KAYOKO TFF WATOA MSIMAMO MZITO KWA REFA/KARIA AZUNGUMZIA MAKOSA YA KAYOKO NA ADHABU ITAKAYO MKUTA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 154

  • @VaiEliass
    @VaiEliass 6 днів тому

    Wanasimbaaaaaaaaaaaaaa makasiriko emsi

  • @HawaMkomwele
    @HawaMkomwele 16 днів тому +8

    Unakosea lawama hataakili ya kawAida huwezi kutumia hakuna kipofu wa akili bodi ya ligi na TFF na huyo kayoko mmmepanga kuhujumu Simba sasa hakuna marefu yasiyokuwa na ncha bwana

  • @AthumanDauda
    @AthumanDauda 10 днів тому

    Kalia tunaitaji VAR maana soka la tz hususan ligi kuu imekua twenda nawakat

  • @ayoublupande3007
    @ayoublupande3007 11 днів тому +1

    😢nimejisikia vibaya sana kutumia MB zangu vibaya kusikiliza Utopolo huu

  • @EmmanuelyPaschal
    @EmmanuelyPaschal 8 днів тому

    najuwa smba makundunyo hamjaelewa kuwa yanga,bora kila sehemu

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 16 днів тому +15

    Tff nanyie nimadazi tu ndo mnachangia ligi ya bongo kua mbovu mtu moja anamiliki tim zaidi ya tano kwel hata kwa wenzetu soka liliko endelea na huko watu wanapesa kuliko huyo GSM kwani iwe bongo tu mnalihalibu soka la bongo

    • @kassimramadhani9078
      @kassimramadhani9078 16 днів тому

      Acha ujinga, nani alikwambia GSM ni mmiliki wa timu yani hujui hata tofauti ya mmiliki na mfadhili. Kwa hiyo Mo anamiliki Simba. Jinga kweli

    • @DamianMkuye
      @DamianMkuye 15 днів тому

      Kwani gsm anamiliki na simba? Mbona kila siku anakaa? Tengenezeni timu yenu.

    • @YunuMawe
      @YunuMawe 15 днів тому +1

      Emirates anadhamini timu ngp?
      Qatar airways anadhami timu ngp?
      TATIZO BOSS WENU HAWEZI DHAMINI TIMU ZOTE HIZO KWA MTAJI WA 20K

    • @TeddyElisha
      @TeddyElisha 15 днів тому

      ​@@kassimramadhani9078mueleweshe xyo kutukan mbna wote mnaonekam hamnazo

    • @buumoko375
      @buumoko375 15 днів тому

      Je we na azam tunawamiliki?

  • @MudyPhone
    @MudyPhone 10 днів тому

    Bilawoga viogozi munashiliki kuzihujum time mujaa sana

  • @jaywi5681
    @jaywi5681 11 днів тому

    Ebu tuambie matukio gani katika game ya soka huwa yanachukua muda mrefu? Kumbe Kayoko alipangwa kwa mpango mkakati siyo? Mnaanza kuaribu mpira wa Tz

  • @KhamisMahmud
    @KhamisMahmud 10 днів тому

    nisaw we mke wako sianafanya kaz GSM

  • @leomika8473
    @leomika8473 13 днів тому +1

    Amna kitu apo uyo kayoko afungiwe anatuaribia mpira mbona marefa wengine wanachezesha vizur uyo kayoko ata msimu jana alifanya ivyo alafu mnampanga tena kwenye mechi ya dabi bora simba tuhamie kwenye ligi ya zanziba nyie mbaki nalitim lenu la yanga

  • @chikualiy8705
    @chikualiy8705 15 днів тому +3

    Simba inahujumiwa kilasiku sasa kwann Refa asilaumiwe yale matukio wala hayaitaji var tff angalieni sana

    • @careenpatrick2759
      @careenpatrick2759 15 днів тому

      @@chikualiy8705 tengenezeni timu maneno hayachezi

  • @katalisajuka-fl3st
    @katalisajuka-fl3st 9 днів тому

    Hata hizo VAR zitazimwa

  • @ahmedhamad5522
    @ahmedhamad5522 12 днів тому

    Penalt halisi 2 halafu unasema tunae mtupia lawama kayoko tuna kosea aaa jamani hii ndio haki
    Na ndio tunajenga ligi yetu ya tanzania au tunaibomoa mkae mkijuwa sio Tanzania tuu tunayoiyona ligi hii Ya tanzania bali ni nchi nyingi zinaangalia ligi hii .

