ROSTAM WAGEUKA KUWA WAJEDA
Вставка
- Опубліковано 15 жов 2024
- Wasanii wanaounda kundi la Rostam hapa tunawazungumzia Stamina na Roma wametoa vibe kwa wakazi wa Morogoro huku wakiwa katika sare za kijeda na kuhakikisha heshima yao ya ubunifu kwenye show zao inaendelea kuwepo hiyo ni baada ya kuperfome kwenye Tigo Fiesta 2018.
bongo sihami sababu ya Rostam..kama hutahama kama mim gonga like hapo
Nakubal😂🤣
Kama unawaelewa gonga like apa
Dua
😃😃😃😃yani hawa jamaa hawatumuagi nguvu nyiiiiingi kuimbisha mashabiki
hongera mingi kwa Rostam
Basata waache kuwaonea hawa wataalam.. Kama tuko pamoja gonga like na subscribe Rostam page
Good. Sana.
Maninja sana hawa
Noma San........ Kama Nawe Umewaelewa Rostam gonga Like
Rostam mmetisha sana 😘😍😍
Saumu Hassan
Hata wewe saumu uko safi
Huo ndio ubunifu na maana ya Sanaa ROSTAM *#*
Kweli
ebu like kama umewaelewa wenye jitihada zao
Kazi nzuriiiiii
Rostam mkojuu uliye. Nielewa like zako tafadhal
Jk
Haw jamaa wanajua soko linataka nn na wanachokifanya n kupress button on, basiii wanakua wameishamalza kaz
Hawa jamaa Ndo wanashikilia fiesta
Hii Fiesta imepoaaa sana kipindi hiki jamniiiii
Noma sana Tena sana
makuma tu awana swaggar waleteni wazee watamaduni muzik hawa wamekuwa waigizaji
wko vzr
Hawa jamaaa ni 🔥 🔥 🔥
nice
Kwa kweliii hawa jamaa wanaliamushaaaa dudeeeee
Hii ndo show sasa I like it...... ..
hizi ndo show sasaaaah c o play back nakukata viuno
Umeona heeeee!!!!!
Godfrey Florence hiyo ni playback ndio maana havipigwi vyombo
Jmn fieta ii sikama miaka mingine ii imekaa kizembe kama tunaenda sawa like
anzisha yako ili ikae kijanja
upo sahihi
Vanessa Goodluck nimeuzulia show za fiestar miaka minne lakini ii ya sasa amna kitu labda mikoa mingine
Tena xn
MZiki mneneeee
Nyny do fiesta bila nyny hakuna fiesta
fiesta bila hawa jamaa hamna kituuuuuuu
Roma hatar xanaaaa
Mafundi hao ...kama unawakubali gonga like
Nawaelew San Hawa jamaaa ni hatr hawajawh kushindwa
Makini sana hawa raia
Makini rostam big up huwa hamkoseagi cku zote
Hatariiiiii sana Mzee
Nimekubali sana show kal vibe kama zoteeeeeeee
Ila mambo ya team team yamesababisha kiba kakaa mbali na mziki yani hata hapa kashindwa kuja chukua pesa zake za haraka haraka sababu mashabiki wa WCB wangesema hizi burudani za fiesta ndio level zake za marekani au international amuachie Simba
fuvu Bovu
Tisha Sana rostam
Hawa nawakubali sana
Show mbayaaaa imepoa sijui kwa sababu ya MV nyerere
Hatari san a
big up rostam
Aaaah!!! watungixhe
Noma sana
Noma sana Roma
Noma Sana hao jamaa
Rostaaam..
nakubali uwepo wa rtsm
mnamaaajabu sanaaaaaa
Gaston Gerald
hawa jamaa noma sana
Hiziiii ndo Show sasaaa
Rostam husepa na kijij always
Nice
Rostaaaaaam
Love mziki wa rostam
Tatizo fiesta mnaleta ushikaji mpaka kazini..... Afu mnauwa game mwenye akili kama mm kaelewa
Jux Bouy wasenge tuuu hawa.. Na Mwisho wao upo karibu sanaaa
Sana
👊👊
very true
Jux Bouy Bonyeza picha hii ya kushoto kisha subscribe please for more lyrics
Hao jamaa ni 💥💥
Yan fiesta kila mtu kaua kivyake duuuuh,,creativity ndio inatakiwa
Cjawah kujuta kushabikia Rostam
Fiesta bila ya WCB ni kama msibani tuu.. Imepoa sana
w2 wcb pelek chooni uko katupe
Rostam ndo mabo yote fiesta vitu tofauti kila. Mwaka
Hatari nanusu
Rostam right for the right fiesta
Awajamaa staili yao noma sana
Wanaa
Saf sana mzee baba nakuona uko vzr sana
Hii ndio maana ya sanaa
hitzone
Nomaaaa Rostam mko good
roma na stamina sowkufananishwa na wasanii wengine
DInSd
Haya ndo maweeeeeeeee
af tangu waanze kujiita ROSTAM sielewag wanachoimba .. .. her kipind kile mmoja mmoja. wanafel mnaimba parapanda wakat hamuish makaburin
Atal Sana
Rostam nawakubli sana
hatariiiiiiiii🎶🎵
Kileleni sanaa
good
rostam nawakubali san miaka 800
atakae mkamata Roma na stami et kisa wametukana kwenye nyimbzao BC anikamate namim maana nawasapot sana
Hawa ndo fiesta bila hawa mnafeli 🔥🔥🔨🔨
Hamza Haruna
j
Wazee waki bam100
Kharaaa!
Rostaaaam
Sauda hanifa
Nzur
wasanii wabovu mnawaleata
uangaIiwe akiIi
parapanda naikubal kwa sana from+254
Wataharamu mko poa
rostam nitabuu
Hivi lile vibe linalotangazwa ndo hili
John Peter
2:26 Roma mchapio
Balaaa
Hapo chachaa vibe ndo ilooo kama loteeeeeee
Zur
mpo vzr
hawa ndo wtu wanaojua mzk bna wngn n mambangaaaa
nouma sanaaa
Wasanii wa bongo katika performance,msiwe wa vivu was kujifunza angalieni show za wasanii Kama Jay, nk. Huku bado tuna gandana na playback
gonga like
Saf sana
USISAHAU KU SUBSCRIBE wapenzi wa season
Cool
sound fake kila kitu ovyoooooo show mboooovu likes zipiteee hapa namii niwaonee
Na bado Kuna wapuuzi wanataka ili tamasha life! ...😕😕
mtasubili sana!
HARAKATI
Tembelea channel yangu pia kama unapenda harakati
Gooooood rostam
wajeda
🔥🔥🔥
Mhhhhhhhhhhhh Alaaaaaaaaaaaaaaa 😂😂😂
umeon
Rostam muchungane na watu wasio julikana.
noma sana