Ee Mungu hakika tunaogopa mno maana wewe sio Mungu wa mzaha. Wachache watakao amua kuingia kwenye toba kwa kusikia sauti yako naomba Mungu wa rehema sikia sauti zetu ukaiponye nchi yetu na dunia yote. Kama ulivyosema katika Neno lako takatifu ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu watajinyenyekeza na kuomba,na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya, Basi nitasikia toka mbinguni,nitawasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao 2 Nyakati 7:14. Mungu baba sikia sauti zetu hatari iko juu yetu 😭😭😭😭😭
Amen unachosema nikweli kabisa watu wanatakiwa wamtafute Mungu tuachane na makanisa feki mm binafsi nimeonyeshwa yatakayotukia tz kama hatutaomba toba kipo kibaya Mungu atusaidie madhabahu zauongo zimejaa sana
Asante mtumishi wa MUNGU kazi kwetu kutubu dhambi tupate rehema au kuacha ili mabaya haya yatufikie eeTANZANIA sikia neno la MUNGU upate kupona vinginevyo tutaangamia kumbuka MUNGU hana upendeleo wala hapokei rushwa humlipa mtu sawasawa na matendo yake.
Leo nimeota ndoto ya kutisha Sana mvua kubwa Sana inanyesha ya mawe matupu na anga lilikuwa na wingu jeusi na barafu ilikuwa ikianguka yaani ilikuwa Hali ya ukiwa, Nilitamani ningekuwaga marehemu muda, akasema Ili uamini Mimi ni Mungu kasome isaya 13 niliposoma uwiii nilitetemeka,Yani utatamani kufa, tunatakiwa kuomba Sana saiv, anachosema huyu nabii ni kweli jaman Asante Mungu kwasababu umetaka nisikie Tena.jamani msikieni huyu baba
Mungu awabariki ninyi nyote ambao ni wanyenyekevu wa Moyo na Mungu anawasemesha na kuwaonyesha na kuwathibitishia maono ya unabii huu. Nitoe wito mtakatifu kwenu, kwamba; kwa yeyote ambaye anahitaji kupata maelekezo ya kina na kujua kwenda mbele za BWANA kwa maombi; TUMA SMS KWA WHAT'S UP NAMBA 0678 304 931
Hiyo hali usiombe mimi nimeota mfululizo nchi imekua giza nafsi inauma kwenye ndoto hiyo hali ni ngumu sana sijui hiyo siku itakuaje. Mungu tuhurumie tusamehe. Nataman kukuona nipe maisha matakatifu
Mm mwenyewe naunga mkono kwaajili ya watu wenye mizaha neema ikiwa nyingi ndo tuzidi kufanya maovu? Acha Mungu afanye baada ya kugalagala mbele za Mungu lkn watu wanatukana na kukashfu nihatari sana
Mahubiri Yako Mungu akayafanye yawe kheri ktk Taifa letu na kamwe yasilete garika Kwetu. Ninaiweka Tanzania mikononi mwako Mungu, navunja ainazote za maneno na kazi zote za shetani alizozipanga juu ya binadamu wote wa TZ
Jaman mungu awabariki sana maana nmefatilia mafundisho haya nmebarikiwa sana nakujifunza mengi naombeni maombi yenu ili mungu anipe ufahamu maan najiona mtu niliyekufa kiroho mno
Wao wamesha jiwekea kuwa wameshashinda wameyaandaa hayo wakijua yayata watokea wao lakini mm nakutabiria Leo Tanzania itabaki salama salmini kwa maana hakuna mtanzania hata mmoja mwenye makosa kosa mnalonyie mliotufundisha kuwa mungu ni roho mkatufundisha eti duniani hapa sio kwetu sasa huoni hapo linakuja jambo litakalo timiza kutuondoa hapa duniani twende mbinguni
