Dadaangu kweli wewe ni mtu wa mpira,yaani bora ungekuwa pale yanga ungefanya kazi nzuri kuliko yule anaejua kuongelea Simba zaidi kuliko timu yake..hongera sana
cc hatuna utani na ww na ucje jisifu utakuja kuifunga SIMBA SPORTS CLUB Labda UTOPOLO ndo mtaifunga ila cyo SIMBA, kama ulifungwa mwanzoni bac tegemea Round ya pili hvyohvyo kama ulivyojicfu kuifunga UTO round ya kwanza bac tegemea roundi ya pili SIMBA ITAKUFUNGA Kama mwanzoni
Hakun interview atafanya asiache kuitaja yanga,, Sasa utaitaja Sana msimu huu, Hawez fanya kitu bila kujrnganisha na Simba au Yanga bado sana ajifunze,,
Weweee Yanga tumekufunga mara ngapi kamdomo wewe tunakuanndalia package maalum kama ya Ihefu tuwashone midomo kabisa mpaka mshuke Daraja au Muuzwe kabisa
Dadaangu kweli wewe ni mtu wa mpira,yaani bora ungekuwa pale yanga ungefanya kazi nzuri kuliko yule anaejua kuongelea Simba zaidi kuliko timu yake..hongera sana
Sema mama umewanyoshaaaa😅😅😅😅
alosikia al ahli ya ibenge gonga like
Bi. Christina kweli Yanga amefika nusu fainaĺi ya Wachawi na Wagawa bahasha.🎉
Ajabu ni kwamba hiyo mechi moja unaiongelea mwaka mzima,Mkichukua ubingwa itakuwaje?Punguza kelele ligi ina mizunguko miwili,Subiri kiyama chako.
Hawa ni kuwaandalia package maalum kama ya Ihefu tuwashone midomo kabisa
Na nyinyi mechi moja mliweka mabango nchi nzima.
Wewe sio mtu wa mpira unaikumbuka kagera lakini😂😂😂
Huyu dada analizimisha utani na Ally Kamwe na Ahmed Ally sijui haoni wasemaje wa timu zingine wapo kimya
Ongezea na hili....Yanga ikiwa ya motoooo!!
Uyu dada anataka umaarufu kupitia yanga na simba
😂😂Alikamwe akiona hii atamaindi😅😅
Acha uwongo Kagera alixhamfunga yanga 3.0
''sIJAONA SIMBA IKISHINDA ZAIDI YA GOLI MOJA''HALAFU YEYE ALIKULA TATU.
😅😂 we mweuc bn acha kuongop
Simba mtulipie kisas ikiwezekan muwashone nying
Omba RADHI wewe Nani akulipie kisasi SISI tunauwa nyuki kwa nguvu zetu mlitufunha Tatu kwa msaada WA wazee wa simba.
Dada ka- mdomo katakuponza ushauri tu nakupa weka akiba ya maneno utakuja kunishukuru
KRISTINA UMEFUNGWA NA SIMBA UMESEMA SIMBA IMETEGEA NYIE HAKUWA NA LIGI SA HV UNASEMA MPO TAYARI MUDA WOWOTE SASA HV UNA LALAMIKA
Round inayofuata utaenda kufanya vibaya sana.
We muongo Kagera waliwafunga yanga gol 3 ,0
NA LEO UMEFUNGWA SEMA TENA
Umarufu unautafuta kwa sana kupitia yanga na simba kila kati unaitaja yanga na simba
YUKO vizuri
Sema Nini huyu dada aishukuru YANGA maana alikuwa hata hajulikani YANGA imempa umaarufu
Saw kwan vina mda bc
Hamuwezi kutobowa tena tabora tena
Nicheke Mie naona leo kasuka vitunguu cjui vya Christmas hivi havjafumuliwa😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hiyo bajeti yao ya usajiri imenichekesha mpaka nimecheka kwa nguvu maana hata mchezaji mmoja wa YANGA hiyo hela haipo
Mdaka Calculator 😂😂😂
Wewe mdomo utakuponza sana
We mama weee. Ni kipofu aliona mwezi. Sahau kuifunga YANGA
Anatangaza asali au mpira
SIMBA SPORT CLUB 😂WAKALI WA KARIAKOO
Kataira kagera hajawahi kuifunga yanga
Kamdomo katakuponza we dem
Huna lolote bora unyamaze, mpaka unaboa, simba yenyewe inawatoa nishai
cc hatuna utani na ww na ucje jisifu utakuja kuifunga SIMBA SPORTS CLUB Labda UTOPOLO ndo mtaifunga ila cyo SIMBA, kama ulifungwa mwanzoni bac tegemea Round ya pili hvyohvyo
kama ulivyojicfu kuifunga UTO round ya kwanza bac tegemea roundi ya pili SIMBA ITAKUFUNGA Kama mwanzoni
Sasa milioni 500 si chezaji mmoja tu tena kama nkane mana mchezaji wa maaana huwezi kumpata mchezaji kwa milioni 500
Kwani ukiwa msemaji huwezi kuongea uhalisia wa mpira?hivi kweli mtu adake calculator.
