MUONKEANO WA DAMPO LA KISASA, NA STENDI MPYA YA MABUS TANGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 97

  • @sarahwanjala6601
    @sarahwanjala6601 4 роки тому +28

    Hi my brother and sister kutoka Tanzania kweli mimi ni mkenya lakini rahisi huyu namkubali sana please mpeni tena wacheni watu waporojo mimi natamani sana nasi tupate rahisi kama huyu hapa Kenya ....kenya ukabila lakini Tanzania hakuna hiyo pokea hongera zangu rahisi magufuli 🥰🥰🥰🥰❤❤❤🙏🙏🙏🙏 Mungu akulinde akupe nguvu na maisha marefu

    • @maratvonline
      @maratvonline 4 роки тому

      Kwel kabsa

    • @calvinmgugule8298
      @calvinmgugule8298 4 роки тому +1

      Well said

    • @mangeleoporod2704
      @mangeleoporod2704 4 роки тому

      Asant ndungu yetu twawaombea na nyie mupate rais kama wet

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 4 роки тому

      Amina mpenzi . Insha Allah na nyie twawaombea dua mupate rais mwenye uchungu na nchi yake kam Magufuli insha Allah 🤲

    • @emmanuelbonifase1114
      @emmanuelbonifase1114 4 роки тому

      Polojo ni asili yetu tz tutampa kuraa

  • @KhalidKhan-ud9cz
    @KhalidKhan-ud9cz 8 місяців тому +1

    Tanzania Tanga mzuri sana Kweli

  • @april7teen
    @april7teen 4 роки тому +9

    TINA wa Saloon ni Pisi Kali 🤩

  • @abuujunaid
    @abuujunaid 4 роки тому +15

    Kama umeiiona tashirifu unatoka stendi ya kange TUJUANE 🥰

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 4 роки тому +7

    Kazi nzuri sana

  • @mgallason...5686
    @mgallason...5686 4 роки тому +6

    Viva #JPM

  • @richardjohn6559
    @richardjohn6559 4 роки тому +12

    Kongole sana kwa serikali yetu

  • @temkezatv4381
    @temkezatv4381 4 роки тому +4

    Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI

  • @mussaelias6286
    @mussaelias6286 4 роки тому +8

    Nimekuwa wakwanza jaman like zenu

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 Рік тому

    Masha'allah...HOME sweet

  • @MohamedAli-ho5fq
    @MohamedAli-ho5fq 4 роки тому +12

    Tanga raha
    Nimeimisi sana tanga
    Home sweet home

    • @abuujunaid
      @abuujunaid 4 роки тому

      TANGA my home land imebadilika sana nilikuwa huko wiki ilopita...good Sana na mipango miji wako vizuri Sana .

    • @cadhimberec1286
      @cadhimberec1286 4 роки тому

      Nmeiona Tanga nmeimiss sana Tanga raha

    • @مارثاتنزانيا
      @مارثاتنزانيا 4 роки тому +1

      Nimemisi tanga yetu jamani najivunia kuzaliwa tanga

  • @bernardoleonard7331
    @bernardoleonard7331 4 роки тому +11

    Magu kapania

  • @drfrankfaustine5469
    @drfrankfaustine5469 4 роки тому +2

    Magu oyeee

  • @remmymiho2532
    @remmymiho2532 4 роки тому +9

    Bado tunapoteza energy nyingi badala, taka ni Mali hiyo manispaa zitengeneze miradi ya ku recycle hizo taka

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 4 роки тому

      Tena mbolea nzuri sana bc tu hawajajua na hapo wakishafanya hivyo kam yupo atakae kuja kupanunua na kilufanya shamba atavuna mno maan hiyo mbole fresh sana

    • @frankmare1708
      @frankmare1708 4 роки тому

      Hiyo process yenyewe inazalisha mbolea asee ndo maana kila wakishindilia wanaweka udongo juu wanashindilia tena baada ya muda taka zote zimeoza wanaondoa wana anza upya

  • @mwanaidimuhindi6671
    @mwanaidimuhindi6671 4 роки тому +5

    Home sweet home

  • @eischerschwederm7876
    @eischerschwederm7876 4 роки тому

    Tuanizshe kutenganisha take, recycling ins hela sana

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 роки тому +1

    Pindi kubwa sana...

