WAZIRI MWIGULU ATEMA CHECHE MBELE ya BOSI MPYA wa TRA - ''WANAOTUSEMA WENGINE HAWALIPI HATA KODI''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лип 2024
  • WAZIRI MWIGULU ATEMA CHECHE MBELE ya BOSI MPYA wa TRA - ''WANAOTUSEMA WENGINE HAWALIPI HATA KODI''
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 39

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  23 дні тому

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 23 дні тому +2

    Raisi alisema TRA inawapelekea mahesabu ya miaka 25 iliopita mtindo huo ukome, wakati huu mlikuwa wapi, lakini mwezi wa 6 mwaka huu wengi wamepelekewa madai toka 2005, na huku umelipa tayari, lakini mwisho wa mlipa kodi kutunza risiti miaka 5

  • @arthurmwabulambo1201
    @arthurmwabulambo1201 23 дні тому +2

    Mnakazania kukusanya kodi kutoka kwa wananchi wengi wao maskini lakini hamjali hata kidogo matumizi yake. Wahujumu uchumi na mafisadi wametamalaki kila kona na wanaangaliwa tu. MNA nunua magari ya gharama kubwa mno kwa ajili ya nini wakati huo huo vitoto vyetu vinakaa chini mashuleni, madawa hakuna mahosipitalini, mabarabara mabovu kama nini. It does not make sense at all. Ama kweli sisi in maskini haswa kichwani.. Maskini akipata......

  • @romastasenterprises4447
    @romastasenterprises4447 20 днів тому

    Zikishakusanywa na kwasababu ni hela za wananchi ni vizuri sana pamoja na kazi zote nzuri mnazofanya ila kwenye Afya NHIF mmechemsha. Mliondoa bima ya watoto kua ni mpaka ipitie shuleni!! Na vifurushi hasa za mtu aliejilipia mwenyewe ni changamoto. Hili lazima mtaliona kwenye uchaguzi ujao. Kuna malalamiko ya chinichini kwa kiasi kikubwa

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 23 дні тому +4

    Bado kuna mapato ya haramu, unanua gari dollar 2000 hapa unalipia kwa dollar 3500, unanua kitu dola 5 hapa unalipishwa dola 10,na unakuwa uthibitisho unao umepeleka pesa kulipia benki hapa nchini bado ni changamoto.

    • @veronicalaiser7869
      @veronicalaiser7869 23 дні тому

      Yaani hii ya kununua gari tena used kwa dola 2,000 unalipa kodi kubwa au karibu na hela uliyonunulia inaumiza sana.

  • @karimmunis8302
    @karimmunis8302 23 дні тому +1

    Ni mtanzania yupi asiyelipa koda ikiwa kodi zipo kila mahala .vocha luku

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 24 дні тому

    🎉Haya, amekuja akiwa nadhifu lakini muda mfupi kwa majungu yenu na jinsi mnavyochukia mtu anayefanya vizuri na mwadilifu, mtamlimbikizia madudu, mtatumia uchawi.... ashindwe.

  • @user-oh6pc7zd4s
    @user-oh6pc7zd4s 23 дні тому +1

    Tatizo la Watanzania hawapendi kuchukua risiti kwa sababu hata wakichukua hizo risiti mapato hayo hayafiki serikalini watendaji wanazipiga juuu kwa juuu na hata ikitokezea wakikamatwa hawachukuliwi hatua stahiki raia wakaridhika badala yake wanahamishwa eneo jengine wakapige huko.Sasa nani atakuwa na uchungu wa kudai risiti?Uzalendo wa kweli uanze kwenu nyinyi halafu sisi raia huku tuufuate.Wazungu ni wazelendo wao na raia zao.That's all.

  • @JosephJon-wk6il
    @JosephJon-wk6il 13 днів тому

    Mwigilu mungu anakuona unawatesa watanzania mwizi mkubwa wewe

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 23 дні тому +1

    Umeanza kumwingilia, akuogope unapozipiga pesa zetu,

  • @frenkpastory8512
    @frenkpastory8512 23 дні тому

    Hela ya kodi ya jengo uliyo ongeza unarudishaje

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 23 дні тому

    Kila ufalme una mwisho. Risiti inadaiwa kwa nguvu kutokana na maslahi anayopata mtu kutokana na mapato hayo,lakini kama kila mwaka hatuoni unafuu wowote wa maisha na wapigaji hawaguswi na sheria mnatoa wajibu huo kwa faida gani?! Wakati utafika Mungu atamleta mtu sahihi mtaangaliwa ulinganifu wa mali zenu na vipato vyenu hata mkiwekeza kwa ndugu, majina bandia ama benki za nje zitanuswa tu!

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 23 дні тому

    Wewe siyo muchumi nani ambaye halipi Kodi tozo kwenye simu ukinunua soda mikate chochote mulaji wa mwisho ndie mulipa kodo umesoma wapi

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 24 дні тому +3

    Barabara za Tanzania ni bora kuliko za Rwanda? Za Kenya? Za Botswana? Wadanganye wasiotembea! Huyu jo apenda sifa sana. Kiongozi mzuri ni yule ambaye kila mara anajitathmini na kuona hajafika. Ukiwa na kiongozi anayejisifia tu watarajia nini? Kwa akili yake, Tanzania sasa yaifukuzia Switzerland tu!

