@lawrencekameja tunakushukuru pia kwa kuwa nasi ....tunapoifanya kazi hii ya kitume kupitia uimbaji....praying for u uzidi kutunga ... Nyimbo nyingi tamutamu kama hizi
Lyrics.... 0:27 Ni nani anayestahili, kupewa sifa? Ni Mungu mwenye enzi yote, ndiye muumba, Uabudiwe usifiwe, wewe ni mfalme, Utukufu na heshima Bwana, ni vyako mfalme, Asante Mungu wangu mwema, ninashukuru, kwa kunilinda vyema, Ninashukuru*2 Nitaipaza sauti.... Nitangaze matendo yako.... Wewe ni mwanzo na mwisho Ni wa milele...... 1:50 Ni nani atupaye nguvu, pia uzima, Ni Mungu mwenye enzi yote, ndiye muumba, Yeye ni alfa na omega, ni wa milele, Utukufu na heshima bwana, ni vyako mfaalme, Asante Mungu wangu mwema, ninashukuru, kwa kunilinda vyema, Ninashukuru*2 Nitaipaza sauti.... Nitangaze matendo yako.... Wewe ni mwanzo, na mwisho Ni wa milele...... 3:15 Wewe ndiwe Mungu wa kweli, Mungu mwenyezi, Umeumba mbingu na nchi, hufananishwi, Utabaki ni mwenye enzi, utubariki, Utukufu na heshima bwana, ni vyako mfalme, Asante Mungu wangu mwema, ninashukuru, kwa kunilinda vyema, Ninashukuru*2 Nitaipaza sauti.... Nitangaze matendo yako.... Wewe ni mwanzo na mwisho Ni wa milele.
Kazi njema kwa kuipaza na sauti taaaaamu na nyimbo zenye uzia. Kameja sauti yako ni ya tatu, ila hapa waimba kwa sauti ya nne. Au sio? ❤❤❤🎉hongereni saaaana🎉❤❤❤
I love this choir so much, the whole world can come to God because of this because you’re not putting the name of any church. Sang outside a pure place of the motherland 🙏🏾🙏🏾🙏🏾!
Whenever I listen to your song🎶,I have the heavenly feeling,you make us happy,blessed through your songs words.i can't do my best to describe you. Lawrence Kameja & Ray Ufunguo,kama kawaida,you're the best ever. Sending love❤️😘 from Burundi 🇧🇮
Mwenzenu Huwa nazidiwa na mapenzi ya mwenyezi mungu ninapo huskia huu wimbo❤❤
Am very proud of this kwakweli hongeren sana marafiki zangu nawapenda Sana nitaipaza sauti bila kuchoka nimsifu Mungu big up my people 🔥🔥🔥🔥
@lawrencekameja tunakushukuru pia kwa kuwa nasi ....tunapoifanya kazi hii ya kitume kupitia uimbaji....praying for u uzidi kutunga ...
Nyimbo nyingi tamutamu kama hizi
Tunakupenda Sana hapa Kenya Nyeri
Shukran mwalimu....tunajivunia kushirikiana nawe
ndugu kameja kazi safi .i am so touched with this song
Nimeskia wanakwaya kutoka karatina at NGANDU GIRLS HIGHSCHOOL (Kenya) wakiimba. Ni kama malaika kweli ❤❤
Sure kamenja was present
Nakwambia kwaya ya karatina inatoka fire
I love the name of the choir in first place, may God bless you with more harmonious melodies ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Lyrics....
0:27 Ni nani anayestahili, kupewa sifa?
Ni Mungu mwenye enzi yote, ndiye muumba,
Uabudiwe usifiwe, wewe ni mfalme,
Utukufu na heshima Bwana, ni vyako mfalme,
Asante Mungu wangu mwema, ninashukuru, kwa kunilinda vyema,
Ninashukuru*2
Nitaipaza sauti....
Nitangaze matendo yako....
Wewe ni mwanzo na mwisho
Ni wa milele......
1:50 Ni nani atupaye nguvu, pia uzima,
Ni Mungu mwenye enzi yote, ndiye muumba,
Yeye ni alfa na omega, ni wa milele,
Utukufu na heshima bwana, ni vyako mfaalme,
Asante Mungu wangu mwema, ninashukuru, kwa kunilinda vyema,
Ninashukuru*2
Nitaipaza sauti....
