Hii kweli sielewi🥺🥺 mtoto anachekelewa kuliko kusaidiwa, kama hii ni ukweli basi fanya kazi yakumuombea sio kumcheka. Mtoto mdogo sana, Mungu anisaidie kuyaelewa haya kwa sababu sioni msaada kwa namna hii ya maombi.
kinacho ongelewa hapo nikweli mnaopinga pingeni maana hatamm nilikua namtoto waaina hiyo alitakakuniua hamm mamaake naalifundishwa nampangaji mwenzangu alikua analalanae kumbe anamfundisha uchawi Ila nashkuru mungu kanisa lilinioko nakumkomboa mwanangu bwanayesu asifiwe sana
yesu mwenyewe alisema wacheni watoto wadogo waje kwangu kwa maana ufalme wa mbinguni ni wao na shetani akiwa hataki watoto wa mungu wa uone ufalme wa mungu , Ashindwe Shetani na malaika zake ktk jina la Yesu.
Let us pray for our children every day and night and lovely time always limember to pray because devole is using our children God have mercy on our jenerashon just imagine if this is your child
Yaani makanisa yanadai sadaka ya watoto? Uroho wa pesa umezidi jamani. Huyo mama aliyempiga mtoto kwa sababu ya ndoto ana ugonjwa wa akili, mpelekeni hospitali akatibiwe.
Kama wew ni muislam ucizungumze mambo ya ajabu hum coz mnatumia sana mamb hayo ucijifanye hujui na mungu akuokoe akupe kuona uache kejer zako inamaan hujawah kuwangiwa wewe ktk Maisha yako na yakuijie sasa mpaka umkubal yesu na utashuhudia.
Kwa hakika shetani amejua kua watoto wadogo wa sio jua kutenda dhambi ndio taji ya yesu kristo kwahio shetani ameamua kuwangamiza wote wa kubwa kwa wadogo kila mtu ampe mzigo wa dhambi
Mtoto mdogo kama huyo sio hekima kumhoji hivyo mbele za watu! Ni vema akarekodiwa ushuhuda wake! Pia siamini mtoto mdogo kama huyo anaweza kuwa kiongozi wa wachawi na vikongwe wapo kwenye gemu iaitoahe hana akili ya kuongoza hata kidogo!
Kanda ya ziwa imeathiriwa Sana na nguvu za Giza.Uchawi Ni roho.Na katika Roho ndimo Vita vilipo.si kwa damu na nyama.kama haya Mambo haya hayajathibitika katika wanao au nduguzo mshukuru Mungu,ila usibishe tu na kusema Ni uwongo.Tafiti.chunguza.
Yaan uongo siku hizi ndo dili kwa manabii wa uongo utadhani ni ukweli kumbe ni uongo mtupu hakuna kitu hapo hawa manabii wa uongo ndivyo wavyofanya ndo mtaji wao

Jesus never fail kwahyo tuwaombee Sana watoto shetan anajiinua kwa watoto ili aangamize ufalme wa mungu
Pray for me too. Nimefungwa kwa umaskini sijui shida iko wapy.nikumbuke pia niuone uso wa mwenyezi Mungu.Naitwa Justine Mauti kutoka Kenya
Nyie mnaebisha kuwa huyu mtoto katengenezwa hayajawahi kuwakuta pia huyu ni nabii wa Mungu nyie mnae tukana na kumkashifu Mungu awarehemu sana
mungu atetee familia zetu pia tukumbuke kuwaombea watoto
Siwa amini mnguashuahe lohowake awaongoze walimwengu amen
kinacho ongelewa hapo nikweli mnaopinga pingeni maana hatamm nilikua namtoto waaina hiyo alitakakuniua hamm mamaake naalifundishwa nampangaji mwenzangu alikua analalanae kumbe anamfundisha uchawi Ila nashkuru mungu kanisa lilinioko nakumkomboa mwanangu bwanayesu asifiwe sana
Amina..
Kumbuka bibilia inasema adui hutoka nyumbani mwako
Ubarikiw San baba mung awalinde San watot wetu
Shetani mbaya sana anatesa hadii watoto wadogo huna mamlaka kwa Yesu kristo wanazareti
Damu ya Yesu Damu ya Yesu Damu ya Yesu
yesu mwenyewe alisema wacheni watoto wadogo waje kwangu kwa maana ufalme wa mbinguni ni wao na shetani akiwa hataki watoto wa mungu wa uone ufalme wa mungu , Ashindwe Shetani na malaika zake ktk jina la Yesu.
Nami naomba ukombozi kwa kazi,na nipate kazi
May God continue to cover and protect our children 🛌 always
I haven't heard of this testomies,,,oooh,,JESUS,,,
yesu tusaidie watoto wetu wamekuwa mateka tusaidie baba pekee yetu hatuwezi
daaah!uchawi hatari sana mjisalimishe wachawi mnaoroga jaman hii ni hatari sana
Mungu tusaidie watoto wetu
Mmmmmhu jamani Wachawi Siwapendi kbs Mungu akawashushie moto wa roho MT ukawapate kuwaunguza
day mungu anatuona
Maombi ndio silaha
Wadau shetan anataka kuteka dunia mkae kwa maomb
Let us pray for our children every day and night and lovely time always limember to pray because devole is using our children God have mercy on our jenerashon just imagine if this is your child
Yaani makanisa yanadai sadaka ya watoto? Uroho wa pesa umezidi jamani. Huyo mama aliyempiga mtoto kwa sababu ya ndoto ana ugonjwa wa akili, mpelekeni hospitali akatibiwe.
