😳KIMENUKA! FIFA IMEIFUNGIA SIMBA SC MIAKA 10 NA FAINI MILLION 500 KWA VURUGU WALIOWAFANYIA WAARABU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 175

  • @MussaMlindo-i4e
    @MussaMlindo-i4e 19 годин тому +4

    Wachambuzi hapa mnazingua mbona kama mpo upa de flani simba wangefanya fujo wakati wameshinda fujo yanini
    Ngoma aliwaomba au kuwatuliza wasifanane nao wao wawe watulivo
    Siyokama mnavyotafsiri

  • @AmanDeonatus-n7r
    @AmanDeonatus-n7r 6 годин тому +1

    Nikweri au kufuguiwa simba

  • @ErastoEgbert
    @ErastoEgbert 8 годин тому +1

    Inawezekàna simba amejibu masĥambulizi baada ya yeye kuanzishiwa fujo after 2nd goal

  • @OnesmoDickson-b7m
    @OnesmoDickson-b7m 18 годин тому +1

    Fungia kabisa mbwa hao miaka 💯

    • @MaryHamisi-k8j
      @MaryHamisi-k8j 18 годин тому

      Sawa bana 🐸wewe

    • @MwitaChacha-l9t
      @MwitaChacha-l9t 17 годин тому

      Kuma la mama Ako Kwa hiyo Simba ikifungiwa utapata nini paka wewe

  • @bancaajabary
    @bancaajabary 10 годин тому

    Angaliaaaa vizuri pichaaa zilee mashabiki wa yngaa walikaaa n waarabuuu

    • @shaameshaame2837
      @shaameshaame2837 10 годин тому

      Uwanja wa taifa hausemewi unasema wenyewe kwa maana kuna kamera uwanja mzima kwa hyo ukweli ukidhihiri uongo unajitenga kwa sisi mashabiki kila mtu atatengeneza lake lakini kiukweli simba muliingilia fujo ambazo haziwahusu. Timu ilipiga mwamuzi washabiki mungetulia ili rungu la CAF liwaangukie wenyewe kwa maana wao hawakupiga wachezaji wa simba lakn mashabiki walipata muhemko hadi wapo walioshuka jukwaani kuingia uwanjani wakakamatwa na walinzi alikua amevaa jezi ya simba na Jeans. Sisi mashabiki kila mtu atavutia kwake lakn kila kitu kipo wazi kwa pande zote

  • @anthonymilinga8696
    @anthonymilinga8696 10 годин тому +2

    Waandishi wa habari wa Tz niwasenge wote na umbea. Kule congo 🇨🇩 Yanga walipigwa lakini waandishi wa congo hawaja sema chochote, simba walipigwa kule libya hakuna msenge yoyote aliongea kwenye media, ifike mahali watanzania tujithamini sisi wenyewe kwa wenyewe.
    Mtu hawezi kuja kwangu akanipiga mimi na familia yangu mimi nika muangalia tuuu huo usenge haupo

  • @bezalelmbijima8182
    @bezalelmbijima8182 19 годин тому

    Wachukie Simbaaaaaa tu lakini Simba daima mbele. Simba Nguvu moja tutavuka.

  • @benedictmuhiri
    @benedictmuhiri 8 годин тому

    Washabiki simba wameharibu

  • @samsonogunde4508
    @samsonogunde4508 19 годин тому +1

    Taarifa Mbili Tofauti ni Sawa, tunaharaka ya kutoa Taarifa bila kuwasiliana

  • @ThabitMunuo
    @ThabitMunuo Годину тому

    😂😂😂😂hapo tumlaumu alaumiwe Kibu D kwa kosa la kufunga gori 😂😂😂😂 simba raha sana

  • @saidbakari7998
    @saidbakari7998 7 годин тому

    Taarifa za kikuda mnaanza kuihujum simba

  • @TanzaniaDigitalTv1
    @TanzaniaDigitalTv1 19 годин тому +1

    Hapa simba lazima watapigwa faini na caf ama fifa 😂😂😂

  • @FredyVincent951753852456
    @FredyVincent951753852456 19 годин тому +1

    Hivi adui akikushambulia unatakiwa unyamaze ulie,usijilinde. Washabiki wa Simba walikuwa wanajilinda dhidi ya adui

