Masha Allah nice adviseble. Very sad. Mostly of marriage are effected because of figa moja haliinjiki chungu. Wazee tujitahidi na malezi na kuwafundisha watoto maadili ya dini yenu na kuwatahadharisha na mto wa jahnam utawaopata wazinifu. Sifaham vipi mtoto aloolewa anaweza kuvua nguo akakashifiwa. Tumoogope Allah na adhabu zake.
i dont mean to be offtopic but does anyone know a trick to get back into an instagram account..? I stupidly forgot the account password. I would appreciate any tricks you can give me.
@Luciano Milo I really appreciate your reply. I got to the site thru google and I'm waiting for the hacking stuff now. Looks like it's gonna take a while so I will reply here later when my account password hopefully is recovered.
Malezi mema yametoweka. Wengi kati ya sisi wazee ndoa zetu hazikuwa safi. Hivyo hata malezi ya watoto ambao wanaowa na kuolewa wakati huu tumewarithisha uchafu tulo fanya baadhi ya sisi wazee. Wananandowa mpaka wanafunga ndowa Hawajuwi majukumu yao. Hamna subira na huruma katika ndowa za siku hizi. Shida kidogo watoto wanaruka ruka nje.
Wanawake wenzangu nawausia hayo mashungi ya mabichwa ya ngamia hayafai Mtume SAW kakataza kasema wanawake wa namna hiyo harufu ya pepo hawatainusa na waume na mababa wasimamieni waache hat kama wanaona wenzao wanafanya.
Good job au mwaonaje wadau wangu kama umeikubali gonga like
Mashaallah brother ujumbe mzur 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Masha allah tabaraqa rahman na sheed nzuri
Masha Allah nice adviseble.
Very sad. Mostly of marriage are effected because of figa moja haliinjiki chungu.
Wazee tujitahidi na malezi na kuwafundisha watoto maadili ya dini yenu na kuwatahadharisha na mto wa jahnam utawaopata wazinifu.
Sifaham vipi mtoto aloolewa anaweza kuvua nguo akakashifiwa.
Tumoogope Allah na adhabu zake.
Mashaalah...Amazing!...am very appreciate your work...very creative.
mashaallah mungu akupe muongozo wa kuelimisha jamiiii
Mashallah jamani watu wa aina hii wapo kwel inaskitisha 😔😔😔😔😔😔😔😔
Allah atueke mbali na vituko vya sheitwan ...mashaallah nasheed nzury sn Allah awalipe kheyr kwa kueleimisha jamii
Brother kazi zako zimenifurahisha kwa kweli Allah akuongoze
Hatar kiongoz nakubali by adii
Worderfull nasheed,
Kipindi kirefu naisubiria ila leo nipo na Furaha Masha Allah
Ziko zinakuja tena nzuri balaa
@@newstarrecords-pemba twazingojaaa
Ma shaa Allah nice bro good work 👍
MashaAllah keep it up brother!!
Khamis k hakuna anae weza kushindana na ww unaweza sanna dah bye shuu mb 😍
Ujumbe umefika mashaallah
masha allah akhui kazi tam na ujumbe swadacta kwa kweli umefika huu...
Nakubali kaz Kaka. Hoger
Mambo mazur mashaallah
MaashaAllah
This is very creative nasheed .. i look foward to work with u inshallah..✌
fantastic nasheed love this staff!!!
i dont mean to be offtopic but does anyone know a trick to get back into an instagram account..?
I stupidly forgot the account password. I would appreciate any tricks you can give me.
@Ulises Will Instablaster =)
@Luciano Milo I really appreciate your reply. I got to the site thru google and I'm waiting for the hacking stuff now.
Looks like it's gonna take a while so I will reply here later when my account password hopefully is recovered.
@Luciano Milo It did the trick and I now got access to my account again. I am so happy:D
Thanks so much, you saved my account!
@Ulises Will You are welcome :)
Kazi kubwa sana
Mashallah nice work
Maa shaa Allah
Masha allah kz ipo vzr mkuu
MashaAllah. Kaka. Wa Nyumbn.
Malezi mema yametoweka.
Wengi kati ya sisi wazee ndoa zetu hazikuwa safi. Hivyo hata malezi ya watoto ambao wanaowa na kuolewa wakati huu tumewarithisha uchafu tulo fanya baadhi ya sisi wazee.
Wananandowa mpaka wanafunga ndowa
Hawajuwi majukumu yao.
Hamna subira na huruma katika ndowa za siku hizi. Shida kidogo watoto wanaruka ruka nje.
Mashallah
Gud khamiss
Masha allah nasheed nzur sana
Weee mkali
Zanzibar moja hiyoo
hongera bro from south africa nitakuja kurikodi hio studio na mimi
Karibu sana brother
Wewe karbu
Nasheed nzuri na ina mafunzo mazuri
Wanawake wenzangu nawausia hayo mashungi ya mabichwa ya ngamia hayafai Mtume SAW kakataza kasema wanawake wa namna hiyo harufu ya pepo hawatainusa na waume na mababa wasimamieni waache hat kama wanaona wenzao wanafanya.
Tusihadaike na sala na saumu peke yake tutfanya makosa mengine
Mashallah nasheed nzur sn
hish! mashalllaaaah
Mashallah alf mashallah hasbiyallah alf mashallah hasbiyallah
Good job
MashaAllah AlAkhy
Mashaallah Allah
Mashallah hatari hatari
Mashaallah nice voice
Ijayo nitafanya mm usijal boss wngu
Tunaisubr kwa ham iyo yak mzee baba
GOOOD
Ajab mashaaAllah
mashallah kazi nzr
Saf kaka
Mashers nice
Mzr cn
😍😘
Maashaallah
Masha Allah
Mashaallah
Naomb namba yako kaka
Brooo unajua ww endelea na kazi tupo pamoja na ww by buy toll
Wanawake mashungi na manundu kichwani yanakatazwa na Mtume Muhammad SAW Jamani hebu sikieni
Enyi Umma katika Wanawake wanaotunisha vichwa vyao kama ngamia hawatainusa harufu ya Peponi masheikh wanatuusia heebu tuwaacheni ukaidi Wanawake
Bila shaka, ahsante kwa ukumbusho
100%
Mashallah
Mashaallah
Mashallah
Mashallah
Mashallah
Mashallah