Mungu aikumbuke tz tusipuuze ujumbe huu kwani umebeba ujumbe mzito.wakati wa nuhu Mungu pia alimpa nuhu ujumbe japo wengi walipuuza waliangamia na Mungu alibaki kuwa Mungu ooh Lord remember mercy we need your help soften our hearts Ezekiel 36:26 ili Mungu ujumbe uu upate nafasi kwetu amen amen
Mimi mwishoni wa mwaka jana niliota Majengo dar es salaam yameanguka sababu ya tetemeko kubwa niliamka Kwa masikitiko sana,Tuombe Mungu hasira yake juu yetu ipoe 🙏🙏🙏
@@RastaSuma Si nabii tu hufunuliwa ndoto na Mungu lakini Kwa mtu yeyote Ayubu 33:14-18 14Kwa kuwa Mungu hunena mara moja, Naam, hata mara ya pili, ijapokuwa mtu hatambui. 15 Katika ndoto, katika maono ya usiku, Usingizi mzito uwajiapo watu, Katika usingizi kitandani; 16Ndipo huyafunua masikio ya watu, Na kuyatia mhuri mafundisho yao, 17Ili amwondoe mtu katika makusudio yake, Na kumfichia mtu kiburi; 18Yeye huizuia nafsi yake isiende shimoni, Na uhai wake usiangamie kwa upanga
Nliota ndoto mara2 ikionyesha ndege ya Tz imelipuliwa angani. Nkashtuka usingizini nasikia Tz inapigwa. Imenisononesha kwa kweli hiyo ndoto! Mungu aturehem na atuokoe
Eebwana wetu yesu mfaluume wa wafalume Mkuu wa wakuu bwana mwenye uwezo wote tusamee bwawetu tumekutenda thambi sana tumeliacha neno lako na kufata njia zetu mabaya zisizo kupendeza wewe turehem jehovo
Mungu anisaidie kuvunja na kuharibu na kuangamiza madhabahu ya giza kwenye nafsi yangu na aridhi yangu na popote yaliko wekwa kwa ajili yangu na watanzania wote
+255 678 304 931 karibu sana mtu wa Mungu, Namba ya mwl. Tengwa ni hyo unaweza kumtafuta kwa maelekezo zaidi. Acha machozi yako yachuruzike na yawe mito ya maji mengi, utukufu wote kwa Bwana Yesu. Amen
Bwana Yesu tusamehe hakika wewe ni mwingi wa rehema na unasamehe na kusahau naomba rehema yangu na kea niaba ya nchi yangu Tanzania naomba rehema na toba na kwa niaba ya dunia nzima tupe ufunuo Yesu wa kukujua wewe rudisha fahamu zetu kwako Yesu tusamehe Bwana Yesu 😭
Wewe nabii wa uongo hukisikilizwa na mwenye akili akikusikiliza vizuri, hayo ni maneno wazi ya kutengeneza kwa maslai yako binafsi na utawapata watu wengi sana wasiokuwa na elimu ya kuabudu mungu mmoja na wale wasiojua dini ya kweli.
Mungu tuhurumie mm nimeota moto mkubwa na vumbi yenye kimbunga kikubwa watu tunakimbia kujiponya ilitisha, na niuku Moshi pia gari la mchanga liliachana na dreva likajiendesha lenyewe likaleta ajali kubwa ndoto iliniogopesha kwakweli
Tafadhali usitutishe huo ufunuo wako si wa Mungu wakweli ALLAH ni ndoto za SHAITWANI aliyelaaniwa amble amepoteza wengi ukiwemo wewe Mngu wa kweli ALLAH hawezi kuangalia watu kama wewe huo ni UONGO nakuasa usimshirikishe Mungu utapatalaana
Asante sana mubarikiwe na Mungu Muumbaji wa vyote MUNGU Yehova na YESU KRISTO aliye jitoa kwa ajili yetu na Roho mtakatifu ndiowanajuwa siku zote apewe sifa milele na milele Anatupenda sisi wote ambao tuko wenyezambi kitu anakataa sana ni zambi.Asante MUNGU Yehova kwa kutufunulia walio na akili tunarudia kwako MUNGU mwenye Rehema.
huyu kapiga hesabu vibaya ya utabiri hakuna tetemeko la ardhi litakalotokea dar hakuna bonde la ufa ila arusha moshi mbeya mpaka kenya. kutatokea tetemeko la ardhi na si unabii ni utabiri. tafadhali tusiwatishe watu.
