Ukraine yajibu mapigo yaidungua ndege ya kivita ya Urusi, mapigano zaidi yakitarajiwa majira ya joto

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • SAUTDIGITAL l #HABARI l #RadioSAUTFm l #sautdigitalupdates#ukrainerussia.

КОМЕНТАРІ • 37

  • @user-kx4wd5vb4j
    @user-kx4wd5vb4j 3 місяці тому +4

    Yes ni vizuri na ingependeza ingetunguliwa na ile ikulu ya Russia.

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 3 місяці тому +3

    Safii sanaa pigaa hao warusi wapuzi sana unataka kumtawala mtu kibabee haiwezekani

  • @AlexGwiha
    @AlexGwiha 3 місяці тому +3

    Nakubar sana mchambizi wew ni msema ukweli huegemei upande wowote .hao wafuasi wa ulusi sasa wanaanza kuhaha urusi inapo shambuliwa wajinga hao na wao sasa wasikie uchungu sasa kuma hao timu urusi. Magharibi ndio kila kitu

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 3 місяці тому +1

    Saf nimeipenda hiyo

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 3 місяці тому +1

    Safi sana ukraine.Mshushieni Putin kipigo zaidi hadi ajute kuvamia ardhi isiyo yake.

  • @EzekiaMyila
    @EzekiaMyila 3 місяці тому +3

    Sasa ushabiki uendelee na naamini umefika mda tutasikia urusi anaonewa wakati mda wote tulikuwa tunashangiria huku Ukraine imeonewa kwa mdaa mrefu bila kujari ukubwa urusi

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 3 місяці тому +1

    Sasa tunamtumia vyomboo hatari sana simlisema mrusi vita ni wiki Sasa ni miaka3 inafikaaa nampa maua yake ukreni👏👏

    • @immaomarwa5122
      @immaomarwa5122 3 місяці тому

      Mrusi mwanaume mtaungana sana sisi ni wanaume mashoga kaeni huko

  • @nizarrama225
    @nizarrama225 3 місяці тому +4

    siyo Ukraine 😂😂 ni marekani na NATO yake 😂😂

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 3 місяці тому +2

    Putin alisema wakishambulia ndani ya urusi nitapiga nyuklia sasa apige sasa hizo nyuklia zake tumwone

  • @user-jf7is4fk2v
    @user-jf7is4fk2v 3 місяці тому +2

    ulikuwepo ndege ya urusi ilipodunguliwa acha uongo

    • @gleadchitela4334
      @gleadchitela4334 3 місяці тому +1

      Acha ushabiki wa Simba na yanga unshabikia urusi unawajua wakominist?

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 3 місяці тому

      Kwahiyo ungefurahi kusikia uharibifu unafanyika Ukraine tu.

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 3 місяці тому

      Hoja ya kipumbav kabisa

    • @theempire4058
      @theempire4058 3 місяці тому +1

      Team urusi tunateseka sana na habari kama hizi😂😂😂😂😂

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 3 місяці тому +1

    Uongo

  • @mohammedbakar4142
    @mohammedbakar4142 3 місяці тому +1

    Hao wanao pigana na Russia kwa sasa ni NATO pamoja na USA

  • @user-to4jw7tm1j
    @user-to4jw7tm1j 3 місяці тому +2

    Hão wote ni wanafk wanatetea maslah yao tu

  • @KenedyThabiti
    @KenedyThabiti 3 місяці тому

    Kuna watu wapuuzi sana wakisikia urusi imeshanbuliwa wanasema uongo acheni ujinga sasa huyo mtangazaji anatangaza ukweli

  • @ndizindeleti761
    @ndizindeleti761 3 місяці тому

    Iyo ndege imetunguliwa ikiwa imetua polini au inakuaj

  • @danielsostenes1640
    @danielsostenes1640 3 місяці тому

    Apo umetupiga su57 aijawai ingia kwenye uwanja wa vita ata kidogo wameitunza yaan ww dah umeitoa wap io taarifa mbona atujaiona sie

  • @androidamanimmollel6662
    @androidamanimmollel6662 3 місяці тому +1

    Wewe nimuongo haufai kusapotiwa fungal hii midia yakp

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 3 місяці тому

    Hatali siku uklenn atakuwa mwanachamu wa marekani au nato

  • @allenanase8161
    @allenanase8161 3 місяці тому

    Sioni kitu hapo

  • @user-es4uf6gj7u
    @user-es4uf6gj7u 3 місяці тому

    Hizi habari zina patikana hapatu hakuna sehemu nyengine suali jee kazipata wapi

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 3 місяці тому

    Muongo sasa mwezi 4 sikuona hizo habari

  • @pauldotto7868
    @pauldotto7868 3 місяці тому +1

    Umedanganywa!!! Acha ujinga mpumbavu.

  • @chachamtatilo423
    @chachamtatilo423 3 місяці тому

    Dogo anachezea moto

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 3 місяці тому

    Propaganda...... zelensky marekani anaomba yaishe

  • @YohanaMasebo
    @YohanaMasebo 3 місяці тому +1

    Propaganda

  • @innocentsubiza2124
    @innocentsubiza2124 3 місяці тому

    False ! Si ukweri !