Nitangaze matendo yako....
Wewe ni mwanzo, na mwisho
Ni wa milele......
3:15 Wewe ndiwe Mungu wa kweli, Mungu mwenyezi,
Umeumba mbingu na nchi, hufananishwi,
Utabaki ni mwenye enzi, utubariki,
Utukufu na heshima bwana, ni vyako mfalme,
Asante Mungu wangu mwema, ninashukuru, kwa kunilinda vyema,
Ninashukuru*2
Nitaipaza sauti....
Nitangaze matendo yako....
Wewe ni mwanzo na mwisho
Ni wa milele.
What about the score
Tunashukuru kwa support yako
Nice song I love the beats
Very very good song
Asante for lyrics
Kuomba ni kusali mara mbili mbarikiwe 🎉🎉
Beautiful hongera sana dada mdogo wa Francisco
Mwalimu Lawrence kameja never disappoints aki..mola ambariki na kumpa maisha marefu
Kazi njema kwa kuipaza na sauti taaaaamu na nyimbo zenye uzia.
Kameja sauti yako ni ya tatu, ila hapa waimba kwa sauti ya nne. Au sio?
❤❤❤🎉hongereni saaaana🎉❤❤❤
Kazi nzuri sana melodic harmony waimbaji wetu wa power. Shukran kwa kuendelea kuguza mioyo yetu kwa nyimbo tamu na sauti nyororo. Mbarikiwe sana🎉🙏🏻🥰
Mimina shukran na Mola akumiminie baraka tele
Asante mungu wangu mwema kwa kunilinda vyema. Nitapasa sauti nikusifu bila mwisho. nitayatangaza matendo yako katika maisha yangu
Kuimba Ni kipaji Kameja na Ray Mungu awabariki Sana.
Amina
Congrats 👏👏 team Melodic hormony wimbo mtamu sana Mwenyezi Mungu na Awabariki na kuwaongoza katika uimbaji wenu 🙏🙏
I love this choir so much, the whole world can come to God because of this because you’re not putting the name of any church. Sang outside a pure place of the motherland 🙏🏾🙏🏾🙏🏾!
❤❤
Kazi safi bugati🎉🎉🎉🎉
❤❤
Mimi ni mpestecoste ila wimbo huu umenibariki sana sana hongereni kwa kazi njema Mungu ni mmoja tu na ni wetu sote,Nice job na kwa mtunzi pia
❤❤ shukran Kwa sapoti yako
❤❤
Nkiona tu jina kamenja roho inasimama. Nakupenda bure❤
Heko sana Kameja na harmony kwa kazi nzuri ❤ wimbo unapoima solo ya bariki sana
Hongereni Lawrence Kameja pamoja na wana Choir wote . Hii wimbo imenibariki. Mimi ni Padri KAMALA John Evangelist niko Mkongoni mashariki kwenye vita
Asante padri mungu akuongoze
❤❤
Asanteni kwa uimbaji wenu Mungu awabariki wote wana kwaya
This is beautiful my poeple.. More grace ,na muendelee kutoka nyingi kama hizi .msichoke na msipoe❤❤❤.nawapenda
Shukran sana fikitaaaa
Mungu awabariki kwa kazi zenu na nyimbo hii muzuri
Khaks studio goodwork
Ray Ufunguo and Lawrence Kamenja always the best.
Whenever I listen to your song🎶,I have the heavenly feeling,you make us happy,blessed through your songs words.i can't do my best to describe you.
Lawrence Kameja & Ray Ufunguo,kama kawaida,you're the best ever.
Sending love❤️😘 from Burundi 🇧🇮
Nyimbo tamu sana❤❤❤
Keep it up guys
Asante Mungu wangu mwema, ninashukuru kwa kunilinda vyema😭😭🙏🙏
Munembo Wa Kulumba Mulimu... Listening from Zambia Kwa Barotseland.. Mulimu Amufuyole Kaufela Mwa Sikwata Samina
Thanks and be blessed brother
@@davidmbugi7999 I LIKE SWAHILI THAT MUCH SELF TAUGHT BUT STILL WANT TO VISIT YOUR COUNTRY SINCE AM INTO VIDEO SHOOTING AS WELL
Karibu sana you are much welcome
❤❤
Asante Mungu wangu mwema❤🎉🥳🥳🥳🙏
Great song. Asanteni kwa wimbo mzuri
Kazi safi my friend George 👌
Wewe ni mwanzo na Mwisho 🤗🤗🤲🤲🙏🙏 Mbarikiwe sana waimbaji wetu👏👏👏
Asante Prisca be blessed too
nzuri sana, hongera nyingi
Nyimbo nzuri 💯💯
Kaka maua yakoo tafadhali 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Wimbo mtamu sana. Hongera kwenu.
