Ulimwengu Wa Roho | Prophet David Richard

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • ULIMWENGU WA ROHO With PROPHET DAVID RICHARD.
    To Understand This Mystery, Play The Video!
    Remember To Click The Share, Like And Subscribe Buttons. Hit The Bell Button To Remain Updated And To Stay Alert.
    Join Prophet David Richard, Son Of Prophet Edd Branson At The House Of Angels Where Spirits Gather To Worship And Glorify THE LORD OF ALL HOSTS.
    Daily Fresh Revelations Concerning God The Father, The Son & The Holy Spirit, The Spirit Realm, The Angelic Realm, The Prophetic Realm And More.
    Not Forgetting Deliverance, Healing And Prophecies. And The Most Important "WORSHIP SESSION" Because That Is What We Feed Into, Worshipping King Jesus.
    Every Tuesday And Thursday From 4pm And Every Sunday From 3pm At Angels Of God Ministries Located At Mbezi Beach, Tangi Bovu Next To Primrose Hall. For More Information Call Or WhatsApp +255 713 160 510
    Stay Connected To Stay Protected:
    Prophet David Richard Instagram: / prophetdavidrichard
    Prophet David Richard Facebook: / david-richard
    Ministry Instagram: / angelsofgodministries_int
    Ministry Contact Number: wa.me/25571316...
    For more of our live services:
    Holy Ghost Services
    • Playlist
    Prophetic Tuesday Services
    • Playlist
    Sunday Services
    • SUNDAY SERVICES
    The Assembly of God
    • Playlist
    Live Streams
    • Playlist
    The East Africa Prophetic Invasion
    • Playlist
    More videos on how God moves with the Prophet on:
    Moments in Prophecy
    • Playlist
    The Angelic
    • ANGELS
    Encounters
    • Playlist
    Worship Songs:
    • Playlist
    For Offerings / Tithe and Seeds Please Send Through Money Gram / RIA and M-PESA: NETWORK: Vodacom, NUMBER: +255 758 012 068, NAME: Emmanuel Victor Msaki, COUNTRY: Tanzania.
    #ProphetDavidRichard #Pioneeroftheangelic #TheAngelofTz #Theangelic #SonoftheKurutikii #Weareangelic #Weareprophetic #WeareAngelsofGodMinistriesInt #Deeprevelations #Therevelator #Mysteriesofthespirit #Thedevilisintrouble #deepaccurateprophecies #theprophetic #deliverance #exposingtherealmsofthespirit #propheticgeneration #angelicgeneration #deepworshipservice #loversofJesus #itsallaboutJesus

КОМЕНТАРІ • 55

  • @mawazobayndulwa1909
    @mawazobayndulwa1909 4 роки тому +7

    Baba mimi binamsi na kupenda sana kwamaana nimesikiya mahubiri mengitu nahushuda nyingi ila sijaway kusikiya maneno kama haya babangu ila mimi niko mbali hingekuwa niko tanzania ningetafuta kanisa lako ningekuwamumini wako ila tupopamoja kiroho nashukiru sana baba na zaidi mungu hakubariki Asante sana

  • @mbulabalenzi3790
    @mbulabalenzi3790 4 роки тому +2

    Mtumishi wa Bwana nabii ubarikiwe sana.Dada vasili mavazi.sehemu za kifua zisitiri.

  • @melissateddybearcossan9506
    @melissateddybearcossan9506 4 роки тому +2

    Ila vaa yako hiyo kama dada wa kikiristo si njema saana

  • @happynessdavid7921
    @happynessdavid7921 2 роки тому

    Kuna kitu kikubwa sanaaa sanaaa sanaa nakitafuta nakitaka Baba angu nimepata maarifa hapaaaa.

  • @elidahashala9512
    @elidahashala9512 2 роки тому

    Thank you prophet of God for taking time to explain in detail how to hear/see in the spiritual realm. Jibu ni we MUST have intimate time with God kupitia kusoma Neno lake. Fasting without reading/meditating on the word haileti results.

