DUUH!! AMBOKILE AMKATAA AZIZ KI KISA AHOUA, AWACHANA YANGA TIMU IMESHUKA KIWANGO, AMLIPUA ALI KAMWE
Вставка
- Опубліковано 26 лис 2024
- Ewe Mwanadada unaetaka kusuka Fika sasa kwa Msusi Safi wakusuke kisasa na kwa bei nafuu
Huduma Zao: Kusuka Nywele mitindo yote | kuosha nywele n.k
Wanapatikana Sinza Vatcan Karibu na ukumbi wa Mawela Social Hall
Piga: +255 657 306 709 / 0620366579
Nampenda ambukile yey msema kweli siku zote😅
Kocha hana kikisi cha kwanza
AMBOKILE "najivua" siitaki yanga 😂
Ambokile Leo kaisifia Simba mbwa itapiga mswaki lkn hongera Leo umetenda haki
Huyu kinyonga usimwamini hata kidogo 😆😆😆
Kabisa@@mnyongeiddi2454
True timu icheze
Ibrahim Ambokile mtaalamu kabisa
Kama wa Chama na Baleke na Dube.
Manara alisha sema tangu akiwa simba kwamba yanga mwenye akili kikwete nababa yake sande manara wengine wote hamnaxo hata yeye manara alivyoenda huko nae kawa hamnaxo
Chuma chamjelumani nakuaminia sana lakini kwa kumfananisha kii nauyu vipi??
Kaduguda kasema Simba wote mbumbumbu ukumbuki?
Yanga pia waache propaganda haziwasaidii.