Nahasira sana,najutia kuzaliwa nchi yetu hii ya kenya,ukoloni upo bado,watunyanyase na kesho tukapange foleni kuwapigia kura,Yangu hawapati inshallah nisipo sobwa na corona,watataniona paa,
The chair man has spoken very clearly and given proper facts these are the religious leaders that Kenya need , the chair man has the peoples best interest at heart
Faida ya BBI hiyo, kenya imekufa kitambo sana, kenya Kuna shida ya drugs, health sector, barabara mbovu, uchavu mitaani na barabarani, port ya mombasa inaomboleza, uwizi na hali ya usalma imezorota kutoka lamu garissa mandera mombasa marsabit na kwenginneko, may God get rid of all corrupt leaders and their allies. I will be very happy if this virus clean those corrupt leaders.
imagine hata huku warabuni wamestopisha watu kusafiri , hii si mchezo viongozi wa kiismamu mumefanya vizuri kuingilia kati coz wenzenu viongozi wakikristo wamelala tu wangoja kufanyiwa michango na na harambee wapelekewe mapesa washibishe familia zao , Mungu awabariki na kuwapa ujasiri ndugu zetu .
Akili zao zimepotozwa na bbi hawajali chochote ila wajitafutie viti pamoja na jamii zao uhuru na raila Mungu yuko na amesoma fikira zenu jehanamu yawangonja.
Tafathali ...hao viongizi wa kidini .. Tuongozeni...kwa kila namna ...mwazo....mm sioni faida ya wachina ....kwa sababu tangu 2 wajenge reli maisha yamekua nagumu sana ... ....just imgn hii kitu ikiingia. ....ushagooo ..
MM MTAZANIA NAOMBA MSAMAHA KWA NDUGU ZANGU, ALLAH HAKUSEMA KISIMA KILE PALE JIDUBUKIZE MM NITAKUOKOA KASEMA JIOKOE NA MM NITAKUOKOA NA BINADAM SOTE TUNAHAKI BILA YA KUBAGUANA NA SERKALI INA WAJIBU WAKE NA PIA SERKALI ATIZAME ROHO ZA WANANCHI WAKE HATA KAMA KENYA INA DENI YA MCHINA ITAFIKA WAKATI ITAISHA INSHA-ALLAH NITAIOMBA KENYA SERKALI NA WANANCHI WAKE WASHIKAMANE NDIYO UMOJA NA NGUVU ✊💪 WAKUOGOPEWA NI MOJA TU ALLAH SIYO MCHINA TIZAMENI WAZEE NDUGU WATOTO TUWAHIFAZI HIZO NDIZO DUA NDIZO ZITALETA MAENDELEO YA NCHI BILA KUJUA NDUGU ZANGU WOTE 👍
Jambo hili linakaa kaa tu kawaida kusikia wakati wote kwa wakenya.lakini endapo mtu mmoja kudhibitishwa kuwa na virusi ndio watajua hii ni jangaa .kwa sababu kutoka mwaka tuliopiga kura hadi waleo sisi tunachojua ni siasa tu. Kenyans should stand with ALI GERE ...a Hero and a patriot. Si jambo la kushinikiza tu.
wasee tu andamane mpaka state house juu hii kitu ni sisi itamaliza wao wako na pesa wataka kwa ma mansion zao,na mmoja wao aki patwo nayo ata providiwa na the best doctors,so it's up to us,tunaweza enda mpaka iyo airport na tuifuruge,wao hawana shunguli na sisi wanafikiria kuhusu BBI
Atakae wafuta kazi nani,kama raisi wetu wa Kenya alijua kuna ndege imeingia Kenya kutoka china,hakuchukua hatua yeyote,hapo kuna njama Fulani inaendelea,wanataka kuitisha misaada Kenya watie pesa mifukoni,huku twaendelea kufa,pasipo kujua pia wao wamo hatarini,nashangazwa sana na serikari yetu ya Kenya,pesa mbele
Salute u. I support u. Kenya they loves money than people life's 😢😢that's so sad, kaa all countries umefukiwa, bona Kenya, mnakubali? ?? . Nimechokaa mm, kuitwa Mkenya
Sisi waeslamu lazima tunazuguma makosa yametokawapi walale nawakezao kisha kuna ayazakusoma Allah ndiye wakulinda watu jamani ndugu waslamu tuwenaemani
Kweli imeshindwa kupeana dawa za ukimwi, mungu mungu serikari yetu inatuua mungu shuka kwakweli hatuna aki wanyonge 😢😢mungu tupee wakumbwa wanatujali 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Wakenya serikali mwamfuta kazi mtu kwa sababu amesema ukweli mbona mwakubali ndege za china zije kenya .ingekuwa mm pia ningeipika picha nikasambaza tumechoma jamani njaa ipo uchumu umepanda tena mwataka kutuletea maradhi .