Umeanza uchawi
Huyu shemeji yetu lazima aolewe tar 2 februal na Ahmed Ally
Ndoa atafungisha Nani
Maana ni muislamu na Mkristo
Au Mchungaji wa Simba?
Sasa Ahmed atakubali maana yeye muislamu
Wanaume wamekukataa bado unajipendekeza. Kwani hujaolewa bado???
Unamwambiya ally kamwe hawezi kazi alafu unasema utani ongelea mpira acha kazi ya mtu
Kagera
huyu mama anatafuta umaarufu ambao hana
Uwe na kumbukumbu lkn e so kwa yanga lkn mi cjaoa dada ujue😂
Dada weka akiba ya maneno
Dada weka maneno yahakiba
Dada kamdomo katakuponza, subiri turudiane utatoka na aibu.
wewe dada acha mdomo Simba watakuaibisha na utakua mpole siku hiyo
Kafungwa Brazil 7 sembuse yanga?
Mdomo utakuponza lound ijayo
Hakun interview atafanya asiache kuitaja yanga,, Sasa utaitaja Sana msimu huu,
Hawez fanya kitu bila kujrnganisha na Simba au Yanga bado sana ajifunze,,
Kagera sugar-3 yanga-0
Weweee Yanga tumekufunga mara ngapi kamdomo wewe tunakuanndalia package maalum kama ya Ihefu tuwashone midomo kabisa mpaka mshuke Daraja au Muuzwe kabisa
SIKU HAZIGANDI MREMBO WA TABORA WATU WANA HASIRA NA SHOBO LAKO LZM UVULIWE WIGI MAANA SIO PEKE YAKO WALIOWAHI KUWA NA MDOMO UTATULIA TU
3:37 eeeeeeh weeye dada murongo kumbuka KAGERA SUGAR NAO WATAONGEAAJE?????JIULIZE SEMA KIPINDI HICHO MTANDAO ILIKUWA HAMNA SEMA KINGINE
Mnyaru mbn kama unajinadi tena
Ebu acha kuitaja yanga na ujinga wako tena ukome kama ulivyo koma kunyonya mbwa ww
Acha uwongoo wewe yanga ashafungwa sana magoli 3 uwanja wa taifa na timu za bongo
Huyu ataiponza tabora huyu
Wewe msemaji wewe wa Tabora hako kamdomo hako katakuponza utakafunga bila kupenda chunga sana hako kamdomo kako.
wee beng'eneka 2 mdomo uo
Si kweli mikorogo iko kwa ajili yako
Wee koma usimtaje pin pin wetu nyau wewe uyu anaonekana ana minyege ya karibu😂😂😂
Weee dada chunga hako kamdomo
Acha mdomo wewe huna lolole utapigwa sana mpaka uta tuliza mshono naona umepasuka mshono
Acha kuwashwa wewe Diara anakuhusu ninii je pin pin camara naye anakuhusu nini wewe elezea kuhusu kipa wenu acha ujinga wewe usifananishe kifo na usingizii
Hata wewe anakudaka sana
😅😅😅😅😅😅😅
Mdaka Calculator 😂😂😂
Saw kwan vina mda bc
😅😅😅😅😅😅😅
Mdaka Calculator 😂😂😂
Saw kwan vina mda bc
Mdaka Calculator 😂😂😂
Mdaka Calculator 😂😂😂