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 24 дні тому

      Hizo nchi zote ulizo taja ukiziunganisha ndo unapata ukubwa wa Tanzania

    • @Nedjadist
      @Nedjadist 23 дні тому

      @@mosesnyelo1380 kasome kwanza ndugu yangu badala ya kukimbilia kujibu. Zamani kabla ya internet pengine ungekuwa darasani saa hii. Nenda kaangalie eneo la Botswana lina ukubwa upi. Kisha uje Kenya ni square mita kidogo tu tofauti na Tanzania. Lakini ukubwa au udogo wa nchi una umuhimu gani? Kuna nchi kubwa hazifanyi vizuri, Sudan mfano, na kuna nchi ndogoo hazifanyi vizuri, Burundi, Comoro...

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 23 дні тому +1

    Kodi ina kiwango maalum kulingana na uwezo wa mtu na mtu isiwe mzigo! Kila mtu mwenye nguvu na aongee sana na kuwanyooshea wenzie vidole kwasababu ana upendeleo na kulindwa kwa malengo flani lakini wakati utasema, lazima atakuja kulipa gharama pamoja na kundi lake lote,kama sio wao,watoto wao wayashuhudie.

  • @JamesmalesaMavere
    @JamesmalesaMavere 23 дні тому +2

    Mwigulu ni mwizi

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 23 дні тому

    Wewe nunua Magali ya viongozi na vingolo vya kutisha wanaichi ipo siku tu shule za kata zitatusaidi

  • @samsonsimon3138
    @samsonsimon3138 24 дні тому +2

    Umeaza kutanguliza maneno ili umlainishe huyo mkurugenzi mpya na yy muanze kupiga madili

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 24 дні тому

      Samson watazipiga sanaaaa acha wazipige Mungu atatoa jibu tu

    • @ajmagowaajetha
      @ajmagowaajetha 23 дні тому

      @@margarethpolepole7438 Waziri huyu mbona wanapiga pesa sana ufisadi oyeee 😂😂😂

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba 23 дні тому

    Tunapenda kulipa na tutalia ia viwango havitendi haki, mfano gari aina ya Costa ushuru wa mwaka tumetoka laki sita na poit umefikia milioni moja na point eti kisa inaanzia seat 25 hadi 29

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 23 дні тому

    Waziri aelewe kuwa Pesa yetu imeshuka thamani kwa gharama ya Mtanzania, dollar ilikuwa 1200 leo karibu 2800

  • @renatuspetual2993
    @renatuspetual2993 23 дні тому

    Mh umenena vyema ila tatizo umesahau moja ya tatizo ni hizo sheria kuwa siyo rafiki zinatakiwa kupitiwa upya na kufanyiwa marekebisho ili ziwe rafiki kiutekelezaji

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 23 дні тому

    Wewe Mwigulu unania mbaya kwa wanainchi unataka tutoe kila tulichonacho ili wanainchi wafe au tukishindwa ati tuhamie burundi kwahiyo unajifanya wewe ndiyo mtanganyika peke yake? Mungu alikuweka wewe huko Singida na ndiyo sababu hata sisi tunasehemu yetu. Kwahiyo hatutahama hata inchi moja. Unajiringanisha na huko nyuma kwani watu hawaongezeki? Pili kwani kampuni hajaongezeka? Acha uduni wako.

  • @AnnaMwanakatwe
    @AnnaMwanakatwe 23 дні тому

    Tunakuomba uelewe Mfumo wakodi wa Tanzania hakuna wataalamu

  • @YusufuMalila-b1d
    @YusufuMalila-b1d 23 дні тому

    Maneno ni mazuli na hakuna makosa

  • @abdallahomary515
    @abdallahomary515 24 дні тому

    Kamishina anaweza kua mzuri lakini sasa hao hao mzee ni shida jipu limeotea pabaya haligusiki, labda mpaka lipasuke lenyewe,

    • @saivellybrutally2994
      @saivellybrutally2994 24 дні тому

      Tena kwenye makende kaka ngozi yenyewe ni ngumu sana.... Uku potu hoi😂

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 23 дні тому

    MB zangu hasara

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 24 дні тому

    Huna lolote wajane wanasumbuliwa sana haki za Waume zao fuatilia

  • @saivellybrutally2994
    @saivellybrutally2994 24 дні тому

    Ni chukizo tu

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 24 дні тому

    Uongo mtupu..eti kukusanya kodi halali na kufuata sheria....kama ni hivyo kwa nini Mabalozi wa Marekani, Uingereza, Ujerumani, Canada, Korea ya Kusini.... wamemwandikia Samia wakilalamika mikodi ya kubambikiziwa? Hii ndiyo sababu Samia amemwondoa Kidata, ila hajakuondoa wewe! Sijui umemlisha nini mama wa watu!

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h 24 дні тому

    Wewe msikilize, usihukumu.