MTU ANAYEPONYA WATU KWA MAJI YA KISIMA / SIO MCHUNGAJI, SIO SHEHE - MSWAHILI SEHEMU YA KWANZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • MTU ANAYEPONYA WATU KWA MAJI YA KISIMA / SIO MCHUNGAJI, SIO SHEHE - MSWAHILI SEHEMU YA KWANZA
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 129

  • @kbmsouth
    @kbmsouth Рік тому +2

    I'M PROUD TO BE A MUSLIM ..
    I will stand with my FAITH to ALLAH ☝️

  • @pascalerick3525
    @pascalerick3525 Рік тому +7

    Angekuwa mzungu au mwarabu tungemuita nabii ila kwakuwa ni Mtanzania tunamuita mchawi
    waafrica Mungu anatupenda sana tatizo tumefunzwa kujichukia na dini zetu ngeni

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Рік тому +13

    Hatali. Allah tujaalie mwishomwema maana hi Dunia inaisha vibaya na maajabu na maovu mengi na kukusingizia mengi Sana ya Allah tusamee wajawako utuepushe na moto hakika hakuna tu anaweza kuuvumilia Azabuzako🤲

  • @ommy551
    @ommy551 Рік тому +8

    kuna tofauti baina ya kutibu na kuponya. Kutibu ni kipaji miongoni Mwa vipaji Allah anampa amtakae katika waja wake.
    Ama kuhusu Kuponya hakuna anaepomya ispokua Allah mwenyewe. Kutibu ni sababu tu ya kuponya Kutoka Kwa mwenyezi.

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 Рік тому +4

    Mwanahabari upo sawa
    Lkn unapokua kazini
    Sio vizuri ukiwa unakula
    Huku unafanya mahojiano kinywa wazi

    • @raygeena8552
      @raygeena8552 Рік тому

      Aii we wacha bana😂mwenzio as ikule Sasa na kwanini?

  • @vickyshayo7880
    @vickyshayo7880 Рік тому +7

    Duuu Zembela kwa kuukata ubwabwa hujambo duuu unanifurahisha sanaaa
    Ukimwi tenaaa

  • @levikinyanjui2627
    @levikinyanjui2627 Рік тому +4

    I had miss this for long

    • @mfakishineni4310
      @mfakishineni4310 Рік тому

      Mungu humpeleka mtu kule alipo kuchagua Kama Kama unaamini sokwe anapokea ujumbe kutoka kwa mungu basi utapona ila subir jahannam inakusubr huyo sokwe hata swala haiju kapatwa na Majin munaamin basi subirin moto

  • @user-bi5ph8fu4x
    @user-bi5ph8fu4x 3 місяці тому

    We mwamba nakukubali sana

  • @chanzisultani3885
    @chanzisultani3885 Рік тому +1

    Huyosokwe nikweli anasaidia ushahidi Mimi mwenyewe kanisaidia

  • @joshuamasamboka1172
    @joshuamasamboka1172 Рік тому +1

    Mungu ni mwema

  • @rehemaseif1785
    @rehemaseif1785 Рік тому

    Sokwe alikula msuba🤣🤣. Jamani jamani dunia imekwisha.

  • @hhurbert
    @hhurbert Рік тому +5

    Sokwe bhana na dingi yake mdogo wote wawili kavu sana

  • @piusphilip307
    @piusphilip307 Рік тому +4

    Maadui watatu . Bado wanaitafuna Tanzania, hakuna aliyesalama
    (1) NJAA....Zembwela
    (2) MALADHI (3) UJINGA

  • @venancjoseph1498
    @venancjoseph1498 Рік тому +3

    Wale mashehe wakubwa wa dar,waliosema waislamu hakuna kuombewa na mkristo hapo sasa

  • @softsoftbby8013
    @softsoftbby8013 Рік тому +2

    Hahahaha Zembwela napenda sana unavyo kuwa ukiuliza maswali,,,,dunia hii tutaona mengi sana ila ukweli utabaki pale pale,zaama zamani kutakua mambo mengi ya uzushi

  • @omarylukindo5306
    @omarylukindo5306 Рік тому +1

    Huyo sokwe ni shiidah,unakuta umati hapo kam kariakoo 🤣🤣

  • @mafurumatijo8803
    @mafurumatijo8803 Рік тому +1

    Ni sehemu gani hapo jamani?

