SEPTEMBA 11 - Eps 11&12 (Season I) SIMULIZI ZA MAISHA NA MAPENZI BY FELIX MWENDA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 51

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 4 дні тому +5

    Wakwanza jamani likes zenu 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @jamilajamal1584
    @jamilajamal1584 4 дні тому

    Oyooooo 💐Felix mtu wa Maaaana kbs❤❤❤❤

  • @aminanimbona1861
    @aminanimbona1861 4 дні тому +1

    Lucy usimlaumu jackson bimana wew ndo sababu za kufanyiwa vile umeshaona amelala naye mara ya kwanza ukakutana na bala nzito kisha ten unamuamini unaongozana naye tena unamatatizo Ila pole sana kwa yote

  • @John.L.Laizer
    @John.L.Laizer 4 дні тому +1

    Tuko pamoja Felix 🎉🎉lakn pia usisahau tunangoja muendelezo wa Davina

    • @DoreenKimwele-bo4ss
      @DoreenKimwele-bo4ss 4 дні тому

      Kisu mfupani ishafika mwisho

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 4 дні тому

      Weeuh 😂😂😂 mbona hata tulimaliza mda mrefu tu,kisu mfupani mziki mtamu sana

    • @maseleenaesleen8149
      @maseleenaesleen8149 3 дні тому

      ​@@DoreenKimwele-bo4ssmmmh iliisha jamani hiyo😅😅

  • @SaraCornery
    @SaraCornery 4 дні тому

    Asate sana simlzi mix fellix mwenda mbalikiwe sana

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 3 дні тому

    Ubinaadam kazi kweli yaan …ndo maana tunaambiwa usimtegemee mtu katika maisha yako….devidi hukumbuki pauline alivokusaidia leo hii unaongana na vick??

  • @khadijasayeed3381
    @khadijasayeed3381 4 дні тому +2

    Maskini Lucy😭😭😭

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 дні тому +1

    Huyu devid hakika asije kubali ujinga wahuyu mwanamka lkn amekubali ku sigh mkopo hela ndefuuu sana paulini hana msaada kwa soph mana siri kaitoa loo huyu vick mwisho wake utakua muchungu mana mali yamtu haiendii bure

  • @shadidachande9737
    @shadidachande9737 День тому

    Jamn izo sehem za sir za rucy jmn😂😂

  • @aminamhina9129
    @aminamhina9129 День тому

    Nice

  • @MissFreeda
    @MissFreeda 4 дні тому

    Mwenyewe kunipenda hii.. story lk Tafadhar

  • @AnastasiaKilonzi-d3y
    @AnastasiaKilonzi-d3y 2 дні тому

    Lucy shida yako ukusikisa yule rafiki yako ugemwabia Jackson kuusu ujausito igekupata ayo yote

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 дні тому

    😢😢😢😢😢😢😢duuuu masikini lucy yani huyoo Jackson nimkosi kweli amekubaka lkn ww ndohukumwambia ni ww ni lucy mybe hangefanya hivyoo lkn hao wote wamekutendea unyama uwape doz yao

  • @AnastasiaKilonzi-d3y
    @AnastasiaKilonzi-d3y 2 дні тому

    David ugemsikisa uyo mama wewe ndio ugemsikisa nalikuwa akupendi wewe nikigeugeu sana

  • @AnastasiaKilonzi-d3y
    @AnastasiaKilonzi-d3y 2 дні тому

    Waume eti niwalimu masikini Lucy ujawahii furahia mapenzi mungu atawaukumu

  • @hellenodhiambo4342
    @hellenodhiambo4342 4 дні тому

    Huyu Lucy sijui Linda azidi tu kubakwa coz there's no way you will go to someone you don't want to want to associate with hadi kwa nyumba then unakunywa juice aaaii hapo you failed us your gender 😏😏

  • @aminanimbona1861
    @aminanimbona1861 4 дні тому

    Naona mwisho mbaya wa Devid hakumbuki fadhila hata ndogo ya Pauline 😢 atapata mwisho mbaya Sana ameshaingiwa na tamaa

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 дні тому

    Natamani lucy alipe kisasi kwawote waliomxulumu utu wake ninakama doctor aliemsaidia alikufa mana alisema Mungu amrehemu alikufajee ama aliuliwa na huyo mhuni wake mubakajii