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 17 годин тому +3

    fifa ya wapi wandishi wa bongo nyinyi wachonganishi sana siku simba ndo na yanga zinawafanya mnakula nyie wandishi wa kibongo hakuna kitu matukio yapo mengi sana tz mmeshindwa kusaka matukio mmebezi na mipira tu huo ni uzembe wa kusaka habali eti tz mnajiita mnawaandishi hovyo kabisa

  • @JaydanJohn-b4x
    @JaydanJohn-b4x 19 годин тому +1

    Kumekucha.. kumekucha.. kumekucha 😅😅😅😅

  • @AkiliNawanda
    @AkiliNawanda 4 години тому +1

    Cmba ndio kawaida yao kutuharibia miundo mbinu hukumu ipite

  • @maisharajabu8876
    @maisharajabu8876 8 годин тому +1

    Ili kuisaidia Serikali kupata ukweli watendaji wachukue Hatua na suala la kuchukua Hatua kwa ushabiki lisipewe nafasi, kwa kuwa wahusika wa fujo Siku za usoni wataendelea na tabia zao chafu

  • @abdulnassersulleiman1135
    @abdulnassersulleiman1135 10 годин тому +2

    Sisi mashabik wa simba tunaimani kabisa wale waliofanya fujo, ni mashabiki wa yanga ambao ni mamluki wakiwa wamevaa jezi za simba ili tu waiharibie brand timu yetu

    • @meryJoel-h7h
      @meryJoel-h7h 9 годин тому

      Nyie kumbe amnazo mbn mnatuandama ivo kwan vp

  • @tumlashaibu
    @tumlashaibu Годину тому

    Walioanzisha fujo nI waarabu inajulikana lakini bado waandishi mnajikanyaga waandishi vipi wakati jeshi la pollisi lenye dhamana ya ulinzi n a mali za raia limetoa tamko

  • @maisharajabu8876
    @maisharajabu8876 8 годин тому +2

    Iwapo uwanja una CCTV camera zenye uwezo wa hd wote waliohusika wataonekana na mashabiki wanafahamika hata akiwa wa Yanga amevaa jezi ya Simba na wa Simba hajavaa jezi. Huu ni ulimwengu wa Technology hivyo wahusika wakitafutwa watapatikana TU.

  • @Mufti-g3x
    @Mufti-g3x 20 годин тому +19

    Unajua mm nnaposikia Simba ina maadui wengi nilikua sijajua kumbe ni kamaivi daah! Simba inapambana kuiletea heshma nchi kumbe Kuna viongozi wanaizamisha daah mpira tz tusahau kwenda mbele

    • @karimmakweta3530
      @karimmakweta3530 19 годин тому +3

      Heshima Gani ya kuvunja viti na kuhonba marefa

    • @karimmakweta3530
      @karimmakweta3530 19 годин тому +3

      Viti 256 vinaweza kun'golewa na mashabiki wa Waarabu chini ya hamsini.

    • @Mufti-g3x
      @Mufti-g3x 19 годин тому

      @@karimmakweta3530 Bado hamjasema mwaka huu mpaka mlie up

    • @LucasMagukuru-hc9kr
      @LucasMagukuru-hc9kr 19 годин тому +3

      Kwaio kuvunja viti ni kuleta heshima

    • @AbubakarPatrick-q1z
      @AbubakarPatrick-q1z 19 годин тому +2

      Hakuna kitu kama hicho kuvunja vitu adhabu yake ni kulipa alafu maisha yanaendelea

  • @JaydanJohn-b4x
    @JaydanJohn-b4x 19 годин тому

    Imekua ghafla Sana jmn 😳😳😳😳🔥

  • @OnesmoMkayu
    @OnesmoMkayu 11 годин тому

    Wafungwe simba ata picha zinaonyesha mashabiki wa simba wakingoa vitu ao walabu awaking''oa viti simba waajibike

