MITIMINGI # 596 ILI NDOA YAKO IDUMU KWA MUDA MREFU FANYA HAYA ITAKUWA NI YA AMANI NA FURAHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 57

  • @mpogomimussa2368
    @mpogomimussa2368 6 років тому +6

    Barikiwa sana mtumishi wa bwana kwa mafundisho ya maisha yenyewe

  • @hamidakassim4
    @hamidakassim4 4 роки тому +2

    kipao mbele sanaa mtumishii💯💯✔✔nakubaliana nawe! shukran kwa funzo

  • @angelinaelishachisongela7859
    @angelinaelishachisongela7859 5 років тому +2

    Tunapona BABA. NEEMA YA BWANA WETU YESU KRISTO IWE PAMOJA NAWE AMEN AMEN

  • @sabrinakenya2353
    @sabrinakenya2353 6 років тому +5

    Asante kwa kutuelimisha kiroho na hata kimaisha ubarikiwe sana Mchungaji Amina.

  • @meksonnickson7887
    @meksonnickson7887 6 років тому +4

    Dr mitimingi nakukuabali sana katka mafundisho yko na nayatilia sna MUNGU akubaliki sana

  • @mrsrummy158
    @mrsrummy158 6 років тому +4

    Mungu atusaidie wanandoa

  • @mhigiisack5667
    @mhigiisack5667 6 років тому +6

    Hapo mchg sijakuelewa vizuri nieleweshe uzito wa maneno haya mke na rafiki, niambie na tofauti yake, zaidi nakupongeza kwa masomo yako mazuri yanatuhuisha kiroho.

  • @mzungujohn8166
    @mzungujohn8166 6 років тому +3

    Asante Sana kwa mafundisho yako yananikumbusha maisha yakumwishia kristo, amina Sana.

    • @luwi2021
      @luwi2021 5 років тому

      Asante kwa mafundisho mazuri

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 4 роки тому +2

    Hivyo vipimo vingekuwa vizuri wapimwe wanaume, haloo my dear I love u mwaah 😘, haya twende tukapime 😂😂😂😂

  • @orestamwabena1773
    @orestamwabena1773 5 років тому +2

    Ubarikiwe mchungaji unanisaidia ndoa
    Yangu kuwa imara

  • @selinamnzava7750
    @selinamnzava7750 4 роки тому +2

    Sijui nisemeje sio rahisi kumpata mtu kama huyu jamani roho inaniuma sijui nifanyeje, pumzika kwa amani mpendwa

  • @salehejongo2799
    @salehejongo2799 3 роки тому

    Dr.Safiii kabisa

  • @tulivuevethatemba7628
    @tulivuevethatemba7628 6 років тому +3

    amen amen

  • @whatsappvideos9615
    @whatsappvideos9615 4 роки тому

    Mungu akubariki

  • @jeniventinajustine5797
    @jeniventinajustine5797 5 років тому

    Ubarikiwe sana mchungaji

  • @loisafelix881
    @loisafelix881 6 років тому +3

    Amina

  • @emilygathoni2196
    @emilygathoni2196 5 років тому +1

    Ukweli kabisa,barikiwa sana

  • @focustz4408
    @focustz4408 6 років тому +2

    amani sana mtumishi

  • @kfastak
    @kfastak 6 років тому +2

    Shukran

  • @gracealexander5309
    @gracealexander5309 6 років тому +2

    Ameen

  • @mwanaidikitogota5751
    @mwanaidikitogota5751 5 років тому

    namkubarii sana

  • @magnifiquentkrtmna320
    @magnifiquentkrtmna320 6 років тому +2

    Barikiwa wasemakweri

  • @elizabethjacksonelizabith2563
    @elizabethjacksonelizabith2563 6 років тому +2

    nabariki myumishi npate mwenye hofuyako

  • @denisgermany3288
    @denisgermany3288 5 років тому

    Hahaha Kali sn pastor

  • @sadickwalker2795
    @sadickwalker2795 6 років тому +2

    Amina.

  • @AbediMadjaliwamoses-ho3xh
    @AbediMadjaliwamoses-ho3xh Рік тому

    Mash'Allah 😂😂😂😂😂

  • @glorianiyokwizera4512
    @glorianiyokwizera4512 4 роки тому +2

    Maneno yako yatapaki kuwa moyoni mwangu Asanti sana RIP 🙏

    • @jeangodelo5349
      @jeangodelo5349 3 роки тому

      Ameondoka mapema sana jamani,, Mungu ampumzishe kwa amani lakin tunamisi vingi kutoka kwake,,😭😭😭

  • @esterlaurent2709
    @esterlaurent2709 3 роки тому

    😭😭

  • @sadickwalker2795
    @sadickwalker2795 6 років тому +1

    we are together.

  • @lubejamawe4948
    @lubejamawe4948 6 років тому +2

    Ubalikiwe mtumishi

  • @deustutu1162
    @deustutu1162 6 років тому +9

    Huyu jamaa kiboko mfweka misitu na mkaguz hatar hyo ni wakusukumia ndan

  • @janegeogre3234
    @janegeogre3234 6 років тому +3

    Hiyo detecter ilogunduliwa huko Marekani ni kiboko!!!

  • @kulondwaaziriranepascal5962
    @kulondwaaziriranepascal5962 4 роки тому

    Amen 🙏🙏

  • @abdullah-eq3lt
    @abdullah-eq3lt 6 років тому +4

    mi nukta ilionigusa ni ukweli na uaminifu katika ndoa yko

  • @johnkanyasu4343
    @johnkanyasu4343 5 років тому

    Hicho kifaa kingeletwa natz

  • @josephasenga4253
    @josephasenga4253 3 роки тому

    ,
    .
    .
    L
    .

  • @evachanjarika170
    @evachanjarika170 6 років тому +1

    Amen

  • @ramaamiri4438
    @ramaamiri4438 5 років тому +1

    amen

    • @mwanaashajuma3115
      @mwanaashajuma3115 5 років тому

      Mungu akubariki mtumishi mafundisho yako yanatusaidia na kututia moy.

    • @gershomgabriel214
      @gershomgabriel214 5 років тому

      Baba, Dr. na Mch. zote ni kofia zako mm ni kijana mdogo ambaye sijaoa lkn mafundsho yako nayafuatilia sana hakika unaokoa ndoa nying sana kusiko tamkika kwa wale wanaotendea kaz mafundsho haya. Kwa vijana mafundsho yako ya somo la MAISHA YA UCHUMBA NI KIVULI CHA MAISHA HALISI BAADA YA NDOA.
      nimetaja kichwa cha habari kwa maneno yangu nikilejelea somo lako la kivuli ktk UCHUMBA kama nimekosea kichwa cha somo kukitaja kwa uweledi kumladhi. Ni somo zuri sana. Mungu akubaliki sana.
      Pia ni ombi langu kwa Mungu azid kukufunulia na mengne meng yatakayo wasaidia watu kwa kuwa kuna watu wanapata shda ktk ndoa zao kwa kukosa maarifa.
      Keep growing pastor.

  • @sadickwalker2795
    @sadickwalker2795 6 років тому +3

    we are together.

  • @ebbykerubo95
    @ebbykerubo95 4 роки тому

    Amen