NJOO MAGETONI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 789

  • @ferouzmasoud4870
    @ferouzmasoud4870 2 роки тому +70

    JOTI wewe ni King wa comedy hapa TANZANIA 🇹🇿🇹🇿
    Nimecheka Sanaaaa 😂😂😂

  • @waziriomar1414
    @waziriomar1414 2 роки тому +40

    😂😂 joti Ni mshenzi Sana mama mtego wa panya nashangaa paka kaingia

  • @xhebhistructure3208
    @xhebhistructure3208 2 роки тому +19

    Mama mtego wa panya, nashangaa paka ndo kaingia 🤣🤣🤣🤣🤣👏👏👏👏

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 2 роки тому +1

      😂😂😂😂😂

  • @Hashdough
    @Hashdough 2 роки тому +20

    'YAAAANI KAMA WEWE UKIONDOKA NA MIMI NAONDOOOOOKAAAA'' AHAHAHAHA 🔥😂😂

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 2 роки тому +19

    *jotiiiiiiiiiii Mungu Baba akulinde wewe na wote mnaoshirik kutuongezea miaka kwa kutuchekesha*

  • @Putin331
    @Putin331 2 роки тому +8

    Nishai kitombangile kitwango wewe ni kiboko bro mungu akuzidishie sana 😂😂😂

  • @khalidhaminadia1741
    @khalidhaminadia1741 2 роки тому +6

    😂😂😂... Legend.. mkubwa Joti... Salute kamanda@ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @joshuagiliard9406
    @joshuagiliard9406 2 роки тому +15

    🤣🤣🤣🤣 Kwamba "Mama sio Mtego wako" Big up Joti.

  • @aliomari5961
    @aliomari5961 2 роки тому +4

    joti,,, great of all times.... big up sana ,,, dole gumba 100.
    %

  • @malakimoses6115
    @malakimoses6115 2 роки тому +8

    😂😂😂😂😂 joti i salute u joti haunampinzani aise leo nimecheka Sana mpaka mbavu zinauma aise ww comedy genius aise style yako ya mvuta geto demu ni hatari bro

  • @chrismuganwa8634
    @chrismuganwa8634 2 роки тому +19

    My man Joti I like this so much!!
    Love from Burundi 🇧🇮

  • @sostentulian4192
    @sostentulian4192 2 роки тому +1

    Harafu kwanini Mbeya pumbavu wewe😅🤣🤣🤣🤣🤣

  • @agnesbasistian9248
    @agnesbasistian9248 2 роки тому +21

    Asanteee kwa kunianzia siku yangu vizuri brother mambo ni moto 🙏😘🔥🔥🔥

    • @segolenasangawe4820
      @segolenasangawe4820 2 роки тому

      Haha🤣🤣🤣mama kajisemea bahati ya mtende

    • @mishetv8705
      @mishetv8705 2 роки тому

      ua-cam.com/video/wgOvd3qXWl/v-deo.html

  • @HACKJEMMYLITE
    @HACKJEMMYLITE 2 роки тому +20

    As I watch this masterpiece, I understand that Joti u r a Parturiency comedian ever existed before

  • @mary2615
    @mary2615 2 роки тому +14

    Very very nice 😉💕👍🏻

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 2 роки тому +7

    Joti kwakweli umenishinda tabia maana sio kwa vitendo hivyo 🙆🙆🙆👏👏😀😀😀😀😂😂😂😂

  • @thomaslandwhale
    @thomaslandwhale 2 роки тому +22

    Oh I'm the first to "LIKE" and "COMMENT"
    Great work..Great Creativity..Great Man
    Love and respect from Doha +974

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 2 роки тому +4

    Kwa kwel huyu dada wa Mbeya kweli, anavo chuchumaa kiheshima😂🙌

  • @NUH23
    @NUH23 Рік тому +2

    Este capítulo es memorable siempre regreso a verlo ..grande joti💞💞🇹🇿🇹🇿🌄🌄🙏🙏 bendiciones

  • @Notorias
    @Notorias 2 роки тому +9

    Joti ni 🔥🔥🔥 nchuuuun nlikwambia joti ni pacha wake Ronaldo aisee nimechekaaaa sana 😅😅😅

    • @ahmedomar6417
      @ahmedomar6417 2 роки тому

      Nchuuun amefinika mjomba...ila ntalipa deni usiwaze ha ha!!!

