miaka mingi ya machozi. Wapendwa msife moyo endelea kumtumainia Huyu Mungu ,siku moja mtatoa ushuhuda kuwa amekushanga na kukumbuka ka mimi. Asante Madam kwa huu wimbo Baraka tele...
Kuna siku atanishangaza hallelujah powerful powerful message mungu wanyamazishwe maadui zangu wimbo Mzuri sana mtumishi wa mungu mungu akubariki zaidi am blessed 🙏🏻🙏🏻🧎♂️🧎♂️🔥🇰🇪🇰🇪
I'm from watakutafuta, I'm now here "mungu wangu ni mkuu kuliko mpango yenu, Kuna siku atanishangaza" in my business n my salvation, n my life Wil change forever
Another hit from our beloved mum.... can't get enough with your songs mamaa'..."Enyewe Kuna siku atanishangaza....be blessed mum with your songs of encouragement
Nimeiona siku yenyewe baada ya miaka 17 year's of tears 😢 ....Glory to God. Beloved who ever is down ,crying, not knowing what he or she will do , trust God he will definitely come to wipe your tears.
Nyimbo zako ni baraka kila ninaposikiza huwa na furahia ,,, ' huyu mungu wa ibrahimu atanishangaza kweli inakuja ,,naingoja ,,' may God bless you for ur work my inspiration 🙏 ❤ love from Kenya
Nashangaa mbona watu hawafikishi million views kwa such like songs.but ingekua secular in a day 1m .May God locate them where they are.my spiritual mum barikiwa sana.Naamini kuna cku mungu atanishangaza
How I pray God to gave mi search a spriti in u mama u kind a person ama gospel singer I would like to b ur talented mama ❤ Mungu naafiche kipawa ambacho aliweka dani yako
Mummy😍😍😍nakupenda sana mum, i met you on tiktok nkapenda nyimbo zako..nlikua napitia mengi i was almost giving up lakini nyimbo zako zilinipa nguvu sana..barikiwa mama yangu🙏🙏🙏
It's a wonderful song momaa,, May God bless you abundantly so that you can minister to the coming generation 🙏 you songs are just but a blessing to me🙏
Your daughter following your great steps mum..Mungu ni Mkuuu.. Kuna Siku atanishangazaaa naisubiriaa Siku hiyo🙏🙏
Amina
Am waiting for that great day mungu atakapo nipa kicheko changu I believe it's coming God bless you mummy we love you sana
Amen
🎉🎉🎉,,,,Kuna siku Atanishangaza,,,,,,🔥🔥🔥
Amen
Mungu kwako sitoki naamini iko siku marafiki wamemicheka nkunidharau lakini Imani yangu baba ipo kwako
i remember nilikujua na huu wimbo wa nigange,,na kutoka hiyo siku nimekuwa your biggest fan,,I listen to your songs each and every passing moment,,and now comes this utanishangaza',God bless this lady for me,,I love her songs endlessly...
#Munguatanishangaza# Siku moja..naisubiri kwa mno..lots of love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amina shukrani sana
Ninayoyapitia Baba anajua kuna siku atanishangaza, nimebarikiwa sana na wimbo huu mamaa Mungu azidi kukutumia kutuhubiria kwa nyimbo zako🙏
Shukrani
5-05-2022.....
Amenishangaza huyu Mungu baada ya muda mrefu wa miaka mingi ya machozi. Wapendwa msife moyo endelea kumtumainia Huyu Mungu ,siku moja mtatoa ushuhuda kuwa amekushanga na kukumbuka ka mimi. Asante Madam kwa huu wimbo Baraka tele...