Waoo sweet song mtaenda mbali mko tu sawa sana .
Niliongoja sanaaa wimbo mzuri sana hongereni wapendwa
Hongereni !Tamu sana
Waaa what a blessing kudos to the choir
Wimbo mzuri sana.🎉🎉
This song always leaves me in so much peace!! Thanks for sharing such a beautiful message in very great and well harmonised voices ❤
I'm on love with this song,it rings in my mind sana🎉🎉 congratulations
Kameja keep it up sauti tamu sana ewaaaah❤
Mungu awabariki Kwa wimbo nzur
Love it keep up guys ❤️❤️❤️🥰
Nice song Mwalimu Lawrence,,,,umekuwa wa baraka kwetu wanakwaya wa Jimbo la nyeri
Sauti tamuuu. Mungu awazidishie nguvu ya kufanya kazi yake. Kamejaaaa!
Thanks Fridah
We just thank God for this far, Kwa kweli twaipaza sauti, kumshukuru Mungu.
🥳💯utukufu na heshima ni vyako mfalme
That part❤❤
Wimbo mtamu sanaa❤❤❤
What a nice song, still 😢 a month late since the release, but am glad, this is the best time
This song is on another level,God bless you more Lawrence 🎉❤
God give you more knowledge to give out nice songs Amen
Nawapenda Sana keep it up
Shukran n be blessed
Hizo vocals za Lawrence ni tamu... Amazing music
I can't get enough of this song 😊
Wow! Kazi nzuri 🎉🎉🎉 hongereni
Kazi safi Sana Wana Melodic harmony. Hongera Sana.
This song so solemn,,,God bless you so much it's inspiring
Be blessed too Eunice
That was breathtaking 🎉. Big up to The Melodic harmony choral, Lawrence K. & Khak studios. What a combination🎉 🎵🎶
❤❤❤
I love it❤
🎶 pia ni safi ² ⁴ simple. Eh..
This is great my people ❤❤🎉🎉
Shukran dadaa
What a beautiful Song dears. Waooo❤ Great work well done by a great Team. Hongereni
Thanks Pebris
Nice one 👍 we give thanks and glory to him 🙏🙏🙏 team be blessed unconditionally and keep on working for God.
Waooooooo wimbo mzuri sanaaa ❤💕💕💕🙏🙏🙏
My people..congrats
Nice song, congratulations melodic harmony cholare, very sweet song🎉
♥♥♥♥♥♥♥♥♥wow lawrence kameja.nice song.
Sweet voices❤...keep it up very touching.
❤❤
What a great song. God bless this choir
Amen n be blessed too
Wow wonderful do the work off God
All glory to the Most high God 🙏🙏🙏 keep it up ❤
Great as always. Good job 👏🙏🙏🙏
Niko Mkongomani mashariki kwenye migogoro na vita
Nice one,stay blessed
Thanks Btiie
Mali safi💯💯
Bro thanks
Nice 👍 sauti nzuri
Nice song indeed it inspires alot
Congratulations.Powerful song
I hope I’ll one day meet Lawrence Kameja to help me compose a song
It's possible when do you want to meet him
Pliz someone anionyeshe way to Kisumu niende hii song mwenye
Wow that's awesome song ❤❤
Good work Melodic harmony
Sooo waooo🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Kazi safi ❤
Nice song for Lord God Almighty
Kazi jema❤❤
Hongera laurence kameja
Good job. Doing great as always. I love the joy you spread in this song I’m all smiles here. You guys were really happy/ smiley on this. Keep flying.
Thanks siz
Very smart, nice voices
Hongereni sana wanamaria
Nice song,we thank God for everything 🙏🙏
Wooow am in love 💕
Thank you
Thanks Pauline
Waiting eagerly
.......
Mtamu sana huu
Nice song may God bless you all 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Wonderful 🎉
Wonderful sng
Wimbo mtamu sana huu. Who can help me with its score please