  • @amosihokororo9702
    @amosihokororo9702 Рік тому +1

    Eheeee kunywa maaaaji uyu sokwe kama avuti bangi mniite mbwa nipo kibaha tanita

  • @shabanmnahi4648
    @shabanmnahi4648 Рік тому +1

    Watu wengi sana wanaumwa jaman duuh!!

  • @aishaabdullah4172
    @aishaabdullah4172 Рік тому

    Jamani maono ya Mungu akupe huku awe anakuadhiriaha kweli 🤣🤣😂🤣 Yaani mtu unapiga makelele unalia 🤣😂🤣😂🤣😂 hayo mashaytwan tu jamani

  • @jamilahamis2462
    @jamilahamis2462 Рік тому +1

    Wateja wanamaji zembwela unakula makuku wee mzee wa mtaani kwetu noma

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Рік тому

    Ukiwa Na Pesa Au Kitu Cha Kujenga Hata Ndugu Wakiulizwa Watajitambulisha Kwa Eshima Kubwa Sana Ngoja Uwe Kabwela Utajua Ujui Usishangae Ndugu Kusema Awakujui Kama Sehemu Ya Ndugu Yao

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 Рік тому +1

    Mashetani yanakuchezeeni ndugu zangu. Uletelewe maoni na Mungu wewe ni nani kwa mfano? Unaletewa maono na Mashetani . Msiba huu kwetu sisi binadamu.

    • @juniorbachelor8296
      @juniorbachelor8296 Рік тому

      Ilo liko Wazi kabisa kaka. Ila ni wachache tu wanao fahamu hilo

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Рік тому +1

    Yani We Jamaa Japo Unafanya Vema Lakini Utambue Wanaokutazama Wanatumia MB Sasa MB Zao Zinaishia Kwenye Ujinga Wako Wanakosa Kile Wanachotaka Kukiona Kile Wanachokitaka Kukiona MB Ni Pesa Wewe Ubwabwa Mjini Uko

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Рік тому

    Huwo ushilikina anafanya maonogani hayo aingie ndani mizimu I mwambie na misweitwani Nami jini ndiyo inamfundisha ushilikina Naiyazubillah

  • @rommelmauma5199
    @rommelmauma5199 Рік тому

    *Mswahili* ni kipindi bora kwa umma.

  • @alkasusjaasus7015
    @alkasusjaasus7015 Рік тому +1

    Zembwela bana eti ..vilema? swali kali sana 🤣🤣🤣.
    Mponaji Mungu hao wengine wazugaji tu

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe Рік тому

      Mponyaji Mungu.... Mletaji maradhi pia ni Mungu

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому

      @@BigZhumbe LAKINI WANAOTIBU BINADAMU WENZAKO MPONAJI NI MUNGU HUJAKOSEA

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому

      AKIWA MUONGO UTAMWITA MZUGAJI

  • @tobosha3236
    @tobosha3236 Рік тому

    Zembwela bora mliweke pembeni kweli hilo la ukimwi wasituchanganye 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @amrympiti847
    @amrympiti847 Рік тому +1

    Huyo dada 😔😔😔🕺🏽🕺🏽😍😍

  • @aminaalabri4170
    @aminaalabri4170 Рік тому +1

    Dah mitihan hii wallah kaz kupotosha watu 2

    • @juniorbachelor8296
      @juniorbachelor8296 Рік тому +1

      Kabisa Dada. Uti ametumwa na Majini anaongpa Anapata Maono kutoka kwa Mungu. Shame

    • @aminaalabri4170
      @aminaalabri4170 Рік тому

      @@juniorbachelor8296 ndo ivo hyo maono apewe yey 2 ftina 2 alaf usikie maisha magum wanamchezea mungu kwa mikono yao

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому

      @@juniorbachelor8296 UMEJUWAJE KAMA NI MAJINI??? KWANI MUNGU HAWEZI KUMUONYESHA??? JINI NDIO ANAEWEZA????

