SHK.YUSUF ABDI MAULIDI NA UZAO WA MTUME S.A.W TUSIPINGE KILA JAMBO HUU NI UTUKUFU NA BAHATI KWETU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • #riyadhTvZnz #zanzibar
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / riyadhtvznz
    FACEBOOK: / riyadhtvonlineznz
    TIKTOK: / riyadhtvonlineznz
    UA-cam: www.youtube.co...

КОМЕНТАРІ • 23

  • @alisalum8908
    @alisalum8908 День тому +1

    Shukran Shekhe Usie kiburi Allah Akuhifadhi

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja День тому

    Masha allah kwa mawaezaa yakoo

  • @AminaRashid-m7m
    @AminaRashid-m7m 11 годин тому

    Hawaathiriki hao Shekh..eti kweli tusimkumbuke na kuadhimisha acheni khiyana hizo ni raha .kama pana shida semeni tu msichanganyike na wanawake msipike chakula kikamwagwa semen hayo lkn cyo tusisome maulid.tanalipa umuhimu kwangu kila Alhamis nasoma maulid na wanangu hongera shekh

  • @HAJIABDALA-g8e
    @HAJIABDALA-g8e День тому

    Shekhe mche Allah I na maana mtume alisahau kutufundisha hii unayo dai ni neema

    • @AminaRashid-m7m
      @AminaRashid-m7m 11 годин тому

      Mashindano ya qur Ani.Watu wakashindana Kwa Zawadi vp mtume kafundisha hvyo..Hili jambo mnalipinga Ili vizazi vijavyo vsimjue mtume

  • @MuniraRashid-sx3up
    @MuniraRashid-sx3up День тому

    Sheikh sema ukweli wacha kujipendekeza!!!

  • @S.SWarfa
    @S.SWarfa 15 годин тому

    Sherehe za Maulidi ni mila ya wanasara. Mtume SAW ni kiigizo chetu sasa maulidi mlito wapi yeye hakufanya. Habari ya Mtume SAW inatakiwa
    kuongelewa kila mara ili watu wamjuwe na kumfuata

    • @AminaRashid-m7m
      @AminaRashid-m7m 11 годин тому

      Hata mashindano ya qur an ya kutunzana Zawadi cyo destur ya mtume..Hvyo tufanye kher tuwezayo.we unamsifu Baba au mama yko Kwa kumsifu mtume iwe shida.Rehma za Allah ni Pana.

  • @SadickMussa-g6h
    @SadickMussa-g6h День тому

    Maswahaba na watu wema waliotangulia kwa ujumla wao hawakuijua hii neema au hawakuziona hizo aya zinazohimiza watu kumfanyia Mtume sherehe ya Mauridi (birthday)

    • @AminaRashid-m7m
      @AminaRashid-m7m 11 годин тому

      Kwani hayo mashindani ya qur an yanayishindanishwa watu wakapewa Zawadi mtumi alitufundisha pia

    • @AminaRashid-m7m
      @AminaRashid-m7m 11 годин тому

      Zote zinakuwa ni Ibada hata birthday kama nia yako ni shukran Kwa Allah kama huwez Fanya Ibada yko na wao waachie Ibada zao tuje kutana Kwa mungu na ikhlaswi zetu

  • @AminaRashid-m7m
    @AminaRashid-m7m 11 годин тому

    Shida yetu tunaopenda kukosoana mkamilifu ni Allah kwani dini ipo kwenye maulid tu majumban kwenu kwan kuzur kitabia..Ukiishi kwa kuangalia watu kasoro tu zawadi ujue kasoro kubwa wewe

  • @AminaRashid-m7m
    @AminaRashid-m7m 11 годин тому

    Rehma za Allah ni pana,punguzeni kuangusha jitihada za dini..unasoma maulid soma hutaki kumsifu mtume basi kasifuni wake na waume zetu cye tunamsifia ili kizazi chetu kijue alikuwepo Muhammad bin Abdillah na alikuwa na sifa hzo..tena kila cku twamsifu kila mwaka tunaadhimisha tu ulimwengu umtambue..nyie shindanisheni qur an cye twamsifu tutalipwa sote kwa nia zetuu

  • @babuumohd4290
    @babuumohd4290 2 дні тому +3

    Shekhe Rasoul tukifata nyayo zake inatosha kua tumemkumbuka na kumfwata. Tatizo mnatafuta njia ya kuhalalisha sherehe za kuzaliwa kwa mtume. Hata Allah Sub'hanahuataala anasema ikiwa sisi twampenda Allah basi tumfate tume. Sasa tusikusanyane kumtaja mtume wakati hatumfati huu ni Ujaahil

    • @AminaRashid-m7m
      @AminaRashid-m7m 11 годин тому

      Hizo ni khiyana kama khiyana nyengine jichambue usifuate tu mkumbo

  • @kusweymohamed
    @kusweymohamed День тому

    Hiya tukae mpaka mfungo sita ndio tumkumbuke mtume dndio tutakua.twampenda Kisha ww umekuja juzi mbona hachujakusikia abawa jitokeze wazi ukohuru

    • @AminaRashid-m7m
      @AminaRashid-m7m 11 годин тому

      Tunamkumbuka Kila Cku tunaadhimisha tu,je tukae mwaka HADI mwaka ndyo tusome qur an Kwa mashindano

    • @ruzatuntajadin1274
      @ruzatuntajadin1274 11 годин тому

      Kila siku Na kila Alkhamici

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 2 дні тому

    ILA MAADHIMISHO YA muhamad abdul wahabi hayo ni sawa tu kwenu,
    Balangulu NYIE

    • @abuuuyaynah8801
      @abuuuyaynah8801 День тому

      Umemezeshwa uongo na wewe ukabeba kumbu kumbu yake itakuwa tarehe ngapi mwezi gani kama mkweli umewasikia waongo mfano wako nawe wasema kama kasuku

    • @HAJIABDALA-g8e
      @HAJIABDALA-g8e День тому

      Umeleweshwa bid,aa ww umeyaskia wp maadhimisho yaa Abdul wahaab

  • @RashidNassor-w2j
    @RashidNassor-w2j 11 годин тому

    Maazimisho ya muhmad bn alwahb yanafaa lkn maazimisho ya mtume hayfai jamn hivyo sivichekesh nyinyi mawahabi