Mimi nalipia tangazo na linaandika current boosted lakini nikienda kucheki kwenye insight amount spent bado ni 0.00 maana yake ,halitembei ,shida nin..?? Msaada plz
Kaka nashukuru niliweza kubadilisha acc yangu kwenda business acc. Ila sijui nakosea wapi maana niliweka dola 5 kwa siku 2 ikanigharimu elfu 51 na point zake. Naomba nisaidie katika hili kaka
Ahsnt ila mm niliboost buget ya dollar 25 kwa siku tano lakini nashanga wanakata zaidi na kuniwekea deni sijui shida ni nini
you good bro , i can see
😊
Ahsante yaaani nmeelewa mpaka nmeelewa tena
Nmeelewa bro
I appreciate you brother
Barikiwa sana
Amina
Asante saana
Je inafaa kuboost again baada ya tangazo kuisha au ni vyema kutengeneza tangazo lingine
Unaweza kuboost again ila tunashauri ukaboost post nyingine yenye engagement sawa na hiyo au zaidi.
Asante
Thank You so Much it was helpful
Karibu sana, pls share
Smart guy
🥰
Mungu akubariki
Asante sana kwa hii
Karibu
Asante sana❤
Uneuwa sana
lets all win
Asante sana kwa mafundisho
Barikiwa
Nafaiwa 0.01 kila nikijaribu kulipa inakataa nifanyeje
Kaka mungu akubariki sana
Amina amina let’s all win
Asante 🙏 ngoja
Somo zuri sana😍
Ulikuwa unangoja
Ulikuwa unangoja
Yes….
Nimefanya hatua zote je .nitajuaje kama tayar limekuwa sponsored?
Video ya ku-switch kwenye business mode mbona siioni brother pia ya kufungua mfumo wa malipo nayo siioni
Madini matupuuuuu🙏
Naam
Mimi nikipost nikicomment nikilike inakata shida itakuwa nni mku
Broo kwaa tangazo moja linawezaa kukostii sh ngapi??
Mimi nalipia tangazo na linaandika current boosted lakini nikienda kucheki kwenye insight amount spent bado ni 0.00 maana yake ,halitembei ,shida nin..?? Msaada plz
Akaunt iko active!?
jamani najaribu kucreate ads but sioni matokeo kwenye website yangu😔😔😔
Asante
Karibu sana
Dukahuru apo kwenye gender hujagusia . Ni vema kuweka wote au ni kutokana na bidhaa yako?
Nashukuru sana! Video yake itakuja stay tuned.
Je kama umefanya voyte hivyo na tangazo halijaenda ela inakatwa?
Hapana
Kaka nashukuru niliweza kubadilisha acc yangu kwenda business acc. Ila sijui nakosea wapi maana niliweka dola 5 kwa siku 2 ikanigharimu elfu 51 na point zake. Naomba nisaidie katika hili kaka
Sawa tunalifanyia kaz
Mimi pia tatizo nn
Yani kwangu inachukua mda
Kufanyaje
Inagoma
Mbona hutujibu kiongoz
Kitu gani Boss
Mimi inakataa tatizo laweza kuwa nn
Mpaka kuchek
Bro tunakupata vipi tupe ata namba za simu tukutafute
0783820003
🙏
Asante sana
Karibu sana
🙏🙏🙏
❤
Naomba namba Yako kaka🙏🙏
0783820003
Mkombozi wetu
Naam
Habari naomba kujua hizi gharama ni za post moja? Au unaweza kutumia kwa post zaid ya moja?
Kwa post moja
@@DUKAHURU ubarikiwe sana kaka wew ni Zaid ya teacher
Naomba mnipatie namba zenu jamani
0783820003
😊
Asante sana
🙏🙏🙏
Asante sana