Ushetani umekidhili makanisani tumejisahau acha atukumbushe ,ujumbe huu umesema nawatu wengi sasa nawala hakuna anaejali Sasa tufanyaje ,acha afanye atakavyo ili tukumbushwe kuwa yupo mimliki wa hii dunia
Ee Mwenyezi Mungu muumba mbingu na nchi na vitu vyote vilivyomo ndani yake tunakuomba uturehemu na kutusamehe makosa yetu.. utuokoe sisi watanzania na dunia nzima
Mimi naomba Mungu atimize haya maana tumezidi tunajifanya Kama tulijiumba wenyewe ,kanisani badara ya kuhubiri injili ya KIRSTO YESU wanamtangaza shetani vimini kila aina ya uchafu upo huko
Siayakanyage hayo majoka kama yapo miguuni pake huyo MUNGU wako sio kwanii ashindwe kuwaangamiza hao wabaya alete tetemeko ambalo lita angamiza ambao hawana hatia huoni kuwa huyo mungu wako ndio yule yule anaechukia masikini
Swali umeongea Sana nina Jambo la kusema Wapo wenye haki WACHACHE watakao Simama Katika Bwana Bwana ataiokoa Nchi, Tanzania ni ya Bwana mara hatutaangamia kwa HURUMA na REHEMA.
Kwanini unabishana Kwa akili zako nenda magotini Muulizie Mungu atakupahabari hizi zote kama mi za kweli Acha kuropoka wewe.shida watu mko mwilini mnoo
Mungu ni mwema haijatokea. Tupo 2024 sasa glory to God
Mtumishi Mungu akiipiga inchi au dunia hakika heshima itarudi Mungu ataheshimiwa watu watajua kwamba Mungu ni wakuheshimiwa
Mungu akubariki mtumishi ni ukweli mtupu ndiyo yanayotendeka kwasasa
Mungu baba yetu turehemu watoto wako watanzania. Samehe uovu wote Bwana viumbe wako wanaoenda Bwana tusamehe tunaomba Baba yetu. Amina.
sijawahi kusikia neno la Mungu kama hili teach us God bless you
Ameeen! Nabii wa Bwana, naona kweli ya Mungu unanena; ndugu zangu watza tumrudie Mungu wa kweli.
Mungu wangu yesu nisaidie mimi na watoto wangu,
Ee Mungu hakika tunaogopa mno maana wewe sio Mungu wa mzaha. Wachache watakao amua kuingia kwenye toba kwa kusikia sauti yako naomba Mungu wa rehema sikia sauti zetu ukaiponye nchi yetu na dunia yote. Kama ulivyosema katika Neno lako takatifu ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu watajinyenyekeza na kuomba,na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya, Basi nitasikia toka mbinguni,nitawasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao 2 Nyakati 7:14. Mungu baba sikia sauti zetu hatari iko juu yetu 😭😭😭😭😭
Amina mtumishi Mungu akufunulie Siri zote za yule mwenye kuasi Mkuu(IBILISI-JOKA)audanganyae ulimwengu
Hujatumwa wewe! acha kutisha watu.Yer 23:21-32.Amen
Amen unachosema nikweli kabisa watu wanatakiwa wamtafute Mungu tuachane na makanisa feki mm binafsi nimeonyeshwa yatakayotukia tz kama hatutaomba toba kipo kibaya Mungu atusaidie madhabahu zauongo zimejaa sana
Huenda watu watapuuzia, lakini lazima watanzania tutafakari sana si kila unabii ni uongo, tuombe hekima na ufahamu. Mungu kamwe hasemi uongo
Asante mtumishi wa MUNGU kazi kwetu kutubu dhambi tupate rehema au kuacha ili mabaya haya yatufikie eeTANZANIA sikia neno la MUNGU upate kupona vinginevyo tutaangamia kumbuka MUNGU hana upendeleo wala hapokei rushwa humlipa mtu sawasawa na matendo yake.