Barikiwa sana
Kuna siku atanishangaza wau barikiwa mama love your songs
Thanks
Kuna siku atanishangaza hallelujah powerful powerful message mungu wanyamazishwe maadui zangu wimbo Mzuri sana mtumishi wa mungu mungu akubariki zaidi am blessed 🙏🏻🙏🏻🧎♂️🧎♂️🔥🇰🇪🇰🇪
Amina
Aaamen
ua-cam.com/video/zU1XJB6APRs/v-deo.html
Kuna siku Mungu wangu atanishangaza🥰🥰 ,,, powerful 🔥🔥🔥
Thanks
Woow Woow, hakika kuna siku atanishangaza, very powerful song, this side of Kenya we love you so much mom, more blessings 🥰
Thanks much
Barikiwa sana mummy,kwa hakika huyu baba can not fail you, Amen 🙏
I have nothing to say except thanking Lord for being blessed into our life.God bless you abundantly and uplift you mum
Amen
Nashukuru mungu kwa maana mipango ya mungu ni kubwa..mipango ya mibaya imeshidwa..baba atanishagaza barikiwa .Am blessed in Mombasa Kenya
Amen
Indeed since I discovered vaileth mwaisumo songs they have really made me a humble person,go go mwaisumo to higher level,God favour be upon you
Amina
I'm from watakutafuta, I'm now here "mungu wangu ni mkuu kuliko mpango yenu, Kuna siku atanishangaza" in my business n my salvation, n my life Wil change forever
Amina
Another hit from our beloved mum.... can't get enough with your songs mamaa'..."Enyewe Kuna siku atanishangaza....be blessed mum with your songs of encouragement
Thanks
Nzuri sana neema ya Mungu itushukie. Asante wimbo mtamu
Amen 🙏🙏🙏 Baba Hakika nakusubiri najua Kuna siku utanishangaza 😭😭😭😭Barikiwa sana mum Kwa WIMBO wakutia moyo
Amen dada hangu nyimbo zako sinanifundisha mengi nakunitia nguvu❤❤❤🙏🙏
Halleluyah kuna siku huyu yesu atanishangaza.
Barikiwa saana
Amina
Ninayopitia baba anayajua kuna siku atanishangaza. Amen 🙏 Amen 🙏 Amen 🙏
Amina
Nimeiona siku yenyewe baada ya miaka 17 year's of tears 😢 ....Glory to God.
Beloved who ever is down ,crying, not knowing what he or she will do , trust God he will definitely come to wipe your tears.
Amina
Amen he is God 🙏🏿
Can't get enough of this song!🔥🔥 more grace woman of God..... loads of love💞 from 🇰🇪Kenya 🇰🇪
Thanks
Kwa kweli Amekushangaza! Wakati wako ndio huu #nimimi ni mimi, NI mimi ❣️🇰🇪❣️
ni Mimi
🙏kuna siku naamini Utanishangaza Baba wa Mbinguni maana wewe ndie Baba wa yatima na Wanyonge
Lazima ningeutafuta huu wimbo.....barikiwa saana
Kuna siku atanishangaza. Ahsante my wii, Ubarikiwe Sana, nyimbo zako zinazidi kunibariki na kunitia nguvu. Ipo siku nitashuhudia
Amina my wii
Amina mwaisumo najua piamimi ipo siku atanishangaza mungu wangu
One of my favourite songs that blesses my soul.indeed you are a blessing to many if us going through alot in life
Amen
Baba wangeci tiktoker kuja hapa... umefanya nijue hu wimbo.,.,naupenda
Glory to God ,,ata mmi Kuna siku atanishangaza ,,Nina imani
Amina
Hallelujah ..si niseme tu napenda pale unavyocheka ukijua Mungu wako ni mkuu atakushangaza. I love your prophetic songs..
Thanks
Amen amen amen 🥰🥰🥰 kuna siku atanishangasa woow nyimbo zako 🔥🔥🔥🔥
Tupo pamoja kuna nani mwingine zaidi ya Vaileth,nampenda namkubali mno,Mungu azidi kumuinua mama yangu huyu🥰
Shukrani sana mpenzi
Mungu akupqriki mama .nyimbo zako sinanipa amani .naskia poa sna nkisikiliza❤
Amina hipo siku,siku yaja na mungu atanishangaza na Mimi nitakua ushuuda kwa mataifa..mungu akubariki na akuzidishie mammy
mlimisukuma niaguke 🥰🥰🥰🥰🥰
mungu wangu ni mkuu
Vaileth sioni hii wimbo tiktok
waiting...