  • @WilfredKilemile
    @WilfredKilemile 16 днів тому

    Tff na vyombo vya habar.vinaiujumu simba ingekuwa yanga ingezungumziwa mwezi mzima

  • @MichaelCharles-uo6rw
    @MichaelCharles-uo6rw 15 днів тому

    Zee Zima hivyo badala ya kukemea na kuwaambia waongeze umakini badala yake unasema tusilaum au ndo pwangu na pwanguz

  • @JohnGaitan-se9hj
    @JohnGaitan-se9hj 13 днів тому

    hufai kuwa lasi wamochozo yalematukio hayakuiyaji V I R

  • @daseselele5198
    @daseselele5198 15 днів тому

    Wewe naye hamna kitu tumekuchoka sana tuu huna jipya. Tutafutie marefa wa nje ya Tanzania ambao hawana Simba SC na uyanga. Hapo ndipo football yetu ya Tz tutaendelea. Na GMC apunguziwe timu anazozifadhili huu nao ni mchongo tuu tumeuona. Sio sahihi. Tff myaangalie hayo.

  • @amekindamba1643
    @amekindamba1643 15 днів тому

    Apa akuna ligi kuna michongo t2

  • @alinyangeali7310
    @alinyangeali7310 16 днів тому

    Hii ya lini?

  • @severinmmassy7627
    @severinmmassy7627 15 днів тому

    Kwaharaka nikitu Gani??

  • @careenpatrick2759
    @careenpatrick2759 15 днів тому

    Kwanza kawabeba sana kayoko kulikuwa na red kadi akatoa yellow kulikuwa na penat ya Camara kumchezea rafu mzinze ndani ya box kakausha hizo hamuon mnabakia kubwabwaja mmeonewa

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 16 днів тому +1

    Kwan kifua lessen ya kayoko ni Bei Gani???

  • @MaxCharles-wj5dg
    @MaxCharles-wj5dg 16 днів тому +2

    Azam Ali zulumiwa na simba dodoma jiji alidhulimiwa na simba

    • @careenpatrick2759
      @careenpatrick2759 15 днів тому

      @@MaxCharles-wj5dg hawaon hizo wamebakia oooh tunaonewa daah aibu sana

  • @JayHassan-cd2vg
    @JayHassan-cd2vg 16 днів тому +2

    Amna Rais apo uyo sasa hivi ni kibaraka wa GSM

  • @alphoncembassa6401
    @alphoncembassa6401 16 днів тому

    Kwani nanyinyi mnadhaminiwa na GSM mbona mmepigwa

  • @janetybubegwa5272
    @janetybubegwa5272 16 днів тому

    Ubora ktk UONGOZI ndio utakaokuheshimisha..unaua soka na HESHMA yako

  • @user.tunduru
    @user.tunduru 13 днів тому

    Eti matukio ya alaka sana kwaiyo tunachez mpila silo moshen acha siasa umeshindwa kudanganya ww

  • @AziziAlly-w2d
    @AziziAlly-w2d 16 днів тому

    Mbwa nyie mnaongea saiv watu washachukua point 4 bongo hmn mpira n hujuma tuu

  • @JuliusMdamanyi
    @JuliusMdamanyi 16 днів тому +1

    Wanasimba inawezekana tunawalaumu marefa bule, ukiangalia ujinga uliofanyika uwanjani halafu anasema siokweli maanayake nikwamba yanayofanyika tff iahusika kilamtu ameona refa alilolifanya, dabi imekija kuhalibiwa na tff na hata hizi timu zinazo zaminiwa na gsm duniani umetoka wap kwenye chama Cha mpira gani duniani, haya yote tff wameingia mkenge kwa yanga na gsm ili kuleta ufalme kwa timu moja.

  • @zawadiissa9602
    @zawadiissa9602 16 днів тому

    Kiria ukisema matukio yamefanyika kwa haraka haraka unamaanisha nn kwa matukio hayo inayosema yamefanyika kwa haraka unamaanisha sio faulu au nifauli watanzania wenzako wanaakili majibu yenu mtayapata chini ya jua niaibu burudani mnazitengeneza taass za ugaid

  • @inesskasale-hr1em
    @inesskasale-hr1em 15 днів тому

    Anakosea wapi anayemtupia lawama Kayoko? Zile ni penati ambazo huitaji var. Naona hata wewe hujui mpira au ulikula chako.