  • @مارثاتنزانيا
    @مارثاتنزانيا 4 роки тому +2

    Nimemisi tanga yetu jamani

  • @brightonmathias5394
    @brightonmathias5394 4 роки тому

    Jamaa mwanz stand yetu ni mbaya njoon mwanz muone

    • @triplea3463
      @triplea3463 4 роки тому +1

      Inajengwa mpya hujui tena mbili zinajengwa
      Ilemela na Nyegezi

    • @benjaminiemmanuelj3486
      @benjaminiemmanuelj3486 4 роки тому

      Tunajenga mbili za viwango, Nyamuhongolo na Nyegezi

  • @shabansalum9283
    @shabansalum9283 4 роки тому +1

    Jamani tanga yetu

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 3 роки тому

    🥰🥰🥰🥰🥰🌹🇴🇲👌

  • @abdallahmwamdingi1425
    @abdallahmwamdingi1425 4 роки тому

    Tanga ndiyo hom ila nimeikumbuka kk masudi

  • @erickendrick3330
    @erickendrick3330 4 роки тому +1

    Noma

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 4 роки тому +3

    Mali inatupwa jamani!!!Hio ni mali kubwa inaopotea jamani!!!
    Kiwanda cha kuchaka(RECYCLING ) takataka chahitajika. Wanaobuni miradi hili walifanyie kazi.

  • @Tiffany2-Jr
    @Tiffany2-Jr 4 роки тому

    Chaunabe.. si ndo uyu anakashfu serikali ya jpm DW

    • @youtub8320
      @youtub8320 4 роки тому

      Ndio huyuhuyu anajipendekeza anaomba ukurugenzi

  • @hilderkihiyo5395
    @hilderkihiyo5395 4 роки тому

    tanga kwetu mzee tanga raha

  • @salimumussa256
    @salimumussa256 4 роки тому

    Yani huyo bimkubwa hapo kwahiyo watu wa. Muheza wanakuwaga na vumbi atutake radhi kwa kweli tanga mjini kumebadilika lkn bibi huyo sijapenda

  • @straitnews3441
    @straitnews3441 4 роки тому +1

    Who funded it WOrld bank or

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 4 роки тому

    Ayo tunashukuru sana kwa kupiga kampeni kiaina.dingi tumekusanukia

  • @BenWerner2530
    @BenWerner2530 4 роки тому

    Jamaa anachagua maneno yake. Mpinzani wa Magu wewe.

  • @ernestsinje8693
    @ernestsinje8693 4 роки тому

    KUDADADADEKI

  • @hollyjoyous1938
    @hollyjoyous1938 4 роки тому

    Kwan unapewa msos?

  • @yusuphmbwana4214
    @yusuphmbwana4214 4 роки тому +2

    Wapili Leo plz naombeni like zenu

  • @fatmamakalo3068
    @fatmamakalo3068 4 роки тому +1

    Tanga yetu bado ni mbaya barabara za pangani ni mbaya kishenzi kila raisi hanaweka Ahadi afanyi chochote magu pia ata sepa hataiwacha hivohivo km tuna gundu

    • @stevenlugo8195
      @stevenlugo8195 4 роки тому

      Mbona ujenzi wa bara bara umesha anza mama Zaidi ya miezi 2 sasa tangu wachina waanze ujenzi

    • @loner_wolf
      @loner_wolf 4 роки тому +1

      Punguzeni ushirikina jmn

    • @fatmamakalo3068
      @fatmamakalo3068 4 роки тому

      @@loner_wolf kwakweli lkn kilasehem upo ushirikina sio tanga tuu saw ndugu yangu kwauchawi gani hasa mpk washindwe kujenga brbr etii ushirikina sio kweli broo

    • @stevenlugo8195
      @stevenlugo8195 4 роки тому +2

      @@fatmamakalo3068 Kwa ushirikina pia unachangia Ndugu yangu unakumbuka ile nyumba ya udongo iliyo kuwa digo barabara ya kwenda horohoro kipindi cha ujenzi wachina walishindwa kuibomowa Kila wakitia katapila hola Mpaka wakaamuwa barabara waiyamishe...ramani ya barabara ya horohoro ilikuwa sio ilipo sasa ilikuwa ipite kati kati ya mji wa mabokweni..

    • @fatmamakalo3068
      @fatmamakalo3068 4 роки тому

      @@stevenlugo8195 duh nimekubali brother kwakweli nishida wallah

  • @ramadhanikassimu
    @ramadhanikassimu 7 місяців тому

    Wachaujinge wewe mangu katengeneza barabara mojatu umukowa jk zebest mama barabara tatuu mupakasasaiv

  • @ishqmeinmarjawan1048
    @ishqmeinmarjawan1048 4 роки тому

    Nimefrah kumuona huyo dada wa saloon amevaa dera nililo teremsha mm mara ya kwnz Kariakoo dar na hakuteremsha mwengine mpk leo. Na yeyote anaitaj madera mazur vijora vya kisasa na dizain tofauti wasiliana nami. Whtsp 0774165552. Or 0659627334

  • @muksinmbaruku6751
    @muksinmbaruku6751 4 роки тому

    Maendeleo haya yanaukanda yanaubagusi kabisa,,,Lindi na Mtwara sioni wala kusikia miradi kama hii,,,kama hatupo Tanzania watuambie tukaombe uraia msumbiji.