Kweli kabisa kenya tuiskie tuu ni kenya bt utaratibu hakuna kabisa mwasema nzinge tu je matakataka umezisahau zilivyo tapaka Mombasa hata hutamani kuka mombasa je Corona ikija tutarishe makaburi hakuna usaidizi mwengine ufisadi umepita mizizi nanyi mwasema corona mutapambananayo matokeo na mutajua hapo? Ikifika ni kuomba mungutu
We need to understand just only one thing. No one surpass the power of the Almighty God. Oppressed kenyans, all religious affiliation we need to stand together join our hands and pray against all the people involved in this drama, the people who wants to harm the life's of poor civilians. May Almighty God accepts your prayers and punish them all. May the Almighty God protect the people of kenya and its neighbors. Love from another side of the world.
These guys dropped some hard barz..."Locust wametushinda.Hatuna lab.Tunatuma specimen South Africa kupimwa.Tutapambanaje na Corona?Hatuna capacity ya Nzige....Corona tutapambanaje nayo???". 😤😤😤
This coastal leaders make so much sense, wote wafutwe, halafu kuna hawa wafanyakazi wote kila mtu aulizwe pesa ambazo zimetengwa kuprocure vyombo wamezitumiaje, waulizwe hadharani.
Kwanza hiyo ndege inakuja kila Wednesday.Fala ingine inaitwa rashid ilisema ati hata tukikosa ku allow chinese kenya bado tunaweza pata from other people from other countries coming to kenya.he is forgetting that china is the epicenter of this disease.y shld we risk.this guy really suprised me.its better to take precautions than to risk.he is so stupid
Nikweli kabisa wahenga walisema kinga ina shinda tiba.mbona awa wakubwa awawoni vile watu wana kufaa kiolela kule china. Waruhusiwe kuingia kenya na uko kwao wamezuia ndege kutoka inje kuingia kwao.
Remember before kutetema; hii ni laana kutoka kwa mungu kumbuka ambri 10 zilizotolewa kwa mungu wakati wa Faraoh... 💣 bomba ya 1 locusts 💣 ya 2 magonjwa hiyo coronavirus... bomba lingine laja ... tuajiangalieni...
Kama haya yanao ongelewa APA yana ukweli .wakenya ugonjwa huo utaishambulia afrika mashariki nzima kwa kutokana na muingiliano yetu hatimae tutatengana wenyewe kwa wenyewe jambo ilo sio lakufumbia macho nila kukemewa Sana halivumiliki na linakera .wachina hao watafutwe na warudisheni kwanza kwao.atuwabagui ila nikulinda jamii zetu
Nakubaliana kabisa. Wote waende nyumbani including Uhuru. We need sober leaders.
If all Kenyan tungechagua kiongozi wa maadhili kaa huyo sheikh msemaji afueni sisi wote umati Adam .
I surport you pia uhuru aende hatutaki ujinga sass
Hapo mmeongea vizuri sana wakenya wenzangu wakwende kabisaa hatuwataki tena
Mawia jamani wakwende shda tulijiletea kuwachagua hawana akili!!!
@@albertmangera2269 yeah!
Tumekataa ndege ya uchina hapo umeongea hongera
Nimependa sana vile umeongea , maana ni ukweli,
Uislamu tuaongea ukwli tu ju ni agizo. Kutoka kwa Allah.
