MAJIBU YA SERIKALI BUNGENI KUHUSU GHARAMA ZA UJENZI WA SGR TABORA - KIGOMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 9

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 Рік тому +2

    Bado tuna kazi kubwa sana nchini, tunahitaji wazalendo kila mahali.

  • @luganomunuwavanu9369
    @luganomunuwavanu9369 Рік тому +2

    Yaani mlisema mwezi wa tano mwanzoni mnaanza majaribio ya treni za umeme lakini hatuoni kitu. Mnatuvunja moyo

  • @kingxule6562
    @kingxule6562 Рік тому +1

    lakn fatilien malipo ya hiyo kampun ya ccecc wafanyakaz wananyonywa sana

  • @mmarandu2417
    @mmarandu2417 Рік тому +1

    Ucheleweshaji unaongeza gharama.

  • @bennykaselle5996
    @bennykaselle5996 5 місяців тому

    Habari za ukarabati wa reli ya mpand kaliua hamtoi.Pia ujenzi wa sgr mpanda mpaka karema hamtoi itapita wapi na wapi hamtoi sgr dodoma tumeziona .kila siku kitu kimoja mchanganye changanye taarifa ili zivutie.tunapenda siye watu wa mpanda pia tupate tarifa za maendereo ya ykarabati wa reli kaliua mpanda

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 Рік тому +3

    Kwaio waziri anamaanisha kwamba taarifa CAG iliyoonesha hasara, ni ya uongo?😢

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 Рік тому +2

    Mnapo tangaza pesa anzeni na shilingi Dola inafata sio mnanza Dola hatupo Marekani tu Tanzania shilingi

  • @vintagemusicgroup9236
    @vintagemusicgroup9236 Рік тому +4

    SGR Dar - Moro inaanza lini?

  • @mmarandu2417
    @mmarandu2417 Рік тому

    Sgr itaanza safari lini? Faida ambayo tungepata kwa kuanza usafiri mapema ni kubwa sana.