Leo nimeota ndoto ya kutisha Sana mvua kubwa Sana inanyesha ya mawe matupu na anga lilikuwa na wingu jeusi na barafu ilikuwa ikianguka yaani ilikuwa Hali ya ukiwa, Nilitamani ningekuwaga marehemu muda, akasema Ili uamini Mimi ni Mungu kasome isaya 13 niliposoma uwiii nilitetemeka,Yani utatamani kufa, tunatakiwa kuomba Sana saiv, anachosema huyu nabii ni kweli jaman Asante Mungu kwasababu umetaka nisikie Tena.jamani msikieni huyu baba
Mungu awabariki ninyi nyote ambao ni wanyenyekevu wa Moyo na Mungu anawasemesha na kuwaonyesha na kuwathibitishia maono ya unabii huu.
Nitoe wito mtakatifu kwenu, kwamba; kwa yeyote ambaye anahitaji kupata maelekezo ya kina na kujua kwenda mbele za BWANA kwa maombi; TUMA SMS KWA WHAT'S UP NAMBA
0678 304 931
@@tengwatv amina mtumishi wa mungu 🙏
Hiyo hali usiombe mimi nimeota mfululizo nchi imekua giza nafsi inauma kwenye ndoto hiyo hali ni ngumu sana sijui hiyo siku itakuaje. Mungu tuhurumie tusamehe. Nataman kukuona nipe maisha matakatifu
@@tengwatv Mungu wa mbinguni uturehemu Sana.
Mungu atuokoe
Shindwa Kwa jina la Yesu Unabii wa uharibifu .Omba bas Kwa ajili ya sehemu hizo mbona unachochea
Mm mwenyewe naunga mkono kwaajili ya watu wenye mizaha neema ikiwa nyingi ndo tuzidi kufanya maovu? Acha Mungu afanye baada ya kugalagala mbele za Mungu lkn watu wanatukana na kukashfu nihatari sana
Ooh mungu ututetee kupitia huu unabii inasikitisha tuombeje ni ujumbe mzito t
Asante mungu huu ni ujumbe mzito ee mungu turehemu
Mungu akuinue zaidi Baba, kwa Tanzania 🇹🇿 naiona nuru kubwa sana ina kuja kupitia wewe
Mahubiri Yako Mungu akayafanye yawe kheri ktk Taifa letu na kamwe yasilete garika Kwetu. Ninaiweka Tanzania mikononi mwako Mungu, navunja ainazote za maneno na kazi zote za shetani alizozipanga juu ya binadamu wote wa TZ
Amen yesu atusamehe
MWENYEZI MUNGU TWAKUOMBA UTUSAMEHE UOVU WETU WOTE NA UTUPE REHEMA ZAKO EEH BABA AMEN
Jaman mungu awabariki sana maana nmefatilia mafundisho haya nmebarikiwa sana nakujifunza mengi naombeni maombi yenu ili mungu anipe ufahamu maan najiona mtu niliyekufa kiroho mno
Naamini katika maneno haya Eeh Bwana Yesu tunaomba uturehemu
Nasikiliza kwaunyenyekevu mkubwa,Mimi nipungue Yesu aongezeke,anirehemu ,arehemu ndoa yangu,wanangu na familia yangu kwaujumla,ili roho mtakatifu aendelee kutuongoza.Amen.
