Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Wakwanza mimi hapa nipeni maua yangu boy from Msumbiji 🇲🇿🔥🔥🔥
Chukuwa ayo
Kwakweli violla wewe simba dike,ume mfunza paul maana ya love ❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Wakaanza jamen big up kwa profesa madebe❤
Movie hii n nzuri n inamafunzo
Madebe muvi nzuri nakubali arakati
Huyu violla niatari sana,kanifurahiyi sasa 🎉🎉💓💓💓💓
Huyu aviola lips zake mmeziona jaman mmmh
Umetisha sana madebe kazi hii sio powa ayo maneno ulio yapangilia humu sijuw unayatoaga wapi mana kah
Kazi poa san pia nawapenda san❤
Jaman episode ya kumi mwendelezo vp
Mdundo ninzuri sana inamafunzo ngambo zote❤
Safi sana
Nawapenda sanaaa na kaz nzur sanaa❤❤❤
Kazi nzuri sana
Nija na brater dolegumba mbonawamechelewa ,tukonawasubiri toka drc naitwa tito watito carlos
Nimewahi leo jmn😁😁😁
Yani nnaguraha Sana kumuona viola akicheza angle Anazo zipenda yaani viola anainjoy sana❤❤❤🎉
kutoka mkoa wa Lindi wilaya ya kilwaNimepota hapa 🎉🎉🎉🎉
❤❤ mbona mm nachelewa kila siku mdundoooo nomaaa
Kazi safi, love from Nairobi, Kenya🇰🇪
Jmn huyo alokaa karibu na madebe mbona macho yake yanatisha kiini kama jini jmn
violaaaa nakukubali dadaaa
Nimewahi mnoo sana
Mke wamadebe htari
Uyu mwanamke mbn wa ovyo lkn ata km mtu umpendi cio kwa ivo😅
Mafundi cherehani wanafaidi😂😂😂
Mara nyingi usi ya amini maneno ya mutu,mzoeye kwanza ujuwe matendo yake.
nice series. glad am watching
Hii Kali sana
Mambo yote ni huku kwenye mdundo tunaburudika
Poa sn
ipo saw imejipnga vzur sn
Nice 💯💯💯
Viola ana viswaili kweli vya mafumbo
Na inadunda kweli kweli 😂😂😂
1
Afazali saiv mna upload halaka ya pili tulisubili zipite siku mbili😢😢😢
Madebe hiyo kazi yakupima ngumu😂😂😂
Mshumaa nimemmiss mtoto mwanamme au imeisha
bado inaendelea
Tumetoka kwa single mama tumekuja kwa mdundo
Nawakubali ❤😂😂
Viola kiboko kwel
Viola aliekushauri uvae hili wigi Pepo ataisikia tu 😅😅
Madebe chanuo ako wap
😢😢
Huyo dada hayo macho ni yake au kabandika lenz😮kama. Kabandika atoe kama ni yake bas Sawa 🙏
nilitaka kuuliza nkaona ntaaribu filam
Kalemaa macho yanamagele
❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤😂😂
14:01
🎉🎉🎉
Nyimbo baruti nini
❤❤❤👏👏
Mr madembe wanakazi wanaotia story kwenye kazi yako apo😂
Kazi iendelee waungwana mko juu sana , nauliza vp mshumaa au umezima?
bado uja zima unaendelea
Asante
😅😅😅😅😅Umeisha😅
Mshumaa nd umeixha au?

kutoka mkoa wa Lindi wilaya ya kilwa
Nimepota hapa 🎉🎉🎉🎉