  • @noordndmn2443
    @noordndmn2443 2 роки тому +38

    Venís a Argentina 🇦🇷 a hacer comedia ...esto es magnífico bravooooo jotyyy🎉

    • @noordndmn2443
      @noordndmn2443 2 роки тому +1

      Un gran elenco chicos muchos éxitos bendiciones 🇦🇷🧉 bienvenido siempre 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💝

    • @championbaraka9081
      @championbaraka9081 2 роки тому +1

      ❤️

    • @azizimsese8210
      @azizimsese8210 2 роки тому +1

      That's good

    • @chidyziddy4226
      @chidyziddy4226 2 роки тому +1

      Ooh all the way from Argentina saluuute

    • @noordndmn2443
      @noordndmn2443 2 роки тому

      @@chidyziddy4226 buenos días 🧉🥶🥶🥶 a todos ..si hace años soy seguidora de joty ... abrazos muchos a Tanzania hermosa Tanzania 🇹🇿..he dicho la gente es servicial buenas personas Tanzania 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @asha_homedecorations
    @asha_homedecorations Рік тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣 Mama Huu Mtego Wa Panya Nashangaa Paka Kaingiaje

  • @nelsonbisi6499
    @nelsonbisi6499 2 роки тому +14

    Joti you are 💪 innovative and creativity 💪💪

  • @thomassinkala2169
    @thomassinkala2169 2 роки тому

    Nishai kitombangile kitwango miguno mikazoo! respect🖑🖑

  • @Sokomoko13
    @Sokomoko13 2 роки тому +5

    Hahahha yaaani nimecheka sana
    Ila sijui kwann nimerudia mara mbili kuangalia pale ambapo joti anaosha ncha ya aloevera 😂😂

  • @kikibwoyofficialke
    @kikibwoyofficialke 2 роки тому +1

    Nkubalikaka nakupenda una mshindaa hataa Eric omondi 😍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @kingradji6324
    @kingradji6324 2 роки тому +1

    Waaah this crazy bro i like it

  • @mkamaboy2016
    @mkamaboy2016 2 роки тому +5

    Leo namba Moja nipe like
    Njoo magetoni🤣🤣
    Joti ni mwehu katengeza mtego wa hela kakutana na mama ake 🤣🤣

  • @Conshamusic
    @Conshamusic 2 роки тому +8

    🎵😂😂🙌Dah! Joti we ni nyoookooo😂🤣🤣🤣🤣

  • @experiusmrefu1003
    @experiusmrefu1003 2 роки тому +56

    Joti is too crazy!!🔥😂😂

  • @jovithaanatory1067
    @jovithaanatory1067 2 роки тому +1

    Mbavu zangu jamani😁😁😁😁😁😁hongera Sana joti kwa kazi nzuri

  • @yassirjailan2720
    @yassirjailan2720 2 роки тому +2

    Jamaani nimechekaa Sanaa Hahaha asee nimeikubali hiyo big up joti

  • @dommykatey3037
    @dommykatey3037 2 роки тому +6

    +254🇰🇪 unauwa show nishai bro, my favorite yangu niile ya dereva wa tax n(nishaiiya😂😂)