Kweli kabisa mlivyoongea
Nahasira sana,najutia kuzaliwa nchi yetu hii ya kenya,ukoloni upo bado,watunyanyase na kesho tukapange foleni kuwapigia kura,Yangu hawapati inshallah nisipo sobwa na corona,watataniona paa,
The chair man has spoken very clearly and given proper facts these are the religious leaders that Kenya need , the chair man has the peoples best interest at heart
ALLAH awahifadhi hao mashekh nawoooote mfano waooo.
Faida ya BBI hiyo, kenya imekufa kitambo sana, kenya Kuna shida ya drugs, health sector, barabara mbovu, uchavu mitaani na barabarani, port ya mombasa inaomboleza, uwizi na hali ya usalma imezorota kutoka lamu garissa mandera mombasa marsabit na kwenginneko, may God get rid of all corrupt leaders and their allies. I will be very happy if this virus clean those corrupt leaders.
We are behind you...lets do this💪
Waislamu na wakristo it's time to pray 💔
Ino ndio comment muhimu nimeona kutoka Corona ianze, mda wakurudi kwa maombi mungu mwenyewe atatupigania corona
@@babyhamisi5331 AMEN, tumuite mungu wa shadrak meshak and abedinego ,hakika hii moto ya corona haitatuchoma
waislamu na wakristo ya nn kwan wengine walijiumba
This is the right time for all Kenyans to standup and take this Corrupt Government home without fear.
Yes
Vitanda kumi na moja walale wenyewe na wake zaoo.......
Hapo sasa
Nimecheka sanaa😂😂😂
Kenyans we are tired with this government ...tukiamua kuandamana kila mtu ana hasira tunaumia sote
I support you
The govt of goons destroying the Future of everyone
SubhanaAllah Mtihani Wallay 😭😭😭Kilichobakia Ni Kufa Tukijiona 😭😭😭Allah Tunusuru Waja Wako
Ameen
Amiin ya rabb
Amin rabil amin
Aamin
Yes🤔we sung the song" wageni karibu Kenya,Kenya nchi nzuri hakuna matata😎😎may God open the spritual eyes and ears of our leaders,😘😘😘😘
Tuanze sasa hivi maadamano
Pia mm nilikua naonelea hivo
Webe ni ureure
Yes 🤒🤒
Nakubaliana, na maneno, yenu, kwanza maandamano, yaanze, leo
I support you
Marylyn Kenya kabisa tumechoka
Waziiiii umeongea kama watu million 10 Kenya hongera sanaaaa
imagine hata huku warabuni wamestopisha watu kusafiri , hii si mchezo viongozi wa kiismamu mumefanya vizuri kuingilia kati coz wenzenu viongozi wakikristo wamelala tu wangoja kufanyiwa michango na na harambee wapelekewe mapesa washibishe familia zao , Mungu awabariki na kuwapa ujasiri ndugu zetu .
Akili zao zimepotozwa na bbi hawajali chochote ila wajitafutie viti pamoja na jamii zao uhuru na raila Mungu yuko na amesoma fikira zenu jehanamu yawangonja.
Bbi na 2022
Absolutely
Sawa Ruto
😂😂😂😂😂😂😂 wallah
Kweli kabisa
Hongera baba umeongea ukweli mutupu tuandamane jameni uhuru atatua
Ushanena aki kama nzige zimetushida... Je,corona tutaweza kweli???
I love this sheikh, as he looks into serious issues.
Albert Mangera point taken
Aawapi
Hatuwezi
hii Kenya tumechoka bana!! tunafaa kuaanza maadamano sasa hivi😣😣
Tafathali ...hao viongizi wa kidini .. Tuongozeni...kwa kila namna ...mwazo....mm sioni faida ya wachina ....kwa sababu tangu 2 wajenge reli maisha yamekua nagumu sana ... ....just imgn hii kitu ikiingia. ....ushagooo ..
I love this, praise God for you mr chairman.
Kweli kabisa kwanza waziri wa usalama matiangi afutwe kazi kwa sababu ameshinda kufanya kazi yake
I support the first dude...he has valid points Kenyans are very ill equipped to handle a global epidemic like corona virus.
