Kenyonyo akili yake si nzuri,,,hana maamuzi kama mwanaume...hana idea .anaendeshwa na dipper rato...akiulizwa swali kujielezea ni issue...pumpavu zake😂
Si kwa ubaya lakini mwanamke ni yuleyule, kweli roto unampenda kenyonyo, lakini mzigo kuna yule anasaidia kenyonyo hata wewe unajua lakini huezi weka hewani, Watching from kenya 🇰🇪
Binadamu ni wabaya kabisa hawataki kuona watu wakipendana wameaza kusema eti ooh huyu dem ni hela tu anaona wacheni kuweka mafikilio mengine hayakuepo jameni
Dipper ww ni mwanamke unayejitambua sana unajua sana kujibu maswal good girl
Kenyonyo anaraha sana nguo zake bei rahisi
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂ata viatu
😂😂😂😂 mecheka jmn
😂😂😂😂😂😂
Dipper wewe ni mwanamuke kuelewa be strong and courage mkiwa na kenyonyo na kizazi og SHALLOM
Dipper anajiendesha yeye mwenyewe haendeshwi ha ha ha
Ira dipa na kenyenyo uwa nawakubari sana
Kenyonyo upo vizuri😂😂anajua balaah
Kwenye mapenzi kuna mpenzi mtazamaji Mie hapa😂😂😂😂😂
Kenyonyoo anaigaga maneno ya mtu anayoongea ,kujieleza hajui kabisa 😅😅
KENYONYO THE GREAT MAN
Hii mbilikimo haijui kuongea kabisa😂😂😂😂
😂😂😂😂
Punguzeni wivu mjomba, ninyi mnataka aonge nini sasa na hiyo ni miyeyusho tu wanafanya hapo
Wewe unataka aongee vipi jamani?
Dem mzur ,,,ila mmmh msela sana alafu Yuko nanyangau
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
kenyonyo nilijua anamtidio lakini kwasasa huyu sio wa kumwacha na demu wako ni mwaribifu
😂😂😂😂😂😂😂
Kenyonyo ni hatari sana kwanza hakosi show za usiku na yuko bize na mademu.
Kenyonyo akili yake si nzuri,,,hana maamuzi kama mwanaume...hana idea .anaendeshwa na dipper rato...akiulizwa swali kujielezea ni issue...pumpavu zake😂
Hiyo ndio bongo kiki tupu,dipper katuambia hata kinyonyo akiwa betr low fresh tuu ,ukidanganya uwe na kumbukumbu nzuri this line for dipper😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂daaaa chuga slang ni 🙌🙌🙌🙌🙌
Dipper Rato 🔥🔥
Wapo series au
Wa kenyonyo kumbe una nguvu❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂 aha
😂😂😂kenyonyo bhn et unajazwa moto
Omg watching from USA
This girl is intelligent
kenyonyo hajuag kuongea yan ni mikwara tu😂😂
Saa kenyonyo anaongea nn surely 😂😂😂
😂😂Nakujaga kuchek saut ya kinyonyo tu😂😂
Hata mm Kwa kweli
Kenyonyo bado kujieleza ni changamoto 😎
I love the comedy!