  • @chapati3oil120
    @chapati3oil120 4 роки тому +5

    May God continue to uplift you and multiply you. You are such a blessing to my heart.🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @emmanuelmsaki8776
    @emmanuelmsaki8776 4 роки тому +4

    I am honored to learn and hear the mind of God through you dad. Glory to our Lord Jesus Christ

  • @johnzacharia2308
    @johnzacharia2308 4 роки тому +2

    Asante mtumishi Wa mungu kwaneno zuri hakika injili ya yesu nipana nainahitaji mafunuo yakutosha ilikujifunza zaidi,tunaongozwa naroho hivyo yeye roho mtakatifu anajua yasirini hivyo tukiliza nakumwamini Hakika tutaonyweshwa mambo makubwa na yaajabu, naamin uliyosema namwomba yesu anipe macho ya rohoni nitambue njia sahihi yakupita

  • @kissamwamunyange1018
    @kissamwamunyange1018 10 місяців тому

    Funika mwili wako mummy😘

  • @JosephBigabwa-wo2bf
    @JosephBigabwa-wo2bf 5 місяців тому

    Yesu ana Rudi

  • @faithmuoki8400
    @faithmuoki8400 3 роки тому

    Pastor we n mwana katika ufalme

  • @prophetesspriscarichard
    @prophetesspriscarichard 4 роки тому +4

    This is very powerful dad🙏🏾 Glory to Jesus

  • @ANGELA-oz1vi
    @ANGELA-oz1vi Місяць тому

    Amen

  • @gloryfidelis7752
    @gloryfidelis7752 4 роки тому +1

    Namshukuru Mungu kwaajili ya Neema aliyokupa naUtumishi huo,Ubarikiwe natamani ktk hayo yote.

  • @nyaikadavid6044
    @nyaikadavid6044 4 роки тому +4

    Thanks man of God for this sermon about angels, that's the realm am entering in soon, Uganda has heard.

  • @lilianluhasi5053
    @lilianluhasi5053 4 роки тому +1

    Nasisimka kiroho ninapokusikia Mtumishi barikiwa Sana

  • @mawazobayndulwa1909
    @mawazobayndulwa1909 4 роки тому

    Asant sana kwa mafundisho ya kiroho najifuza mengi na Mungu Azidi kukubariki prophet kilamtu hanatamani hawe kiroho so umesema kwabwa inafatana na kunamara ni neematu kwa maana nasikiliza mahushuda mengi wengine wanatumikiya ibilisi lakini Mungu hanamtokeya hata jina la Yesu halitambuwi lakini yesu hatamtokea hata kutowa zaka hajuwi na wenye wako kanisani nawanatumikiya Mungu kwa bidii zaidi lakini hawajamuona hata malaika lakini wanatamani wamuone zaidi ni Asant

  • @floranceh5333
    @floranceh5333 4 роки тому

    Lord Jesus have mercy on me am a sinner, take more of me and give me more of you my Jesus 🙏🙏

  • @myfairskintz
    @myfairskintz 3 роки тому

    Mwenye sikio na asikie

  • @floranceh5333
    @floranceh5333 4 роки тому

    Be blessed men of God, unanibariki kw mafunzo, kila siku najipata kupitia mafunzo yako na Nabarikiwa Xana,, God z good 🙏🙏🙏

  • @rosemarylamsy3230
    @rosemarylamsy3230 4 роки тому +1

    Asee jicho la tatu ni muhimu mnoo! Mungu nisaidie.

  • @piusnkwale
    @piusnkwale 3 роки тому

    Nimeelewa sana ili somo

  • @myfairskintz
    @myfairskintz 3 роки тому

    Ameeen, I pia nmejifunza vingi sana kutoka kwako prophet David, God bless you

  • @GeorgeKishe
    @GeorgeKishe 4 роки тому +4

    This was very inspiring! Thank you!

  • @tumpedaudi6681
    @tumpedaudi6681 Рік тому

    AMEN 🙏

  • @nelsonsalumuclovis753
    @nelsonsalumuclovis753 3 роки тому

    Amena

  • @conglaotaison7992
    @conglaotaison7992 2 роки тому

    may God bless you

  • @charleshaule5304
    @charleshaule5304 3 роки тому

    Thanks my spiritual father, I am coming up with a higher speed

  • @cariejoe
    @cariejoe 4 роки тому +2

    Blessed to have you papa🙏🏽

  • @carolineaswani3186
    @carolineaswani3186 4 роки тому +1

    Asante Kwa mafunzo mazuri. God bless you.

  • @aundisa
    @aundisa 4 роки тому

    Asante... Tafadhali endelea na moyo huo wa kutufundisha mambo ya kiroho...ongezea muda pia I long to hear more wisdom.

  • @saldakltl7611
    @saldakltl7611 4 роки тому

    Amen Amen

  • @laurentkihanga3000
    @laurentkihanga3000 4 роки тому

    Neno sawa.Ila siku nyingine huyo dada ajistiri hayo si mavazi ya wana wa Mungu.Mungu amekataza kuvaa suruali.

