#1# SIKU ZA NUHU A SIKU ZETU SEH 1 ( OFFICIAL VIDEO)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 49

  • @amozmwaz1494
    @amozmwaz1494 2 роки тому +1

    Napenda sana mahubiri yako kwa maana yananitia nguvu katika moyo wangu barikiwa kwa kuleta ukweli huu

    • @jolemerci2155
      @jolemerci2155 Рік тому +1

      Mimi uyu muhubili nikimufata muchana wote hâta usiku mashaka inanitoka yani nakuwa ga salama kwaeneo lolote linalo niusu nanikilala nalala salama bila ndoto yoyote ao ndoto yakutosha sipatagi anakuwaka salama eneo langu lote

  • @fedsonkuyenga8581
    @fedsonkuyenga8581 2 роки тому

    Mungu azidi kukubariki pr nabarikiwa sana na masomo yako hakika kupitia ww sasa nampenda Mungu na nimeshuhudia ukuu wa Mungu ktk maisha yangu

  • @amosmwaz4742
    @amosmwaz4742 2 роки тому

    Aki mungu ukweli mtupu

  • @sifagubandja1589
    @sifagubandja1589 2 роки тому +5

    Yaaani pasta david MUNGU amekutuma tu kwangu kwa mafunzo ,mahubiri yako yananijenga jameni,uonbee watoto wangu piya wamutumiye MUNGU ,na mimi na jamaa yangu yote

  • @elizaphankamando5605
    @elizaphankamando5605 2 роки тому

    Yan wew mchungaji bas tu, Mungu akutangulie uzid kuhubir neno lake, nakupend san

  • @floraflora5717
    @floraflora5717 Рік тому

    Past ata mimi tiari imenipata iyo ugonjwa maana kiumri bàdo lakini najikuta kusau inakuwa seem yamaisha yangu E Mungu niponye

  • @graceesiabia5379
    @graceesiabia5379 Рік тому

    Powerful

  • @haronoboko7671
    @haronoboko7671 2 роки тому

    somo tamu pastor barikiwa sana mungu akubariki sana Amen.

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 2 роки тому

    Mwalimu naomba ufafanusi, yakuwa YESU KRISTO ndiye MUNGU pekeake ama kuna MUNGU Baba pia, kado na YESU KRISTO

  • @merykisilu9946
    @merykisilu9946 2 роки тому +1

    Nakushukuru sana kwa maelezo yko,yananifanyanga kutabasamu kweli ,maana nimekua mpweke muda mrefu sana lkn ww umenifanya nitamani kuishi na kujitabua kweli,naomba number yko poster tafadhari

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 2 роки тому

    AMINA.barikiwa sana mchungaji mmbaga.

  • @ombenimeshake4772
    @ombenimeshake4772 2 роки тому

    Barikiwa sana Mchungaji

  • @MahubiriPrMmbaga
    @MahubiriPrMmbaga  2 роки тому

    Angalia sehem ya pili kwa KUBONYEZA link hii
    ua-cam.com/video/ojCz1iszDT4/v-deo.html

  • @maureenkemei9254
    @maureenkemei9254 2 роки тому

    Asante mchungaji Mungu atusaidie.

  • @michaelymkumbwa4927
    @michaelymkumbwa4927 2 роки тому

    Ubalikiwe mtumishi

  • @victoriajames6190
    @victoriajames6190 2 роки тому

    Mungu atusaidie mana ata ao kuku wakienyeji tunao sema tunakula ukweli pia wanawachoma madawa ili wakuo fasta yani kitu ambacho si feki lamda kule vijijini kabisa kule,dah 😢 MUNGU tusaidie wanawako

  • @linetokuku5390
    @linetokuku5390 2 роки тому

    Amina mtumishi wa MUNGU Barikiwa sana kwa somo la baraka sana

  • @elizabethgodfreytondo3052
    @elizabethgodfreytondo3052 2 роки тому

    Mungu wetu tusamehee na utusaidie kwani maasi yanazidi kuongezeka na tunachukulia kawaida

  • @sophiakinyonto5576
    @sophiakinyonto5576 2 роки тому

    Ubarikiwe sana pastor

  • @dottonsangalufu9530
    @dottonsangalufu9530 2 роки тому +2

    Mmmmh !! Amen! Mungu atusaidie sana nyakati za hatar sana hizi barikiwa sana mtu wa mungu