  • @SAMPonda
    @SAMPonda 15 днів тому +2

    mimi ninaiman hata lile goli alilokosa ateba angefunga lingekataliwa aiza wangesema alikua off side

  • @GasparYalengeko
    @GasparYalengeko 15 днів тому

    Hufai kuwa kiongozi wewe toa uyo kayoko tusirudie kumuona uwanjani

  • @mohamedmketo2414
    @mohamedmketo2414 3 дні тому

    Hawa tff ndo shida inchi hii sasa kama kiongozi anamtazamo kama uwo kweli kajisajau uo ni uongozi unapita juna maisha baadaa ya anaongea maneno ya hovyo kabisa

  • @ConstantineCoscardrov-wb6ih
    @ConstantineCoscardrov-wb6ih 16 днів тому

    Wewe unawaogopa yanga walitaka kukupindua nawakuondoe sasa mpira unauharibu nahaki hakuna unawaonea Simba

  • @CrementinaObwago
    @CrementinaObwago 16 днів тому

    sasa VAR ililetwa kitambo sana na mkadai itatumika msimu huu sasa mmeona hii sio mechi ya kutumika VAR TFF tuambieni ww karia nimechi gani VAR itatumika mbona nyie viongozi wa kutokea pwani mnamajanga sana yani we karia hufai kua Raisi wa soka jiudhuru tu huna utashi na foot ball yakweli na yenye haki na kayoko hatumtaki ktk mechi zetu

  • @hajiali-cd6sz
    @hajiali-cd6sz 16 днів тому

    Wewe kiasi useme hivyo kwa sababu mkeo anapata ugali kwa G S M na pesa mwisho wa mwezi refa Hana makosa

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 12 днів тому

    Huyu jamaa MPUUZI sana Kwani Kuna matukio Huwa yana FANYIKA Kwa muda mrefu sana ndani ya Mpira sema huyu amesha kula zile pesa za GSM katika ule mkataba wa kihuni uliyo vunjika kihuni njia pekee KUONDOA haya magumashi ni kuwapiga wamuzi wapumbavu yani wamwagike damu haswaaa

  • @YahayaBakari-hf5yk
    @YahayaBakari-hf5yk 16 днів тому +1

    Atupiwe nani kama siyo refarii

  • @christianmwashala9760
    @christianmwashala9760 15 днів тому

    Kwan marefa ni hao hao tz nzima mtu akikosea mpigen bench muone kama hawatakua makin,,wapo marefa lkn nyie mmekazan na hao hao tuu

  • @YahayaBakari-hf5yk
    @YahayaBakari-hf5yk 16 днів тому +4

    Kila siku ni makosa ya binada mbona mnakuwa na akili mbovu hvyo

  • @JobnManase-gh2fp
    @JobnManase-gh2fp 15 днів тому

    Karia ndio shetani namba mmoja nimuhuni mpannga matokeo pamoja na chama cha marefa kayoko,arajiga na yule mwingine

  • @SillinusNyanda
    @SillinusNyanda 16 днів тому

    Kula pesa ya GSM

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 12 днів тому

    YANI HATA AZAM WANGEWEKA TV NDOGO KILA MECHI UWANJANI INGEKUA MDAADA TOSHA KULIKO HIYO GARAMA YA V ,A ,R

  • @nicolausmollel6212
    @nicolausmollel6212 16 днів тому

    Oi we apo ulipo fika inatosha uwongo mwingi sana

  • @DStarTz-if2ko
    @DStarTz-if2ko 16 днів тому +1

    Uongoz akishikka mtu wa pwan Huwa maslahi mbele

  • @ahadjuma8356
    @ahadjuma8356 15 днів тому

    endeleeni kuihujumu timu yetu

  • @AddisalemSamsonmzava
    @AddisalemSamsonmzava 16 днів тому

    Maoni yangu ni kwamba TFF ndio wenye mamlaka ya mpira wa miguu.hii mechi irudiwe ili Kila timu ilidhike na matokeo.
    2 Kayoko afungie maisha ili waamzi wengine wapate somo kupitia yeye.
    3 kwani Tanzania hakuna marefali wengine tofauti na kayoko na aragiga?