  • @hakizimanaseleman7480
    @hakizimanaseleman7480 2 роки тому +7

    Njoo magetoni🤣🤣🤣🤣🤣 From burundi 🇧🇮

  • @DAUDI400
    @DAUDI400 2 роки тому +1

    haaa haaaa very funny eti mtego wa panya kanasa paka

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 2 роки тому +7

    😂🤣🤣😂 never disappoint jotiiiiii 😂😂🤣

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 2 роки тому +90

    Joti wewe ni kiwango cha kimataifa.Weka subtitles za Spanish,Portuguese,Chinese,Arabic,English na French ili upate audiences nyingi🤣🤣🇹🇿

    • @claramboya2018
      @claramboya2018 2 роки тому +5

      Waoooo,hapo umecomment point aisee 👍👍

    • @khalfanikimanta6663
      @khalfanikimanta6663 2 роки тому +3

      Hili ni la msingi saana kama anapitia hizi comments angelizingatia sana hili

    • @Boaz22
      @Boaz22 2 роки тому +4

      Sasa akiweka subtitle zote hizi video nzima si itakua gazeti??🤣🤣subtitle ya English tuu inatosha

    • @vodacomhalotel8096
      @vodacomhalotel8096 2 роки тому +4

      jamani mimi naomba kazi ya kuweka subtitle za kichina kwenye video za joti🔥🔥🔥

    • @bartholomeweshiwani246
      @bartholomeweshiwani246 Рік тому +1

      Wazo na nusu kaka🤔

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 2 роки тому +3

    🤣🤣🤣🤣 joti na Mama kaskas unataka kunibaka haya nibake🙌🏼🙌🏼🙌🏼 nakubali Sana Bro

  • @hassanhamza9222
    @hassanhamza9222 2 роки тому +2

    Aloo we joti kiboko umemkosa samaki umevua mamba Duu😆😆

  • @bboynickyy
    @bboynickyy 2 роки тому

    😂😂😂😂 ungekuwa ww ungefanyaje

  • @ngenjejuma1419
    @ngenjejuma1419 2 роки тому

    bloo joti kazi zako noma sana kila kigongo chako lazima ni cheki

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 роки тому +4

    Mama sio mtego wako.....umejipendekeza mwenyewe..!...mtoto joti maku sana mjue...😆😆😆

  • @darvie7653
    @darvie7653 2 роки тому +1

    Hahahahahahaha😅😅😅😂😂😂nimecheke mpaka kufa

  • @peterswai391
    @peterswai391 2 роки тому

    Haaaa ngoja nipitie haaaa nakuona CEO wa comedy TZ God bless more

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 роки тому +1

    Ila wanaume🤣🤣🤣🤣🤣akili zipo chini asilimia kubwa sana🤣🤣🤣na wanawake ni mwendo wa pesa tu ,kazkazi🤣🤣🤣🤣hehehehe

  • @rehemahassan7475
    @rehemahassan7475 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣😂😂 nyie jamani joti mshenzi kweli 😂😂😃😀

  • @rodgerushindi85
    @rodgerushindi85 2 роки тому +1

    Mzee alijipanga Hadi Mafuta kwa kitandaa😁😁😁

  • @tukusumamwandiga1795
    @tukusumamwandiga1795 2 роки тому +1

    Daaah unajua kunifurahisha jmn

  • @mwatunijackson2649
    @mwatunijackson2649 2 роки тому +3

    Very nice from namanga border Kenya

  • @collinsbella8360
    @collinsbella8360 2 роки тому +3

    Njoo tupange maitaji ya sokoni 😂😂😂

  • @suleimanngare6707
    @suleimanngare6707 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣mtego wa panya umenasa sipo💪🇰🇪🇰🇪🤝

  • @LearnwithMadamnaomi
    @LearnwithMadamnaomi 2 роки тому +2

    Huhuu nimecheka nimejimwagia chai , joti nawapenda sana

  • @dommyurilk
    @dommyurilk 2 роки тому +3

    aujawahiii kosea broo🙏🙏🙏

  • @pascalnolas8728
    @pascalnolas8728 2 роки тому

    dah we'fala unazingua kweli yaan🤣😂🤣😂🤣😂😍🤩😍😂

  • @Musagisagara
    @Musagisagara 2 роки тому +6

    Best comedian in East Africa.

