Blaza music ni kuburudisha,kufundisha asa kuna mzungu ananyimbo inaitwa Bastard! - F..k Tha kaimba maneno mawil tu nyimbo nzima lakn watu wanaelewa kinoma au OMUNYE,PRAKATATUMBA,WINDEK
Mimi sijakuelewa mwamba mbona kama umetoka nje ya idea video na nyimbo vitu viwili tofauti nilicho tegemea siyo nilicho kiskia. Kimbia tena fatuma tuelewe nini sasa
Oyoooo 🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Respect sholo mwamba mwamba kimbiaa🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃😬😬😬😬😬😬😬umetisha mwamba
Kam unaona ngoma zake kelele nying mara mamamamamamaaa gonga like apa ajui kuimba
Kimbiaa kimbiaa mbioo mbiooo
Oyaaa balaaa hiliii ✊✊✊✊
Kimbia iko motoo kama unaleta uchaw uku kimbia...tu steal waya..sholo mwambaa...kampteni.....
❤❤❤❤
Chezesha mshideedeeee chezesha mshidedeeee wee uchezesha mshededeee
shoro mwamba ww ndoulio nifanya nipende singeri nazikubari sana ngoma zako
A loo weee Aloo tenaaa...wekaa wekaaa bariaaaaa weka
jamaa kila vdeo kavaa *Manga* !!🙌😂😂😂😂😂
Napenda Sana nukigombanag na walabu naangariag hii ngoma inanituwa mawazo
Saf Sana nimeenda hii singer
Nakubali sanahi myaka yote
Oyaaaa mwangu daffiiii booyyy upooo??? 😂😂😂😂😂 Songii la mwakaaa ili mzee
Kama unamkubali gonga like hapa
Mzee geu sarut kwako
Nakubali bro kaz kaz captain 🥶☠💯🤘🙆♀️🧞♂️🏇🏇👣🍻🍾🔊🎶🎼🚬fatumaa sitokusahau maishani mwangu aloh we aloh tena
Nakubali Captain 🇹🇿
Iko sana Sholo jitaidi tu kwenda kimataifa najua unaweza
Yani nyimbo tamu mpaka nasikia nyege nikisikiliza
Ilaaa uu unyama atarii sanaaaa mwamba jeuu
Mi sijawahi kukubali unapiga sana makelele
Mzee wimbo huu umenifanya niwe mshabiki wako beat kuimba video
#Sholoooooo hujawah harbuu ww kiboko yaoooo hapaa hakuna cha #Dullah wala #Mzee__wa__ßwax ww ndio #baba yao
Noma🎉
weeee hongera kwako mshamba hawez kuelewa
Wahuni tunaelewaaa kimbiaaaaa
Daaah enzi za night star
Jabali wameuwa sana iyoo ngoma umeludiya misitali
Huu wimbo umeuiba toka kwa Tumaini Jabari ..Wimbo Unaitwa Fatuma...umepita mule mule..ambamo Thomson aliimba....kama unataka kuusikia nitumie namba yako nikutumie
Wimbo ni tamu lakini Anaharibu mahali anasema Fatima Fatima hapo tu
2024
akimbilie wapi? unatia kelele sana kimbia na fatuma wapi na wapi.