  • @KASSIMSHEHEMBA
    @KASSIMSHEHEMBA 11 днів тому

    Karia unatufanya sisi simba hatuna akili?unasema matukio ya kayoko yalukuwa ni ya haraka sana sawa tumeeelewa ila mwache aendelee kupikea maagizo huyo mwamuzi unaemtetea au kibarua cha shemeji pale ksm nazani bingwa mmeshapanga tutapambana kutetea haki ya klabu yetu

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 16 днів тому +1

    soka la bongo ni bovu sana ndo maana tukienda mechi za kimataifa tunapigwa mapema tunaludi kula magimbi nahao juma mwiko utawaona kimataifa wanamalliza mkiani amini mungu na mtume habaliyao imeisha

  • @MedadiMigeleo
    @MedadiMigeleo 16 днів тому

    Kalia unamaanisha turudi nyuma kwa marefa kupigwa viwanjani Kama kayoko anaonewa wewe unahusika Kila rushwa ya gsm

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 16 днів тому

    Mshezi tu ww

  • @DeusLumumba
    @DeusLumumba 16 днів тому

    GSM ana wa honga haraka yann kazi ya refa ni nn mmeshakua mbwa za GSM

    • @careenpatrick2759
      @careenpatrick2759 15 днів тому

      @@DeusLumumba mo si ndyo tajir Africa mwambien na yeye ahonge marefa na TFF

  • @CrementinaObwago
    @CrementinaObwago 16 днів тому

    malizia mda.wako utupishe Rais wa soka lakini unaonekana umezoea kuwaongoza wake zako sio watu wanao jitambua we ni yanga unjiongelesha mavitu

  • @AddisalemSamsonmzava
    @AddisalemSamsonmzava 16 днів тому

    Kayoko alishaweka wazi kwamba ni mshabiki wa yanga.na nyie Kila Derby mnampanga.pia makosa ni Yale Yale ya kupendelea yanga.ina maana jicho la kayoko linaangalia makosa ya Simba tu ila ya yanga haliangalii?

  • @AddisalemSamsonmzava
    @AddisalemSamsonmzava 16 днів тому

    Ivi FIFA ikiangalia haya matukio ya kipumbavu kama haya inawachukuliaje?

    • @vicentnyanda828
      @vicentnyanda828 16 днів тому

      Ndo maana hizi ken zinachezesha hapa nchini tu kwa ajiri ya ujinga kama huu

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 15 днів тому

    Tff mnachukua vibunda machawa tu

  • @FrankBalwetegile
    @FrankBalwetegile 16 днів тому

    Wewe huna jipya kwani hiyo ni mara ya kwanza kufungiwa,hatamkifungia itasaida nini,ndilo maana wenye akili mechi zao hawachezeshi hawa wenye njaa!

  • @janetybubegwa5272
    @janetybubegwa5272 16 днів тому +1

    Hawa sio wa kuwachekea tena uso wake unaonyesha kabisa dhuruma

  • @HusseinMoyo-d3w
    @HusseinMoyo-d3w 16 днів тому

    Nyinyi wote wasengetu kuanzia ww kayoka na iyo tff yenu Kuma nyie

  • @AddisalemSamsonmzava
    @AddisalemSamsonmzava 16 днів тому +1

    Shida sio kayoko bali shida ni TFF.

    • @vicentnyanda828
      @vicentnyanda828 16 днів тому +1

      Tulisubiri sana huu msemo,
      Wanajua walichofanya ndo maana kayoko yupo happy😊

    • @AnnaJohn-d5u
      @AnnaJohn-d5u 15 днів тому

      😅😅😅😅😅😅mnahangaika nyie mnapoint 6 za dhuruma na magory matatu ya dhuruma mbna hamsemi tff inawahujum wengine???😅😅😅😅

  • @ChristopherK4
    @ChristopherK4 16 днів тому

    Makuma nyie mlisema var ingeanza kutumia msimu huu af zinakuja hadithi msingesema

  • @YahayaBakari-hf5yk
    @YahayaBakari-hf5yk 16 днів тому +1

    Kwanza huyu hafai kuwa raisi wa mpira wa miguu

    • @careenpatrick2759
      @careenpatrick2759 15 днів тому

      @@YahayaBakari-hf5yk leo tena mnamkana kolo mwenzenu kawabeba Tanga na mapenet ya uongo mkafurahiii leo hafai🤣🤣🤣

  • @saidbakari7998
    @saidbakari7998 16 днів тому +1

    Anakosea nn hajasomea urefa ama

  • @piuslugata4931
    @piuslugata4931 16 днів тому

    Siku uwaja ukijaa gasia msiongee

  • @careenpatrick2759
    @careenpatrick2759 15 днів тому +1

    Acheni kelele makolo nyie hamjui chochote Karia mwenyewe kolo kayoko mwenyewe kolo nyege za nn sasa tulizen mshono tuzidi kuwapasua

  • @KakeSimba
    @KakeSimba 16 днів тому

    We khenge umeshanunuliwana yanga acha ujinga

  • @FrankBalwetegile
    @FrankBalwetegile 16 днів тому

    Rais wa mchongo na marefa wa mchongo unategemea nini kitatokea?ndiyo maana jaya timu yetu ya taifa sifa nyingi mauzauza hayaishi!