You are the Big Dude
Umeongea vizuri Sana huu ukweli kabisaa
Napenda kuona wananchi wenye kueleza kitu kwa weledi pia kujiamini kabisa nice kikubwa kuomba duwa mungu atunusulu
💪hongera sheikh umeongea ukweli kanisa.God bless you
Umeongea point sana sheikh
This is the same mistake china did when they arrested the Whistleblower.. now look whats happening there. TUMECHOKAAAA!
Kabisa 🙉🙉🙉😭😭😭
Na alijifiya maskini doctari!
Laiti kama the first one ungekua president hakungekua Na udhalimu Na ufisadi mwingi manake umeongea ukwel mtupu👌🙏
Let’s all protest Kenyans wake up wake up🙆♀️🙆♀️🙆♀️👏👏👏
Mombasa mumeogea point nawependa bure tuombeni Mungu atuepushie na ili janga.. Government yatamini pesa sio binadam
I like the way you speak becouse it's now time to go back to the streets and demonstrate coz hatuna lingine plz Kenyans we have to do something plz.
Tuko tayari kwenda barabarani Kenya ina ushenzii
I like this sheikh. He brings out our wrath and frustration with a dash of flavour. Tell this Chupili kafament wasikize
MM MTAZANIA NAOMBA MSAMAHA KWA NDUGU ZANGU, ALLAH HAKUSEMA KISIMA KILE PALE JIDUBUKIZE MM NITAKUOKOA KASEMA JIOKOE NA MM NITAKUOKOA NA BINADAM SOTE TUNAHAKI BILA YA KUBAGUANA NA SERKALI INA WAJIBU WAKE NA PIA SERKALI ATIZAME ROHO ZA WANANCHI WAKE HATA KAMA KENYA INA DENI YA MCHINA ITAFIKA WAKATI ITAISHA INSHA-ALLAH NITAIOMBA KENYA SERKALI NA WANANCHI WAKE WASHIKAMANE NDIYO UMOJA NA NGUVU ✊💪 WAKUOGOPEWA NI MOJA TU ALLAH SIYO MCHINA TIZAMENI WAZEE NDUGU WATOTO TUWAHIFAZI HIZO NDIZO DUA NDIZO ZITALETA MAENDELEO YA NCHI BILA KUJUA NDUGU ZANGU WOTE 👍
Jambo hili linakaa kaa tu kawaida kusikia wakati wote kwa wakenya.lakini endapo mtu mmoja kudhibitishwa kuwa na virusi ndio watajua hii ni jangaa .kwa sababu kutoka mwaka tuliopiga kura hadi waleo sisi tunachojua ni siasa tu. Kenyans should stand with ALI GERE ...a Hero and a patriot. Si jambo la kushinikiza tu.
True Kabsaaaa Sheikh Juma ngao,Viongozi au Serikali Ya Kenya haitaki Ukweli.
I support you ..president alipe deni ys china warudi huko nkt
kweli kabisa sheikh,,,
Our president and deputy really really really what else do you want us to do so that you listen to our voices.
wasee tu andamane mpaka state house juu hii kitu ni sisi itamaliza wao wako na pesa wataka kwa ma mansion zao,na mmoja wao aki patwo nayo ata providiwa na the best doctors,so it's up to us,tunaweza enda mpaka iyo airport na tuifuruge,wao hawana shunguli na sisi wanafikiria kuhusu BBI
This president has failed completely
Umesema kweli sheik hii serikali yetu haifikirii kabisa ni mwenyezi mungu to Ndo atatuokoa
Hapo kweli kabisa
Atakae wafuta kazi nani,kama raisi wetu wa Kenya alijua kuna ndege imeingia Kenya kutoka china,hakuchukua hatua yeyote,hapo kuna njama Fulani inaendelea,wanataka kuitisha misaada Kenya watie pesa mifukoni,huku twaendelea kufa,pasipo kujua pia wao wamo hatarini,nashangazwa sana na serikari yetu ya Kenya,pesa mbele
Umesama kweli shekh👌santaa
Swadaqta umenigusa Sana ustadhi
Salute u. I support u. Kenya they loves money than people life's 😢😢that's so sad, kaa all countries umefukiwa, bona Kenya, mnakubali? ?? . Nimechokaa mm, kuitwa Mkenya
Kabisa. Yani Kenyans we value monew more than life itself.