Thanks much
Amen Amen💙💙🙏🙏🙏🙏...Namsubiria
Amina
👏👏👏👏❤❤❤🇰🇪💖🙌amen kuna siku atanishangaza🙏barikiwa sana Dada yetu kazi nzuri sana,
Shukrani sana
Nangoja hyo cku, na naamini n hivi karibuni baba anaenda kunishangaza, your songs are really touching my soul at this trying moment, be blessed mama
Ameen Mumm🙏🙏 mungu wangu ni mkuu kuliko mipango yenu ,,Kuna siku atanishangaza I love you Mumm , more blessing Mumm 🙏🙏🙏🙌🥰🥰🥰🥰
Amina
Tupo tupo Mungu ni mkuu sana kuna siku atanishangaza,nakupenda sana Mungu wangu kuliko kitu chochote
Amina
Be blessed mummy ,,,yaa nina Imani 🙏 Kuna siku atashangaza ooh Lord 🙏🙏🙏
Amina
Nilichunga akwahamu congregation my sister.
Umenibariki sana, wimbo mzuri umebarikiwa sauti nzuri HAKIKA MUNGU AMEANZA KUNISHANGAZA TANGU MWISHO WA MWEZI WA TATU 2023 NAUONA MKONO WA MUNGU
Amen
Wow wow barikiwa sana
Kweli ninayo matumaini kwamba Kuna siku atanishanga
Hallelujah # Team vaileth Mwaisumo
Amina
Waiting from Kenya,tutembelee Kenya mum naweza taka Sana kukutana na wewe
Sawa🙏🏼
Woooow great work ,this song uplifts me knowing one day God will do miracles in my life🙏🙏🙏🙏
Amina
Kuna siku atanishangaza
Amina
@@vailethmwaisumo nisaidie mawasiliano yako Dada
Hakika Kuna siku atanishangaza!.ubarikie mama kwa huu wimbo!.
Amina
Imani yangu Iko kwako Baba...Kuna siku atanishangaza🙏🙏🙏
Amina
Beautiful mom nyimbo zako zote zimebeba ujumbe mzito sana mama stay blessed mom una sauti tamu sana mpenz
Shukrani sana
Nakupa 95% nyimbo zako zote super hit song mungu akuzidishie
Amina
Oooh my God I can't stop following you kila wakati unanitia moyo mummy
Najua kuna siku utanishangaza na mume wangu 🙏
Amina
Kuna atanishangaza Mungu wangu,,,,,Yarab nizidishie subra 🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amina
Nyimbo zako ni baraka kila ninaposikiza huwa na furahia ,,, ' huyu mungu wa ibrahimu atanishangaza kweli inakuja ,,naingoja ,,' may God bless you for ur work my inspiration 🙏 ❤ love from Kenya
Thanks
Nashangaa mbona watu hawafikishi million views kwa such like songs.but ingekua secular in a day 1m .May God locate them where they are.my spiritual mum barikiwa sana.Naamini kuna cku mungu atanishangaza
Amen
Amen hallelujah a song with a beautiful smile. God bless you more Mummy 🙌🙌🙌
Thanks
Eeh Mungu wangu nasubiri unishangaze piya. Barikiwa saaaaana tena saaaaaaaaana 🔥🔥🔥
Amina
Hakika mtumishi wa Mungu unanijenga sana na hii injili yako
Amina Mungu wangu ni mkubwa ,kuna siku atanishangaza ,wimbo mzuri sana.God bless you
Thanks
Waooooooooooo MUNGU WETU ni mkuu mnoooo barikiwa Dada vailet
Shukrani sana
How I pray God to gave mi search a spriti in u mama u kind a person ama gospel singer I would like to b ur talented mama ❤ Mungu naafiche kipawa ambacho aliweka dani yako
Amen......mama nyimbo xako naxipenda kweli siku hiyo naisubiri
Amina
Kuna siku atanishangaza am waiting for that day God 🙏🙏 am blessed with your songs🥰🥰
Thanks
Ameen wa kwetu unazidi kwenda viwango vya juu zaidi Mungu azidi kukutumia zaidi.
