UCHAMBUZI:FRIJI BOVU AMKUMBUKA GAMOND,DUBE HANA UWEZO KUCHEZA YANGA,HERSI SIKU ZAKE ZINA HESABIKA!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 11

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 4 години тому +2

    Shida hamko analytical, fitness ya wachezaji ilianza kuporomoka wakati wa Gamond. Aliwapa mno uhuru wa kujirusha. Uamuzi wa kuchukua kocha mpya uko sahihi, lakini mjue sio rahisi kurudisha fitness ndani ya wiki moja na nusu! Apewe muda!

    • @hassanabdala7383
      @hassanabdala7383 4 години тому

      Fitness ya Utopolo ilikua ya kuboost na Sindano za kuongeza nguvu wameshtukiwa

  • @KarokiaNdirango-lj3wf
    @KarokiaNdirango-lj3wf 3 години тому +1

    Wewe sio mchambuzi zungumzia soka kuchenyenta ndo nini, halafu mechi ya kirafiki utachezaje na timu za taifa zinacheza, kocha hatutamlaumu acha umbea

  • @ratybkheir8674
    @ratybkheir8674 5 годин тому +1

    kweli ujinga mtupu mchezaji anaruka ruka tu

  • @hamadabdullah9702
    @hamadabdullah9702 5 годин тому +1

    Mnafeli wapi saut hmn mnarusha interview

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 4 години тому

    PIRA GERMANY GUSA ACHIA TWENDE KWAO😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 4 години тому

    Ungekuwa mjuaji hayo maneno ungeshauri kabla ya mchezo, tungekuelewa, michambuzi kama wewe leo mtakuwa wengi sana, na wote hadithi itakuwa hiyohiyo NILISEMA NILISEMA... NILIJUA NIKIJUA,, Ujinga mtupu!!