OnAIR: Alikiba na Ommy Dimpoz walivyoulizana maswali

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Waimbaji mastaa wa bongofleva Alikiba na Ommy Dimpoz walikaa kwenye ON AIR WITH MILLARD AYO katika kuitangaza zaidi single yao mpya ya 'kajiandae' ambapo moja ya vitu walivyofanya wakiwa kwa Millard Ayo ni pamoja na kill mmoja kumuuliza mwenzake maswali matatu.

КОМЕНТАРІ • 197

  • @rashidamohamed9927
    @rashidamohamed9927 Рік тому +2

    ♥️♥️♥️♥️😘😘💯🙏🙏🙏 mm na wapenda sana king my bing boss ommy dipozi pozikwa pozi mwenye zi mungu awape maishaa marefu aondolee maradhiii awape afyaa nchema mm nawapenda Sana sijuwi kwanin

  • @deborakamsi
    @deborakamsi 7 років тому +44

    King cheka baba yangu kwa raha zako

  • @lizmellissa7954
    @lizmellissa7954 7 років тому +13

    yaani mwanishangazi hivi kiba hajaoa bado hata dimpoz eeehee makubwa haya 😂😂king king kiba mombasa raha kweli kabsa wooow!!😍😍

  • @wemakalam9415
    @wemakalam9415 7 років тому +11

    tunakupenda pia sisi watu wa mombasa king kiba toka zamani natutazidi kukupenda. watching from saud arabia.

  • @sharonkorir1195
    @sharonkorir1195 4 роки тому +6

    Alikiba and Ommy dimpoz my best from bongo ❤❤

  • @jamesombati6445
    @jamesombati6445 6 років тому +7

    Alikiba I like ur reactions.... mwaaaaaaaaaaah

  • @patrickkilonzo6498
    @patrickkilonzo6498 5 років тому +4

    king kiba nilianza kukupenda tangu enzi za kigoma nikiwa class 7 i loved your songs so much all time best salute

    • @shiru_choppa7654
      @shiru_choppa7654 2 роки тому

      Wow I was also in class 7 tym ya Cinderella 🤣🤣♥️

  • @dolbachsaid8806
    @dolbachsaid8806 7 років тому +13

    kaka AYO napenda mambo yako unanifikishia ujumbe wa Kwetu Bongo hapa marekani nilipo
    Asante kaka

  • @zaituna94thanks63
    @zaituna94thanks63 7 років тому +9

    kiba wng mie nakupendaga sana2 ukiowa itapendeza sana wallahi allah barik

  • @fatumambusho6913
    @fatumambusho6913 5 років тому +7

    Nampenda ommy anaongea kistarabu hadi raha 😍😍

  • @wemakalam9415
    @wemakalam9415 7 років тому +29

    king kiba na ommy dimpos ni me wa penda bure

  • @katyatyababyaziza3168
    @katyatyababyaziza3168 7 років тому +4

    huyu kingkiba king kweli had maneno yake yabusara nakupenda bureeee kiba inshaa allah

  • @bbybbyrey2340
    @bbybbyrey2340 7 років тому +54

    Cheko tu Kiba 😂😂😂😂. Hujui kununa ww

  • @virtuouswoman3837
    @virtuouswoman3837 7 років тому +13

    that kafeeling when Ali can't choose between Mombasa na Dar

  • @tausak4568
    @tausak4568 7 років тому +18

    kweli king is king
    ujuwi kununa 👌👌👌👌😂😂😂😂😂😂

  • @sammysambo9700
    @sammysambo9700 7 років тому +4

    we luv u team kiba and ommy welcom again mombasa raha

  • @masokamwavislay6782
    @masokamwavislay6782 4 роки тому +3

    Wow mnafurahisha san jamn❤️😆

  • @chandelierlumona4837
    @chandelierlumona4837 7 років тому +6

    Kuoa au kuolewa sio kupurupuka au sio mashindishano! Katika maisha first thing jiseti kwanza ili familia iwe katika line nzuri ya ku maisha!

