KIDENSA MC WASANII WALITIA KIPINGAMIZI,NILIKODISHIWA HADI PC,KONTAWA NDANI YA SINGELI .
Вставка
- Опубліковано 9 вер 2024
- msaniii aliyefanya anatrend mjini hapa kwa uwezo wa ku swich mistari ya hiphop kwenye singeli huyu hapa.
@Harmonize255 @itsdvoice @koalakontrol @kontawa7342 @fidovato @Phina_ @26kipaji @fulltimefilmmaker @simbasctanzania255 @YoungAfricansSCTV @bisaeevlogs520 @DizzimOnline
Nakubali mitoto ya morogoro kaulimbiu unaweza nakutaka displini
Nakubali kasanga mojaaaa
Naturalisation kasanga moja iyoooo
Ashikwee mkono
Anajua sana mwamba akija Dom lazima niende kwenye show
tuko pamoja wakazi wa dom
Uyo familia anajua mzee kufukuza kunguru
Mwamba anajua mpaka anakera namkubali sana🔥🔥🙌
Huyu kamaa anakitu kikubwa xn keep it up br
oyaa ukuu dar live yakee inatembeaa kilaa boda bodaa ngomaa yakee tuu uyo mwambaaaaaaaa oyaa nambaa zake muhimu
Unakubarika sana uku ,ruvuma tunduru kidesa mc
ruvuma ,tunduruuu tukoo pamojaa mdau
nakubali xana kidesaaa
Anajuaa
Uyu jama anajua
Kidensa mc oyaweee unajua
Kidensa mtu mmbaya❤❤
Kidensa uko poa Sana fanya uje bongo
Mm siping apo saf
Tabora kaliua tar 21 mwenge upo kwe2 kidensa ukuje tunaham na vibe lako maana nimooto
Oya from song city songea 1 mwamba namkubali kinoma yani
Tuko pamoja kaka
Oya kaka wa nyumbani unanikosha atar uspoe
tupe namba zake ...tunataka kumpaa kazii!!!!
0756949139 mpigiee huyu jamaa yuko karibuu naye zaidii
oky sawaa
Oy kidensa nakukubali mwamba