Ata Lisu anakijua chama vizuri saana,sema Mbowe ana uwezo wa kuwanunua wapiga kura,ushawishi wa Mbowe ni pesa tu,Lakini kihalali Hana uwezo wa kumshinda Lisu,Chadema mpeni Lisu na Heche muda ukifika! ili walete changamoto upande wa pili!
CHADEMA inanuka Mbowe. Ili chama kisomeke kama taasisi lazima kisiruhusu jina la mtu likaitawala taasisi yenyewe. Prediction ya wengi ni kwamba Mbowe akishinda uchaguzi basi habari za CHADEMA kushika dola nchi hii zitasahaulika na kidogo kidogo chama kitageuka laughingstock 😂😂😂
Hata ashinde lisu kushika dora unatakiwa usahau kabisa hamna atakae kiwezesha chama kushika madaraka wote hao kwa huyu lisu najua ataleta vulugu kubwa tu na kama watu watakubali miongozo yake na misimamo yake inamaana kila siku watakuwa wanaandamana barabarani mwisho wake serikal haitakubali huo ujinga watapigwa sana mabomu wengi wao watakuwa vilema na kufa sana
@@jamesdaud3054hakuna mtanzania mwenye ujasiri wa kuleta vurugu na kama Lissu anafikiri anaweza kukamata dola kwa siasa zake za jino kwa jino atakuwa anaota ndoto za asubuhi. Wanaomuunga mkono leo wote watamwacha solemba
Hayo anayoyasema ni kweli. Uzoefu. Kuweka viongozi wake, hofu ya waliozoea kushika nafasi na mbowe na mwisho tundu anaweka wazi mambo, kwa dunia na tz ya Leo ukweli haukubaliki, watanzania hawawapendi watu wakali. Huo ni ukweli.
Sababu Yako ya kwanza nimeikataa 2 kwahyo chadema ya mbowe inafanya fitina sio demokrasia ila wanataka CCM ifanye haki 3 kwahyo mnataka Ccm iwaachie nchi Hali watu walishindwa kuachiana chama Kwa umoja ndio tupawe nchi a Kwa hali hii CCM mbele kwa mbele
Ongera kaka umeongea vizuri san❤❤❤❤. Mwenye akili ataelewa ❤❤
Mafii kabisa hata sijui elimu yako.umeniuddhi sana yaani
Nachokiona umetumwa kututia hofu, hapa mpaka kieleweke, lisu oyeee😅😅🎉🎉🎉
Msije kuhama chama tu nyie manyumbu
Ata Lisu anakijua chama vizuri saana,sema Mbowe ana uwezo wa kuwanunua wapiga kura,ushawishi wa Mbowe ni pesa tu,Lakini kihalali Hana uwezo wa kumshinda Lisu,Chadema mpeni Lisu na Heche muda ukifika! ili walete changamoto upande wa pili!
kumbe lisu hajui pakuingilia na kutokea😅
Iyo pa kuingilia ungefafanua pa kutoka atakokea mlangoni
Kwani tundu lisu unamuonaje weka akiba ya maneno
Mbona hutuelew unachosema, unaongea kama mdada
CHADEMA inanuka Mbowe. Ili chama kisomeke kama taasisi lazima kisiruhusu jina la mtu likaitawala taasisi yenyewe. Prediction ya wengi ni kwamba Mbowe akishinda uchaguzi basi habari za CHADEMA kushika dola nchi hii zitasahaulika na kidogo kidogo chama kitageuka laughingstock 😂😂😂
Hata ashinde lisu kushika dora unatakiwa usahau kabisa hamna atakae kiwezesha chama kushika madaraka wote hao kwa huyu lisu najua ataleta vulugu kubwa tu na kama watu watakubali miongozo yake na misimamo yake inamaana kila siku watakuwa wanaandamana barabarani mwisho wake serikal haitakubali huo ujinga watapigwa sana mabomu wengi wao watakuwa vilema na kufa sana
Sio kidogo kidogo, na haraka sana!
@@jamesdaud3054hakuna mtanzania mwenye ujasiri wa kuleta vurugu na kama Lissu anafikiri anaweza kukamata dola kwa siasa zake za jino kwa jino atakuwa anaota ndoto za asubuhi. Wanaomuunga mkono leo wote watamwacha solemba
Huelewi kitu😅
Kama umesema jambo hivi.
Hakuna unachoongea hakuna uchambuzi wowote wakitaaramu
Hunamiaka mingapi we mzee
Chadema sio mama yetu popote kambi tunaenda na Lisu
Kaondoka Maalim Seif na bado chama kinaimarika kila uchao. Kwa nini isiwe Chadema tena kwa kubadilishana uongozi tu?
Kinaimarika zanzibar kwa wanaojitambua sio huku bara kuliko jaa mazuzu.
Hayo anayoyasema ni kweli. Uzoefu. Kuweka viongozi wake, hofu ya waliozoea kushika nafasi na mbowe na mwisho tundu anaweka wazi mambo, kwa dunia na tz ya Leo ukweli haukubaliki, watanzania hawawapendi watu wakali. Huo ni ukweli.
Sababu Yako ya kwanza nimeikataa
2 kwahyo chadema ya mbowe inafanya fitina sio demokrasia ila wanataka CCM ifanye haki
3 kwahyo mnataka Ccm iwaachie nchi Hali watu walishindwa kuachiana chama Kwa umoja ndio tupawe nchi a
Kwa hali hii CCM mbele kwa mbele
Mwongo wewe, acha uchawa wa ccm.
Aisee unajua kurembua,,kama mdada,,ni bati mbaya kama umekunywa
Sisi Yuko na Tundu antipus Lissu
Ww ni muongo tena pimbi mkubwa nyoko pumbavu
Chawa
We muongo acha uwongo hamna point hapo
Mboe akipita chadema kwisha abariyake inakufa iraakipitaarisu heche awekatibu mwambukusi awe mtunza azina namshauri mbowe awemjumbe chama kitapaa
Labda muibe kwa njaa zenu!
Wewe ndio unaofu sisi atuna ofu na liss
Nyau tu
Niheri msimamowahaki kuliko udhaifu wakipumbavu.
We hakila una mafikira yako
Uwongo mtupu
Unaingea kitu gami pumba tuu .hata Kenyata alipigwa chini stupid ideas
Unachoongea ni kweli japo wapo watakao kupinga
Chadema sio mama yetu popote kambi tunaenda na Lisu
Utaenda nae ww peke yako
Mpumbavu