Baba Mungu nimekosa sana kupigana kimwili vita ambayo ni ya kiroho.nakukabidhi vita vyote nilivyonavyo ukanipiganie wewe Maana ulisema vita si vyetu bali ni vyako UTAPIGANA WEWE. IJN AMEN🙏🙏🙏
Amina mungu aliacha him vita amabavyo vimenisumbua kutoka mwezi jana tarehe 7,vinazidi kuumiza moyo wangu nimekuachia wewe unipiganie maana wewe ndie mshinda katika kila vita, najua hukumu na ulibishaji kizazi watoka kwako eee mungu, mimi kwa uapande wangu sina uwezo nimekuachia wewe unipiganie amina
Hbr naomba mjiombee ktk siasa nimegombea nataka nishinde nimezitwaa silaha zote yesu karibu ktk maisha yangu.vita ya kisiasa mimi josephine vicent maendaenda.bwana nipiganie
Amina mtumishi, vita sio yangu vita ni bwana, mimi niko mbeya mjini, naitwa nehemia luka kalinga, mimi ninafrem nauza maziwa, vitafunwa na chakula, nina binti 1 wa kazi, lakini leo kanigeuka ananiendea kwa waganga, anatakaabadili yeye
Bwana wa Majeshi ndiyo jina lake ❤❤❤ Ubarikiwe sana mtumishi wa BWANA 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Baba Mungu nimekosa sana kupigana kimwili vita ambayo ni ya kiroho.nakukabidhi vita vyote nilivyonavyo ukanipiganie wewe Maana ulisema vita si vyetu bali ni vyako UTAPIGANA WEWE. IJN AMEN🙏🙏🙏
Hii Vita si yangu bwana.hii Vita ni ya kwako.naomba unipiganie.Amina
Asante Jehova Mungu mwenye nguvu ,uweza na mamlaka kwa kunishindia vita nilivyo navyo.Amen IJN 🙏🙏🙏
Karibu yesu moyon mwangu, kwenye maisha yangu
Amina mungu aliacha him vita amabavyo vimenisumbua kutoka mwezi jana tarehe 7,vinazidi kuumiza moyo wangu nimekuachia wewe unipiganie maana wewe ndie mshinda katika kila vita, najua hukumu na ulibishaji kizazi watoka kwako eee mungu, mimi kwa uapande wangu sina uwezo nimekuachia wewe unipiganie amina
Asante Yesu huwezi kulinganishwa
Mungu nipiganie kazini kwangu.Amen Muchungaji God bless u always
Asante mtumishi wa mungu kwa ujumbe huu mzuri umenipa moyo vita nimuachie yenye muweza
Mungu nipiganie kwa maana katika fahamu zangu naona siwezi kabisa
Ameen kubwa mtumishi Nabarikiwa sana na maombi yako, Mungu azidi kukutunza 🙏🙏
Mungu nipiganie Kwa hiii vita .
Amina Amina
Amee 🙏🙏 barikiwa mtumishi wa mungu
Hbr naomba mjiombee ktk siasa nimegombea nataka nishinde nimezitwaa silaha zote yesu karibu ktk maisha yangu.vita ya kisiasa mimi josephine vicent maendaenda.bwana nipiganie
Amen 🙏 Ee Mungu nikumbuke katika viwango vya juu
Asante sana mutumishi wa mungu ,namushukuru mungu kwa mapezi yake kupitia Siri za Biblia ndani yangu na familia
Amina ninabarikiwa inosent, niombee, muombe mwanangu, Eliza anaumwa,
Nasitisha mapambano wacha Mungu anipiganie vita za kiroho 🙏🙏🙏 tunakupenda pia mtumishi
Asante baba muchun gaji mungu hakubariki à men
Amina mtumishi
Ameni
Amen amen amen amen
Asante mtumishi kweli hatuwezi wenyewe mungu atusaidie
Asante sana Kwa mafundisho mtumishi nabarikiwa sana
Asante Yesu
Amina amina, I see God is speaking to me 🙏
Mungu akubarki Sana mtumishi Sana kwa maombi niombee niinuki kihuduma
mungu awape neema hisiyo na mwisho
Amen amen
Amen amen🙏🙏🙏
Aaamen mungu akubaliki pia mtumish
Nilipambana kupata cheo sijawahi kupata yesu niipiganie nakuachia wewe ktk nafasi hii ya mwenyekit ccm wilaya
Ameen barikiwa sana
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏🙏
Amen mtumishi wa mungu🙏
🙏🙏🙏🙏 Amen
Amen amen, Mungu akuzidishie iyo neema
amen,asante
Napokea kwa jina la YESU
Amen mtumishi
Asante. Barikiwa mtumishi
Ooh hallelujah thank yesu
Vita ni ya mungu
Watching from Saudi Arabia nimebarikiwa sana plz need your prayers
Naomba pastor uniombee niko kenya nafanya kazi ila pesa hazionekani kunisaidia
Ubarikiwe sana
Asante., Ubarikiwe na Bwana Yesu Kristo
Adui anapambana sana na sisi, vita si yetu nairudisha kwa Mungu, nairudisha kwa Mungi. unanigusaga sana mtumishi wa Mungu
Amen🙏,
Naomba Mungu anifungulie njia, milango yangu ya Baraka ikatimie kupitia jina la Mwanae mpendwa Yesu kristo.