  • @TajiriSaruni
    @TajiriSaruni 16 днів тому

    Hiyo ni mbinu tu kuwa funga mnyama macho uwogo mtup hiyo

  • @MerryGaspa
    @MerryGaspa 16 днів тому +1

    Mjiuzulu amnakazi mnayo ifanya mnakula rushwa

  • @kanoleausi4204
    @kanoleausi4204 16 днів тому

    siyo KAZI ya kayoko kuwapa furaha😂

  • @georgemallya4311
    @georgemallya4311 15 днів тому

    Ila nyie TFF mnaharibu sana ligi ya bongo.ule mchezo wa Yanga na simba ni utumbo mtupu.simba ilitakiwa imenyimwa penalti mbili.upumbavu wa hali ya juu watu wamechukia sana kwa maamuzi ya kijinga ya refari Kayoko

  • @Evance-op4jw
    @Evance-op4jw 15 днів тому +5

    mimi nimeona kayoko kachezesha vizuri hakuna penart za vile kwenye deby zilikuwa rahis sana wachezaji hupenda kujiangusha kwenye box wapewe penart hasa kwenye michezo mikubwa hivo kayoko alikuwa makini HAKUNA VISINGIZIO

    • @saidsalum6101
      @saidsalum6101 15 днів тому

      Zile penati zilitakiwa kuwepo kwa mama yako

    • @KassimuNgohengo
      @KassimuNgohengo 15 днів тому

      Kwan derby unatumia Sheria tofaut na game zingne

    • @welsonleonad1743
      @welsonleonad1743 15 днів тому

      😂😂 ety kwa daby so penalty

    • @AllyOmari-p9s
      @AllyOmari-p9s 15 днів тому

      Katombwe uko

    • @NoelMussa-k7o
      @NoelMussa-k7o 14 днів тому

      ​@AllyOmaracha matusiii basi😂😂😂😂i-p9s

  • @mwanahamisimilinga4441
    @mwanahamisimilinga4441 15 днів тому

    Mavi yako

  • @faustinemsanguli1055
    @faustinemsanguli1055 15 днів тому

    Wewe nawe ni makalio hujaona nn

  • @MashakaRamso
    @MashakaRamso 15 днів тому

    Niwale wale tu

  • @yusufufikiri5005
    @yusufufikiri5005 16 днів тому

    HUYU RAIS WENU WA TFF AKILI HANA. ETI MATUKIO YA HARAKAHARAKA

  • @mkurdimnubi-oo8es
    @mkurdimnubi-oo8es 16 днів тому

    Kumbe huyu msenge sana

  • @mkemiaelias6009
    @mkemiaelias6009 16 днів тому

    Acha huo ujinga mala moja siijui unaongea Nini ?

  • @JumaPaulo-bm8vo
    @JumaPaulo-bm8vo 16 днів тому

    Sikuzote hakuna k2 kuna tokea talatibu wewe sema amekula pesa kama hatutakuwa makini munaalibu lingi yetu kwa nn mnapenda pesa kuliko kaz yenu mnashusha hazi ya lingi yat

  • @KennedyThomas-h8y
    @KennedyThomas-h8y 16 днів тому

    Nahy refa wenu mpen taarifa kabs watakuta kadedy hatuwezi kukubali kukosa furaha kisa refa ambaye tunaweza tukamuwinda natukampata sema tu msione watu wapo kimya mkafikiri shali hatuwezi nasema wewe kayiko popote ulipo kua makn tutakuteka nahautard ten kamwe mpira sio wababaako we umepewa dhamana yakua refa bc tenda haki pande zote

    • @careenpatrick2759
      @careenpatrick2759 15 днів тому

      @@KennedyThomas-h8y 🤣🤣🤣mbona refa wenu huyu na kadi ya Simba anayo

    • @NoelMussa-k7o
      @NoelMussa-k7o 14 днів тому

      Poleeee😂 unawaza kuuuuwa kisa mpiraaaa😊😊😊😊

  • @NdokejiSahani-b1l
    @NdokejiSahani-b1l 15 днів тому

    Na nyie moo c anahela kwanini asimiliki timu zote zilizosalia ambazo hamiliki gsm we mwehu nini

  • @AddisalemSamsonmzava
    @AddisalemSamsonmzava 16 днів тому

    Au labda akpewa rushwa mnakula wote?