    • @fredrickmbaruku7827
      @fredrickmbaruku7827 4 роки тому

      Hapana sio hivyo wajina

    • @hamisisheshe4204
      @hamisisheshe4204 4 роки тому

      Matajiri huko wakutafuta mining nice msambaa tashlifu magari yahuko yote ya wageni

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 4 роки тому

    Tanga imeharibiwa na ccm
    Mji huo ulipaswa kuwa jiji kubwa kabisa Tanzania
    Viwanda vimekufa
    Watu hawana kazi
    Nimetembelea mkoa huo Mara kadhaa kiukweli haukustahili kuwa hapo ilipo Sasa.
    Masoud usimfanyie magufuli campaign kea Mambo ambayo Ni wajibu wa Serikali kufanya

    • @kaundasutikaunda7769
      @kaundasutikaunda7769 4 роки тому +1

      Ndio vinafufuliwa sasa.

    • @worldtechnology492
      @worldtechnology492 4 роки тому +5

      Kwan kaungia madarakani miaka ishirini iliyopita au????? Ana miaka mitano tyuu unataka ajenge dubai??? Akati mikoa ni mingi sana uchumi wenyewe ndo unafufuliwa let the man get the praise coz yeye ndo rais ambae yupo speed sana kulko wengine give him a time ata US haikujengwa kwa 5years but almost 50years learn to appreciate ata wew usingeweza kufanya haya anayofanya uyu msukuma

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 4 роки тому +6

      Baba zako waliiba sana mali ya serikali mpaka vikafa unamlaum nani walaumuni Baba zenu kwakutokuwa wazalendo na Mali zao

    • @karolikisaka8991
      @karolikisaka8991 4 роки тому

      @@worldtechnology492 Acheni kudanganywa,dar imemshinda which dubai he can makes
      Mvua ya juzi imetosha kuonyesha miaka mitano he had done nothing
      We need someone who can do the best for Tanzania at all.
      Miji ya mikoani Hali mbaya,maji shira,shule zingine mpaka sasa Ni makuti,na umasikini wa Hali ya juu
      hathitaji rais anayewatawala watu,
      Tunamtaka rais kiongozi.

    • @dutchsafari7562
      @dutchsafari7562 4 роки тому +6

      @@karolikisaka8991 Mafuriko yanatokea Texas marekani kwenye good city plan sembuse bongo watu wanapo jenga bila kufwata ramani za mipango miji wanafungulia mashimo ya choo wakati wa mvua,wanatupa taka ngumu kwenye mifereji ya maji then mvua zinyeshe Mafuriko yatokee uilaumu serikali hahahha JPM tenaah

  • @asumanishabani7539
    @asumanishabani7539 4 роки тому

    Kwa stend ya Tanga kwa hazi ya mkoa ni aibu...ipo haja ya watendaj wajiassess...shame to you..and other road especial za number bado nyingi zik poor...hazina lami yan imewekw uson tu....kwa tanga bado

    • @fatmamakalo3068
      @fatmamakalo3068 4 роки тому

      Kabisa tanga bado bado

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 4 роки тому

      Kwahiyo ulitaka ijengwe kama ya dar sio? Kila stendi inayojengwa inalingana na mazingira, Tanga ni kama njia panda haina ulazima kubwa sana, ni ni kitovu cha mabasi sio ya mikoani tu hadi nchi zilizotuzuka zinaitumia stand ya Dar, Mfano bus linalokwenda kenya Linaanzia dar linapita tanga kama kituo kikubwa tu baada ya hapo linaendelea na safari

    • @asumanishabani7539
      @asumanishabani7539 4 роки тому +1

      @@davidcurtis8556 hapan...sina maana ijengwe kama ya dar...ila ata ya korogwe ina hadhi zaid kulik ya tanga mjin tizama arangement yak na kama ingekuw na jengo kubwa zur ingekuw nzur mno...huo ni mfano...Swal ni kwamba stand ya korogwe na kange ipi ilipaswa kuwa ya mkoa

    • @blizzokassim6495
      @blizzokassim6495 4 роки тому +1

      @Asumani Shabani we huna akili hta kidogo tanga mara yako ya mwisho kwenda ni lini????
      Stendi ya kange saivi kunajengwa mall kubwa zaidi ya mlimani city
      Unaongea pumba zako we chizi nn
      Ety stendi ya korogwe??? Tembea ujioneee co unaropoka tuu

    • @blizzokassim6495
      @blizzokassim6495 4 роки тому

      @@asumanishabani7539 afu uje na donge mwisho kunajengwa viwanja vya fifa magorofa kama yote yanajengwa
      Co unaropoka ropoka tuu

  • @ishqmeinmarjawan1048
    @ishqmeinmarjawan1048 4 роки тому

    Nimefrah kumuona huyo dada wa saloon amevaa dera nililo teremsha mm mara ya kwnz Kariakoo dar na hakuteremsha mwengine mpk leo. Na yeyote anaitaj madera mazur vijora vya kisasa na dizain tofauti wasiliana nami. Whtsp 0774165552. Or 0659627334