Wewe ni nabii yupi? Mbona unafundisha na kuaminisha watu uongo? Imeandikwa wapi kuwa baba na mama ni mungu wa pili duniani? Acha kupotosha watu. Mathayo 12:36. Tafakari.
@HelenNyaulingo naomba kifungu tafadhali kuwa "baba na mama ni Mungu wa pili duniani". Haya mafundisho yenu kuwa baba na mama ni Mungu wa pili duniani ni hatari kuliko COVID 19. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Kweli
3:54
Nabii kila siku wanaongezeka
Huyo sio Geor Davie usiniaribia jina la Baba yangu wa kiroho🤷♀️🤷♀️🤷♀️🤷♀️🤷♀️
Kuna watu mnajua kukurupuka 😅 ebu sikiliza vizuri jina mpendwa wng
WAPUMBAVU NYINYI MNAHARIBU MITANDAO KWA HIZO STORY ZENU ZA UWONGO. MI NASHANGAA KWA NINI HATA HIYO UA-cam WANAWARUHU HUU UJINGA.
Hatar
Wewe ni nabii yupi? Mbona unafundisha na kuaminisha watu uongo? Imeandikwa wapi kuwa baba na mama ni mungu wa pili duniani? Acha kupotosha watu. Mathayo 12:36. Tafakari.
Kaka biblia ilishaandikwa waeshimu baba na mama maana awo ni mungu wapili duniani Sasa unabisha nini
@HelenNyaulingo naomba kifungu tafadhali kuwa "baba na mama ni Mungu wa pili duniani". Haya mafundisho yenu kuwa baba na mama ni Mungu wa pili duniani ni hatari kuliko COVID 19. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
huyo msanii anajina baya linatisha na hayo meno yake yamekaa kuzimu