Kumbe nilikuwa katika kifungo cha kiza nilivyoomba nimeona giza kubwa sana hatimae likaondoka kumbe unaweza kuwa katika kifungo pasipo kujua ahsante sana mtumishi kwa ujumbe mzuri
Ameen kweli kabisa kuna..kitu nimeisoma c..bure kukataliwa nashukuru kwa ushauri wako mungu akulinde na akupiganie nawe uinuliwe kiroo uzidi kurufundisha.. barikiwa sanaa mutumishi
Ameeen, Mungu akubariki mtumishi, hili neno limekuja wakati nipo kwenye haya mazingira, nimeshalia sana, sikati tamaa najua Mungu atanifikisha kwenye hatma yangu. Hili neno limenitia nguvu zaidi.
Aki hili neno lilikua lakwangu ni leo tu nimedondokwa na machozi na kukataa tamaa ila hili neno limenijenga nakuniinua tena😢😢😢😢 Mungu akubariki sana mtu Wa Mungu🙏🙏
Namshukuru mungu kwa masomo mazuri kusema kweli madhabau ya siri za biblia imeniinua sana kiroho. Barikiwa sana mtumishi wa mungu roho mtakatifu azidi kukupa mafunuo zaidi uzidi kuganga mioyo iliyovunjika
Amen 🙏 mtumshi mungu akubariki sana piya mm nimewai kuKataliwa na dungu zaku wakati nikiwa na taka kuwailezea kuhusu ndoto nimekataliwa nimetenguwa bali na jamii
Kwakweli mtumisha tumeyapitia nauko viziri kututia moyo naona kama ujumbe huu niwangu nimepitia jamani nahayo maroho yakukataliwa ukitenda jema linakuwa Baya nainuka tena kwa Imani mungu akubariki mtumishi👏👏👏👏
Kumbe nilikuwa katika kifungo cha kiza nilivyoomba nimeona giza kubwa sana hatimae likaondoka kumbe unaweza kuwa katika kifungo pasipo kujua ahsante sana mtumishi kwa ujumbe mzuri
Asante Sana mtumishi hii inanukuta Sana kwenye maisha yangu ila sikati tamaa najuwa mungu ananiwazia
Shalom🙏🙏🙏 BWANA wa majeshi sikia kilio changu 🙏 Ewe yehova baliki Siri za biblia
Asante mutumizi somo nsuri la kutia moyo
Asante YESU Amen Amen
Asante mtumish wa Mungu kwa ufahamu huu
Ameen kweli kabisa kuna..kitu nimeisoma c..bure kukataliwa nashukuru kwa ushauri wako mungu akulinde na akupiganie nawe uinuliwe kiroo uzidi kurufundisha.. barikiwa sanaa mutumishi
Sema yote Baba.
Amen .. kna wakati nmekua hapa na familia yangu...Hadi nikachukia kuishi..Ila Baba Yangu aliye Mbinguni hakuniacha,,,
Amen Amen
Amani🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💕
Halleluia AMEN naamini kabisa
Amen 🙏 umetulisha chakula kilicho bora ubarikiwe sana
God bless you 🙏 ❤️ 🙌 ♥️
Amen Kwa ujumbe mzuri MTUMISH WA BWANA
Amen amen mtumishi barikiwa sana
Amen and amen
Amen Amen me nimepitia MENGI mazito mpk nilikuwa nmekata tamaa huu ujumbe umenilidisha TENA Kwenye msitari,Mungu akuinue ZAIDI na zaidi
Amen amen amen 🙏
Tuko pamoja sana
Amina 🙏
Ameeen, Mungu akubariki mtumishi, hili neno limekuja wakati nipo kwenye haya mazingira, nimeshalia sana, sikati tamaa najua Mungu atanifikisha kwenye hatma yangu. Hili neno limenitia nguvu zaidi.
Amen IJN.🙏 Asante sana🙏BWANA wa majeshi ndio jina lake🙏🙏🙏
Huu ujumbe ni wangu mtumishi wa mungu, God bless you the man of God Amen 🙏
AMEN AMEN 🙏 ndio Mtu mishi wa Mungu iwe kama usemavyo,
Mungu awalinde. Amen Amen....