  • @gracekaroki7137
    @gracekaroki7137 5 років тому +3

    Hawa marafika unifurahisha kabisa big up guys

  • @rhodamoraa3166
    @rhodamoraa3166 7 років тому +4

    gud one keep up guys kiba n ommy

  • @OmanCom-ky8tn
    @OmanCom-ky8tn Рік тому +2

    Alikiba na omy nawapenda sana ni wa2 wabusara sana

  • @fatytwiter2005
    @fatytwiter2005 5 років тому +2

    Laaaa yani sijuwi niseme je, nawapenda sana wakali wangu. Mungu awape maicha marefu

  • @aminaadalai280
    @aminaadalai280 7 років тому +22

    mombasa raha ujakosea kabisa Ali kiba😂😂😂😂😂😀😅

  • @mwatumusalim1284
    @mwatumusalim1284 7 років тому +7

    mombasaaaaaaaaaaa rahaaaaaaa kibaaaa pendaaa ww mingimingi

  • @sabrinaayoub7032
    @sabrinaayoub7032 6 років тому +6

    Kwel king is king 😁😁😁💪💪

  • @amidatoma8912
    @amidatoma8912 7 років тому +7

    Mashallah tabarakallah mtegeme allah kwa kila jambo kweli uwamuzi huna ww ni wa Allah na mke Allah ndo mwenye kuchagulia keep it up king kiba

  • @nankodyasteven2858
    @nankodyasteven2858 7 років тому +31

    Ningependa siku moja Joe makini Na Fid Q waulizane maswali hayo Na hiki ndicho kipindi kitakacho waunganisha wasanii ambao watu wanafikiri wana Biff.@Millard ayo

  • @razansalim532
    @razansalim532 5 років тому +2

    Nawapenda sana hawa watu alikiba na ommy dimpoz

  • @hytechworld572
    @hytechworld572 7 років тому +13

    king ni king kweli

  • @cathykamau727
    @cathykamau727 7 років тому +4

    thanks ali for loving kenyans

  • @ednavitus1869
    @ednavitus1869 7 років тому +13

    nyie watu mnanifurahisha mpaka raha yani mngu awape baraka tele

  • @rodgersreuben4129
    @rodgersreuben4129 7 років тому +6

    alikiba noumaa upo fresh

  • @naimasaid5604
    @naimasaid5604 7 років тому +2

    Mombasa rahaaa.... Mabrouk alf Mabrouk in advance.... Both of you..

  • @AploniaDamiano-zo4ec
    @AploniaDamiano-zo4ec 16 днів тому

    my favourit song kutok kwa ali na ommy nawapend

  • @augostinermercy1542
    @augostinermercy1542 7 років тому +6

    Kiba the king... karbu kenya

  • @feiswalali4074
    @feiswalali4074 7 років тому +4

    The king njoo uchuke jikoo kwetu likoo plzzzź

  • @mohamediddy4707
    @mohamediddy4707 5 років тому +2

    Poa poa sana kiba big up

  • @talibthetruth8709
    @talibthetruth8709 Рік тому

    Alikiba anapenda watu kuswali hpa nimejua kua Ali na dimpoz ni brothers

  • @barkesalim253
    @barkesalim253 7 років тому +1

    yeeeaah mombasa rahaaa karibu sana king kiba tunakupendaaa

  • @chiefexecutiveofficer4942
    @chiefexecutiveofficer4942 4 роки тому +1

    Daah nimeenjoy my bro

  • @mariaalimohd164
    @mariaalimohd164 7 років тому +2

    love ua smile

  • @mwanahella9650
    @mwanahella9650 7 років тому +51

    😂😂😂😂 nikiwa mtangazaji kz ni moja kila sk ni Ali ndani ya kipindi😎🙈🙈

  • @bensonfrank9578
    @bensonfrank9578 7 років тому +9

    alikiba yuko poa sana!!!!

