Allah akulaze pema penye wema Sheikh Muhammad Idi Wallahi Pigo kubwa Mie kwetu Lamu Kenya Msiba wa Sheikh umenigusa vibaya Mno ela ni Kazi ya Allah haitolewi Makosa
Kweli ndgu yangu ss watu wa amu tumehuzunika zaidi , lkni twasema inna lilahi waina ilehi rajiun. Alhamdullah Alhamdullah , na twa ambia watu wa tanga na darisalam ple sn tuko pamoya katika hunu msiba mkubwa wa mwana chuoni wetu mtetezi wa sunnah na twariqa. Alhamdullah tumesoma tausia kila mahali
Mungu amueke mahali pema peponi.
Allah akupe kauli thabit,,, sheikh wetu😢
Innalillah wainnailayh rajiun...... Shk wetu Allah akuweke mahala pema peponi
🎉 Allah atamhafizi. Kwa matunda aliyo tuachiy twajua Siyo msiba wa watanzani pekee. Bali ni ulimwengu mzima inauma San. 🙏🙏🙏🙏
Allah akulaze pema penye wema Sheikh Muhammad Idi Wallahi Pigo kubwa Mie kwetu Lamu Kenya Msiba wa Sheikh umenigusa vibaya Mno ela ni Kazi ya Allah haitolewi Makosa
Kweli ndgu yangu ss watu wa amu tumehuzunika zaidi , lkni twasema inna lilahi waina ilehi rajiun. Alhamdullah Alhamdullah , na twa ambia watu wa tanga na darisalam ple sn tuko pamoya katika hunu msiba mkubwa wa mwana chuoni wetu mtetezi wa sunnah na twariqa. Alhamdullah tumesoma tausia kila mahali
@@abulhakim2294 kubwa Allah atujaalie kila lenye kheri na subra kubwa
MASHAALLAH omary ALLY SHARO
Hakika zote niwa mungu na kwake tutarejea ila dah kifo cha sheikh abuu iddi kimeniuma sana
Innalilahi waina ilayhi rajiuun. Allah amfanyie wepesi katika kaburi lake
Allah amjaalie kauli thabiti inshallah
Amin
Inna lillah Wainnailayh Raajiun
Inna Lilah wainna ilah
Ilayhi raajighuun
Inalillah wainailaihi Rajiun
Mungu amrahamu
innalillah wannailyhrajiun
mungu akupe kauli thabiti inshallah mbele yako nyuma yetu safari yetu moja
Innaa lillaahi wa innaa ilayhi raajiuun
Inalillah wainaillah rajiun,jaman hiv kweli unahudhuni ya kufiwa na mtu unaempenda unapata wapi muda wa kuimba Qaswida
Ndugu yngu umesema kweli
Maswahaba wako walio sikitika Kwa msiba wa MTU Kwa mashairi
@@KhalifaSaid-c6c hapo ndio kwenye shida wewe umekupata msiba wa mtu unaempenda unaweza fanya hivyo au unatetea nini hapo
@@MgazaMhina kwaiyo walio mtolea mashairi MTUme wetu Baada ya kufa walikuw hawampnd soma mashairi ya sayyidn hassan bin thaabith na wengin
@ mimi nimekuuliza wewe,unaweza kufanya hivyo ukipata msiba wa mtu unaempenda,mimi nimewaza kwenye nafsi yangu nimeona siwezi
Kuna kujua ulichokisoma na kujua wakat gani wa kusema pia aliekwambia hii ni kaswida ni nani??
Mtu wa Bidaa hata akifa Bidhaa inaendelea
Ss c mumuombe Dua TU nyimbo za kz gn ? Dah
Ama kweli elim ni nuru na ujinga ni giza mmemshambulia kijana alosema ameshukuru kwa kifo nyie badala ya kuhuzunika na kuwaidhika mwaimba nyimbo
Kwani Dhambi waloifanya hapo ni nini kuimba Mashairi ama mbona tumeufanya uislamu Kam simba na yanga kwako Zuri kwa mwenzio baya
hhahahahaha daaah Na Muzik ukatungwa.
Allah awaongoze Kuifata Manhaj Salafi Mmejawa na Mabidaa.
Duu tunakuwa kama wakristo MTU akifa kwaya
Kwenye majonzi uwe serious siyo lazima wakufate wewe kwani wewe kwa nini huwafati ? Qaswida unasema kwaya?
Sasa jamani haya nimambo gani sasa enemies watu wamaulidi
Innaa lillaahi wa innaa ilayhi raajiuun