Sisi waeslamu lazima tunazuguma makosa yametokawapi walale nawakezao kisha kuna ayazakusoma Allah ndiye wakulinda watu jamani ndugu waslamu tuwenaemani
kabisa
Ubarikiwe sheikh may you live long inshaallah
Ufisadi tunaeza vumilia lakini Corona itatumaliza Ni Corona solution no bbi
Kweli kabisa
Kweli kabisaa
Kweli imeshindwa kupeana dawa za ukimwi, mungu mungu serikari yetu inatuua mungu shuka kwakweli hatuna aki wanyonge 😢😢mungu tupee wakumbwa wanatujali 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Wakenya serikali mwamfuta kazi mtu kwa sababu amesema ukweli mbona mwakubali ndege za china zije kenya .ingekuwa mm pia ningeipika picha nikasambaza tumechoma jamani njaa ipo uchumu umepanda tena mwataka kutuletea maradhi .
Yes tuko nyuma yenyu munyoki nyumbani kenya yetu hatari kweli. Uhuru na raila bbi tu
Hawa wanasema kweli kabisa
True sheikh wambie ukweli Kenya hatuna uwezo wa kupambana na Corona viruses
Woi jamen hii italeta shida kabsaaa huku
Hii Kenya iko n ujinga sana n hii BBI ndio inapoteza mwelekeo wa nchi yetu hii uhuru ninge jua singe chagua mimi
true brother,i support you too
We need a leader like u.ukweli usemwe.hao wachina warudi kwao.tuko nyuma yako kwa kuadamana.lazima watunjali uhai wa wakenya
Mm Sina usemi thanks Allah awape nguvu mtutetee cc wanyonge
Nikweli asemayo shekh ndege zistopishwe kwende china mpaka huu ugonjwa uishee jamani Kenya inamajanga tele Al-shabab tuu wanatuendesha mbio
Samahani kwa wote ... Lakini hakuna hatua Serikali itachukua...munadaiwa maBilioni...lazima mukubali matokeo yaishe...
Kweli kabisa kenya tuiskie tuu ni kenya bt utaratibu hakuna kabisa mwasema nzinge tu je matakataka umezisahau zilivyo tapaka Mombasa hata hutamani kuka mombasa je Corona ikija tutarishe makaburi hakuna usaidizi mwengine ufisadi umepita mizizi nanyi mwasema corona mutapambananayo matokeo na mutajua hapo? Ikifika ni kuomba mungutu
We need to understand just only one thing. No one surpass the power of the Almighty God. Oppressed kenyans, all religious affiliation we need to stand together join our hands and pray against all the people involved in this drama, the people who wants to harm the life's of poor civilians. May Almighty God accepts your prayers and punish them all. May the Almighty God protect the people of kenya and its neighbors. Love from another side of the world.
kwa mara ya kwanza juma ngao amesema ya maana.siku zote anabonga zero
Kweli kabisa Ustadh lakini Mbona nyumba ya mungu ifungwe? Yani Jamia mosque
Sahihi kabisaa sheikh
Kilioooo!cha haki.Aiibu hiyooo ya vichwa vya kenya wanajuwa tu kuiba mali ya uma na kujaza matrilion kwa Bank zao.
These guys dropped some hard barz..."Locust wametushinda.Hatuna lab.Tunatuma specimen South Africa kupimwa.Tutapambanaje na Corona?Hatuna capacity ya Nzige....Corona tutapambanaje nayo???". 😤😤😤
Hata wakimfuta kazi mitandao ipo tutawamulika tu washenzi
Mm nitawamulika sasa .wamenichosha
Kabisa hapo tuko pamoja sana warudi kwao kwanza for surely Kenya hatutaki hao watu
This coastal leaders make so much sense, wote wafutwe, halafu kuna hawa wafanyakazi wote kila mtu aulizwe pesa ambazo zimetengwa kuprocure vyombo wamezitumiaje, waulizwe hadharani.
