KUTOKA KUWA BANDA LA KUKU MPAKA KUWA NYUMBA YA KISASA (CHUMBA,JIKO NA CHOO)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 22

  • @avelinafurahaoisso5491
    @avelinafurahaoisso5491 3 місяці тому +6

    Sema ni kaka kutojibu sms inaumiza au basi hata like tujue tuko pamoja kuliko kukaa kimya haki inaumaaaaa

    • @saumuabdallah198
      @saumuabdallah198 3 місяці тому

      ananikwaza hapo2..🤦‍♀️🤦‍♀️ na hata umwambie wala hajirekebish

    • @mycmeranyswai7957
      @mycmeranyswai7957 3 місяці тому

      ndgu nenda whtsup anajibu

    • @antonimwamahonje
      @antonimwamahonje 3 місяці тому

      Hajibu

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 2 місяці тому

      ​@@mycmeranyswai7957 Nina mwezi wa 3 huu huko WhatsApp hajajibu sms yng sasa sijui kuna VIP anawajibu😂

  • @AzeezaAzuz
    @AzeezaAzuz 2 місяці тому

    Nimependa sanaaa hii ramani

  • @lushermoosa8906
    @lushermoosa8906 3 місяці тому

    Nimependa sana. Ninasehemu yangu kama vipi tuonge

  • @AbdullahNassor
    @AbdullahNassor 3 місяці тому

    Siku nyingi sana nilitamani kuona mfumo wako wa kuezeka hiden roof leo baada ya kutuonesha hii nmefurah sana
    Kazi nzuri na ya ukakika

  • @Hashim-p4d
    @Hashim-p4d 3 місяці тому

    Zaraau sana unaita bandaa na inastiri wee unafkiri hiyo bandaa imelea watoto wangapi hapo 😢kibrii mbayaa

  • @fanni-ck6do
    @fanni-ck6do 3 місяці тому

    madirisha ya grill mauwa yake mazuri roof iko vizuri kipotable flan hivi

  • @nellyjuju5325
    @nellyjuju5325 3 місяці тому

    Panda baba usivunjike TU Bado kwangu haujamaliza😂😂😂😂

  • @zuuomar4657
    @zuuomar4657 3 місяці тому

    Dirisha la jikoni mbona zimefika chini sana; sehemu ingesaidia kuweka countertop

  • @MwasilahaSadi
    @MwasilahaSadi 3 місяці тому

    Bajet ya kile kigorofa boss

  • @deodathsilayo3639
    @deodathsilayo3639 2 місяці тому

    Tuwelee na budget fundi wetu tutashukusmru sana na utatuhamasisha sama ss wapambanaji wadogo wadogo

  • @AzeezaAzuz
    @AzeezaAzuz 2 місяці тому +1

    Hii milango Bei gan ,naomba namba Yako sbb nimefikia hatua ya kupaua tyr

  • @MohamedMohames-if9dm
    @MohamedMohames-if9dm 3 місяці тому

    Mr house hiyo milango nibei gani nahitaji

  • @marysiasawaki3698
    @marysiasawaki3698 3 місяці тому +1

    Kaka kama hii imegharimu bei gani?

  • @ajsmainde5138
    @ajsmainde5138 3 місяці тому

    google pixel ngapi hiyo...?😂

  • @AzeezaAzuz
    @AzeezaAzuz 2 місяці тому

    Hii milango Bei gan ,naomba namba Yako sbb nimefikia hatua ya kupaua tyr

  • @AzeezaAzuz
    @AzeezaAzuz 2 місяці тому

    Hii milango Bei gan ,naomba namba Yako sbb nimefikia hatua ya kupaua tyr

    • @hp2623
      @hp2623 23 дні тому

      Ni 280000 hadi 270000