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому

      @@aminaalabri4170 KWANI ULIENDA NA HUJAPONA??? NA KAMA HUJENDA WALA HUJAJARIBU UTASEMAJE WANAMCHEZEA MUNGU???

  • @rehemahramadhani3428
    @rehemahramadhani3428 Рік тому

    njaa kali tanzania hamn tiba hapo

  • @MrHuvix
    @MrHuvix Рік тому

    Huyo ni mganga wa kienyeji (shirki)

  • @yahayaallytv2852
    @yahayaallytv2852 Рік тому +1

    Ahahaha haha kunywaa majiii innnaliillahi

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Рік тому +1

    Za kuambiwa changanya na zako

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому +2

      UKISHAZICHANGANYA NAMBIE BABU WA LIONDO MIA 5 HUYU BURE.

  • @frankthegreat2004
    @frankthegreat2004 Рік тому

    Walianza kina Babu wa loliondo tukawa zoom tu

  • @tojotv6414
    @tojotv6414 Рік тому +4

    Ao ni majini wa kawaida ndio maana tunaambiwa mashetani wa Trick nyingi sana

    • @juniorbachelor8296
      @juniorbachelor8296 Рік тому

      Yes kaka huo Ndio ukweli. Hakuna cha Maono wala kutoka kwa Mungu hapo.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому

      KWA HIYO MUNGU HAWEZI JINI NDIO ANAEWEZA 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому

      @@juniorbachelor8296 WEWE UMEJUWAJE HUO UKWELI????

  • @abdallakhatib3898
    @abdallakhatib3898 Рік тому

    Hahaha Zimbwela unaulizwa ushaona eeeh na hujibu unakazia tu

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 Рік тому

    Katma Ukwimwi hiyo cinema Bana

  • @ngunitv
    @ngunitv Рік тому +1

    Mtu anaepanya watu kwa maji/ngunitv

    • @ngunitv
      @ngunitv Рік тому

      Watching mponyaji ajahza kuponya walemavu anasema/ngunitv

    • @jumaabdurahmani2733
      @jumaabdurahmani2733 Рік тому

      Nimekuwa nikitumia huduma zake za kunywa maji kwasasa niko tofauti

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому +1

      @@jumaabdurahmani2733 AL HAMDULILLAH 🤲🤲🤲🤲

  • @nawandafamito500
    @nawandafamito500 Рік тому

    Kkkkkk kwa sokwe ni kitonga alafu unaamsha

  • @actionscene4753
    @actionscene4753 Рік тому

    Eti hata kama una ukimwi unapona 😂😂😂😂

  • @wadidazone5759
    @wadidazone5759 Рік тому

    heeee kunywa maji duuh hatarii

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe Рік тому

    Watu wanaona maajabu na ujinga kuwa jamaa anaponya kwa maji ikiwa Uislamu wanasomea maji na kuyatemea mate mgonjwa anakunywa sotojo la mate....... waliolewa na dini hawaoni ujinga kunywa mate ya watu

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому

      ULIONA WAPI MAJI KAYATEMEA MATE??? WACHA UWONGO.

  • @salmasuleiman5069
    @salmasuleiman5069 Рік тому +1

    Mi nimesha fika uko nikweli co poa anasaidiia sana

  • @salmasuleiman5069
    @salmasuleiman5069 Рік тому

    Uyo anae mshika miguu babu apo ndio sokwe atali uyo kaka mung amuweke

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 Рік тому +1

    Tanzania bado Kuna itikadi za kijinga sana.... Nakumbuka babu wa loliondo

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 Рік тому

    naomba mnirudishie chenji yangu.hii kali sana.wajinga ndio waliwao.

