samaki wa uko UK hawaekwi ndimu wala vinegar. Naona samaki atakua na shombo. Maoni yangu muhongo samaki umueke na embe mbichi au ndimu anakua na ladha. shukran kwa mapishi
Sabra Abdulla asante dear, ila mimi samaki wa muhogo siweki ukali wa aina yoyote , kitunguu saum kinakata shombo vizuri tu, naweka kwenye mapishi mengine. Asante dear kwa kuangalia
Allah akulipe zaidi Jana nikajaribu ila nikaweke nyama badala ya samaki wallah chakula kilikuwa kitamu in shaa Allah siku nyingine nitajaribu kupika kwa samaki.... nimejikuta nakupenda bure
Nice recipe naona hauweki kitunguu...
Thank you great recipe simple and perfect
shukran habibt nataka kuwa wanafunzi wako kwa kupika napenda sana kupika uko poa allah akuzidishie inshaallah
Ameen, shukran dear
My favourite food..loh i like this dish ever...mashallah
hapa sawa dear pamoja sana mungu akuwezeshe kutufunza tusivyo vijua ameen
Ameen asante dear
Woow!
Rahisi sana! Asante
Masha allah ,Naangalia video yamuhogo mate yananitoka vyoo.
nimependa hili pishi sanaa ....
santee Shunaa
Napenda sana kujifunza mapishi tuekeeni na mapishi mengine
Mashaallah
nafatilia sana shuna's kitchen
but pika visheti vya namba nane nijifunze
MashaAllah shukran sis kw mapishi mazuri na mimi nitajaribu Today kwa ftar Insha Allah
Afwan sis. . Asante sana
Salàm alekum mashallaah Mimi napenda sàna muhogo
Maa Shaa Allah
Mashaallah waonesha mzuri ni wamapact au wakumenya mwenyeo
Thaurat Ali shukran, ni wa mapakti.
Shuna's Kitchen shukran
Shukran kwa upishi mzur
Mashallah
Salam alekum mashaallah
Mashaa Allah swadakta habibty
Nice
Safi sana
samaki wa uko UK hawaekwi ndimu wala vinegar. Naona samaki atakua na shombo. Maoni yangu muhongo samaki umueke na embe mbichi au ndimu anakua na ladha. shukran kwa mapishi
Sabra Abdulla asante dear, ila mimi samaki wa muhogo siweki ukali wa aina yoyote , kitunguu saum kinakata shombo vizuri tu, naweka kwenye mapishi mengine. Asante dear kwa kuangalia
Shuna's Kitchen Ata sis Wazanzibar tulio wengi samaki wa muhogo hatueki ukali
عايشه سعيد mwenyewe sijawah kufanya, labda samaki wa supu / chukuchuku
Huyu samaki ni jodari?
Manshallah kwanza nichukue coz
Chakula nakipenda hiki duh shukran sana dadangu nimejaribu vyakula vyako vote vitamu😘
Asante sana dear
Uko vizur
Woow nitaharibu ii recipe.
Nitajaribu sio nitaharibu,otherwise hii
Dada samahan nikifunika Nazi aiwez kukatika?
Nzuri 👍
Mwaaah
Masha Allah upo wapi jamani nikukaribishe home
Nipo UK habibty nialike. .asante dear
nicee nimependa na jinsi ya kupika pizza leteni bas
Pizza please angalia hapa ua-cam.com/video/rUgPWRK9BWo/v-deo.html. Asante dear
Asant pia mamy
Shukran Shuna
Can I use coconut milk instead?
yes it's the same
unatumia aina gan ya samaki Au samaki yoyote?
samaki yoyote unaependa :)
Napnd than mapishii yakoo dadaa ...lkn kwann unapnd kuvaa gloves kwakupikiaa??
Usafi tu
Mashallah 👌
Good
Mashaallah nimewah wa mwanz leo
Rahma Ayoub. Asante dear
Shuna's Kitchen ok na wew pia
salàm alekum mashallaah
Shukrani 😘😘😘
Shukran 😘
So yummy😋
Shukran
Allah akulipe zaidi Jana nikajaribu ila nikaweke nyama badala ya samaki wallah chakula kilikuwa kitamu in shaa Allah siku nyingine nitajaribu kupika kwa samaki.... nimejikuta nakupenda bure
😍😍😍😌
Kesho napika hi
Thanks
Shukran mpenz
Hongera sana dada
Mashaallah
Nice
Mashaallah