Haka ka kenyonyo hakajuag kujieleza yan vituko 2 😂😂😂
Kenyonyo kenyonyo kwisha maneno
True love never die much love to Dipper rato
Mwanamke msemaji sana
Jamani hapa kwenye wapenz watazamaj,wasikilizaji,waonaji na mashabiki huwaga munaniacha hoi sana 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 wameacha njeee pia apo kwa wapenzi waonaji😂😂😢
Daa maswali ya mwamba bana,yananipa rahaa😂😂
Si kwa ubaya lakini mwanamke ni yuleyule, kweli roto unampenda kenyonyo, lakini mzigo kuna yule anasaidia kenyonyo hata wewe unajua lakini huezi weka hewani,
Watching from kenya 🇰🇪
Binti mzuri sana
Keinyonyo mtumzima huyu kuna mwigine muarabu keinyonyo mkub😊wa anabog😊e lamwanamke nakazaa nae hawa watuwafupi noma
Kenyonyo bana😂😂
Pesa nikomee na siendelei kuangalia nimeenda 😂
She is supper amazing
Wanaendana
Ana raha sana kenyonyo
One love ✊️ The bad new A city dan dada
Kila ndege hutua kwenye mti aupendao😮😮😮
Mmmmmmmh kenyonyo ....... Tuna Enjoy mmmmmmmh
Binadamu ni wabaya kabisa hawataki kuona watu wakipendana wameaza kusema eti ooh huyu dem ni hela tu anaona wacheni kuweka mafikilio mengine hayakuepo jameni
ata asipofika kwa rungu atatumia part two kufika kazi yake kulamba choklet
Huu mzigo anaushughuliaje huyu kitoto kadogo hivi
ana 24yrs ha ha
Hongereni sana
HUU NI UKORA MTUPU 😂😂😂SI NINAWAFAHAMU HAWA😂😂😂
Kwamba kenyonyo anatikisa miguu kama yup kweny kiti kumbe yupo kaunta😂😂😊
😂😂😂😂😂😂 Iyo miguu anavyoitikisa sasa. pasaka lazima achinnjwe
😂😂😂😂
3:26 3:28 😅😅😅😅😅😅😅 wakwanza leo nipeni maua yanguu
Kah! Et kenyonyo akona kitambi
Kenyonyo kuongea badooo dipa mfundishe dogo kutokuogopa camera
Kama ni kweli mungu hwatangulie
Ww kinyonyoo uko vizuri
Hiyo glass anavyoshika huyo mtoto😅
Mkono mdomo liglass likubwa
huyu dada anatuinjoi huyu kinyonyo anamtumia tuu kujipatia umaarufu na kutirend mitandaoni dada kilo 100 kinyonyo kilo 30
Hatari kenyonyoo 😂😂😂nakupata toka CONGO
Siami youtube 😂😂😂
Ajifunze kuongea bna 😅
Ata akiwa betr low fresh 😂😂too
😅😅😅😂😂😂😂
Mbilikimo huyu kutoka Congo hawa Mbilikimo wanaishi kwenye msitu mkubwa huko Congo ajabu alifikaje Arusha hilo ndiyo najiuliza.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukiwa na stress fatilia comments za watu stress zote mitini
Huyu kenyenyo siyo wa congo
Niwa huku Karatu na ni rafiki yangu sana
😂😂😂❤❤❤
Hakuna kitu Kiki 2
Diper umemaliza kazi wenye wanataka mimba waendee kwa kenyonyo ana mbegu za kumwaga
Huyu binti DR anamtumia huyu dogo ili kuvutia watu ila atakuwa na boyfriend tofauti na kenyenyo
Umekakumbuka kake kajamaa kadogo hiviiii cha mambele uko kanademu limamaaa .😤
👍
Wanawake Mungu anatuona
Kenyonyo anaigiza uyo ni comedy sana
Mpaka interviewer anachek😂
Kweli
Yaaani maelekezo kipengele
Hahaaaa....
Kumbe kenyenyo ana kitambi
Hhhh😂
Kenyonyo hana mambo mingi
Anamfikisha kileleni lakin au ndo kuigiza
N kupasisha kenyoyo wazi
Gugugaga 😂 😅
Glass yenyewe kanashika na mikono miwili .
😂😂😂😂😂babalababa😂😂😂😂😂😂
Huyo wa Dan yupo pw sana
Jamani good huu
Kenyonyo katuzi maujanja😂😂😂
Dipper mfundishe mtot ajue kujielezaa vizur
Uwongo
😂😂😂
Hakajui kujieleza
DM ni shendele 🤣🤣
Mapenzi shikamoo
nimapenzi yaho mashwali mengi acha
hiki kinama kinatumia vilevi ,kinyo nyo atalajaziwa mtoto dada mzigo mkubwa
Kiki tu hizo
izi nikiki tu😂😂😂
Huyu mtoto au hahahaha
Kenyonyo anajiramba2 kwa Diparato
Kila kitu ni kwisha hapo😂
Kenyonyo
Beautiful couple.how old is he?
Umeangukia hako kajing ni hela tu sinasababisha unako bg hela mama
Huyu mtoto hajui kujieleza
Ati Hana la kuwaambia sasa Hilo ndilo jibu gani?
Sioni mapenzi hapa .... Money pekee
Kati ya hao wawili nani mwenye hela. Kwa hiyo kama ni hela
yan mwanamke kama huyu dar changamoto hapo hamna mapenz mnatuigizia
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Kwani ana umri wa miaka mingapi? Uyo mkongo😮😮
Hii nchi sihami labda mnipige mniue
😅😅😅😅