ZE COMEDY WAMEPEWA DAKIKA 5 STEJINI TAZAMA MBWEMBWE ZAO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 304

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 3 роки тому +6

    amabye hakumuona Jyoti ,,,,agonge LIKE hapa ili twende sambamba

  • @japhetmwangwa2145
    @japhetmwangwa2145 3 роки тому +16

    Tunaomba ze comedy irudi Tena🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️❤️❤️💪💪💪💪

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 3 роки тому +4

    Hahahaaaaaa Masanja hiyo RISE ON au raizoni kama tulivyozoea kuiita
    Yaani umeua,ila masanja alizaliwa akiwa mchekeshaji,yaani kila anachosema lazima utacheka.....hata akihubiri dini utacheka tuu...mungu ampe maisha marefu

  • @yohanakiyumbi4795
    @yohanakiyumbi4795 3 роки тому +20

    Safiii sn hongereni Original Comedy 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 3 роки тому +22

    Njooni tena the real fun comedians ever in Tanzania

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 3 роки тому +37

    MashaAllah🙌🙌🙌🙌🙌tunarudi kwenye kuvunja mbavu kihalali🙌🙌🙌

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 3 роки тому +1

    Masanja you are very clever

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 3 роки тому +71

    Mi kiatu cha mchungaji tu🙌🙌🙌😂😂😂😂😂

  • @nuruworldinsight2957
    @nuruworldinsight2957 3 роки тому

    Mbona Kindururu Joti cjakiona hapo kwenye INTRO au kilinyea KAMBI 🙆‍♂🙆‍♂🙄🙄😂😂

  • @roseuwambe893
    @roseuwambe893 3 роки тому +4

    Mkanda mizaji ndani ya kiatu cha ngongingo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥰

  • @dennisnjiro7922
    @dennisnjiro7922 3 роки тому

    Masanja umetishaaa mambo ya kanisan yabaki hukooo hapo upo kwenye kutafta hela...

  • @luthmwandinde8930
    @luthmwandinde8930 3 роки тому

    Mwanaume umetisha

  • @winniemwasenga
    @winniemwasenga 3 роки тому

    Wow wow nawapenda mno Hawa watu😘😘😘😘😘

  • @omanss268
    @omanss268 3 роки тому +7

    😄😄😄masanja bhana😄😄

  • @janeymhando
    @janeymhando 3 роки тому +1

    Woyooo...so Happy orijino komedi imerudiii

  • @jonathannelson7392
    @jonathannelson7392 3 роки тому

    My favorite original comedy

  • @fidesbenard2836
    @fidesbenard2836 3 роки тому +3

    Yaani viatu vya mchungaji ni 🤝

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 3 роки тому

    hivi nyie wehu mnakumbukaga lkn kuwa mnatuingiza ndani saa moja usiku ili kuwatizama tu unatukuta familia nzima tupo ndani tumekaa tunaangalia tv tulivyo fanana sasa kama wachina 😂😂😂🇹🇿🇦🇪

  • @osiahkasangaofficial1672
    @osiahkasangaofficial1672 3 роки тому +2

    Ahsante Sana Kwakurudi

  • @abdulrahmankanduka1977
    @abdulrahmankanduka1977 3 роки тому +6

    Mpoki
    Maklegani
    Wakuvanga
    Masanjaa
    Amekosekana Joti & Vengu timu itimie aisee nyie watu tunawakubali ile mbaya yaani .....

  • @faustinanyamtengera5778
    @faustinanyamtengera5778 3 роки тому

    Rudini tena nawakubali sana.

  • @dhakomodherooherokoko6037
    @dhakomodherooherokoko6037 3 роки тому

    Hakuna comedy hapa...Tanzania bado mpo mbali

  • @rachelkihaka9204
    @rachelkihaka9204 3 роки тому +1

    Jamaniiii 😂😂😂😂 masanja una nini wewe yaani ulivyopandisha hapo nimecheka kwa nguvu kabisaaa

  • @elvissirito5952
    @elvissirito5952 3 роки тому

    Noma sana

  • @bryteskylinks2228
    @bryteskylinks2228 3 роки тому

    Huduma zetu ni pamoja na:
    - Ubunifu wa wavuti
    - Ubunifu wa nembo
    - Usajili biashara/kampuni
    - Tiketi ya ndege na basi (ya Ndani na Kimataifa)
    - Usajili wa Pasipoti na Visa
    - Usajili vyuo vya nje
    - Uagizaji bidha ndani na nje ya nchi.

  • @mpendakiswahili3053
    @mpendakiswahili3053 3 роки тому +18

    Yani watanzania wote mwa zungumza Kiswahili kwa ufasaha... nimependa....

    • @victorsomba867
      @victorsomba867 3 роки тому +2

      Tulivunjiwa mipaka ya kuongeleshana lugha mama now nchi nzima tunaelewana na kuishi Kama ndugu

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 3 роки тому +2

      @@victorsomba867 aisee, hapa kenya kizazi cha sasa ndo tunachukua hatua kuangamiza ukabila na kuimarisha Kiswahili...manake tuki ngoja wanasiasa, yesu atakua amerudi duniani...

  • @paschaljackson5469
    @paschaljackson5469 3 роки тому +1

    WOW, itakua poa sana, nitanunua dstv

  • @aminatundondege9384
    @aminatundondege9384 3 роки тому +3

    Tumewamiss sana jamani...Nawapenda mnoooo....

  • @emmanuelmuniko17tz21
    @emmanuelmuniko17tz21 3 роки тому +1

    Wa kwanza kukomenti

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣Viatu kanunua wapi mchungaj

  • @sumayasumaya6455
    @sumayasumaya6455 3 роки тому +2

    Salama tuheshimiane..pls ongea na andunje mwenzio awepo hapo, ila mchungaji..kiatu mie hoi.. hata pepo likitaka kukuvamia linapita kwenye upenyo hapo ... 😂

    • @simbafuns785kviews
      @simbafuns785kviews 3 роки тому

      Mabao yote yanga day ua-cam.com/video/EKEejbzxMNY/v-deo.html

  • @francisabushiri4143
    @francisabushiri4143 3 роки тому +13

    Itapendeza kama original comedy irud tena hewan.

  • @stellah3844
    @stellah3844 3 роки тому +9

    I can't wait 😂 walinifanya nifeli shule hawa

  • @bamsnames149
    @bamsnames149 3 роки тому

    DUUUUUUUU THE COMEDY 2021 & FOREVER

  • @eddimwamba4208
    @eddimwamba4208 3 роки тому +10

    Cant wait for Original Comedy

  • @yohanakiyumbi4795
    @yohanakiyumbi4795 3 роки тому +1

    Sema Mbona hamjaja na Joti aisee

  • @bernardjohn8788
    @bernardjohn8788 3 роки тому +1

    Huyo churaaa!!!!! huwa ni mchekeshaji mzuri lkn hajatusua kama wengine

  • @franknjavike2304
    @franknjavike2304 3 роки тому

    Nime cheka kwa saut, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Via2 ni balaa

  • @janetshao6423
    @janetshao6423 3 роки тому +1

    Nakuelewaga sana mwarabu wa Dubai 🤣🤣🤣🤣🤣🤜.

  • @jacklinekatandula6534
    @jacklinekatandula6534 3 роки тому +4

    Yani limasanja linapendaga kutumia sana fursa ndio mana anafanikiwa huyu kaka

  • @rechomethod8288
    @rechomethod8288 3 роки тому +7

    Hao wanaabudu kwa masaja nawapa pole

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 роки тому

      Nikucheka nadhani mwanzo wa mpk mwisho

  • @theblessedone7526
    @theblessedone7526 3 роки тому

    Jamani mpoki kasemaje🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @dennisisrael2187
    @dennisisrael2187 3 роки тому +2

    🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽Mungu ametuona katurudshia kitu yetu

  • @judithkatabaro3294
    @judithkatabaro3294 3 роки тому +15

    Nimecheka jamani mpaka nimeangukaj jamani masanja ivyo viatu

    • @simbafuns785kviews
      @simbafuns785kviews 3 роки тому +1

      Mabao yote yanga day ua-cam.com/video/EKEejbzxMNY/v-deo.html

  • @geofreykalawa2260
    @geofreykalawa2260 3 роки тому +16

    We miss you so much guys🤗

  • @darprprime3492
    @darprprime3492 3 роки тому

    Hizi ??? Kwa mbinde sanaaaaaaaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 3 роки тому +9

    Masanja si kwa jeje hilo!! 😀😀

  • @didaskipe7260
    @didaskipe7260 3 роки тому

    Masanja💝💝u

  • @shabankiliani8234
    @shabankiliani8234 3 роки тому

    Mko talented sana

  • @francislovemore3858
    @francislovemore3858 3 роки тому

    Kweli Mch Wa kisasa hatariii!!!

  • @insteinjonga6651
    @insteinjonga6651 3 роки тому

    Mpoki wa Kigamboooni

  • @dipletitus9967
    @dipletitus9967 3 роки тому +2

    Tid chuckes watoto wadogo sana nyie 😂😂

  • @maryamsaleh8438
    @maryamsaleh8438 3 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣mambo ya kanisani yaache kanisani usije ukachanganya mada 🤣🤣haki mchungaji unavisa weyee

    • @simbafuns785kviews
      @simbafuns785kviews 3 роки тому

      Mabao yote yanga day ua-cam.com/video/EKEejbzxMNY/v-deo.html

  • @rashidyally8715
    @rashidyally8715 3 роки тому

    Tid a.k.a mashineeee😄😄😄😄😄

  • @pendomariki6562
    @pendomariki6562 3 роки тому

    Original comedy haijawah kutokea kama hawa bado vengu hayupohapo

  • @ngundejkassim3252
    @ngundejkassim3252 3 роки тому

    waliokuwa na maisha ya furaha kwamtazamo wa sura zao ni mpoki n amasanja na joti tu.

  • @noelamtesigwa6819
    @noelamtesigwa6819 3 роки тому +1

    Huyu mmoja sijui aliuguaa.. mbona kaisha hivyo

  • @mariamswedi1140
    @mariamswedi1140 3 роки тому

    Duuu umeacha njia chagua moja dunia au Mungu ile njia n nyembamba sana ndgu wengi watataka kuingia lkn wasiweze iko njia ionekanayo machoni pa mtu kuwa n njema sana lkn kwa Mungu n machukizo akili kichwani mwako masanja

  • @bilioneamwegole5138
    @bilioneamwegole5138 2 роки тому

    Jamaa nae kama wew mchungaji acha mambo ya zamani uendane na wokovu mchungaji anavaaje viatu kama ivyo et

  • @graphixmaster6146
    @graphixmaster6146 3 роки тому +1

    Kama hayupo Joti hiyo ze comedy Itakuwa ze kichekesho😏

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 3 роки тому

    😂😂😂masaja kweli ni mwisho sikwakiyato isho

  • @abdulqareemabdallah2579
    @abdulqareemabdallah2579 3 роки тому +1

    Nawa kubal sanaaa mlikuwa mnanifanya nisilale

  • @waidaamon457
    @waidaamon457 3 роки тому

    Uwiiiiiiiii kiatuu chaa baba mchungajiiiii sasaaaaa hahahahaaaaa

  • @hajihussein9185
    @hajihussein9185 3 роки тому

    TID got voice aisee.

  • @edoboysabuni2627
    @edoboysabuni2627 3 роки тому

    Uyu msenge sana

  • @agnesmwigune8625
    @agnesmwigune8625 3 роки тому

    🤣🤣🤣masanja umejitetea mapema kabisa ya kanisani yabaki kule kule na hapa tupo kivingine

  • @jenipherkavusha1661
    @jenipherkavusha1661 3 роки тому +2

    Hahahaha Masanja jamani

  • @modekessy1790
    @modekessy1790 3 роки тому

    Joti yuko wapi jamaniiiiiu

  • @samsonhaule3647
    @samsonhaule3647 3 роки тому

    Huyu Mchungaji huyu, Anawachunga mbuzi wake Vibaya Mwisho Atawapeleka Motoni.

  • @asdasdg3142
    @asdasdg3142 3 роки тому

    Mama ima leo kajikausha🤣😂🤣

  • @aliasaally
    @aliasaally 3 роки тому

    Hivi vengu vipi aisee, kitambo sana jamaa hatujui anaendeleaje

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 роки тому

      Kwa kweli,ila Seki alishasemaga wasemaji zaidi familia yake ,

  • @obbycharles1705
    @obbycharles1705 3 роки тому

    awa jamaa wapo tuuu!!!! Daaaaah!!

  • @kizotapeter1094
    @kizotapeter1094 3 роки тому

    Jot yuko wapi jamani

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 3 роки тому +5

    T.I.D Talented 🙌

  • @ngasadere7465
    @ngasadere7465 3 роки тому

    Jamani simurudishe kundi lenu hili tumewamis kweli yaani hapa kakosa vengu tu

  • @aladinho1352
    @aladinho1352 3 роки тому +1

    Alafu masanja unalamika waumini wanakukimbia

  • @wisperfect5320
    @wisperfect5320 3 роки тому +3

    Sasa uchungaji na comed mbona kama vitu viwil tofauti au mimi ndio sijui jmn! Kweli mmh waumin wake endeleen kuabudu

  • @mussahussein183
    @mussahussein183 3 роки тому +1

    Joti ashajitenga hataki hata ujamaa nao wanazingua tuuu

  • @reilambepela1062
    @reilambepela1062 3 роки тому +1

    Viatu vya masanja😃😃😃

  • @martinnasala3750
    @martinnasala3750 3 роки тому

    Vipi joti yuko wapi

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 3 роки тому +8

    Wachungaji waleo,huku Mungu huku komedy,dah wapi tunaelekea?

    • @rayanndizeyes3161
      @rayanndizeyes3161 3 роки тому +5

      Mwisho ni binguni,Mungu alitupa akili tuitumikishe hatwabiya tuleye mikono

    • @zuberinyenzi1982
      @zuberinyenzi1982 3 роки тому +3

      Kwani kuna ubaya gani kuwafurahisha watu

    • @mao9622
      @mao9622 3 роки тому +3

      Kwani umeambiwa uwafuate

    • @EK-kp2np
      @EK-kp2np 3 роки тому +3

      Ndiyo wanaofaa maana hawategemei pesa ya waumini kununua magari makubwa, wanakulisha neno wakimaliza mnaingia wote mtaani kusaka tonge,

    • @vival8800
      @vival8800 3 роки тому +1

      Mbinguni

  • @malamlaaj9852
    @malamlaaj9852 3 роки тому

    Joti wapi?

  • @jidegirl568
    @jidegirl568 3 роки тому

    Wallah kiatu cha masanja😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hamisfufuru6294
    @hamisfufuru6294 3 роки тому

    Umundu gwa Mwakaleli

  • @muddy6076
    @muddy6076 3 роки тому

    Toka pepo

  • @allyjumbe9476
    @allyjumbe9476 3 роки тому

    Hapa ata nikilipa kifurushi naona ela yangu inaenda kihalali

  • @frankalexmwacha6921
    @frankalexmwacha6921 3 роки тому

    Nawakubali sana

  • @rahmaramadhani3470
    @rahmaramadhani3470 3 роки тому

    Kiatuu cha masanja🤣🤣🤣🤣

  • @bandanahmiqassa
    @bandanahmiqassa 3 роки тому +1

    Chidi beenz ni chawa wangu 😂😂😂😂

  • @emanuelandedela2771
    @emanuelandedela2771 3 роки тому +1

    Jamani hiyo laizoni ya mtumishi inauzwa wapi!!

  • @zenadaudzena2849
    @zenadaudzena2849 3 роки тому

    Salama kabongeka

  • @vival8800
    @vival8800 3 роки тому

    Joti yupo wapi?

  • @manasadunia3458
    @manasadunia3458 3 роки тому +1

    Hicho kiatu cha masanja hii 😂😂😂😂

  • @saviormayeye3374
    @saviormayeye3374 3 роки тому +2

    Ila masanja 😂😂😂😂😂😂

  • @moonam1063
    @moonam1063 3 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Viatu vya masanja🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣

  • @samsonjoseph7320
    @samsonjoseph7320 3 роки тому

    Siku hizi nimekua mgumu kucheka aisee!! Au ndo nimekua

  • @magechuwa804
    @magechuwa804 3 роки тому

    Msanja 😄😄😄😄😄🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @peninakingara7080
    @peninakingara7080 3 роки тому

    Wooo congratulations

  • @isayakimbe8270
    @isayakimbe8270 3 роки тому

    NICE GUYS

  • @fatemaligalawa1918
    @fatemaligalawa1918 3 роки тому

    Mama I'ma naona kama uzee vile