  • @fatmafuraha7924
    @fatmafuraha7924 4 дні тому

    Muomba like nimefika jaman nipeni like zangu japo nmechelewa😂

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 3 дні тому

    Eheeee mbona naona David akirudi kwenye kifungo tena baada ya tamaa? maana hakuna Jambo ambalo halina mwisho wake 😢😢namhurumia sana David

  • @AnastasiaKilonzi-d3y
    @AnastasiaKilonzi-d3y 2 дні тому

    Masikini Lucy HOA waume wakona Nini na wewe kubakwa tena mungu akulinde

  • @hawasaid6625
    @hawasaid6625 3 дні тому

    Kikweli Lucy ana kera sijui naye kazie kubakwa sasa mtu anaye mpaka msaaada ana shindwa kuwa mkweli kwake mimi ana nikwaza sasa

  • @AnastasiaKilonzi-d3y
    @AnastasiaKilonzi-d3y 2 дні тому

    Akika polin umeogea ukweli mtupu wako pamoja na mamako mdogo

  • @alexissebuhura8040
    @alexissebuhura8040 2 дні тому

    David ni mpumbafu kbs. Atalipa tena

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 4 дні тому

    Lusi atakoma kwenye hii story du noma kweli

  • @chantalmavandu4950
    @chantalmavandu4950 3 дні тому

    Mambo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 mapenzi shikamoooo salute

  • @Feisalmatandula
    @Feisalmatandula 4 дні тому +1

    Duuuh asante🎉🎉🎉

  • @irenecherotich4975
    @irenecherotich4975 4 дні тому

    Hapo Kwa lusy pange endelea kidogo

  • @MissFreeda
    @MissFreeda 4 дні тому

    Waooh Yani Nilikuwa Naisubir sana 🎉

  • @VeronicaAssery
    @VeronicaAssery 2 дні тому

    Jaman lusy wa watu yeye ni kubakwa Kila siku😥😢

  • @AnastasiaKilonzi-d3y
    @AnastasiaKilonzi-d3y 2 дні тому

    Wacha mabo na ukinwi mimba nayo

  • @AnastasiaKilonzi-d3y
    @AnastasiaKilonzi-d3y 2 дні тому

    Waa masikini Lucy balaa

  • @AnastasiaKilonzi-d3y
    @AnastasiaKilonzi-d3y 2 дні тому

    Nenda kwa police

  • @anthobarengeke3200
    @anthobarengeke3200 4 дні тому

    Wapili from USA.

  • @twinssauditwinssaudi7248
    @twinssauditwinssaudi7248 3 дні тому

    Nimefika❤❤❤

  • @ROSEROBERTROBART
    @ROSEROBERTROBART 4 дні тому

    ❤❤❤❤

  • @LuluMiii-d2x
    @LuluMiii-d2x 4 дні тому

    Tupo amoja kaka❤❤❤❤

  • @mtotowamanka
    @mtotowamanka 4 дні тому +1

    Fm

  • @swabrinamwaka2437
    @swabrinamwaka2437 4 дні тому

    ❤❤🎉

  • @ROSEROBERTROBART
    @ROSEROBERTROBART 4 дні тому

    Huyu lucy asimulaumu Jackson 😂😂hayo yote alijitakia, mtoto wa kike kuona picha za ngono basi ikawa tatizo,coz Jackson hakum baka alipenda yy mwenyewe,alafu huyu lucy badala yakutupa mtoto wake,heri angempeleka mtoto kwa kina Jackson akabisha,asubiri mlango ufunguliwe mtoto angechukuliwa na wa kwao,asingekua na stress mtoto angekulia kwao 😂

    • @radhiaomary5591
      @radhiaomary5591 4 дні тому +1

      Anamawazo mafupi sana huko kwenye lawama mm sipo lkn kwenye suala la kumpeleka mtt kwa akina jackson pia isingekua kirais hvo labda kwenda kumtupa km alivofanya maan ukumbuke alifukuzwa akaomdoka kukaa huko nje mwaka mzima alaf leo waletewe tu mtt wakubal kiraisrais tu? Hilo suala lilitakiwa kutumika nguvu nyingi mpk wamuelewe km kwenda kupima dna na mfano huo lkn je huo mda wakufanya hayo yote lucy hakua nao….

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 4 дні тому

      ​@@radhiaomary5591❤❤❤🤝

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 4 дні тому +2

      Nakuunga mkono 😂😂😂

  • @swabrinamwaka2437
    @swabrinamwaka2437 3 дні тому

    Ingeitwa Lucy bas