  • @rhodamoraa3166
    @rhodamoraa3166 7 років тому +5

    alikiba eeeeee acha kunifanya ncheke😂😂😂

  • @lulum8017
    @lulum8017 7 років тому +2

    I just love this 2😂😂😂😍😍

  • @halimaissa3124
    @halimaissa3124 7 років тому +2

    😘😘😘👑king kiba

  • @Halimabintmafitah
    @Halimabintmafitah 7 років тому +19

    sauti zenu nzuri zakuisoma quran. lakini duh zinatumika kupoteza watu

  • @ashahaji4936
    @ashahaji4936 7 років тому +3

    Na znz kuzur karibuni sana

  • @princehakimhakim600
    @princehakimhakim600 7 років тому +5

    Mombasaaaaa

  • @abduza1979
    @abduza1979 7 років тому +5

    Ali kiba njoo holland bc kama umeipenda

  • @hhhchacha3490
    @hhhchacha3490 6 років тому +3

    Allah awazidishie upendo

  • @alinotistiven3204
    @alinotistiven3204 7 років тому +12

    Malengo gani kaka tuletehe shemela kaka.

  • @leviskuria4250
    @leviskuria4250 7 років тому +6

    mmenimbamba sana

  • @andreaselemani9503
    @andreaselemani9503 7 років тому +4

    nice

  • @rossyhassan6830
    @rossyhassan6830 7 років тому +4

    Alikiba uko na haya jingi😂😂😁😁

  • @yusufjuma264
    @yusufjuma264 7 років тому +5

    Swali nzuri ni ilo la swala Ommy uliswali Ijumaa mpaka jumanne dats mean ww una swali friday mpaka friday.

  • @allyalbusaidy1191
    @allyalbusaidy1191 7 років тому +3

    Sijapenda Bro Ali Kiba Kumuuuliza Huku Anacheka Ommy kuhusu Swala.. Mnafanya Utani Na Dini Subhana LLAH

  • @hadijanyamsingwa9177
    @hadijanyamsingwa9177 4 роки тому +1

    naipenda sana hii

  • @abdillahjuma7447
    @abdillahjuma7447 7 років тому +1

    dah aisee king kiba noma kaka uko juu

  • @celinemakokha6915
    @celinemakokha6915 5 років тому +3

    Hapo pa koti juu 🤣🤣🤣🤣

  • @hashimukaiza6401
    @hashimukaiza6401 7 років тому +4

    King kiba mfalume wao

  • @msafiblog
    @msafiblog 2 роки тому +1

    2022

  • @marwahmohammed6302
    @marwahmohammed6302 7 років тому +2

    hahahahahahaa i love it .....its soooo funny

  • @graciousjerry1322
    @graciousjerry1322 7 років тому +7

    ha ha ha ha haaaaaaa King kiba na maswali yako me hoiiiiii ha ha haaaa bichwaaaaaa

  • @jackykasambula7158
    @jackykasambula7158 7 років тому +1

    King kiba big up

  • @shiru_choppa7654
    @shiru_choppa7654 2 роки тому +3

    Baada ya hii miaka yote leo ndio nimeona hii video walai nimecheka sana..nikama ommy alikuwa na majibu ya maswali yake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ali Hawa wanakupima wewe

  • @mariamjoseph5555
    @mariamjoseph5555 2 роки тому

    Nyie watu nawapenda sana

  • @jahkeythomas6043
    @jahkeythomas6043 7 років тому +19

    haiya ali hakuangi na wife na watoto alizaa na nani😂😂

    • @yusufjuma264
      @yusufjuma264 7 років тому +1

      Si ma girlfriends tuu

    • @augostinermercy1542
      @augostinermercy1542 7 років тому

      Ni vile tu Zari alizaa na Ivan.. na sae anazalishwa na diamond hahahaa

    • @chapochapos1696
      @chapochapos1696 7 років тому +1

      Jahkey thomas DIAMOND IS MARRIED LADY AUGUST

    • @augostinermercy1542
      @augostinermercy1542 7 років тому

      +chapo chapos pole sana wee ndo ulimpa bibi?? we are not fools,, he's just datin... na ye ndo ameolewa si eti ameoa....