  • @GadafSalum
    @GadafSalum 12 годин тому

    Wote simba awo awana lakuongeya

  • @MussaMarwa-z3n
    @MussaMarwa-z3n 6 годин тому

    Simba inakosa gani

  • @simbabenney3560
    @simbabenney3560 10 годин тому +1

    waandishi wa kibongo akuna kitu kwahyo simba ndio wamempiga refa akilizenu zinawatosha wenyewe

  • @PaschaziaAlbert
    @PaschaziaAlbert Годину тому

    Ngoma kuwatuliza mashabiki ni baada ya tukio hao mashabiki wangeni kuwa wameishaenda na vuwanjani aliwaomba mashabiki watulize haira kwa makosa waliofanyiwa na wageni maana wao ni wenyeji bas haiimanishi kuwa wao ndo walileta fujo

  • @AshrafuYusufu
    @AshrafuYusufu 17 годин тому

    Eti thimba imefungiwa miaka 10 we mshenzi kweli

  • @YangoNayango
    @YangoNayango 9 годин тому +1

    Nchi ninyetu uwanja ni wetu timu ni yetu atokee mtu kule atokako akuharibie vyombo vyako uta muangalia unamuadhibu kisha kitakacho fuata sheria ichukue mkondo wake hawa waarabu wanafujo watungoje kwao tutapambana nao hadi mwisho hakuna kuogopana popote kambi aliy j nawapata nikiwa msa kenya simba inatuheshimisha watanzania

  • @everlynkilimba3963
    @everlynkilimba3963 19 годин тому

    Kupoteza heshima ya nchi

  • @mitanakadorho2356
    @mitanakadorho2356 Годину тому

    Kama hii taarifa yenu ni ya kweli, naipongeza FIFA, Simba wanazidi ushamba saana, walipeleka Yanga kwenye ngufu za kishirukina timu yetu imepotea sasa wapate adabu pia na ushamba wawo

  • @abdulnassersulleiman1135
    @abdulnassersulleiman1135 10 годин тому +1

    Kwan mbona hata mashabiki wa yanga wanauwezo wa kuvaa jezi za yanga na wakawa ndio waanzilishi wa hizo vurugu

  • @SimonChibago
    @SimonChibago 6 годин тому +2

    huyu mchambuzi lolote limkute QMMQ

  • @PaschaziaAlbert
    @PaschaziaAlbert Годину тому

    Jiulize shabiki wa simba angefanya fujo ya nini wakati Ana furaha? Mwanadamu sio mungu au yesu kusema ukimuonea atakuacha umpire no

  • @ramadhanhamisi7405
    @ramadhanhamisi7405 9 годин тому

    Sawa pamoja

  • @PaschaziaAlbert
    @PaschaziaAlbert Годину тому

    Alafu nyie waandishi ndo maana magufuli alikuwa amewafungia kumbe kweli mnaweza sababisha uchochezi na hamsemi ukweli ulivyo

  • @LwimaFinancial
    @LwimaFinancial 17 годин тому

    Simba anastahili kufungiwa kuingiza mashabiki

  • @abednego1042
    @abednego1042 4 години тому +1

    Amini Amini nawaambieni! TFF wamekaa kimya kwa sababu hili jambo linamhusu mtoto wao mpendwa! Ingekuwa limetokea kwa Yanga hili, wallah wasulilah; statement ya kuiadhibu ingetoka usiku ule ule!!!

    • @AnciscoKayombo
      @AnciscoKayombo 3 години тому

      Mbona suala la sindano hawajafuatilia,wangepelekwa kupimwa....?

  • @RashidHamis-o6w
    @RashidHamis-o6w 19 годин тому +1

    Wewe unamuangalia ngoma au unawangalia walioanzisha fujo?