Mashee wetu mko sawa kabisaa 💪 haki serikali imeshindwa na kazi ni mambo na bbi tu kila uchao,,, nibora wafutwe kazi wote
Ni kawaida nchi zetu za Afrika na viongozi wetu wanajali pesa zaidi kuliko wananchi
Ni kweli kweli kabisaa lakini hii time kweli itafika wapi !!
Kwanza hiyo ndege inakuja kila Wednesday.Fala ingine inaitwa rashid ilisema ati hata tukikosa ku allow chinese kenya bado tunaweza pata from other people from other countries coming to kenya.he is forgetting that china is the epicenter of this disease.y shld we risk.this guy really suprised me.its better to take precautions than to risk.he is so stupid
Serekali wangefunga usafiri wa kutoka inje ya nchi.. ingekuwa Bora zaidi
Aki huyu shiekh ameongea ukweli kabisaa tho amefanya nicheke kidogo pale pa vitanda walela wenyewe na bibi zao twaumia sisi wanyonge
Aki Kenya ni nchi ambayo ingekuwa juu kimaeneleo.Lakini ndio nchi ambayo imezoroteka kiuchumi Africa kwa sababu ya UFISADI Na UBINAFSI
Tunaumizwa na chikungunya leo mwenda tuletea CORONAVIRUS nchini ugonjwa uloshindwa na tiba kwa nchi za kitajiri Khah!!!!
Na dengue fever jameni
Allah atustiri yaa Rabb
@@sakinat2527 Amiin dada
Nikweli kabisa wahenga walisema kinga ina shinda tiba.mbona awa wakubwa awawoni vile watu wana kufaa kiolela kule china. Waruhusiwe kuingia kenya na uko kwao wamezuia ndege kutoka inje kuingia kwao.
Umeongea vizur.china haiingii saudia walikataliwa
Mungu Atuepushie mbali janga hili la koron hasa kwa wenzetu wa kenya
Vitanda Kumi Na Moja Walale Wenyewe Na Wake Zao!!!!!!!!!!!! Sisi Hatutaki
Ameongea point 100%
Serikali haijatenda haki 100%
Hakika uongozi cyo
Remember before kutetema; hii ni laana kutoka kwa mungu kumbuka ambri 10 zilizotolewa kwa mungu wakati wa Faraoh... 💣 bomba ya 1 locusts 💣 ya 2 magonjwa hiyo coronavirus... bomba lingine laja ... tuajiangalieni...
Kama haya yanao ongelewa APA yana ukweli .wakenya ugonjwa huo utaishambulia afrika mashariki nzima kwa kutokana na muingiliano yetu hatimae tutatengana wenyewe kwa wenyewe jambo ilo sio lakufumbia macho nila kukemewa Sana halivumiliki na linakera .wachina hao watafutwe na warudisheni kwanza kwao.atuwabagui ila nikulinda jamii zetu
Mwenyezi mungu ndiyo atatunusuru Sisi walala hoi
Masheikh wetu we are with you in every steps you are taken
whoever is behind this,,that's arrival of Chinese in Kenya,,,go to hell,,a Satan without horns
Kweli nyinyi ni mashunjaa wetu.arundoshwe kazi .hii serikali Mungu tuokoe na haya manjangwa
Mimi namuomba MUNGU hiyo CORONA impate Uhuru tena afe ndio wengine watakaojiweka madarakani wawe na adabu
Ha, ha, ndio
ameen
wallai Kenya imeisha tuombe mungu tuu atuaidie sanaaa
Allah help us ,,tuko nyuma yako Mwalimu ,,Tumechokaa sana
Serkali haijali wanainchi wake wao wapigania b.b.i.
Kabisaa, tuko ready like yesterday kuandamana, hii serikali itatumaliza bila sisi kujua
Serikari ichukue hatuwa katika hilo mbona marekani wamezuiya ndege kuingia na kutoka sie waafrika tunashindwa vipi