    • @ruthstephen2791
      @ruthstephen2791 4 роки тому +1

      Asante ndugu maana mi mwenyewe nimeshtushwa nilivyoanza kutazama. Kuna ushuhuda nilishawahi kusikiliza nadhani ni ule wa 'miaka 990 katika ufalme wa giza' ulisema mbinguni kuna wanawake wachache ukulinganisha na wanaume kwasababu ya maisha tunayoishi ya vitu visivyo asili wanaita fake life. Vitu vingi tunavyovivaa miilini mwetu pamoja na mavazi ya kutokujisitiri kama kawaida ya mwanamke ndiyo yanayotuangusha. Kwa kizazi hiki kila kinachosemekana ni ushamba ndicho kilichopaswa kufanywa hivyo shetani amepumbaza ulimwengu kiasi kwamba ukimwambia mtu abadilike ataishia kukucheka sana. Kuna mafundisho ya manabii wa uongo yanayodai Mungu haangalii mavazi.

  • @simpungayvan8282
    @simpungayvan8282 4 роки тому

    Mubarikiw sna

  • @lilianluhasi5053
    @lilianluhasi5053 4 роки тому

    Nabarikiwa Sana Mtumishi

  • @royaltymolly3197
    @royaltymolly3197 4 роки тому

    Jesus manifest yourself in me

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 4 роки тому

    BE BLESSED PROPHET

  • @lilyrose7983
    @lilyrose7983 4 роки тому +1

    Be blessed

  • @cynthianawambugha7663
    @cynthianawambugha7663 4 роки тому

    God bless you

  • @lilianluhasi5053
    @lilianluhasi5053 4 роки тому

    Ninaamini kweli nabii mtu anaokoka kwa level tofauti, wengine hawajawahi kusikia sauti ya roho mtakatifu toKa wameokoka wengine wanasikia, wengine kuota tu sauti hapana naamini Mtumishi, wengine kuona maono Mara tu baada ya kuokoka, level wanazoanza nazo Mara tu baada ya kuokoka naamini Mtumishi

  • @anitababyderickwasike7872
    @anitababyderickwasike7872 4 роки тому

    ukweli prophet ajali inatokea but hakuna damu barabarani.

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 4 роки тому

    💚

  • @tuphineatieno4459
    @tuphineatieno4459 4 роки тому +1

    Dada umeongea vizuri sana lakini badilisha mavazi .

  • @epatembo6650
    @epatembo6650 4 роки тому +1

    Kunautofauti Delila aliyeokoka na Delila asiyeokoka. Na kunatofauti pia kati ya John aliyeokoka na John asiyeokoka sasa sielewi hapo.

  • @johnzacharia2308
    @johnzacharia2308 4 роки тому +3

    Hivi wadada Mlio okoka mnakwama wapi kwenye mavazi?kwani dhamira zenu haziwashtaki kuvaa nguo zinazobana nakuonyesha maungo yenu hivi asiye okoka atavutiwaje kuokoka ikiwa anaona mnafanana nje, yesu akiwa ndani ya mtu lazima akubadilishe na nje,mnamwabisha kristo mbadilike nyie nibarua mnasomwa badilikene watoto wamungu namjitambue mmemvaa kristo

    • @sylvestermhojaaron9659
      @sylvestermhojaaron9659 4 роки тому +1

      Kaka uko sawa kabisa, ukweli ukihubiriwa watu hawaupokei, wanabaki kusema MUNGU hagalii nje, faraja bandia naya kisheta,

    • @jindedolat3995
      @jindedolat3995 4 роки тому

      Kweli kabisa

    • @apostlepaulraphael
      @apostlepaulraphael 4 роки тому

      WARUMI 12:1 Basi, ndugu zangu, nawasihi kwa huruma zake MUNGU, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza MUNGU, ndiyo ibada yenu yenye maana

    • @francislovemore3858
      @francislovemore3858 4 роки тому

      Kweli kabisa nimekelwa Na mavazi ya huyo Dada

  • @royaltymolly3197
    @royaltymolly3197 4 роки тому

    Can God worship himself?

  • @doreensamwely8740
    @doreensamwely8740 4 роки тому

    Haaaa haaah prophet mkole mwenyewe ukimw

  • @willymfilima9936
    @willymfilima9936 4 роки тому +1

    Prophet ninawezaje ku-switch maisha yangu spiritual mda wote?

    • @eveanangisye1999
      @eveanangisye1999 3 роки тому

      kajibu kuwa nawewe toa muda mwingi kuwa kiroho kwa kusoma vitu vya kiMungu, kujifunza zaidi na zaidi ndio unakuwa kiroho