  • @amosnnko7792
    @amosnnko7792 19 годин тому +1

    Yaaan wew mwenye hii chanel mpumbav mmoja wew na post zako zakijinga

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 6 годин тому

    SIMBA IMEFUNGIWA MIAKA 1O NA MKUNDU WAKO

    • @Tatty-u8p
      @Tatty-u8p 5 годин тому

      Nilikuwa nasikiaga simba ni genge la wahuni leo ndio nimeamini comment za matusi ya laana kiufupi mashabiki wa yanga ni wastaarabu sana huwezi kukutana na macoment ya matusi hivi

  • @MaryHamisi-k8j
    @MaryHamisi-k8j 18 годин тому +1

    Mbona wao ndo walianza fujo jamani,huu mmatunyanyasa Wana Simba.sio poa kabisa

  • @mpindafamily1496
    @mpindafamily1496 19 годин тому +1

    wachambuzi uchwala ndio awa

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 6 годин тому +1

    WAchambuz mikunduu
    Kuma maye ZENUU nyiee

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 9 годин тому

    Bench la ufundi timu pinzani lilimvamia refa.na mashabiki wa simba wakangoa viti kuwarushia

  • @PatrickBatenga
    @PatrickBatenga 2 години тому

    Simba ifungiwe kwanini wakati watu walifanya fujo waziwazi?

  • @TajiriPoti
    @TajiriPoti 17 годин тому

    Da simba kweli mabwege unasema mna maadui wakati mnavunja viti camera zimewaona duu

  • @DamianiItandula
    @DamianiItandula 8 годин тому

    Mnakuza jambo lengo muuze magazet

  • @saidmikota4138
    @saidmikota4138 19 годин тому

    Pumbavuuuuuu

  • @noushaddammam8805
    @noushaddammam8805 7 годин тому

    ujinga waliofanya mashabiki wa simba ni kung'oa viti na kuwarushia ila mashabiki wa simba wangetulia watunisia ndio wangepigwa faini na fifa

  • @trojanStates
    @trojanStates 20 годин тому

    😮

  • @hajially4527
    @hajially4527 8 годин тому

    Acha nicheke furah yangu nikuona simba yanateseka kivyovyote vile

  • @Zumbe2011
    @Zumbe2011 58 хвилин тому

    Hivi nyie wachambuzi mnakwama wapi, au mnajitoa tu ufahamu? Wizara walichosema ni kwamba wanawalipisha Simba kwa kuwa wanao Mkataba na Simba. Hivyo watalipa hiyo damage iliyotokea. Katu hawajasema Simba ndiyo wameanzisha fujo. Hivi uliona wapi mshinda akaanzisha fujo? Ili iweje? Guys stop speaking for something you don't know. Mnajiaibisha kwa ku-argue kwa kuongozwa na ushabiki wenu. Shame on you.

  • @DM_15
    @DM_15 19 годин тому

    Duh eti miaka10 na faini million 500. 😂😂😂

  • @IsmailMohamed-c8b
    @IsmailMohamed-c8b 17 годин тому

    Musitutishe simba itashinda hatatusipoenda uwanjani. Tutaisapoti timu yetu mtandaoni na vibanda umiza

  • @gastonjohn537
    @gastonjohn537 8 годин тому

    Serikari hii inavuruga kila kitu

  • @SamweliAdamu
    @SamweliAdamu 15 годин тому +1

    Acheni kuposti uongo ninyi waandishi wa mchongo

  • @Aliabdullah-y3e
    @Aliabdullah-y3e 10 годин тому

    Nenda uko 😮😮

  • @lenziangowoko9325
    @lenziangowoko9325 13 годин тому

    Acheni roho mbaya

  • @PriscaKaishozi
    @PriscaKaishozi 7 годин тому

    Inailetea heshima kwenda shirikisho

  • @nasrinassoro-m7n
    @nasrinassoro-m7n 17 годин тому

    Uyo mtangqzaji Aangalie vizur nafasi ya MSIGWA naona anamzunguzia kama ni Msemaji wa Serikali" wakati msemaji yupo nahakutamka chochote kwenye ilo sakatA

  • @elikanamtawo5675
    @elikanamtawo5675 5 годин тому

    Mchbuzi jifunzeni kuchanganua contents of statement. Content ni tofauti kwa hao wasemaji wa serikali.