  • @dismamush8015
    @dismamush8015 Рік тому

    Zembwela angefaa xana Kama angeigixa komed

  • @ngunitv
    @ngunitv Рік тому

    Ngunitv

  • @mudiomari3007
    @mudiomari3007 Рік тому

    Naona tartiiibu unakata tonge apo

  • @mussamtupa
    @mussamtupa Рік тому

    Hayo mambo yanatokea watu wengi
    Mm kijijini kwetu kulikua na
    Mtu moja nilisomanae Madrasa alinizidi umri
    Huyu jamaa alipata Maradhi kaangaika sana
    Baadae akatoweka nyumbani kwao
    Kwa muda wa Miezi 6 hajulikani alipo
    Baadae akaonekana
    Yaani alikiri mwenyewe
    Akiwa ktk hari ya kawaida tu
    Sasa watu walipo kuja kumuona kwa kua alipotea
    Kazi ya tiba. Ikaanza hapo.........

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe Рік тому

    Huyu ni wapili anaeunganisha dini zinazofunza kutengana. Wakwanza ni Nabii Cress II aliyeandika kitabu cha kurasa zaidi ya elfu saba cha kiimani unganishi, kitabu kinarekebisha mafunzo potofu ya Qur-an na Biblia na vitabu vingine vya dini

    • @juniorbachelor8296
      @juniorbachelor8296 Рік тому

      Quran ina Mafunzo Potofu Ndugu??

    • @alphablondking6091
      @alphablondking6091 Рік тому

      Ungo utupu kumalizia mb zetu tu

    • @jumaabdurahmani2733
      @jumaabdurahmani2733 Рік тому

      @@alphablondking6091 ipo siku utaamini tu inshaalah

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому

      @@alphablondking6091 KWANI UMEENDA NA HUJAPONA?? AU UNAROPOKA 2

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 Рік тому

      Allah azidi kutufanyie wepesi tz yetu ma lmani zetu kila kitu ni lman inayokuponyesha ila kkubwa kumuomba mungu akuna linachoshindikana kwake☝Alali wala asinzii

  • @zikenims6167
    @zikenims6167 Рік тому

    Adi ukimwi nitakuja

  • @zubedalema6634
    @zubedalema6634 Рік тому +1

    Masii dajali yupo njiani na huyo sokwe ni mfuasi wa masii dajali

    • @juniorbachelor8296
      @juniorbachelor8296 Рік тому

      Kabisa Dada😄

    • @jumaabdurahmani2733
      @jumaabdurahmani2733 Рік тому

      Inaelekea umejikatia tamaa kwani masii hatokuja iwapo wewe utakuwa umeelimika

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому

      ULIAMBIWA NA NANI KAMA WATU WAKITIBU KWA MAJI BASI MASIHI DAJALI YUKO NJIANI???

  • @vedastusmwakalukwa1271
    @vedastusmwakalukwa1271 Рік тому

    Msuba😂😂😂😂

  • @shaqdizo7678
    @shaqdizo7678 Рік тому +3

    Serikali Iko busy inaiba pesa za Kodi za wananchi, this is sad , hawa watu wote wanamatatizo ni wagonjwa fikra potofu, hakuna elimu, umaskini m'baya sana. Hivi serikali Iko wapi kuruhusu watu kama hawa hawana hata vibali vya matibabu upumbavu mtupu

    • @nawandafamito500
      @nawandafamito500 Рік тому

      Zetu walijua mambo mengi na Makubwa, hao watu wa selikali na hao wajomba zako wazungu ndo wamewaua mpaka Leo kuna, kizazi cha watu wajinga kama wewe, wakija wazungu na magonjwa yao mnakimbilia eti kibali kibali ni wizi wa mzungu kutoka kwa shetani, haya nenda kapige chanjo ya corona, kwenye hivyo vibali, pumbavu

    • @nawandafamito500
      @nawandafamito500 Рік тому

      Zetu

    • @nawandafamito500
      @nawandafamito500 Рік тому

      Kubali ndio nini sasa?, Uzungu umewapotosha sana, kuna mitume wengi na manabii, wamepita zama hizo, mababu

    • @swalehbakari2667
      @swalehbakari2667 Рік тому +2

      Tusomen ndugu tusiwe wajinga
      Twenden mdrassa mana ao wanao amin uwo upuuz awa elim masikin

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe Рік тому +1

      @@swalehbakari2667 Waafrika wametibiana kwa njia kama hizo mamilioni ya miaka na enzi izo hakuna Uislamu wala Ukristo