shekh wangu yussuf abdi nakupenda sana kwa ajili ya allah umeufanya moyo wangu kuwa na furaha mda wote toka 2018 nimesahau kuskiliza nyimbo kwa ajil ya kuskiliza sauti yako napenda sana nasheed zako umenitowa kwenye upotovu ww nishekh mwema kwang
Shekh yussuf Abdi Ww ni muanzilishi wa hzi nasheed na ni mlezi wa hwa vjana anenda kinyume na maadil ya nasheed kma ww kiongoz unapaswa kumuelewesha tunategema kwa uwezo Allah kuwaongoz vjn kitk njia iliosawa.Ila ombi langu jengine tuomba kolabo ww na khamis k yanii tunatamani sna kolobo yenu maan itakuwa ni big nasheed kwa miaka hyi ya karibuni kwa sababu mafundi wawili nyote itakuwa mumepatana please shekh tuomba kolabo na khamis k
Laiti ingekuwa serekali inapitia haya mambo bc kwa Tanzania huyu jamaaa niwakupewa tunzo ila fanya kaz ipo siku. kiukweli nishawahi kuskia nasheed nyengi Sana ila unafanya vivur sana sana Allah akulipe kher umentoa machozi kwakweli
Ulemavu sio mtu kujitakia, yote mipango ya Allah. Hata ukiwa na familia mlemavu, mtoto,dada,ndugu,baba au mama, wawaidie sana na pia uwaoneshe mapenzi sana, hata pale nje unapo kutana nao, jaribu usaidizi unaoweza. Encourage even friends who have such relative, advice them and even guide them to register with the government for more help of assistive devices or even schools.usiwahi choka, ndio maana Allah atueleza tuwasaidie sana, na pia pale ukionyesha dharau, mswahili anasema usitukane mkunga kama uzazi ungalipo,dharau wa nje utaipata kwako
ua-cam.com/video/7mCFeAUPRwg/v-deo.html Ile nasheed yetu tamu🥰 inayokwenda kwa jina la rudi ipo youtube sasa ni nasheed yenye matukio ya kuhuzunisha😭 na mafuzo makubwa emu kaiangalia alafu dondosha comments zako😷
Mashaallah ujumbe ni mzuri na umefika insha'Allah 🥰🥰🥰🥰
Ujumbe mzur kweli kweli yaan ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Allahu Akbar kwenye hii nashed Kuna kipande kimenigusa kweli na na nimejifunza kupitia hii allahu Akbar
Mashaallah sku zte mm nasema ww ndi fundi Allah akuzudishie
Masha Allah ujumbe mzr
Mashallah kazi nzur kw kweli Allah awabarik sana ujumbe umefika
Style yako ni nzuri sana Edelea kutoa ujumbe na nia iwe njema ALLAH subhana atakulipa
pemba iyo
shekh wangu yussuf abdi nakupenda sana kwa ajili ya allah umeufanya moyo wangu kuwa na furaha mda wote toka 2018 nimesahau kuskiliza nyimbo kwa ajil ya kuskiliza sauti yako napenda sana nasheed zako umenitowa kwenye upotovu ww nishekh mwema kwang
Shekh yussuf Abdi Ww ni muanzilishi wa hzi nasheed na ni mlezi wa hwa vjana anenda kinyume na maadil ya nasheed kma ww kiongoz unapaswa kumuelewesha tunategema kwa uwezo Allah kuwaongoz vjn kitk njia iliosawa.Ila ombi langu jengine tuomba kolabo ww na khamis k yanii tunatamani sna kolobo yenu maan itakuwa ni big nasheed kwa miaka hyi ya karibuni kwa sababu mafundi wawili nyote itakuwa mumepatana please shekh tuomba kolabo na khamis k
Aaamin
Mashallah kazi safi kabisa
masha allah mungu akuongoze kwenye kukumbusha jamii
Laiti ingekuwa serekali inapitia haya mambo bc kwa Tanzania huyu jamaaa niwakupewa tunzo ila fanya kaz ipo siku. kiukweli nishawahi kuskia nasheed nyengi Sana ila unafanya vivur sana sana Allah akulipe kher umentoa machozi kwakweli
Najua nimechelew kuiona hii nasheed ila sifa yako upewe uko vizur mtu wang Allah akulipe kheri inshallah Asante sana 🤝
Mashallah hakika
ماشا الله، قد أجدت وأتقنت، وأحسنت، وبارك الله فيك، وجزيت خيراً إنشا الله!!
Mashaallah bro
MashaAllah mwanangu nakupenda sana
Maashaallah nimeipenda ipo vzr, Allah akubarik
Mashaa Allah kama kawa mwamba unajua sanaaaa hongeraaa
shekhe wangu tutoleye moja na ww
Fundi mwengine hyu apa kza kamba kija utafika tu kwa uwezo Wa Allah
Maashallah nzr sana
MASHAALLAH MASHAALLAH MASHAALLAH Ujumbe kwahakika umefika
msumari wajahaz haugongewi ukuta fanya upewe pongezi nakukubali san bek esh ww na fundi wa nasheed Tanzania khamic kombo
Shukran sana Nakukubal pia kaka
MOTOOOOOOOOOO KUBWA NA NUSU HII
Masha Allah.kazi imefika
Mashallah kazi mzuri sana. Hapa umezungumza kitu cha maana kabisa hongera yako upewe💯💯💯💯
Mashaallah kaz mzr
Umeweza bro
Kali snaaaaaaaaaa
Mashaallah ujumbe umefika
masha allah naikubali sana sana
Ulemavu sio mtu kujitakia, yote mipango ya Allah. Hata ukiwa na familia mlemavu, mtoto,dada,ndugu,baba au mama, wawaidie sana na pia uwaoneshe mapenzi sana, hata pale nje unapo kutana nao, jaribu usaidizi unaoweza. Encourage even friends who have such relative, advice them and even guide them to register with the government for more help of assistive devices or even schools.usiwahi choka, ndio maana Allah atueleza tuwasaidie sana, na pia pale ukionyesha dharau, mswahili anasema usitukane mkunga kama uzazi ungalipo,dharau wa nje utaipata kwako
Mashaa Allah...kazi nzuri
Good job 👍
Yaniii haya yapo
Safi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Good kaka
🔥🔥🔥
Good something......
Swaaaa😢😢😢😢
Mashaalah😍 perfect 👏👏
Masha Allah
Very MashaAllah
Kolabo yetu iko wapi 😂😂
ww ni fundi wa nasheed Africa masharik cyo km yule muimbaji wa nyimbo blather nasryi
Shekh Yusuf tuomba kolabo ww na khamis k umoja weni unatufurahisha sna nitumai umbi langu utalikubalia
ما شاء الله تبارك الرحمن الله يحفظك
💯💯🌟🌟
ua-cam.com/video/7mCFeAUPRwg/v-deo.html
Ile nasheed yetu tamu🥰 inayokwenda kwa jina la rudi ipo youtube sasa ni nasheed yenye matukio ya kuhuzunisha😭 na mafuzo makubwa emu kaiangalia alafu dondosha comments zako😷
Mashaaallah