  • @MussaMarwa-z3n
    @MussaMarwa-z3n 6 годин тому

    Tatizo Tanzania awasikilizwi kabisa

  • @christinataimu
    @christinataimu 7 годин тому

    Simba ndio mlioanzisha vurugu mlienda kuwazomea waarabu kisha mkakimbilia mlipokuwa kwanini wasiwakumbize, mkaanza kumg'oa viti na kumtupia yule mwarabu mkamuumiza .kwasababu refa kapendelea kawabeba simba poleni lenu hilo.

  • @BaynoMatane
    @BaynoMatane 9 годин тому

    Makolo MIBANGE mbona YANGA huu ujinga hautokeagi

  • @alyBojan
    @alyBojan 19 годин тому

    tena msenge

  • @LamekiMichael-pz7rv
    @LamekiMichael-pz7rv 8 годин тому

    mwandishi msengenyaji fala kabisa😂😂😂😂

  • @fikiliakilemile2277
    @fikiliakilemile2277 11 годин тому

    Fifa kwani sio watu yataisha akuna mtu kufungiwa

  • @ibrahimmayoga8271
    @ibrahimmayoga8271 5 годин тому

    wacheni Upuuzi

  • @mutakagoza4759
    @mutakagoza4759 22 хвилини тому

    Madunduka wafungiwe siomala yakwaza kuvunja viti

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim 7 годин тому

    Waandishi mnajiona mnajua kusema sana wakati nyumbani huna kauli yyte kenge

  • @DamianiItandula
    @DamianiItandula 8 годин тому

    Watangazaji acheni unafki

  • @NasraKambimtoni
    @NasraKambimtoni 3 години тому

    Saw chezeni wenyew kama fain wapew wote nusu wagen wallp na wejeji wallpe aki saw tusiinean wage walilush ss jaman ushapigwa na mkit wa uso ww utafanyaje inabid uludishie na kitu ulicho pingwa nacho siyo simb wamengoa wlikuw wanawaludishia na kitu kill kill walicho pingwa nacho sas wafany ivyo kwani wao ndiyo waliyo fungwa mpaka wafany fujo saw tufungie tusi cheze kachezen na chui😅😅

  • @JustinTheodory
    @JustinTheodory 9 годин тому

    Serikali iliwapa uwanja simba sio waarabu, kama uwanja umeharibika wamdai nani? Mbona hamfikirii?

  • @MtumishiErnestEfatha
    @MtumishiErnestEfatha 7 годин тому

    Uchambuzi wenu niwakishamba ikitokea vurugu kwenye uwanja wako wanymbani unatakiwa kupewa azabu nikweli waarabu ndio walianza vurugu simba walikuwa wanajitetaa kwenye mpira wa miguu nikosa kubwa unapo pingwa na wewe ukarudishia

  • @LusekeloMwakyalabwe-ux9xq
    @LusekeloMwakyalabwe-ux9xq 5 годин тому

    Unafirwa nyuma

  • @ObeyClement
    @ObeyClement 18 годин тому

    So kwel

  • @HangiNgholo
    @HangiNgholo 9 годин тому

    Nilchogundua simbilisi wengi akili hawana

  • @MsatiOne
    @MsatiOne 18 годин тому +1

    Ww matako toa usenge wako kwenye kichwa cha habar apo mbwa ww

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 16 годин тому

    Mimi namshangaa sana.kwa Nini shabiki wa Simba,afanye Fujo wakati ameshinda?kweli upate ushindi alafu ufanye vurugu? Mimi Nina Imani Kiko kukundi kimefanya hujuma ili Simba iharibikiwee.nina wasiwasi wapi nmamluki wamevishwa jezi ya Simba,ili waihujumu