Shukrani
I will never go tired of waiting for God will surprise me🙏🙏 u do bless me mommy
Amina
Nowadays men are saved kitambo wa only ladies mungu yupo... Treasure Him even me was, lost my gf changed to follow jesus or tuachane
I love oll your song there so encouraging much love my God bless you
Ni kweli mungu ni mkuu🙏🙏good songs 🥰🥰barikiwa
Amina
Mummy😍😍😍nakupenda sana mum, i met you on tiktok nkapenda nyimbo zako..nlikua napitia mengi i was almost giving up lakini nyimbo zako zilinipa nguvu sana..barikiwa mama yangu🙏🙏🙏
Shukrani sana mpendwa wangu
Wow hakika kuna siku atanishangaza na si mbali ni hivi karibuni....your voice blesses me🙏🙏🙏
Thanks
Yaah kweli kuna siku atanishangaza,,barikiwa mummy ♥
Amina
Unajua kututia moyo my wangu Mungu atafanyie wepesi wajina sister 🤲🙏🥰
Amina
Tutangojea Mungu atushangaze kesho 3pm......Neema ya bwana iwe nawe Dada mwaisumo ❤❤❤❤
Thanks much
Mungu akubariki sana Dada yangu kwa nyimbo zako ambazo zimekuwa kwangu ni Baraka
Amina
Funga midomo ya watu ,,Mungu najua kuna siku utanishangaza kwa maisha yangu,,mum violet Mungu akubariki kw nyimbo zako🤲🙏
Amina
Barikiwa Sana ujumbe mzuri mungu anatupenda na anatupigania
Amen
Waiting for that day ..for now nimefanyiwa operation mbili in one week but mungu atanishangaza kwa ninayo yapitia ... hallelujah 🙏🙏🙏🙏🙏💕💕💕💕💕
Sauti yaupako imejaa upako.nyimbo nzuri Sana
Shukrani sana
Nice song.ipo siku naingoja kwa jina la yesu.
Amina
Amen🙏ipo siku atanishangaza,,,, be blessed mamaa
Amina
Amen nasuburi siku yangu I know my God never disappoint barikiwa sana mum love you more
Shukrani sana
Dada hongera saaana nimekupenda mno Kwa huduma nzuriii
Shukrani sana
Wow wow what a nice song nimebarikiwa kabsaa be blessed mum uinuliwe na kuongezewa miaka uzidi kutubariki naingoja yangu siku pia Mungu atanishangaza
Amen
Barikiwa dada nyimbo zako zabariliki sana kweli ipo siku mungu atanishangaza
Amina
Jaman nataman kufanya wimbo na wewe dada Lau unganiruhusu
It's a wonderful song momaa,, May God bless you abundantly so that you can minister to the coming generation 🙏 you songs are just but a blessing to me🙏
Amina
@@vailethmwaisumo 🙌
Another inspiring song thank you Mama you're a blessing
Kwa kweli Mungu wangu ni mkuu
Amina
Hongera madam kwa kazi nakupenda sana nyimbo zako zinaujumbe mzuri
Shukrani
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu.... Napenda sana uimbaji wako, na nabarikiwaga sana na nyimbo zako... Naingoja siku ya kishangazwa kwangu
Amina
Kunasiku atanishangaza huyu Yesu,may God bless you mummy for releasing this msg to the broken heart,kwa kweli Ni wimbo mzuri
Amina
Baraka za Mungu zikufuate dada
Barikiwa sana mama I love your song zinanitia ngufu sana
Shukrani
Amen mungu azidi kukuinua maana yeye Ni baba wa wote🙏
Amina
Nice song 🌹barikiwa dada 🙏🙏
Shukrani
I love all of your messages thank you Madam for the blessing song , Nakupenda sana and all of your Music #Vaileth Mwaisumo
Thanks much
Kuna siku atanishangaza huyu Yesu 🙏
Its really a blessing song..atanishangaza inanitia ujasiri sana...mungu mwenye neema akuzifidishie mummy
Amina
Amen kuna siku atanishangaza,namsubiria Baba
Amen
Nakupenda bule mim, yaani dah mungu akubariki xana
Shukrani sana