Aina tofauti za apple kwa faida kubwa katika kilimo🍎🇹🇿🍏

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024
  • Tuandikie Whatsapp 0759141066
    Apples made in Tanzania - Apple zilizozalishwa Tanzania 🍎🇹🇿🍏
    The only seller of apple trees - Wauzaji pekee wa miti ya apple 🍎🇹🇿🍏
    Ifunda/Iringa, Tanzania
    tamutamutanzani...
    info@tamutamutanzania.com
    #kilimobiashara #kilimo #tanzania #agribusiness #agriculture #socialentreprise #investinafrica #fmcg #localfoodproduction #farmerempowerment #apple #farming #landwirtschaft #agrar #storytelling #entrepreneurship #iringa #mbeya #njombe #arusha #dodoma #southernhighlands #EA #eastafrica #kenya #co2reduction #horticulture #SSF

КОМЕНТАРІ • 18

  • @shadrackthomas6628
    @shadrackthomas6628 5 місяців тому

    Hongera Sana hiki kilimo tulichelewa wezetu Kenya walianza siku nyingi wanasambaza Miche hapa Tanzania naomba namba ya simu

    • @tamutamutanzania
      @tamutamutanzania  4 місяці тому

      Ndiyo!
      Asante sana kwa kuwasiliana na tamu tamu tanzania 🍎🍏
      Tafadhali tuandikie Whatsapp, au tupigie simu na maswali yako yote 📲💪
      wa.me/255759141066
      📞 0769106253
      📞 0759141066
      📍 Ifunda, Iringa - Location shamba
      😍Kilimo cha Appel na kufanya biashara na tufaha ni biashara nzuri
      Seller of apple trees - Wauzaji pekee wa miti ya apple 🍎🇹🇿🍏
      Apples made in Tanzania - Apple zilizozalishwa Tanzania 🍎🇹🇿🍏

  • @YusufSasamalo-uz4ii
    @YusufSasamalo-uz4ii 7 місяців тому

    Hongereni,ongezeni nguvu tuache kuagiza kutoka nje

    • @tamutamutanzania
      @tamutamutanzania  7 місяців тому

      Asante 😍😍😍😍😍. Karibu shambani ;)

  • @veniusstansilaus4987
    @veniusstansilaus4987 7 місяців тому +1

    Nahitaji kupata elimu kama mazingira nilipo inaruhusu nifanye mpango mnitumie Miche nipo kagera

    • @tamutamutanzania
      @tamutamutanzania  6 місяців тому

      Karibu!
      Asante sana kwa kuwasiliana na tamu tamu tanzania 🍎🍏
      Kilimo cha apple ni biashara nzuri.
      Bei ya apple ni kubwa, na mahitaji ni makubwa.😎
      Tafadhali tuandikie Whatsapp, au tupigie simu na maswali yako yote 📲💪
      wa.me/255759141066
      📞 0759141066
      📍 Ifunda, Iringa
      🌱Mti mmoja ni elfu kumi
      💪Agizo la chini la usafirishaji wa basi ni miti 15
      Au tupigie simu. Jumatatu hadi Ijumaa.
      Saamoja asabuhi mpaka saakumi jioni 🤓

  • @ceciliamahira4764
    @ceciliamahira4764 7 місяців тому

    How much are the green apples seedlings?

    • @tamutamutanzania
      @tamutamutanzania  6 місяців тому

      Hi Cecilia, sales is happing within Tanzania or Export to another country?
      Write us an email info@tamutamutanzania.com

    • @user-wu3ld2ti1k
      @user-wu3ld2ti1k 6 місяців тому

      Mnapatikana wapi, na mche mnauza bei gan

    • @tamutamutanzania
      @tamutamutanzania  6 місяців тому +1

      Ifunda!@@user-wu3ld2ti1k
      Karibu!
      Asante sana kwa kuwasiliana na tamu tamu tanzania 🍎🍏
      Kilimo cha apple ni biashara nzuri.
      Bei ya apple ni kubwa, na mahitaji ni makubwa.😎
      Tafadhali tuandikie Whatsapp, au tupigie simu na maswali yako yote 📲💪
      wa.me/255759141066
      📞 0759141066
      📍 Ifunda, Iringa
      🌱Mti mmoja ni elfu kumi
      💪Agizo la chini la usafirishaji wa basi ni miti 15
      Au tupigie simu. Jumatatu hadi Ijumaa.
      Saamoja asabuhi mpaka saakumi jioni 🤓

  • @geekilimba8362
    @geekilimba8362 7 місяців тому

    Mnapatikana wapi

    • @tamutamutanzania
      @tamutamutanzania  7 місяців тому +2

      Ifunda, Iringa. Karibu shambani ;)

    • @geekilimba8362
      @geekilimba8362 7 місяців тому +1

      Naomba nije nitembelee shamba lenu nahitaji kujifunza, nakaa iringa mjini

    • @tamutamutanzania
      @tamutamutanzania  7 місяців тому

      @@geekilimba8362 Karibu Ifunda

  • @geekilimba8362
    @geekilimba8362 7 місяців тому

    Je kwa Iringa inastawi??

    • @tamutamutanzania
      @tamutamutanzania  7 місяців тому

      habati, iringa ni nzuri sana. Tunatuma miti kwa njia ya basi kila siku kwenda Iringa, Arusha, Njombe na Tanzania nzima!
      Maapulo hukua vyema katika maeneo ya baridi 🥶
      Maeneo ambayo yanafanana Iringa, Njombe, Mafinga, Arusha, Lushoto, Songea, Mbeya na mengine mengi.
      Joto zaidi tunauza kwa raha ni katika mikoa kama Morogoro na Dodoma 🍏🤓
      Lakini hatushauri kupanda miti ya apple katika mikoa ya moto kwa madhumuni ya kibiashara 😎
      📞 0759141066
      📍 Ifunda, Iringa
      💪Agizo la chini la usafirishaji wa basi ni miti 15
      Karibu ;)

    • @user-jn7vf4vo7o
      @user-jn7vf4vo7o 4 місяці тому

      Hey bro may I get this plant from Bangladesh???

    • @tamutamutanzania
      @tamutamutanzania  4 місяці тому

      @@user-jn7vf4vo7o You have mountain regions which are in altitude above 1000m?