Waaaa Mungu awalinde watto wetu....mmto mdogo huyo jameni
Sarah Wawuda munguatusaidie
Pole sana dogo komaa utoke
Mungu azidi kutupigania
mungu azid kutupigania
Kama wew ni muislam ucizungumze mambo ya ajabu hum coz mnatumia sana mamb hayo ucijifanye hujui na mungu akuokoe akupe kuona uache kejer zako inamaan hujawah kuwangiwa wewe ktk Maisha yako na yakuijie sasa mpaka umkubal yesu na utashuhudia.
😏😏😏stop this we all believe in one God 😏😏aargh
Kwa hakika shetani amejua kua watoto wadogo wa sio jua kutenda dhambi ndio taji ya yesu kristo kwahio shetani ameamua kuwangamiza wote wa kubwa kwa wadogo kila mtu ampe mzigo wa dhambi
mungu atusaidie
Hakika mungu nimwema
Shetani shetani kheeee naona shetani yaani
Cheating...sikuhizi Dhebu za ungo..ndo mwisho wa dunia yatakuwa hvyo.... Bible Revelation yapo hayo...Paster uongo huyo
Hehehehehehehehe musiwachekeshe walienuna
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
UPUMBAVU SANA YAANI WEWE MALISA NI MPUMBAVU SANA HUBIRI NENOACHA UJINGA
Pole mdog wang mung akulinde san
Eee dunia jaman Mungu anilindie watoto wangu wasiwe hivi
Wachawi wanapenda kuchakuwa malaika wa Yesu jamani mtoto huu ajui kitu lakini una mpeleka ufundisha uchawi Yesu wapiga wachawi wote duniani
wew acha tu wachaw awafai
Jaman uchawi huu ni mdogo
eeeee mungu tuhurumie babaa
dunia imeisha.tumuombe sana mungu atu,epushe haya.
Kanisa hilli likowap jamani tukaombee wtoto wetu
Uchawi.ni mbaya jamani
Anaweza bwana wa mabwana
Nataka nifike kwa hilo church
Mchungaji unapatikana wapi
Mbona kama uongo sielewi
Jamn mung tupiganie vizazi vyet mweny no yahuy nabii naomba anitumie au mnielekez kanisa lak liko sehem gan maan naguswa san na maomb yake
Kanisa Lipo mwanza Manuka tisa
Mtoto mdogo kama huyo sio hekima kumhoji hivyo mbele za watu! Ni vema akarekodiwa ushuhuda wake! Pia siamini mtoto mdogo kama huyo anaweza kuwa kiongozi wa wachawi na vikongwe wapo kwenye gemu iaitoahe hana akili ya kuongoza hata kidogo!
Bora wangemficha sura
jmn! wachawi noma san
Hayajakufika
Rubbish, mapastor wa uongo hawa, mbona mnatumia watoto kutafuta pesa?
mbon ivo jaman ad naogopa
Kanda ya ziwa imeathiriwa Sana na nguvu za Giza.Uchawi Ni roho.Na katika Roho ndimo Vita vilipo.si kwa damu na nyama.kama haya Mambo haya hayajathibitika katika wanao au nduguzo mshukuru Mungu,ila usibishe tu na kusema Ni uwongo.Tafiti.chunguza.
Mipango😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimejisikia kulia
Wow
Mpks
Masikini
jamani inauzunisha cna
kanisa linapatikana wapi tuambieni jaman ,sisi tupo dar
Seif Zongo kanisa lipo Mwanza michungwani karibuni sana
Kanisa lipo mwanza Dar tupo tegeta kituo cha skansika
Shetani auna mamlaka hpa duniani ushidwe
Video
nitawatafuta nitawapataje
comedy za kanisani
Jamani
Juma Naomi mung wasaidie watt wet amen
dunia kwisha
Yaan uongo siku hizi ndo dili kwa manabii wa uongo utadhani ni ukweli kumbe ni uongo mtupu hakuna kitu hapo hawa manabii wa uongo ndivyo wavyofanya ndo mtaji wao
Kula tano kwanza👊👊👊👊👊👊👊mipango
Acha kuhukumu kumbuka kila mtu anahukumu yake kama we we ni mkweli fungua Kansa lako
hili kanisa linapatikana wapi?
eliza wiliamu lipo mwanza michungwani
we mungu saidia
Ernesta Ernest tairo etfsy
Jaman wachawi Mungu awaripue kwa moto wa roho mtakatifu
Ernesta Ernest tairo
mangufuli
raisimagufur
wahii!
Huyo mtoto ni MKUU wa wachaw wa wapi???
mwlii unasisimuk jamn
Lisu
Jamani wachaw awana uluma
Hello, wapatikana wapi
Mwanza maduka tisa
Moahu
Ee MUNGU tuepushe na majaribu haya
ashukuliwe mungu aliye juu
.
magufuli
This con man though
Wapumba nyie kila videos zenu zinahusu uchawi hao nanyi ni
Yesu akukemee ,hujui ulinenalo sababu hayajakufioa
Uongo tipu
Tupu
Don't judge none knows the truth about it
Don't judge none knows the truth about it
Mchungaji unapatikana wapi