Jana nilitaka kununua gari baaada ya kubet na kula million thelasin ila Kwa kua nimepata Kitu Kwa video hii naomba niwnzishe biashara ❤❤❤❤❤ Ili ninunue gari Kwa pesa ya faida na mambo mengine
Maneno mazima Sana lakini mpaka uwe na akili timamu utafahamu na imenionesha alhamdulillah Masha Allah wapi nimekosea Kwa hiyo nikusimama na kutumia haya maneno yako nikasonga mbele shukran
Zingatia neno IBADA ,IBADA ni pamoja na sadaka kwahiyo sadaka yoyote inatanyakazi kulingana na Imani Yako sadaka ya kanisani ninziri sana lakini inavipengele vingi kwahiyo unatakiwa uvielewe kwanzaa@@marcelpaulbiste5268
Nimekupa maua yako,🎉 Nina swali, kwa mfano PI, network ni sarafu mtandao iliyozinduliwa hapa Tanzania, inaonekana ni kitu kipya, je ni wangapi watawaweza kumudu kucheza na mitandao.....?
Hujambo ndugu"" huku Rwanda unaweza kukwama ndani ya UMASIKINI si kwa mapezi yako bali ni watu wanaokuzibiti kwa kutumia njia tofauti hasahasa uchawi na roho mbovu wanaochochea maovu hayo ni waganga ""visa hivyo huku Rwanda vipo,hivisasa wengi wamekwishashushwa umasikini!!!!!.
Mtangulize Mungu kwa kila jambo kwa sala. Pia jenga utaratibu wa kusoma neno la Mungu mara kwa mara ili uweze kujiimarisha nafsi yako. Mungu akiwa upande wako hakuna uchawi utakao kuweza.
@@hezzyhezzy 🇷🇼 Asante sana "" kwa ushali huu , ndiyo, Sala inanguvu yakuhalibu uchawi na wachawi na waganga ni kweli , Tu ' mke wangu ni mfanyabiashara mkoa "na watoto wangu wote niwafanya biashara tofauti Mujini " alakini kilamumoja kwa upande wake anapambana nahusuda ya wenzake kwasabubu ya wateja hicho ndichochanzo cya uchawi , Sasa kwa ushauli tulipewa , DAWA KUU NI KUOMBA MUNGU TUNAAMINI KWAMBA MUNGU ATABADIRISHA VITU KWA MIUJIZA YAKE" AMENA🙏
Asante Kwa somo nzuri ilo.....umaskini ni dhambi
Asante kwa somo zuri, nimepata kitu nashukuru sana alafu unaelezea vizuri
Karibu
🇷🇼 ni uhakika kabisa asanteni zaidiiii kwa ushauri mwema kabisa MUNGU akujalie
Jana nilitaka kununua gari baaada ya kubet na kula million thelasin ila Kwa kua nimepata Kitu Kwa video hii naomba niwnzishe biashara ❤❤❤❤❤ Ili ninunue gari Kwa pesa ya faida na mambo mengine
Ahsante sana nipo pamoja nawe
Asante kwa kutufundisha nimeelewa mungu akubaliki
Asante mbarikiwe sana
Akili kubwa sana🎉
Somo zuri sana natamani kujifunza zaidi.
👍❤️ ni kweli kabisa
Nzuri sana ilah ibada ni muhimu ikiambatana na bidii
Somo zuri sana Asante kwa kutufungua akili
Kweli kabisa nimepatakitu hapo
Nimekuelewa sana
Asante kwa somo zurii
Ubarikiwe sana asante kwa kunielimisha nilikuwa nikichukuwa mkopo nakununulia nguo ulikuwa ukinilemea sana
Fantastic lessons
Asante sana unaeleza vizuri tena kwa utulivu unaeleweka
Maneno mazima Sana lakini mpaka uwe na akili timamu utafahamu na imenionesha alhamdulillah Masha Allah wapi nimekosea Kwa hiyo nikusimama na kutumia haya maneno yako nikasonga mbele shukran
Somo zuri🎉
Nimepata kitu kbs!
Haya yote nitayafanyia kazi!
Asante sana Mwalimu.
Wabeja walim. Asante
Asante Mungu nimeelimika
Asante sana mwalimu nikopamoja nawe
Upo Sahihi..Hongera..!!
God bless you
Asante kwa somo mzuri,ubarikiwe
Nimependa❤❤
Asante sana 🎉🎉
Nimepata kitu Asante sana bro🙏
Brother, Asante sana,umenifungua akilik
Asante kwa somo
Somo zuri sana lakini umesahau kitu chamuhimu sana nacho ni IBADA NA SADAKA
Sadaka gani?