    • @leahwhite6690
      @leahwhite6690 7 років тому

      YUSUF JUMA

  • @aishaomer6934
    @aishaomer6934 3 роки тому +1

    Nimefurai jamin nawapenda

  • @ibrah1989
    @ibrah1989 7 років тому +4

    maswali yako Ali mbona yapo katikati yaan hayatoi majibu funguka😒

  • @fairunaaomaryaliyfairunaao5952
    @fairunaaomaryaliyfairunaao5952 7 років тому +2

    Hahhahahahha nimechekaje Ali unavituko kweli

  • @shackyhussen2971
    @shackyhussen2971 7 років тому +2

    part numz abr y rami

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 5 років тому +1

    Mombasa hiyo

  • @brysherbless8998
    @brysherbless8998 4 роки тому +1

    nawapenda nyie bes Fren forver

  • @arrydy6982
    @arrydy6982 7 років тому +3

    alikiba piamimi ningependa uoe

  • @doreenmalesi6039
    @doreenmalesi6039 7 років тому +8

    😂😂😂😂show iko poa wish kila siku ikuange wasanii wawili ivo

  • @p.kasongot979
    @p.kasongot979 7 років тому +3

    HaaaAaa mbavu zangu miye 🤣🤣🤣🤣 billard

  • @mariamchiga846
    @mariamchiga846 4 роки тому

    Hizi video wallah sichok kuangalia yan dah wananchekesha sanaaa

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 6 років тому

    Lovely

  • @ashmtarmary7536
    @ashmtarmary7536 7 років тому +2

    ali kicheko chako😂😂😂

  • @richardmmari2261
    @richardmmari2261 6 років тому

    Nakupenda san king

  • @nuruhatony5390
    @nuruhatony5390 5 років тому +1

    Kiba ommy nawapend

  • @zulfarwanda8456
    @zulfarwanda8456 6 років тому +1

    Mombasaaa hadi tumepat wifi

  • @augostinermercy1542
    @augostinermercy1542 7 років тому +1

    Hahahaa kiba ni balaa ety ommy dipos mwishw aliswali lini???

  • @mercurylee5587
    @mercurylee5587 6 років тому

    Belgium 🇧🇪🇧🇪🇧🇪🇧🇪🇧🇪🇧🇪🇧🇪 💞

  • @mayengasamasi8963
    @mayengasamasi8963 7 років тому

    ommi mnaelewana sana na arikiba ndy hvy inatakiwa kama wasanii

  • @lomwardkupingwa3659
    @lomwardkupingwa3659 4 роки тому

    Salute

  • @benadfrenk5995
    @benadfrenk5995 5 років тому +3

    Tm 👑 👑 👑

  • @rehemasharriff7494
    @rehemasharriff7494 7 років тому +1

    karbu tena na tena mombasa king kiba

  • @youngkillermsodoki7664
    @youngkillermsodoki7664 6 років тому +1

    Mnazingua bhana

  • @marlowwjohn9103
    @marlowwjohn9103 4 роки тому

    Nice

  • @lyzekeyz328
    @lyzekeyz328 3 роки тому

    Aisee hapo Kwa koti

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 3 роки тому

    Me nawapenda mnoooo

  • @azizaahmed2219
    @azizaahmed2219 7 років тому +7

    Hahahahaaaaaa

  • @mayengasamasi8963
    @mayengasamasi8963 7 років тому +2

    haaaaa ommi oa

  • @najisalum6657
    @najisalum6657 7 років тому

    uyo ommy akae kimy hana llte anasafiria nyota ya king

  • @isihakamtaalam2099
    @isihakamtaalam2099 5 років тому

    KK upo sawa kabisa

  • @christinahaule9726
    @christinahaule9726 7 років тому

    Good

  • @habibutowo7527
    @habibutowo7527 7 років тому

    SWALI LA MWISHOO LA KIBAA SAFIII

  • @ngwanasongowelero7153
    @ngwanasongowelero7153 2 роки тому

    Itakumbukwa