#Wafanyabiashara

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 4 місяці тому

    Usiogope Mzee hao chawa wa mama siyo watu kinana wasila wako kimya uzuli ccm mungu amewakata siyo tunduma walio gama ni maraika wanaotoa ishara Kwa ccm

  • @PaschalGerad-xq4lw
    @PaschalGerad-xq4lw 4 місяці тому

    Hongera sana mwenyekiti wewe nimzalendo syo kama wenyekiti wengine walalushwa kama mikoa mingine wamewatelekeza wananchi

  • @ChancellorFelix-vm5yp
    @ChancellorFelix-vm5yp 4 місяці тому

    Wazir mkuu ajihuzuru wazir wa fedha ajihuzuru wazir wa mipango ajihuzuru wazir viwanda na biashara ajihuzuru mgomo wa mwaka Jana wametutanganya wakamdanganya na rais ndio maana mgomo umerudia tena wakae pemben waje wengne wachapakaz

  • @ThomasKaungo
    @ThomasKaungo 4 місяці тому

    Tanzania weee

  • @Ba63828
    @Ba63828 4 місяці тому

    Shida sana kodi kodi kodi nyingi halafu mwisho wa mwaka kodi ya mapato come on this is unfair

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu 3 місяці тому

    Tanzania ni shetani wa nchi hi

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu 3 місяці тому

    Niserikali ya kijambazi,kinyonyaji haifai kabisa

  • @MmbagaMmbaga
    @MmbagaMmbaga 4 місяці тому

    Kenya hawatakagi mchezo

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li 4 місяці тому

    Awana. Huruma kabisa Tanzania hii ni ya. Majambazi tusichsguwe kabisa majizi haya hivi awajuwi kuwa watu wamechoka

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 4 місяці тому +2

    Madini yetu misitu yetu mbuga za wanyama bandari zetu mikopo kila siku kwani hiyo pesa inapelekea wapi mpk mnatunyonya damu sis wananchi

  • @PhilipoNjeyo
    @PhilipoNjeyo 4 місяці тому

    Mwamba nakupatavizuri

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 4 місяці тому +1

    Mwigulu nae kaokotwa jalalani.

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 4 місяці тому

    NGUVU MOJA!

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 4 місяці тому +1

    Tuliwaambia mutuunge mkono kwenye maandamano mukazengua sasa mumeyaona hiii ccm ni zaidi ya shetani

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk 4 місяці тому +1

    Mwigulu na huyu m Zanzibar ndio tatizo.... Waxiri wa Mambo ya ndani

  • @RizikiMlela
    @RizikiMlela 4 місяці тому +1

    Watanzania mwinguru hafai wasipo mtoa basi ccm tuitowe siyo mkipewa kanga mnasahau matatizo yamiaka 10

  • @swedywamba5535
    @swedywamba5535 4 місяці тому

    Huyu mbona kama baba level

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 4 місяці тому +1

    Serikalimalizeni haraka hili

    • @KaburuKimath-eu5nf
      @KaburuKimath-eu5nf 4 місяці тому

      Mkagusi mkuu alisema pesa zimeibiwa jeep hao waizi walishakamatwa as na kuudisha hizo pesaa