Kama ni Ile ya kanisani nitakupinga
Zingatia neno IBADA ,IBADA ni pamoja na sadaka kwahiyo sadaka yoyote inatanyakazi kulingana na Imani Yako sadaka ya kanisani ninziri sana lakini inavipengele vingi kwahiyo unatakiwa uvielewe kwanzaa@@marcelpaulbiste5268
😂😂😂😂😂😂@@marcelpaulbiste5268
Kwann master @@marcelpaulbiste5268
Kwa nini @@marcelpaulbiste5268
Saw kwa somo especially kwa wanaotamn kufika mbl
Nice bro nimekuelewa
Nimekuelewa sanaaaaa
That's power education
Asante sana nimekupata vilivyo
Nashukulu
Shukrani sana kaka
Umeongea mambo makubw sana barkiwa sana
UMEKUA KIROHO SANA
Noted with thanks
Asante sana
Unaongea sana brother
Ahsante sana brother
We're ni Professor
Kuanzia Sasa Mimi ni Tajiri.........
Asante
🎉🎉
Kipengele namba tano nilisha kielewa toka zamani
Nakubari
Umesema vema
🙏🙏🙏
🙏🕺
Kweli kabisa
Safi sana ninzuli sana
fact rich dad poor dad
nimekuewa kaka umenifanya niwe na nguvu na ali ya kusonga mbele
Nimekupa maua yako,🎉 Nina swali, kwa mfano PI, network ni sarafu mtandao iliyozinduliwa hapa Tanzania, inaonekana ni kitu kipya, je ni wangapi watawaweza kumudu kucheza na mitandao.....?
Maneno mazuri kwakweli
❤❤
Asant
bro asate sana Kwa elimu zur
Hujambo ndugu"" huku Rwanda unaweza kukwama ndani ya UMASIKINI si kwa mapezi yako bali ni watu wanaokuzibiti kwa kutumia njia tofauti hasahasa uchawi na roho mbovu wanaochochea maovu hayo ni waganga ""visa hivyo huku Rwanda vipo,hivisasa wengi wamekwishashushwa umasikini!!!!!.
Mtangulize Mungu kwa kila jambo kwa sala. Pia jenga utaratibu wa kusoma neno la Mungu mara kwa mara ili uweze kujiimarisha nafsi yako. Mungu akiwa upande wako hakuna uchawi utakao kuweza.
Unadanganya ndugu!
Kuwa Tajiri inawezekana sana!.
Cha Muhimu tufanyie kazi Yale ambayo Mwalimu ametufundisha.
@@NzarubaraEmmanuel-k1k wee sii mfanya biashala usinge bisha hilo tuulize wapiga kazi tunayo kumbana nanayo 😢
KAZI na sala ni vyanzo vya mafanikio.asante Kwa elimu nzuri.
@@hezzyhezzy 🇷🇼 Asante sana "" kwa ushali huu , ndiyo, Sala inanguvu yakuhalibu uchawi na wachawi na waganga ni kweli , Tu ' mke wangu ni mfanyabiashara mkoa "na watoto wangu wote niwafanya biashara tofauti Mujini " alakini kilamumoja kwa upande wake anapambana nahusuda ya wenzake kwasabubu ya wateja hicho ndichochanzo cya uchawi , Sasa kwa ushauli tulipewa , DAWA KUU NI KUOMBA MUNGU TUNAAMINI KWAMBA MUNGU ATABADIRISHA VITU KWA MIUJIZA YAKE" AMENA🙏
nikweli
Umesema ukweli kabisa
Neno vema
Nadhani wewe ni tajiri, sababu some hili umelitimiliza kikamilifu.
Sasa siufafanue shida maneno meng
Funtacs
Kabla ya kutufunulia we mbona sio tajiri utajiri ni bahati ya mtu bro
😂😂😂😂😂😂
Pengine n majini
Ndio maan mwalim ana Baki mwalim Ila mwanafunz ana kuwa wazir
Kwani wamjua anaishi vipi
😁😁
Umenifungua akili
Wewe upo upande gani utajil au umaskin
Nianze na wewe ni tajiri au masikini?
Siku zote Mwalimu ni Mwalimu tu na atabaki mwalimu
Hata wewe ungekua unazijua hizo siri
Usinge twambia. So acha kudanganya watu
Asante sana
Asante sana
Asante sana