Eti watoto kina soulja boy, hebu mfuatilie huyo ulomtaja uwone Legacy aloiacha na mapinduzi anayoendelea kuyafanya Marekani hakuna msanii uloweza kufanya mambo na Legacy aloacha Soulja Boy so ukifananisha kabla hujataja jina angalia jina unalotaja kwanza maana wengine watakuona taahira. Hao kina Dre wote wanampigia salute Soulja Boy
Hawa jamaaa wapewe heshima yao, walitengeneza njia ya comedy na kupitia wao ndio tulianza kuona comedian anapewa dili la zaidii ya mioni 100.mimi na fanya comedy lkn heshima yao Hawa waungwana nawapa yoote
Kwako mafanikio ni nini? Chakula,fedha kiasi gani,nyumba ya ghorofa ngapi,au mke wa uzuri gani,Chukua kioo ujiangalie , halafu jiulize ! wewe mwenyewe imefanikiwa kuliko Mpoki.?
😄😄😄Kumhoji mpoki ni kazi sana

Hukuona show ya Dr Dre Superbowl ndo maana imeongea yako na wewe
Mpoki si anabalaaa kabisa wa moto sana huyu mwamba🔥🔥🔥
Wenye mji wao
Hawa watu kiboko nawakubali sanaaaaa😃😃😃😃
Ukitupa mke tunazalisha 🤣🤣🤣
Nawakubali sana
Masanja sahivi anaongea kiuchungaji chungaji🤣🤣🤣
Nikajua nimeona mwenyewe tu...
🤣🤣🤣Mipango yako au yangu nimeipenda hiyo mpoki😘
Nawapenda san
Waleteni Wasafi TV
Hapo DUKE sijui #Due ameingia Chakike
🤣🤣🤣🤣 eti samahani mchungaji
Mama ima na ima kwakwel mtauwa😂😂
😂😂😂 eti ukitupa mke ana zalishwa
Be a good listener,acha kuongea sana brother
Mlimwengu😂😂😂😂😂😂
Mpoki ulitisha Sana ktk Tuzo za Kili miaka ile
🤣🤣 masanja, mama ima eti samahani mchungaji 😀
Muhaya akiwa anajimwambafai🤣🤣🤣
Hao wajamaa nawakubali sana
Hawa jamaaa wapewe heshima yao, walitengeneza njia ya comedy na kupitia wao ndio tulianza kuona comedian anapewa dili la zaidii ya mioni 100.mimi na fanya comedy lkn heshima yao Hawa waungwana nawapa yoote
Mbona mama I'ma kapoa Yani kama na joti angekuwepo mama ima sauti Yako
Mama ima 🤣🤓🤣🤣🤣
point
Nampenda mama ima
mama wa kinyakyusa 🤣
Pitia file langu
mama imaa
Mpoki et umshinde kwenye ubishi😂😂😂
Thank me for coming here
Steve kweli kwenye msiba anajitoa sana,anataman hata msiba wake mwenyewe angeusimamia yeye mwenyewe.Sema ndo hivyo tena
Zumarid
Samahani mchungaji...🤣
Hawa jamaaa atar
Ukitupa mke anazalishwa. Kila kazi tunafanya
Comedy
Leo DUKE KAINGIA CHAKIKE
😂😂😂
Kiuhalisia Mpoki hawezi stand up comedy! Show yake haikuwa inavutia
Masanja unatupiga na kitu kizito
😁😁😁😁😁
Wapi joti
🤣🤣🤣
Aliya uko wapi mbona tunasikia sauti yako tu sura ikowapi?
Leba
Ushawahi pata mimba?
@@stn4873 we unayo?
@@malkavoice2570 Njo nikupe mimba alfu utapata jibu kwanini Aliya unaskia sauti tu sura huioni.
Ili jinga limekazna kumvuruga mmchungj ety tunawez kutoa mimba
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
Duu
Wamerudi akachukua kijiji kipi?
Utajua ujh
Haha
&7
huyu wakuvwanga hachekeshi kabisa, kifupi anabwebwa tu
Mpoki unaongea sana kufanikiwa itakua ngumu...jaribu kua msikilizaji mara zingine...
Mafanikio gani unayotaka afanikiwe?....Ndio hapo atakuuliza unajuaje kama sijafanikiwa utabaki unaduwaaaa!!!
Unataka afanikiwe mara ngapi?
@@stn4873 🤣🤣
Kwako mafanikio ni nini? Chakula,fedha kiasi gani,nyumba ya ghorofa ngapi,au mke wa uzuri gani,Chukua kioo ujiangalie , halafu jiulize ! wewe mwenyewe imefanikiwa kuliko Mpoki.?
Usitizam utaliya😭😭😭ua-cam.com/video/eaqQi-ocoC8/v-deo.html