  • @youngweezy3846
    @youngweezy3846 2 роки тому +1

    Daaaah jotii nlichofurahi dada kaokota apo zakwake mama kaendelea katikati😂😂😂😂😂

    • @mohamedslh5478
      @mohamedslh5478 2 роки тому

      Kaupiga mwingi beki tatu apo katumia akili nyingi

  • @kago360
    @kago360 2 роки тому +5

    🙏🙏🙏 respect sna my bro..nataman siku moja niwe moja ya familia yako KATIKA comedy

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 роки тому +1

    kaka umeuwa kinoma 🔥
    #AVATASTAR255 👈👽👽🎵

  • @Markhomestz
    @Markhomestz 2 роки тому +5

    Mama Ulikuwa so mtego wako😂😂

  • @innocentjohn4040
    @innocentjohn4040 2 роки тому +4

    Joti wewe ni shida kweli kweli Bibi mkubwa ananitia kwenye majaribu mmmmmmh jotiiiiiiii

  • @clausemsemwa297
    @clausemsemwa297 2 роки тому +4

    Joti we jinga sana🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤭🏆

  • @anastaciodamasiodamasio5639
    @anastaciodamasiodamasio5639 2 роки тому +1

    much love fro mozambique🇲🇿🇲🇿

  • @يحيىالحراصي-ج2ش
    @يحيىالحراصي-ج2ش 2 роки тому +1

    Anaemkubali joti tokea anaanza comed mpaka sasa like zenu

  • @denismaanga
    @denismaanga 2 роки тому +1

    Nishai me ningefanya kama wewe ulivyofanya.....😂😂😂😂😂🤣🤣🤣 Wadada wa ndani ni wasaidizi kwa mwenye Nyumba hadi watoto wa kiume wa mwenye nyumba kama wewe ni dada wandani ushafanyiwa ivo gonga kuke chini...

  • @aminamsouth9
    @aminamsouth9 Рік тому

    Big up kwa waigizaji wote inaitaji uwe serious sana ku act na joti nimecheka sana 😂😂😂😂😂😅

  • @MrBaraget
    @MrBaraget 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 we jamaa ni noma

  • @sirurithomas3126
    @sirurithomas3126 Рік тому

    😂😂😂eti njoo tupange mahitajibya kwenda kununua sokoni Nishai bhana daah!!

  • @cedricmaina4523
    @cedricmaina4523 2 роки тому +3

    Bahati ya mtende... Mtego wa panya, paka kaingilia gizani 😂😂😂😂

    • @thadeimlowe786
      @thadeimlowe786 2 роки тому

      Mama anasema bahat ya mtende kumbe anaingia kwenye mtego wa NISHAI!

  • @prosperkullaya6721
    @prosperkullaya6721 2 роки тому +1

    Hahaaaah ur the best of the best bro

  • @barakachaula7050
    @barakachaula7050 2 роки тому

    Yan We Ukienda Wapi Me Sijui Namm Naenda Hukohuko😆😆😆🤣🤣🙌

  • @mwengatv3058
    @mwengatv3058 2 роки тому +4

    Hahaaaa😂😂😂 yan joti we kichaaaaaa

  • @allbrightsteven2764
    @allbrightsteven2764 2 роки тому +1

    Majuto amerudi 😂😂😂😂😂 shikamoo jotii

  • @yax_briller
    @yax_briller 2 роки тому

    Nishaii mtombangileee mpuuz San we mtu🤣🤣🤣 #usiogopeeee🤣

  • @jeangodelo5349
    @jeangodelo5349 2 роки тому +1

    🤣😂🤣😂🤣😂 mtego wa panya paka kaingiaje 🤣🤣🤣😂

  • @tiffanyakramJr814
    @tiffanyakramJr814 2 роки тому +2

    😂😂😂😂😂 Mtego wa Panya kaingia Paka, dadeq napesa wamepita nazo 🤗😂😂

  • @robyrobert8946
    @robyrobert8946 2 роки тому

    Nimecheka sana Leo broo respect

  • @jumaclassic5863
    @jumaclassic5863 2 роки тому

    Andunje kwenye ubora wake 😆😆🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hamadiabdallah3906
    @hamadiabdallah3906 2 роки тому