Wao wamesha jiwekea kuwa wameshashinda wameyaandaa hayo wakijua yayata watokea wao lakini mm nakutabiria Leo Tanzania itabaki salama salmini kwa maana hakuna mtanzania hata mmoja mwenye makosa kosa mnalonyie mliotufundisha kuwa mungu ni roho mkatufundisha eti duniani hapa sio kwetu sasa huoni hapo linakuja jambo litakalo timiza kutuondoa hapa duniani twende mbinguni
Mungu aikumbuke tz tusipuuze ujumbe huu kwani umebeba ujumbe mzito.wakati wa nuhu Mungu pia alimpa nuhu ujumbe japo wengi walipuuza waliangamia na Mungu alibaki kuwa Mungu ooh Lord remember mercy we need your help soften our hearts Ezekiel 36:26 ili Mungu ujumbe uu upate nafasi kwetu amen amen
YESU akukumbuke ndugu
Mimi mwishoni wa mwaka jana niliota Majengo dar es salaam yameanguka sababu ya tetemeko kubwa niliamka Kwa masikitiko sana,Tuombe Mungu hasira yake juu yetu ipoe 🙏🙏🙏
Ndoto za kisheitwani hizo au na wewe untakakujiita nabii?
@@RastaSuma Si nabii tu hufunuliwa ndoto na Mungu lakini Kwa mtu yeyote
Ayubu 33:14-18
14Kwa kuwa Mungu hunena mara moja,
Naam, hata mara ya pili, ijapokuwa mtu hatambui.
15 Katika ndoto, katika maono ya usiku,
Usingizi mzito uwajiapo watu,
Katika usingizi kitandani;
16Ndipo huyafunua masikio ya watu,
Na kuyatia mhuri mafundisho yao,
17Ili amwondoe mtu katika makusudio yake,
Na kumfichia mtu kiburi;
18Yeye huizuia nafsi yake isiende shimoni,
Na uhai wake usiangamie kwa upanga
Nliota ndoto mara2 ikionyesha ndege ya Tz imelipuliwa angani. Nkashtuka usingizini nasikia Tz inapigwa. Imenisononesha kwa kweli hiyo ndoto! Mungu aturehem na atuokoe
Eebwana wetu yesu mfaluume wa wafalume Mkuu wa wakuu bwana mwenye uwezo wote tusamee bwawetu tumekutenda thambi sana tumeliacha neno lako na kufata njia zetu mabaya zisizo kupendeza wewe turehem jehovo
Waokoe wajukuu wangu ,vitukuu na vilembwe Amen 🙌🙏💖
Cha kufanyika ni kuingia kwenye toba na kumrudia Mungu. Kama Mungu alivyomtuma Yona awambie watu wa Ninawi watubu na kuacha dhambi zao.
Na walisikia wakatii na kunyenyekea hakika Mungu aliwahurumia akaiponya nchi.
Haijatokea Mungu ametutete Mwanza
Mungu nikumbuk hii naomba unikumbuk baba mungu vita ni vikali hoo
Mungu anisaidie kuvunja na kuharibu na kuangamiza madhabahu ya giza kwenye nafsi yangu na aridhi yangu na popote yaliko wekwa kwa ajili yangu na watanzania wote
Acha ujinga wewe kimbunga kiwe kwenu
Mungu turehem
@@saadyusuph6554 funga bakuli basi maana unakoment issue usizozielewa hivyo tunakuona kama unayedandia gari kwa mbele.
Tusamehee Mungu,na uzao wangu tumekukosea sana,niliota juzi vita kubwa sana,tunakimbia kutafuta pakujificha hatuoni
Mtumishi wa Mungu nataka kujiunganisha na wewe,nipe muongozo Baba,nimelia sanaaaaa
+255 678 304 931 karibu sana mtu wa Mungu, Namba ya mwl. Tengwa ni hyo unaweza kumtafuta kwa maelekezo zaidi. Acha machozi yako yachuruzike na yawe mito ya maji mengi, utukufu wote kwa Bwana Yesu. Amen
Tanzania Tanzania Repeeeeeent...
Uuuuuwwiiii eeee yesu tusamehe, tumekosa mbele zako,sisi Tanzania!!!
Mtumishi upo Kenya au tanzania??
