je Mimi namuomba huyo Doctor sikia maumivu makali sana sehemu zinazo kaa figo lakini mkojo napata kama kawaida mpaka kiuno piya kinaniuma je na Mimi itakuwa nnatatizo ya figo
Kabisa jmn Yani ninfigo natoka hospital muda huu mama angu amepimwa anauvimbe kwenye Figo ya kushoto na maumiv hayohyo msemayo nyie hivyo waeni bahati aizijaalibika ni uvimbe tu
Nipee number yako
Protein yangu Iko juu
je Mimi namuomba huyo Doctor sikia maumivu makali sana sehemu zinazo kaa figo lakini mkojo napata kama kawaida mpaka kiuno piya kinaniuma je na Mimi itakuwa nnatatizo ya figo
Ukiwa na Figo hupati mkojo wa kutosha
Mi too niko hivo sijuwi shinda nigani
Kabisa jmn Yani ninfigo natoka hospital muda huu mama angu amepimwa anauvimbe kwenye Figo ya kushoto na maumiv hayohyo msemayo nyie hivyo waeni bahati aizijaalibika ni uvimbe tu
Miguyangu imemba je hiyo nifigo