Mimi sijamuelewa kabisa yani 🤣🤣
napenda unavocheza yan
Nakukubali bro
Mziki wa wahuni...,, cjawahi kuukubali
msaga shm
Owa mwamba nakuamin
wekaaaaaaaaaaa !! captain nondo chuma stili waYAAAA bakoraaa mwamba Geu selaaaaaaa
Hakunaga tena mpinzani pumbavu
Safi
Makin
Danilod
Kazi nzuri sana
mwmb geu hii nyimbo umezingua mxee
Mkiskiy singli ndio hiyo changany tu km mseto
Ludi kwenye ubola wako kama getto 💥💥💥
Hahaha me npend icho kiduku jmn
Director onkonko bit linakimbia Kama kimbunga
usimnyang'anye acyee nyang'anyikaaa, respect captain geu
Hapa huliuwa kk
Haujawai kukoseagaaaa
Captain nondo...💪
Shoro Mimi shabiki wako ila hii nyimbo sijakuelewa sababu hujaeleweka umeimba nini kimbia chourus verse fatuma hapana ila Mimi ni shabiki wako
Sio hiyo 2 ata hainaga ushemeji hivyo hivyo
Poa najua mi nimemaanisha ujumbe kwenye chorus mwingine verse nyingine
Tatzo wengne ujuaji mwing xaxa ainaga ushemej kaimb yy au
Jamaa angu somo la kiswahili shulen nahc ulipata 0 sasa kisichoeleweka hapo nn
Blaza music ni kuburudisha,kufundisha asa kuna mzungu ananyimbo inaitwa Bastard! - F..k Tha kaimba maneno mawil tu nyimbo nzima lakn watu wanaelewa kinoma au OMUNYE,PRAKATATUMBA,WINDEK
Nyimbo hii imenifanya niwe mshabik wako
Jaman sholo VP nataka kuimba nifanyaj
Kimbiza aooooooo
Nakubali mwambaa
Sholo my friend...long time
Mwenye singel yakee
oyoooooooooooo oyooooooooooo
Nakukubali sana me❤❤❤
Sana tuuu
danulodi video sholo mwamba geto labibi
umetisha kk
Wanangu wa ts gang tujuane
Huu utakua mnanda sio singeli
kaz kaz mxhamb hawez elewa ataelewa ck nyingneee
Mtu m`bad mwamba geu
jamaa anapiga sana kell cjui ata anaimba nn
🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💥
Respect mwamba
Vp
King of singeli
🔥🔥🔥🔥🔥
Mama mamaa zimekuwa nyingi
Me ndio simuelew
mimi shabiki wako ila kwa hii sijakukubali kabisaa bro kama vipi nunua nyimbo kwa vijana wapo kibao ila kwa hapa atujaona unakimbia wapi
Apa kwli ume Imbaaa Ngoma Tamu
Mzee ameshakwama huyo
Anajua kaz wivu 2 af wengine wanaume mtakua mashoga
♐💥💥
Mazombi yameingia mjin dah kwer maboya lazima wakimbie
Kazi haipo ok makosa mengi sana
Mshikaji simkubali it's my self . hivyo2
Slum Mzee sasa unafanya nini hapa
Nice chanson(song)
Mimi sijakuelewa mwamba mbona kama umetoka nje ya idea video na nyimbo vitu viwili tofauti nilicho tegemea siyo nilicho kiskia. Kimbia tena fatuma tuelewe nini sasa
Kapuyangaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 raha ya goma hili uskize ushakula bange nyingi ndo utaelewa. Alloooo wee, alooo tena
chuma stili wayaaaaaaaaaaa. mwambageu
Kazi nzuri brother
Dh
😂😂😂😂😂😂😂🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴
Asley
Hata cjuw humu ameimba nn
Unajua broo
Captain okonko
💥💥💥💥
Nakubali
Hahahahah hili jamaa hata halijuw kuimba sas huu wimbo ameimba nn? Tena bora hata man fongo ni mkali
Hii kapuyangaaaa
Anayeitendeaga haki singeli
Ni #msagasumu#Dullamakabila
Lkn huyuu jamaa chengaa tuu
Baba hii ngoma nilikua nasubiria video tyu ww Ni captain
Young Fule wasanii wangu awa wa sungr Msaga sumu shoro mwamba meja kunta mzee wa bwax na mfarume ninja na as Mani mnajua xana
Amsha amsha
Wuuuuuuuuuuuuu weka bahaliiiiiiiiiiiyaaaaaaaaaS
usholo onaanza kuyumba
ua-cam.com/video/1qHJn0fdhA0/v-deo.html
Korona KwaKheri Dawa rasmi ya korona gonga juu hapo
Uletewe home kwako.
Danilod