Mapigo niliyoota nashangaa na huyu anaongea hayohayo, Dar es salaam inazama baharini
Bwana Yesu tusamehe hakika wewe ni mwingi wa rehema na unasamehe na kusahau naomba rehema yangu na kea niaba ya nchi yangu Tanzania naomba rehema na toba na kwa niaba ya dunia nzima tupe ufunuo Yesu wa kukujua wewe rudisha fahamu zetu kwako Yesu tusamehe Bwana Yesu 😭
Mungu tunaomba rehema hatujasitahili kabisa, turehemu tufundishe jinsi ya kutoka
Tz uamsho unakuja .hatutaangamia .Mwl mwakasege kashasema huu mwaka ni mzuri .tusiwe na hofu Mungu ni mwaminifu
Mwakasege ni mwalimu sio nabii MUNGU umfunulia nabii sio mwalimu
Hakika nakweli yesu anarudi upesi, Mungu atulehemu
Mungu ni wa rehema na huruma na kwakua rehema za mungu hazikomi hat2taangamia ameni
Tufanye nini mtumishi kuepuka
Kama Mungu ni wa rehema je tuendelee kutenda dhambi!?
Mjumbe wa agano duniani ndiye sayuni ni madhabahu ya AGANO LA Mungu, Habakuki 2:20.
Wewe nabii wa uongo hukisikilizwa na mwenye akili akikusikiliza vizuri, hayo ni maneno wazi ya kutengeneza kwa maslai yako binafsi na utawapata watu wengi sana wasiokuwa na elimu ya kuabudu mungu mmoja na wale wasiojua dini ya kweli.
Ee Mungu uturehemu,watu wa Mungu tuombeni Toba
Mungu tunaomba rehema na toba,tusamehe.
Mungu akutiyenguvu mutumishi janijani tumurudiye mungu atatusamehe mungu akubariki mutumishi kwaujumbe hu
Amina mtumishi wa mungu njia gani ya kufanya ili mungu atutehemu
Amen
Mungu tuhurumie mm nimeota moto mkubwa na vumbi yenye kimbunga kikubwa watu tunakimbia kujiponya ilitisha, na niuku Moshi pia gari la mchanga liliachana na dreva likajiendesha lenyewe likaleta ajali kubwa ndoto iliniogopesha kwakweli
Tafadhali usitutishe huo ufunuo wako si wa Mungu wakweli ALLAH ni ndoto za SHAITWANI aliyelaaniwa amble amepoteza wengi ukiwemo wewe Mngu wa kweli ALLAH hawezi kuangalia watu kama wewe huo ni UONGO nakuasa usimshirikishe Mungu utapatalaana
Laana ikupate weww
Wewe tulia acha Mungu afanye yake maana tumezidi uchafu
Mungu tunaanguka chini kifudifudi kwa kilio...na kunyenyekea tusamehe na utu rehemu
Niko Zambia Amen and Amen
Haya ni Kwa SABABU ya maovu ambayo tumekute da yesu .ee yesu tusamehe na ututakase.barikiwa mtumishi nikokenya
Baba umetoa gombo na mwenye sikio na asikie ambalo roho ayambia makanisa
Ee Mungu uturehemu waja wako ,irehemu Taifa lako na nchi ya yako 🇹🇿 Eee Mungu.
Eee Mungu tujalie kukuabudu katika roho na kweli.nakuisikia sauti yako kupitia watumishi wako.
Asante sana mubarikiwe na Mungu Muumbaji wa vyote MUNGU Yehova na YESU KRISTO aliye jitoa kwa ajili yetu na Roho mtakatifu ndiowanajuwa siku zote apewe sifa milele na milele Anatupenda sisi wote ambao tuko wenyezambi kitu anakataa sana ni zambi.Asante MUNGU Yehova kwa kutufunulia walio na akili tunarudia kwako MUNGU mwenye Rehema.