  • @DouglasBilishanga
    @DouglasBilishanga 7 годин тому

    Serikali iliingia mkataba wa kukodi uwanja na makolo hivo zuri au baya litakuwa la mikia walipe tu basi

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim 7 годин тому

    Wachezaji wakipanda jukwaani kuvunja viti

  • @imamulamadhan
    @imamulamadhan Годину тому

    kuma la mamazenu ulio post

  • @JacksonMbites
    @JacksonMbites 2 години тому +1

    Wasenge ninyi mnatuchafulia Simba yetu toeni hiyo content yenu ya Kisenge

  • @danielsokoni6055
    @danielsokoni6055 8 годин тому

    kumbe huna akili watu Wang,owe biti alafu utete ujinga we mpumbavu kweli

  • @sulleimanshalua168
    @sulleimanshalua168 19 годин тому +1

    Wewe ulietoa hii post akili zako hazipo sawa

  • @SamwelKulagwa
    @SamwelKulagwa 5 годин тому

    Kwani mashabiki waliokuwepo ni wa simba pekee?? fikria mashabiki wa yanga walivyofanyiwa fujo Congo shida ipo tu ,,,waarabu walifanyafujo

  • @AshaMwamba-m5x
    @AshaMwamba-m5x 10 годин тому

    Wanafikiri nyieeeee

  • @nyondomwaulambia9593
    @nyondomwaulambia9593 19 годин тому

    Wamewavua watu viatu congo mbona hamusemi

  • @ThadeyMawope
    @ThadeyMawope 19 годин тому

    Kumanina zenu

  • @wazirimagayuka9681
    @wazirimagayuka9681 5 годин тому +1

    Acheni ushabiki nyie. Video inaonesha shabiki wa Simba ndiye ameshika kiti alichong'oa na ndio hukumu iliyotolewa na Wizara ya Michezo

  • @adamwerema
    @adamwerema 9 годин тому

    acha ushabiki

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 13 годин тому

    Hii mijiga upo unatafuta matatizo akili gani nyiee😂😂😂😂

  • @kisubikilozo6128
    @kisubikilozo6128 19 годин тому

    Wapumbavu

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 12 годин тому

    Tuseme kwa nini washabiki wa simba Wang,owe viti uwanjani na wao ndio walioshinda,hapa hapataki hata elimu yoyote,akili tu yakawaida inakujulisha kwa washabiki wa simba haizewekani,,nyinyi watangazaji waongo tu na unafki mwingi umekuzidini

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 17 годин тому +1

    hatulipi sasa tuone mkipenda mtutoe kwenye mashindano walabu wakolofi sana washiliki na bibi zao na mnao shabikia kuma za bibi zenu yanga wameenda kongo wamepigwa mbona hamjasema kwahiyo mmefulahi refa kupigwa kuma nyinyi mnashabikia ugolo yanga kongo wamepigwa hakuna video iliyo postiwa tanzania sasa yanamlika na vitoch vyenu vya kamera wasenge tu nyie kwanza hao walifaa mzime kamera wakachezea kichapo sana

    • @fatmafaki6163
      @fatmafaki6163 13 годин тому

      Wewe hapo inazungumzwa Simba na sio Yanga au umeshachanganyikiwa. Matusi ya Nini kwa Yanga, au ushindi mchumgu. Hiyo ndio faida ya juju

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 19 годин тому

    Waongo nyie nyoooooooo umbea tu 😜😜

  • @AshaKhatibu-r8h
    @AshaKhatibu-r8h 9 годин тому

    Nyuma ya huyo ngoma kuna shabiki wa tunisia anarusha niniiii sasa sisi tunapigwa tuwatizame tuu

  • @nkengimasanja1899
    @nkengimasanja1899 19 годин тому

    Kama ikifungiwa Simba Yanga itafungiwa na kufukuzwa nchini.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 9 годин тому

    Hayo ni ya kwenu nyie mikia mashabiki wa yanga inawahusu nini? Mikia mmeshawahi kung'oa viti kwa mkapa, kirumba, dodoma, ndo utamaduni wenu huo.