  • @FrankJohn-q3x
    @FrankJohn-q3x 16 днів тому

    Apa atunamtu tuna mbumbumbu dabigapi haziko hivi

  • @abdallahhamza9689
    @abdallahhamza9689 13 днів тому

    Huyu jombaa sura yake kama ametoka kupigana

  • @seiftaji7838
    @seiftaji7838 16 днів тому +4

    Tff wanashiriki kuihujumu simba kwenye mechi ya Daby ila madhara yake makubwa ipo siku mashabiki wa simba wataingia uwanjani kumshambulia refalii maana uonevu umezidi kwa simba

    • @bahatinassorali5222
      @bahatinassorali5222 16 днів тому +1

      😂😂😂😂😂wameonewa kumbe

    • @NoelMussa-k7o
      @NoelMussa-k7o 14 днів тому

      Dodoma mlizulumu azam mlizulum leo mnalalamika mbona yakwenu hamuyaoniiii😂😂😂😂

  • @JonathanZakalia
    @JonathanZakalia 15 днів тому

    Toka uko

  • @BERTINOSANKA
    @BERTINOSANKA 11 днів тому

    Njaa tu nyie

  • @antidiusmulokozi
    @antidiusmulokozi 15 днів тому

    Amna mnachokifanya nyie

  • @BinshakbuHemed-gb2zi
    @BinshakbuHemed-gb2zi 16 днів тому

    Wechokotuu. Hunalolote

  • @allyrembo6714
    @allyrembo6714 16 днів тому

    Huyu Rais ni mpumbavu inaonekana nayeye anapata mgao huwezi sema eti matukio ya haraka kwani kazi ya refa na wasaidizi uwanjani nini? Kama siyo kuangalia matukio kama hayo? Kibaya zaidi matukio yamejirudia katika ile mechi inamaana yote hakuyaona? Halafu Rais mzima unaongea upumbavu bila hata ya aibu mimi binafsi naelewa karia na mghuto hawa niwanachama wa coastal ambao wanashirikiana na utopolo kwaajili ya kuiangamiza simba ila niseme tu ipo siku moto utawaka kwasababu mnajua kabisa simba hawa mtaki kayoko kwa vitendo vyake nyinyi mnamlazimisha kama siyo kupokea rushwa nini?

    • @ToradEmanuel
      @ToradEmanuel 16 днів тому

      Kwan Red card ya Hamza mbona hakuitoa refaa alizingua kabsaa

  • @rashidomari5224
    @rashidomari5224 16 днів тому

    Hakuna kitu huyu. Anaanza kutoa maoni wakati Kuna kamati husika means anawapa maelekezo wahamue kama yy. Huyu si ndo mke wake amepata kazi na gsm?

  • @songaschannel5770
    @songaschannel5770 15 днів тому +2

    Kubalini kushindwa wajamen

  • @johnmworia1062
    @johnmworia1062 15 днів тому

    Acheni siasa nyie. Jee hilo goli utalifuta wewe. Hamna lolote.anatakiwa afungiwe ili iwe mfano kwa wengine.Hivi kiongozi,ni sahihi mtu mmoja afadhili timu 8? Sasa na moo akifadhili 8 ligi sii itakuwa ya simba na yanga! Sababu tajiri anaekupa hela akisema mkazie huyu.mnamkazia.Akisema mlegezeeni huyu.Mnamlegezea.

  • @HassanHass-r5c
    @HassanHass-r5c 14 днів тому

    Ww muongo ww mwenyewe mshenzi.tu

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 16 днів тому +1

    Tookaa mwehuu ww

  • @mbaroukali8648
    @mbaroukali8648 16 днів тому

    Hana lolote uyoooo

  • @AgreniaNyingi
    @AgreniaNyingi 16 днів тому

    Karia Toka naushenzi wako unaongea ni mmbwa wewe

  • @mohamadisaidi3126
    @mohamadisaidi3126 16 днів тому

    Wewe kalia , akiri huna, kwani wewe ujangalia mpira? Wewe ni kibaraka wa yanga

  • @ALBERTNyemba-uk3fr
    @ALBERTNyemba-uk3fr 13 днів тому

    Andazi wewe na simba yako mbovu.endeleeeni kutambulishana sawa dada,,huku wenzenu wanapiga kazi na kusajili watu wa kazi.