  • @khaldn7409
    @khaldn7409 2 роки тому

    Nimebarikiwa sana mchungaji barikiwa sana

  • @zelamartinez882
    @zelamartinez882 2 роки тому

    Praise and worship songs

  • @navokisembo
    @navokisembo 2 роки тому

    Ameeen and Ameeen watching from 🇺🇸

  • @roselineombati670
    @roselineombati670 2 роки тому

    Pastor mungu azidi kukuongezea kibali

  • @vianzacharia2112
    @vianzacharia2112 2 роки тому

    Pastor nabarikiwa san

  • @SermonsRoom
    @SermonsRoom 2 роки тому

    Asante pastor

  • @alineriziki6756
    @alineriziki6756 2 роки тому

    mumebarikia ya kutosha

  • @kingranda1055
    @kingranda1055 Рік тому

    Pastor nabarikiwa sana kwa namna ambavyo Mungu anakutumia kutupatia neno la matumaini,
    Ningeomba kama inawezekana,tupatie somo juu ya manefili kiundani zaidi.

  • @barackboniphace6311
    @barackboniphace6311 2 роки тому

    Amen

    • @jjparis936
      @jjparis936 2 роки тому

      Ubarikiwe Sana pastor Mungu azidi kukupa maarifa, umefundisha kitu ambacho tunakiona lakin hatujui maana yake, zamani pale Nyumbani kijijini kulikuwa na mihogo ukipanda unavuna baada ya Miaka miwili sasahiv Zipo mbegu za miezi sita tu unavuna na utofauti wa mbegu zile na sasa nimkukwa Sana, zamani mihogo ilikuwa mkubwa Sana lakin ya sasa ni vidogo dogo umefundisha kitu sahihi Sana.

  • @neemadaudi5716
    @neemadaudi5716 2 роки тому

    🙏 barikiwa pr GMO je kunywa damu ya mnyama mbuzi au ngombe mtu akiwa kapungukiwa damu nayo hii ipoje kibble?

  • @claudinebatamuriza4936
    @claudinebatamuriza4936 2 роки тому

    Amen 🙏🏿

  • @nashonvicent6794
    @nashonvicent6794 2 роки тому +1

    Mchungaj mm nikijana mdogosana napendasana kuenenda ktk haki yamungu nannapendasana nikisikia neno labwana kama hivi huwa nakubali kupata hasala ilituu nisikie neno ila sija mpokea Yesu nikifanya jitihada huwanafelixana naishia kukata tamaa nifanyeje pasta maana akilizangu zinafeli zimefikamwisho

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 2 роки тому +1

      Amini YESU KRISTO aweza yote, na ukiomba lolote kwake atakupa,

  • @patrickkamau7754
    @patrickkamau7754 2 роки тому

    Sasa tufanyeje mhubiri kwa sababu hatuna chakula kingine ila hicho Cha GMo

  • @elizabethsarange5064
    @elizabethsarange5064 2 роки тому

    Be blessed

  • @abelimalifedha1762
    @abelimalifedha1762 2 роки тому

    Ameein

  • @edwinpius2346
    @edwinpius2346 2 роки тому

    🙏🙏🙏

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌

  • @gerryndyamukama9058
    @gerryndyamukama9058 2 роки тому

    mahesabu ya siku na miaka ni simple sana.Siku moja ni masaa24 kwa sababu dunia hujizungusha mara moja katika muhimili wake kwa muda wa masaa 24. nahutumia siku 365 kulizunguka jua katika orbit yake,ndiyo tunaita mwaka. hakuna mtu aliyeamua kupanga hayo mahesabu bali MUNGU pekee aliyeiumba dunia na sayari zote ndiye aliyeweka hizi kanuni.
    pia sehemu ambazo masaa ya mwanga yanakuwa mengi kuzidi masaa ya giza ni kwasababu sehemu hizo ziko karibu na North Pole ya dunia na tunajua kwamba wakati dunia inajizungusha kwenye muhimili wake ndipo usiku na mchana unapatikana.Kipenyo cha dunia kinaenda kinapungua unaposafiri kutoka katikati ya dunia yaani (equator) kuelekea juu au chini,hivyo upokeaji wa mwanga kutoka kwenye jua hakuwezi kulingana kwa sehemu zinazotofautiana kipenyo

  • @ibrahimukikuli2781
    @ibrahimukikuli2781 2 роки тому +1

    Amen

  • @alicesidi9601
    @alicesidi9601 2 роки тому

    Amen 🙏

  • @robardmutisarobard4605
    @robardmutisarobard4605 2 місяці тому

    Amen