    😆😂😁😆😂😁
    Yaani ww ukiondoka
    Na mimi naondoka

  • @HashimJuma-k2t
    @HashimJuma-k2t Рік тому

    Mi napenda ivi unavo jichekesha joti😅😂❤

  • @cheekio350
    @cheekio350 2 роки тому +1

    Mtego wa panya kaingia paka🤣🤣🤣 kazi nzuri kaka👏👏

  • @activelifehacks2231
    @activelifehacks2231 2 роки тому +3

    Mfanya kazi pisi kama hio hata kujitosa lazima 😂😂😂😂

  • @jamesshayojamess2196
    @jamesshayojamess2196 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭joti wew Ni nyoko Aki umenishinda tabia

  • @mzalendoonlinemedia7170
    @mzalendoonlinemedia7170 2 роки тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jamaa mshenz kwel anaosha mwiba wa Katani

  • @donardmsomi8451
    @donardmsomi8451 2 роки тому +1

    Hahahahahahahh eti mama siyo mtego wako

  • @stanz8678
    @stanz8678 2 роки тому

    mi nmecheka mpka machoz ....fala sana we jotiii

  • @BONGOSTARMEDIA
    @BONGOSTARMEDIA 2 роки тому +1

    HAHAHAHHAH daaah joti mjinga

  • @Kingisma245
    @Kingisma245 2 роки тому +1

    😂😂😂😂😂hadi nimeliya jamani

  • @smwakaglobaltv4010
    @smwakaglobaltv4010 2 роки тому +1

    😂🤣🤣🤣we joti unalaana ya bi mkubwa wallah😂. Haki ya nane mbavu zangu🤣

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 2 роки тому

    Joti unajua hadi unakera🥰😍🤩🙌🙌🙌

  • @GodfreyRItuwe
    @GodfreyRItuwe 2 роки тому +1

    hahahaha mtego wa panya kanasa paka umetisha sana Jotiii

  • @taqozer
    @taqozer 2 роки тому

    🤣Mtego wa panya , paka kaingiaje🤣🤣🤣 unavutaga cha wapi sijui joti 🤣🤣🤣🤣

  • @nuhuadamu7526
    @nuhuadamu7526 2 роки тому +1

    Joti nakupenda sana kaka

    • @nuhuadamu7526
      @nuhuadamu7526 2 роки тому

      Nitampa mwanangu jina lako wewe kaka

  • @evamihenga6139
    @evamihenga6139 2 роки тому +1

    Uwiiiiihhhh🙌😂😂😂😂

  • @scholakilonzo2906
    @scholakilonzo2906 2 роки тому

    Today you are killed me uu😂😂😂😂 Kali oo

  • @benhanclove5997
    @benhanclove5997 2 роки тому +4

    Mom na mtoto wanajuana😂😂

  • @morrismsemo1996
    @morrismsemo1996 2 роки тому +1

    Mtego wa panya paka kaingiaje joti aiseee 😂😂

  • @meshackaloyce9662
    @meshackaloyce9662 2 роки тому +3

    Hahahahaha 🤣 jot umedakwa

  • @aishahassan4142
    @aishahassan4142 2 роки тому

    Daah kweli wewe ni king nime cheka hadi machozi 😀😀😀😀

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 2 роки тому

    Joti Anauliza Kwamfano Ungekuwa Wewe Ungefanyaje Kwa Mtoto Kama Huyo. Jotiiiiììiiiìi.

  • @petronjowela6670
    @petronjowela6670 2 роки тому

    Safi Bwana joti kwa kuzidi kuelimisha