Amina sana Mtumishi wa Mungu Innocent Mungu akuinue katika viwango vya juuuu mpaka shetani ashangae
amen,utukufu kwa Mungu
Aminaa, hili neno limekuja kwa makusud kabisaa ,Ni maombi yangu nijue kusud la kuumbwa kwangu hapa duniani
Ooh! asante sana mtu wa Mungu.Mungu azidi kukutumia.barikiwa Sana mtumishi.
Aki hili neno lilikua lakwangu ni leo tu nimedondokwa na machozi na kukataa tamaa ila hili neno limenijenga nakuniinua tena😢😢😢😢 Mungu akubariki sana mtu Wa Mungu🙏🙏
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu kwa ajili ya kunipa ufahamu huu maana haya yote unayoyaongea ni kweli katika maisha yangu
Mungu naomba kujitambua ktk maisha yangu
Nakujua kusudi la mm kua hapa ktk jina la Yesu Ameni
Naomba kusudi langu litimie Ameni 🙏
Amen
Amen na iwe hvyo kwangu kusudi langu Mungu atalitimiza katika jina la Yesu Mtumishi Mungu azidi kukuinua katika viwango vikubwa
Asante mtumishi was mungu, Mimi nimetengwa mpaka kazini,nachukiwa lakini huu ujumbe umenitia moyo
Namshukuru mungu kwa masomo mazuri kusema kweli madhabau ya siri za biblia imeniinua sana kiroho. Barikiwa sana mtumishi wa mungu roho mtakatifu azidi kukupa mafunuo zaidi uzidi kuganga mioyo iliyovunjika
Yesu ameshinda
Ujumbe uliojaa nguvu za mungu babarikwa
Amina mtumishi wangu mungu akubariki
Amen mungu akubariki....
🙏🙏🙏 uncle Inno
Amen and hallelujah Hallelujah Hallelujah in jesus might name amen 🙏
Barikiwa sana mtu wa mungu
shalome.watuwamungu.ninaajayamaonbi.musaadawamaonbiyenu.wacjungaji
Ameeen ameeeen mtumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏🙏🙏barikiwa muno🙏🙏
AMEN AMEN AMEN ubarikiwe mtumishi
Mtumishi wa mungu barikiwa sana sana huu ujumbe ni kweli kabisa , mungu wa mbinguni akubariki🙏
Amen Asante sana mtumishi wa mungu kwa ujumbe huu umenitia nguvu maana ninayoyapitia sai ni magumu mno
Nashukuru sana kwa that piece of advice getting this program is a big blessing to me Wacha Mungu azidi kukuongezea maarifa mtumishi wa mungu
Amina lazima kusudi la mungu litimie kwenye maisha yangu katika jina la Yesu
amen
AMEN.
Amenii amen barikiwa mtumishi sana
Ameeeen ameeeeeen
Amen🙏🙏🙏
Ubarikiwe kwa neno zuri limenigusa sana yamewai kunitokea ktk maisha yangu ndugu waliniinukia Mimi lkn mungu hakuniacha siku zote
Holy Spirit Forever 🙏🏼
Ameeen 🙏🙏🙏❤️❤️
Amen mtumishi
Oh Hallelujah Amen 🙏
Umebarikiwa hakika
Amen 🙏 mtumshi mungu akubariki sana piya mm nimewai kuKataliwa na dungu zaku wakati nikiwa na taka kuwailezea kuhusu ndoto nimekataliwa nimetenguwa bali na jamii
Amen 🙏🙏
Amen Glory to God
Mungu akubaliki Kwa mafundisho mazuri
Tumepokea mtumishi hubarikiwea
Amen Amen 🙏🙏🙏
Amen kwa neno zuri.Mungu tuone watu wako.
Thanks you God bless siri za biblia amen 🙏
bless you too
Amina mtumish kwa som nzr
Bia wewe 🙏🙏🙏✊
Imenihusu jumla
🙏
Amen and Amen
Amen Amen
Amen
Kwakweli mtumisha tumeyapitia nauko viziri kututia moyo naona kama ujumbe huu niwangu nimepitia jamani nahayo maroho yakukataliwa ukitenda jema linakuwa Baya nainuka tena kwa Imani mungu akubariki mtumishi👏👏👏👏
Amen 🙏🏽
Amen ❤
Amen And Amen
Amen
Amen Amen
Amennn Mtumishi wa Mungu.ubarikiwe.
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen