MBETO HAJAPOA AAMUA KUWEKA WAZI UCHAFU WA JUSSA ANAOMFANYIA RAIS MWINYI(DOUBLE FACE)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • MBETO HAJAPOA AAMUA KUWEKA WAZI UCHAFU WA JUSSA ANAOMFANYIA RAIS MWINYI(DOUBLE FACE) ZANZIBAR
    #tifutv
    web.
    x.com/tifutvza...
    www.tiktok.com...
    www.instagram....

КОМЕНТАРІ • 91

  • @haydarabdallah7914
    @haydarabdallah7914 Місяць тому +6

    Wananchii hawakumchaguwa mwinyi kaiba tuu na mtaondoka 2025 💜💜✌️

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 Місяць тому +9

    Siasa zako nenda kazungumze tanganyika sio zanzibar naona unachafuwa mioyo ya watu

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 Місяць тому +6

    Hakuna ACT alowahi kuchoma nyumba au kitu chochote cha CCM anasema uongo

    • @BimkubwaOthman
      @BimkubwaOthman Місяць тому

      Mwenzangu usiseme hawachomi Moto kwani zahma ikija inakuja Kwa wote nasio Kwa CCM Tu kila sehemu kuna kitu wa na vita

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go Місяць тому +2

    Wazanzibari hapa wote hawakuungi mkono Mbeto na CCM yako tuachieni Zanzibar yetu

  • @SuleimanMussa-x5i
    @SuleimanMussa-x5i Місяць тому +1

    We mshemba kwli kwan wao nan miaka za idi ya , 60 ya uhuru amuna ata maendeleo watu adi leo wanalala njaa

  • @husseinbakar2358
    @husseinbakar2358 Місяць тому +2

    Achia hiyo video tuione CCM waliopigwa

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Місяць тому

    mbeto mwepesi sana kwa jusa

  • @feisalmwinyi2429
    @feisalmwinyi2429 Місяць тому +1

    Mh Mbeto mashaallah hukua mtukanaji nakuombea Mungu akulinde kwa hili, Amani ndo msingi wa maisha yetu Zanzibar ndugu zanguni

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 Місяць тому

    Mwinyi oyee!!!

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j Місяць тому +1

    Mwinyi hatukanwi ila anaambiwa ukweli. Jibu hoja anazotuhumiwa mwinyi kama unaweza. Weee una jeuri ya kujilinganisha na OMO.. eti akasome tena Ovyoooo

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 Місяць тому

    Zanzibar haiwezi kupata maendeleo mpk kiama km haijapata mamlaka kamili

  • @delasdiego6537
    @delasdiego6537 Місяць тому +1

    Ni ongo kwer mbeto hili ni jinamizi la zbar yaan ww jussa tunakuelewa sisi piga dozi hivi vibaraka kuelewa kwao ndio kama hivi tu tuhakikishe siku ya uchaguzi wakimbie nchi kwa aibu mbwa Hawa wa kijani

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j Місяць тому +1

    Subhannallah. Mtwana muongo huyu loooh. Tuoneshe huo ushahidi

    • @user-et9vf2ro2k
      @user-et9vf2ro2k Місяць тому

      @@user-ki4sg8yz9j mtwanaaa vooo thamani duni haali

  • @user-et9vf2ro2k
    @user-et9vf2ro2k Місяць тому +3

    Sasa zanzibar kwanini isiwe nchi tajiri katika hizo kumi Afrika wewe unaongea nini kuna upigaji mwingi kwani sisi zanzibar hatukuwahi kuwa na viwanda kwani hatukuwahi kuua na sambala miwa kwani hatu kuwahi kuwa na treni sisi ndo tulikua na sarafu yetu ccm wa Eileen lek a ww api Sarafu huyu anaongea utopiro

    • @MuzneOthman-l7i
      @MuzneOthman-l7i Місяць тому

      KAMUULIZE BAKHRESA KUHUSU VIWANDA ZANZIBAR ATAKUPA MAJIBU UTATOSHEKA. NAFSI YAKO

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go Місяць тому +2

    Ety Zanzibar haiwezi kulinganishwa na Mauritius dah huyu jamaa namuona chizi kuanzia leo yaani Mauritius imeanza juzi tu na Zanzibar ipo zamani kuliko Mauritius
    Cha kujiuliza ni kwanini Mauritius imefika huko na Zanzibar haijafika huko? Hili ndio swali la kujiuliza
    Kumbe ni kweli CCM wamekosa mbinu na sera za maendeleo yaani sisi tunaota siku moja kuiona Zanzibar inaipita Mauritius ila wao hata hiyo ndoto hawana kabisa

  • @zahiribrahim8319
    @zahiribrahim8319 Місяць тому

    Jusa tumsepyar kartahu mami bolaweche 😅 The New Tanzanians of mama Samia Suluhu, Hussein Mwinyi 🎉😢😊 Tanzania 🇹🇿

  • @user-jj1uj3my7b
    @user-jj1uj3my7b Місяць тому

    Kweli ccm nivilaza

  • @TilaJuma
    @TilaJuma Місяць тому

    Wewe mabeto mungu akulaaani kwa uongo wako

  • @hamishamis179
    @hamishamis179 Місяць тому

    Duuu mm nakubaliana na Mh but jee cc kwa nn tumeshindwa

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j Місяць тому +1

    Mie nakuuliza Mbeto. Mtu akiiba huitwa vp? Akiuwa huitwa vp? Sasa matusi yako wapi hapo? Fanyeni muondoke ukooo maisha magumu njaa tupu makodi kibao. Mkiaambiwa mnasema mumetukanwa

  • @SaidIslem-gy2rf
    @SaidIslem-gy2rf Місяць тому

    Mwenzangu ww kama mm hatujasoma wachie wenyewe

  • @MachanoMohdmachano-mo6xe
    @MachanoMohdmachano-mo6xe Місяць тому +2

    Huna hoja nendaukoo subirini 2025 muuwewatu ilimuendelee kuwadhulumu wazanzibar

  • @GenttileZanzibar
    @GenttileZanzibar Місяць тому +2

    Nyinyi mabedui tu ccm nyinyi na bilis mama mmoja baba mmoja mbwa wakubwa hamna maendeleo njaa tup vitambulisho munanyima watu

  • @BAKARIBakari11
    @BAKARIBakari11 Місяць тому +2

    Mwehuu uyuuu

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 Місяць тому +1

    No comment lkn why serekali wasiwape kula wenyewe atamaliza shida na iyo haki vipande vya kura kwa wenyewe wapige kura

    • @user-et9vf2ro2k
      @user-et9vf2ro2k Місяць тому

      Enhee ndio tujiulize kwanini ZEN ID kwanini CHET CHA KUZALIWA kwanini ID ya kupigia kura

  • @AbdulMajidi-i9m
    @AbdulMajidi-i9m Місяць тому +2

    Huyu mnafiki na muongo iyo sura yke anaongea anaonekan tu anaongea upuuz han anachokijua fisad tu han hoj huyu ccm watafute muongeaj pumba tup haelewek

  • @allymaha-tv5lf
    @allymaha-tv5lf Місяць тому

    Wacha kusema uongo katika chombo cha habari

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 Місяць тому

    Hiyo morishaz ipo chini ya Ufaransa na kuingia pale sio kama unakwenda pemba Tu

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 Місяць тому

    Hapo tanzania mko nchi kumi zatajir ndio ile viongozi wanataka mamlaka kamili ili wawe huru kufanya km morishaz

  • @abdnassor
    @abdnassor Місяць тому

    2:41

  • @issakhamis9581
    @issakhamis9581 Місяць тому

    Nazanzibar isengekua chini yatanganyika ingekua ipo mbali hizo sizo hoja zamsingi wacha pumba zako wew

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 Місяць тому

    Ndio hamuwezi kuapata hayo maendeleo kwa vile hamjajitawala wenyewe

  • @MahirHani
    @MahirHani Місяць тому +1

    nilidhanni utakua na Content Kumbe Stupid is as Stupid

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 Місяць тому +1

    YAANI UKIMUANGALIA TU UTAJUA KUA HILI JITU NI JIVUTA BANGI TENA LIMEKUBUHU🤣🤣 YAANI HATA HAYA HAONI!

  • @sabrinaali9750
    @sabrinaali9750 Місяць тому +1

    Uongo bwana hatari. Msikilizeni huyu anasema baada ya uchaguzi wa mwaja 20 25 wazalendo walifanya hayo wakati huo mwaka haijafika si uongo ni nini mbafiq huyu.

  • @laisamaujud1157
    @laisamaujud1157 Місяць тому

    Sasa swali vipi kuhusu wale waliokufa pemba na hapa unguja na ninani aliyemkata masikio mauzinde

  • @AbdulMajidi-i9m
    @AbdulMajidi-i9m Місяць тому +1

    Ww mbetp cku ya kujutan malaikatu maut na utam n mola wko itaenda kimjib nn mungu ach unafiki unaongea ujinga ukasome we

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j Місяць тому

    Ndio mwizi kaiba ushindi wa ACT. Imekuhusu nini masuala ya Mazurui hayakuhusu wala usitupangie wakusema mkutanoni. Mnyamwezi weee

  • @delasdiego6537
    @delasdiego6537 Місяць тому

    Mmepanga 2025 mfanye fujo kuisingizia act maana uchaguzi hata bado eti act walifanya fujo jamani hizi ni code anatupa tujitahazari na maneno Yao hawa

  • @AbdullahSaleh-d1j
    @AbdullahSaleh-d1j Місяць тому

    Anasemaje nini huyu bunju ccm ina miaka 60 kwenye utawala morittias wana miaka 30 tu na hatuwafikiii

  • @oxygrp7393
    @oxygrp7393 Місяць тому

    CCM tuachieni Zanzibar yetu wazanzibari asilimia kubwa hatuitak serekali y CCM looo

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j Місяць тому

    Yaani hana hata aibu kusema ccm kapigwa na ACT. Labda mwizi wa mazao huyo. Ingekua mnao ushahidi mngeonesha zamani lakini hamna kitu.

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Місяць тому

    njaa tu inamsumbua

  • @NaglaSaid-jn1xo
    @NaglaSaid-jn1xo Місяць тому +2

    Hebu sema kitu kieleweke , jibu hoja umeambiwa serekali inanyima watu vitambulisho ambavyo ni haki haki ya msingi ya kikatiba hivyo unapomnyima mtu haki yake hukumuibia na kama umemuibia wewe uitwe vipi,
    Hapo wewe jibu useme si kweli watu hawanyimwi vitambulisho,
    Lakini kama huna jibu juu ya hoja hio nyamaza na ukubali kwamba kweli nyinyi ni wezi

    • @NaglaSaid-jn1xo
      @NaglaSaid-jn1xo Місяць тому

      Kuhusu kuvunja amani umeambiwa serekali ina vikundi vya mazombi na vinaandaliwa kwa ajili ya kuja kufanya vitendo vya kiharamia wakati wa uchaguzi,
      Kama si kweli jibu sio kweli , na wale vijana wanaokusanywa kwenye makambi wanakusanywa kwa lengo gani?
      Kama huna jibu ya hoja hio kaa kimya na ukubali kwamba nyinyi ni wavurugaji wa amani namba moja na kwenda kusimama misikitini na kuwafanya watu wajinga hamuwezi kuwadanganya watu wote ,
      Lakini muhimu kukiko yote mnatakiwa kufahamu dua zina sharti zake, na sharti moja ya dua ni toba ya kweli, sasa wewe una hakika kwamba unaongoza kwa njia za dhulma leo unakwenda miskitini kuwaomba watu wakuombee dua wakati wewe mwenyewe hujakiri wala kutubu na ndo kwanza unaandaa mbinu za kharamu kubaki madarakani unategemea hizo dua zitakusaidia nini?
      Ndogu mbeto sharti ya toba kama ulimuibia mtu basi kwanza mrejeshee ulichomuibia halafu umuombe msamaha aridhike akusamehe baada ya hapo sasa unaridi kwa mungu na kufanya toba,
      Hapo nadhani itakua nimekusaidieni kidogo ,
      Sasa kaeni mjitazame nyinyi hamna haki za watu mlizozizuwia?
      Kama mnazo basi hata mkaombewe dua kwenye miskiti mitukufu makka kazi ni bure.

  • @user-jj1uj3my7b
    @user-jj1uj3my7b Місяць тому

    Uhakika bwamdogo wenu nitapeli

  • @Mohd-wl1tc
    @Mohd-wl1tc Місяць тому +2

    Washanuna tayr ccm

  • @ISSAJR-fo5nt
    @ISSAJR-fo5nt Місяць тому +2

    Asa nani aliechelewesha hayo maendeleo ya Zanzibar kutoka 64? Ndo mana maendeleo hapa hayaji visiwa vinarasilimali kibao kama ikiwemo karafuu, gesi bahari halafu uje uniambie nchi uchumi wake inategemea utalii asa watalii ni watu wakisema hatuji Zanzibar je? Hapo ndo mnapofeli.

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Місяць тому +1

      Africa inashida mnoo Nigeria aligundua mafuta kabla ya dubai wala Qatar, angalia Sudan nao mafuta kibao ila wako hoi kila siku vita kuna shida ya uongozi Africa hawa wanasiasa watu khatari mnoo

    • @ISSAJR-fo5nt
      @ISSAJR-fo5nt Місяць тому +2

      Huko anakosema Mauritius eti wanalima miwa hata hapa Zanzibar tunalima karafuu na viungo kibao tena vyenye thamani kibwa na karafuu ndo zao la biashara iweje mwenye miwa awe na maendeleo kibao kukushinda wew mwenye karafuu colit namba moja duniani, bwana hapa kwa maendeleo Zanzibar hii kama hatujapata viongozi makini haswa tutaendelea tu kuchonga barabara.

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 Місяць тому +1

      Huyu Mbeto hana hoja za kujibu mtu,inaonekana wazi kuwa uwezo wao wa kuifanya Zanzibar kuwa na maendeleo ya hali ya juu Afrika hawawezi kwa akili zao.nchi imepata uhuru 1968,na Zanzibar ilipata uhuru 1963- na Mapinduzi 1964,kwa nini sisi tusiwe mbali zaidi kimaendeleo kuliko Morishaz,tatizo ni lilelile uwezo wa wanaoongoza na maono juu ya nchi hamuna .viwanda vya nguo vilijengwa havikujijenga wenyewe, mashamba ya miwa ilioteshwa na kuendelezwa ,hii unathibitisha kuwa CCM nyinyi uwezo wenu wa kuongoza nchi ni mdogo.

  • @issakhamis9581
    @issakhamis9581 Місяць тому

    Wacha uongoo wew nyinnyi ndio matazizo yote

  • @salahaljahury2907
    @salahaljahury2907 Місяць тому

    Hivi huyu no kiongozi kweli? Duh huu no msiba

  • @kassim1262
    @kassim1262 Місяць тому

    Ana pua kama chura yni anaongea kwakujifariji wkt anajua kwmba znzbr ccm haijawahi kushinda uraisi

  • @user-jj1uj3my7b
    @user-jj1uj3my7b Місяць тому

    Ww mbeto unatafumwa

  • @SuleimanMussa-x5i
    @SuleimanMussa-x5i Місяць тому

    We rudi kwenu

  • @dullahsaleh8507
    @dullahsaleh8507 Місяць тому +1

    Muongo

  • @ussiamer3523
    @ussiamer3523 Місяць тому +1

    Munatengeneza nn wakati hamuna uhuru

  • @ramlaaly5314
    @ramlaaly5314 Місяць тому +1

    kwendra huna akili ww mwenz tuu😊

  • @husseinbakar2358
    @husseinbakar2358 Місяць тому

    Sasa ww ungalikwenda kumuliza Huyo Rais wako jee kweli watu 21 waliuwawa kwa kupata Uraisi ww

  • @rashidsuleiman1531
    @rashidsuleiman1531 Місяць тому +1

    Huyu alau ana ata CHETI CHA F4 naona hamna k2 😂

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz Місяць тому

    Wewe Babu wewe wacha uongo mtu mzima Fisadi kama hamujulikani wewe unakwenda akhera kesho unasema kama huna hata hoja ya kuteka ni kazi zenu Nyinyi kwa nyinyi munauwa munajulikana wacha Uongo kwani hamujulikani nenda zako Tanganyika ukahubiri huo utumbo wako wewe utabaki ni Chawa tu kama chawa wengine Fisadi huyu tamaa ya madaraka ndio unayokusumbua huna hata la kusema

  • @fahmysaid-zw4np
    @fahmysaid-zw4np Місяць тому +1

    mobetoo hujajibu hojaa unaongea kwa hasira wanachi hawapewi vitambulish mbona husemi

  • @VillaBoy-fv2zw
    @VillaBoy-fv2zw Місяць тому

    Hun unalo jua kweny siasa bweg wee acha kuongea ujing ap sas nyiny mwashindw nin kuipelek nch huk kaz wiz 2

  • @fahmysaid-zw4np
    @fahmysaid-zw4np Місяць тому

    hhhhhh hizi commente mwambieni mobeto ajee azisome ajue km znz hawatakiw ccm

  • @KomboHamad-e3t
    @KomboHamad-e3t Місяць тому

    Wewe muongo usidanganye watu sisi tuko pemba Hilo hakuna

  • @Bmsecret
    @Bmsecret Місяць тому +1

    Huyu choko

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge Місяць тому

    Wewe rudi kwenu taganyika

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge Місяць тому

    Sasa ww mbeto wazanzibari tumeamka mmetuibia sana nyinyi watanganyika zanziba kituo kikubwa afrika mashariki wacha hiyo mafita na gesi kivutio kwa watalii tuna bahari kubwa na nk usitudanganye kutufanya ss mazombi haya yote hamuaoni mnaona barabara,masoko tu iyacheni zanziba yetu rudini tanganyika

  • @user-jj1uj3my7b
    @user-jj1uj3my7b Місяць тому

    Bc washitakini hao waliofanya hivyo

  • @issakhamis9581
    @issakhamis9581 Місяць тому

    Nenda tanganyika kahubiri tanganyika hizo ngonyera zako

  • @amerwelder7786
    @amerwelder7786 Місяць тому

    Na sis ndo tunatak tufike uko ,tunafeli wapi

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 Місяць тому +2

    Wacheni kuandika upuuzi, tusubiri uchaguzi uje 2025

    • @user-et9vf2ro2k
      @user-et9vf2ro2k Місяць тому

      Tutaamdika yalio na msingi m

    • @user-et9vf2ro2k
      @user-et9vf2ro2k Місяць тому

      Hatuto subiri uchaguzi uoo ni ujinga wa kidemocrasia na demofreedom

  • @user-jj1uj3my7b
    @user-jj1uj3my7b Місяць тому

    Mbeto jibu hoja zatu wachakuzungumza usenge wewe 😅

  • @abdnassor
    @abdnassor Місяць тому

    Ttz kuu ni ccm Zanzibar kutokurndelea

  • @NoufelSalim
    @NoufelSalim Місяць тому

    Ukweli unauma ,kwani ni mzanzibar Gani asiejua kwamba mumekwapua

  • @salyali7807
    @salyali7807 Місяць тому

    Mbeto kumbe hatari sana ... anasema uongo kweupe .. salaaalah

  • @MakameAly
    @MakameAly Місяць тому

    Kwani umeulizwa swali gani mbona nyimbo nyingi ww

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 Місяць тому

    Sasa tuambie kama sio kweli je hakuahidi ?

  • @akaumbo9433
    @akaumbo9433 Місяць тому

    Acha uongo ww

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 Місяць тому

    Jusa anaroho ya kwa nini.choyo.na tamaa wala uwezo wa kufanya jambo la maana hawezi.na huyo kabwe mwisho watamsema