Amen 🌹🌹🌹🌹🌹🌹✔️
Mungu pigana na wanaopigana nami mm peke yangu siwezi
Mingu nipiganie wewe..hiivita sio yangu
Amina mchungaji, neno hili limekuja wakati unaofaa maana yote umesema nikama umesoma maisha yangu. Asante sana barikiwa
Ukumbukwe na Yesu Kristo
Hallelujah hallelujah hallelujah, barikiwa sana mtumishi
Amina mtumishi, vita sio yangu vita ni bwana, mimi niko mbeya mjini, naitwa nehemia luka kalinga, mimi ninafrem nauza maziwa, vitafunwa na chakula, nina binti 1 wa kazi, lakini leo kanigeuka ananiendea kwa waganga, anatakaabadili yeye
Ulinzi wa Yesu ni wa uhakika.usiogope
shukurani kwa mungu maaana amenipingania vita mingi sasa
Amina
Nikweli baba
Amina malango yangu yaliyofungwa yakafunguliwe asubuhi ya Leo
🙏🙏🙏 ninabalikiwa Sana na mafundisho ya madhabah hii,mungu akutie nguvu mtumishi.
Ndiyo amina
Nikweli
Amen mtumish ninavita Ila mungu apigane mwenyewe
Amen
Ameee
Nami naapa kumhusisha mwenyezi Mungu kwa ajili ya kushinda AMINA
Pray for me Kwa family yetu tuko na roho ya kukatiwa Sana
Ameen🙏🙏🙏
from kenya
Amen Amen Mutumishi wa MUNGU .nabarikiwa sana
Amina may god bless you 🙏🙏🙌🙀
Asante.
Amen glory to almighty God
Amina Mtumishi wa Mungu neno la Mungu limenitis nguvu asubuhi ya Leo Mungu azidi kukuinua katika viwango vya juu
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏
Aminaa mtumishi wangu
🙏🙏🙏🙏
Amina amina amina, 😭😭
Nasitisha mapambano,,nairudisha vita kwa Bwana 🙏🙏
Amen
AMEN vita ni ya Mungu
Ameen.
Amina Mungu wa mbinguni awabariki sana na kuwatia nguvu katika kazi yake✊️🙏✊️🙏👏👏✊️🙏🧎♀️
Ahsante sana
Mimi pia in mfuasi wa siri za bibilia
Ameeeeen Mungu akubariki sana
nitumie meseji 0758 708804
Naomba maombi kwenye ndoa yangu
Yaani hili Somo Natembea nalo aisee najiona ni mimi kabisa... Acha mungu atende nikirudi ni shuhuda ya nguvu Mt.....
Amen hata mimi naichukua natembea nayo mwaka mzima 2023 najua goliath anayeyatesa maisha yangu Mungu atamshughulikia🙏
Amen Amen and Amen 🙏 God bless you too
Nisaidie katika maombi binti yangu ni mda sasa haingii period
tutafute whatssap tuombe
Powerful barikiwa Sana mtumishi wa Mungu
Mtumishi niunganishe na group lako,,, UBARIKIWE
tutumie meseji 0758 708804
Ameen nabarikiwa mtumish🙏🙏
🙏🙏
Ameeeeen
Ameen🙏🙏🙏
Amen🙏🙏🙏🇰🇪
Nifudishe baba
Umenipa nguvu ya kufumilia yani niko na mateni kila mahali nilikua nimekata dama nawasa mambo mapaya sana
amen and Amen in jesus might name amen 🙏
Ameen I received ❤️
😥😥
AMEN 🙏 🙏 pray for me please
I received pastor
Amen
@@sirizabiblia5276 Amina mungu akubariki niona napata kitu juu ya maisha nilikuwa nayo ss sitanguli Tena mbele mungu kanifungua Vita ni vyake,
Naomba uniunge kwenye ma group ya whatsupp
Mutumishi naomba maombi kwa mtoto wangu wakipekee Brain mukhemba amekataa kusoma ,
Yesu anamtengeneza,namuombea mwanao
Mtume niombee naota ninachangamoto ya kukataliwa kibiashala pia hata kusingiziwa