Mungu turehemu na watoto wetu na ndugu zetu, Tanzania tumlilie Mungu atusamehe
Mungu tuhurumie Tanzania
Uwiiiii eee mungu tuhurumie jamani hatunapakukimbilia zaidi ya kwako tusamehe watanzania
huyu kapiga hesabu vibaya ya utabiri hakuna tetemeko la ardhi litakalotokea dar hakuna bonde la ufa ila arusha moshi mbeya mpaka kenya. kutatokea tetemeko la ardhi na si unabii ni utabiri. tafadhali tusiwatishe watu.
Mungu niokoe , Nitete Mimi na uzao wangu
YESU kristo handsome pls Dady naomba uturehemu watoto wako ilehemu Tanzania 🇹🇿 Baba tunakuomba .
Mungu turehem hatuna cha kujitetea ila kwa rehema zako tu tutaweza kusimama Mungu muone na mtumishi wako huyu watu wengi wamsikie
Yesu turehemu na familia zetu
E Mungu nisamehe/ tusamehe jamii yangu ,ndugu zangu,baba yangu, majirani zangu. Nasimama katika gap ilinipone
Huyu ni Nabii wa kweli
Yesu nihurumie na familia yangu
Baba Mungu tusaidie 🇹🇿
Maombi ya mwenye haki ufaa sana anapoomba kwa bidii,Musa aliena mbele za MUNGU akawaombea rehema MUNGU akaghairi,
Mungu tuhurumie na uturehemu
Mungu atusaidie
Wewe ni muongo mungu hatumii roho
Ushetani umekidhili makanisani tumejisahau acha atukumbushe ,ujumbe huu umesema nawatu wengi sasa nawala hakuna anaejali Sasa tufanyaje ,acha afanye atakavyo ili tukumbushwe kuwa yupo mimliki wa hii dunia
Tuingie kwenye kuomba toba na kumlilia MUNGU na kufunga .Tuache kupuuzia jamani.🇹🇿Tanzania yote tuombe sana MUNGU atusamehe😭😭😭🤦🙆🤦😭😭😭
Ee Mwenyezi Mungu muumba mbingu na nchi na vitu vyote vilivyomo ndani yake tunakuomba uturehemu na kutusamehe makosa yetu.. utuokoe sisi watanzania na dunia nzima
Mungu wangu naomba kupitia mahubiri haya nisamehe sana
Naamin MUNGU amesema kweli , nijukumu langu ,niombe rehema ,YESU TUHURUMIE
Tanzania haitoangamia. Na mabaya hayatatokea.
Pole sana ndugu kumbuka wakati wa Nuhu pia walikuwepo watu waliopinga kama wewe
MUNGU irehemu Tanzania nchi jirani🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
asanteni jmni. Mungu Ikumbuke pia jirani zetu Kenya/Uganda na Rwanda pia
Mungu wako ndio mwenye roho
Mimi naomba Mungu atimize haya maana tumezidi tunajifanya Kama tulijiumba wenyewe ,kanisani badara ya kuhubiri injili ya KIRSTO YESU wanamtangaza shetani vimini kila aina ya uchafu upo huko
Kwakweli maana mmmmh
Mungu wa Isaka na Yakobo Turehemu
Omba mungu yasitufika mtakatifu mmoja tu anatodha kuokoa mchi nzima
Ee mungu wa ibrahimu mungu kumbuka siku zetu za utumishi wetu
Nakuomba mtumishi wake mungu ,unabii huu kauseme na kwenye chanel y promover chanel
Alishasema
Siayakanyage hayo majoka kama yapo miguuni pake huyo MUNGU wako sio kwanii ashindwe kuwaangamiza hao wabaya alete tetemeko ambalo lita angamiza ambao hawana hatia huoni kuwa huyo mungu wako ndio yule yule anaechukia masikini
Usipotubu wewe unaye mkufuru Mungu
Moto ni Halali yako
Mungu Hana utani na Mtu
Nalia kwaajili yako
King solomi😢😢😢😢
Hujui unalolisema nakuonea huruma sana halafu huwezi kushindana na Mungu utapigwa wewe kama ngomaaa
Mmmmmm unatisha Kwa unabii wako Mwenyezi Mungu Yupo hivo kweli??
