Shalom Vine Singers-NATAKA NIMJUE YESU (OFFICIAL AUDIO GOSPEL WIMBO WA WOKOVU)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Nyimbo hizi za WOKOVU zinazotumika katika kanisa la Fpct hapa nchini Tanzania pamoja na makanisa mengine, zimerekodiwa na kwaya ya Shalom Vine Choir toka kanisa la Fpct Shalom Temple lililopo wilaya ya Kahama katika mkoa wa Shinyanga.
    *****************
    Katibu wa Kwaya
    John Theodory - 0763773796

КОМЕНТАРІ • 9