Mungu mnamchukuliaga poa ndiyo maana mkiambiwa kuacha dhambi mnaona Kama mchezo wa pul table tubu Tu ndugu yangu Acha kiburi
Yesu tusamehe
Mungu tuhurumie,ni kweli tumekosa turehemu,Taifa la Tanzania lisiangamie
Swali umeongea Sana nina Jambo la kusema Wapo wenye haki WACHACHE watakao Simama Katika Bwana Bwana ataiokoa Nchi, Tanzania ni ya Bwana mara hatutaangamia kwa HURUMA na REHEMA.
MUNGU WA MBINGUNI, BWANA WA MAJESHI UTUPUNGUZIE HII ADHABU NA UTUREHEM EE BWANA, UTUJALIE MIOYO YA KUOMBOLEZA😭😭INATISHA SANAA
Tukumbuke agano Lake Mungu hatoiangamiza ulimwengu kwa maji wala kwa moto, walakani tuombee rehema zake
Acha kutisha watu na mahubiri ya kutisha watu na udanganyifu 2023 aisee injili hizi za siku hizi ni hatari mungu atusaidie sana
Sio tisho, watu wamemkera Mungu hatumchi Mungu, tumo tu kujipendekeza na kutunza dini bali ndani mwetu umbwa mwitu
Uwe mwepesi kusikiliza na sio kujibu
Kwanini unabishana Kwa akili zako nenda magotini Muulizie Mungu atakupahabari hizi zote kama mi za kweli Acha kuropoka wewe.shida watu mko mwilini mnoo
Kizazi hiki hakitaki maonyo Wala kuambiwa ukweli ndiyo maana wanaona ni uongo yanayosemwa hapa.Mungu turehemu hata kwa hawa wanaobeza haya
Omba Toba mungu akurehemu
Eeeee Mwenyenzi Mungu tunakuomba utusamehe makòsa yetu utepushe na hilo janga
Ooh my God help those people in Tanzania our neighbors na uwaongoze kwa njia zako BABA
thanks neighbor for your prayers...lets pray for each other jmni. May the Lord help East Africa for sure..asanteni jmni
Nikweli kabisa makanisa mengi imekua tatizo kubwa kwa wachungaji asilimia kubwa mungu wewe ndio unajua Imani ya kila mtu mungu nakuabudu
Ee bwana mungu tuokoe niokoe mm na familia yangu pia nipe ufunuo niweze kuona mabay yote
Manabii wa uongo mmekua wengi sana leo n 2024 yote hayakutokea 😂
SASA hii jamani mbona siyo habari njema ????? Mbona kutishana
Mungu lirehemu taifa hili,tz tuingie kwenye toba
Watu wakubali kumgeukia Mungu Kama watashupaza shingo watafinyiwa tu,
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Ni kweli damu za watu zinalia kwenye ardhi na wat wanateseka wameshikiliwa mno kichaw inamaan wangeachiwa nchi zingeendelea sn hasa TZ na Africa
Yesu mwana wa daudi uturehemu
Hao unao wasema wanapewa nguvu na MUNGU yesu
Sote tunatakiwa tumlilie Mungu pamoja na wewe mtumishi wa Mungu. Wewe hauna excuse, lazima uongoze. Ezekiel 22:30,31.
No kweli haijawa hana na niliyoonyeshwa, ila ilikuwa combined Tanzania, Kenya na Uganda
Nipeni namba ya what's up na homba Niko Zambia
Ww umekopy kutoka Kwa yule mtumishi aliyefunuliwa na mungu kuhusu yatakayotokea Tanzania
Endelea kuona kuwa amecopy ushindwe kumrudia Mungu wako
@@stellakaisi9155 endelea kubishana na watu kwenye mtandao ushindwe kumrudia Mungu wako
Mungu anamakusudi yake na makusudi yake hayazuiliwi mapenzi yake yatimizwe milele yote